Nipo hapa 2024 kumcheki Joh makini nan mwingine tujuane kwa likes
@sadaantony7897 Жыл бұрын
Nipo hapa 2023 tena kumchek Makin Joh. Nani mwingine tujuane kwa likes
@olaripsabaya-kr1tu Жыл бұрын
Tupo pamoja ama mine🤣🤣🙌🙌
@Moraki_11 ай бұрын
Ngoma haipoi yani🔥
@brendafrank96978 ай бұрын
2024🎉
@VictorMligo-t9c9 ай бұрын
Leo Trh 21 mwezi wa 2 mwaka 2024 🙌🙌🙌🙌🙌
@lamescopanga21748 ай бұрын
❤
@colopizomrichory9918 Жыл бұрын
Agizia kina Rita magarita. Usijifanye kama hujui kilichotulete. Logo ni nyeusi😂😂🏁🇰🇪
@ogplus76ify9 жыл бұрын
Hizi flow ni noma sana kwa watoto wengine......chalii ya Arusha unarusha kila bakta
@SamuelSigara3 күн бұрын
Ni zamu yangu sasa, popover chochote, tatizo ni bei ya mkaa, hizi ni 🔥
@karaumike9 жыл бұрын
The Northern Rock.. oleele... kivumishi cha sifa.. tone of Arusha/Moshi.
@petermapunda20569 жыл бұрын
Ni shidaa chalii angu
@sammymaraga45936 ай бұрын
yani huu wimbo wazungu wangesema ulitoka ahead of its time, yani ingetoka hata leo ingekuwa hit... hii inafaa remix
@MkudeMkude-hw7vrАй бұрын
Inankumbusha kidato cha kwanza daah ili beng sana hii ngoma
@jacksonsaid7839 жыл бұрын
Daahh sana coolll broh saizz ni mainstream sio underground
@petercharles96009 жыл бұрын
Joh uko juu we ndo mkal wsa hip hop big up ( serikal mbwa koko)
@MosesYaa-p6z7 ай бұрын
Nami ako hapa 2024 ❤😂
@datakubwa15927 ай бұрын
Tupooooooo
@bahatykarungu65359 жыл бұрын
Arusha... oleeeeee Tanzania
@nduruboy7248 жыл бұрын
nawakubali sana weusiii hala kwako makini, wa pili na g gwara gwara
@blackpanther4825 Жыл бұрын
Huu mdude mpaka leo nauelewa nyamaaa. Jo Makini mtu hatari. Fan wako from Tandale uswahilini
@dostovan514214 күн бұрын
Joh ni rap super star wa bongo.
@jamesmakyao81032 жыл бұрын
Chali yangu we noma mpaka now nipo mitaa ya fire nakula hili zaga , flow kama tupo brooklyn
@thatguymcflizzy9 жыл бұрын
Joh Makini Beats all day.
@BigOppah9 жыл бұрын
#Nusunusu huendi Kwa Gud faza wewe unamalizia hapahapa....Bonge la ngoma & bonge la kichupa
@RomaMichael-ei6di Жыл бұрын
Noumaaa sana🔥🔥🔥
@omobabaoluwo30039 жыл бұрын
Joh always hukosei... Kwa kichupa hiki umerihidhisha unajua. Unakitendea haki kipaji chako ulichopewa na Sir God. Salutii kwa weusi GOOD MUSIC FAMILY. OLEE OLEE OLEE
@TaniBlatant939 жыл бұрын
so mbaya..nice clips international
@johnsovela90619 жыл бұрын
Joh hujawahi kiniangusha, kopo sio kuchupa
@ashilafisilajisentongo31019 жыл бұрын
Hujawahi kuniangushaa
@KalilimehboobKhan8 ай бұрын
Huyu na fidq ni hatari bongo
@emanuelmsangi66869 жыл бұрын
Olele, hii ngoma n hatar.... i see u internationally....
@nasramohamed14599 жыл бұрын
This is bongo flavours we talkin abt..! Wooooowwww amazing.
@mgeninjoo20874 жыл бұрын
Inashangaza sasa ati TZ hizi sio top songs KZbin !
@hamisijumanne40497 жыл бұрын
serikali mbwa kokoo oleele oleele!
@jila_legrand9 жыл бұрын
Joh gud music n video tisha !!
@mwanaharakatiog32799 жыл бұрын
Hatariii nusu nusu video Joe makin
@raymondfrancis17329 жыл бұрын
Daaaaah shikamoo kaka joh...sarute milioni mia broo
@pittmoh56258 жыл бұрын
Makini Joh, weusi family mko sawa mnapasua giza
@nassaryvicent9950 Жыл бұрын
Kaka Mkubwa Mwamba Joh Makini! Kitu gani kimeshindikana Bro kufanya kazi kama hizi, Tumemmiss Joh Makini huyu na weusi wale, Tunaomba mkae chini mtuletee Nyimbo za taifa huku mtaani!! Brother's!!
@eliasdavid54459 жыл бұрын
Chali Wa arusha narusha kila city
@michael_akuno9 жыл бұрын
video kali beats za hiphop tafuta kwa trapkid kenya ....kali sana
@anthonyaugustine79809 жыл бұрын
Noma ngoma eeeeeeeeee oleeeeeeeeeeeeee
@balentinakamenya75869 жыл бұрын
Zinga la wimbo wallah
@omarykatuga97949 жыл бұрын
Shikamooo johmakin wewe ndo mwamba wa kaskazini nakukubali mpaka naumwa mzazi najivunia kua arusha
@adventinabite8605 жыл бұрын
nus saa ya mshale duh umeuwa respect for nyie weux hamnag kwereeeee 🏋️🏋️
@daudimkwela9 жыл бұрын
Upo vizuri sana Northern Rock! Nusu Bob Marley...hehehehe, Nice Video for a Nice SONG, Umetisha Kaka. Hongera sana, Keep the good work.
@adamchamiki42609 жыл бұрын
cjui kwa nn ninafuraha.....big up Joh
@bahatirashidi76528 жыл бұрын
john makini unatisha hasa hii nyimbo yako ya nusu nusu nakupa big up sana
@bettyshayo72739 жыл бұрын
Brand kubwa sio kitoto!!!!! OLELE!!! 👌👌👏👏 NIME👐👐 OLELE!!!
@abasijuma65559 жыл бұрын
Brand kubwa co kitoto big up chaliiii
@amirimlete8779Ай бұрын
2pooo mzeee
@mbambamichael62729 жыл бұрын
Nusu SAA ya mshale nusu Bob Marley...tishaaaaa mnyama weusiiiiiiii
@robertwekesa2449 жыл бұрын
taking east Africa hip hop to the next lever salute mwamba #nusu nusu
@dogogaga88049 жыл бұрын
Big up sana Brother!!!! video, kali nyimbo kali, daaah!!!! Kweli ni Nyeus
@stephenrwaich10789 жыл бұрын
Aiseeeeh! Wewe sasa ndio umeamua kuifanyia hii kitu hapo kwa Madiba ukaiacha R chuga inanung'unika kama imefiwa axeeee.Wanaona hadi Makachero wa mbaaaali mavitu Joh Makini unayofanya.Represidental Bro.GOOD MUSIC
@ramadhanikizaba46319 жыл бұрын
Kwel akuruhusu ucmame naw umruhusu ulale mambo yaendlelee ucku kuchaaa!!!
@johngora22468 жыл бұрын
Nawakubali sana sana wanyamwez wangu weusiiiiiiii
@abbyknowledge55099 жыл бұрын
Kama mbele yan booonge ya ngomaa bonge ya kichupa big up joh tanzania ikisema yes nan wakupinga
@benjaminlaswai57109 жыл бұрын
Daaaaah! nusu saa ya mshale nusu bob marley hatareeeeeeeeeee sanaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@robertdanda32519 жыл бұрын
WEUSI,.. Ts tym ya kukimbiza soko la nje,.. Nahreel anajua kwenda njia moja nanyi,.. Hongera sana...
@nicksonmlay61292 жыл бұрын
Nusu saa Ya Nchale..❤️
@michaelconrad79189 жыл бұрын
Blazaaaa joh ne noomaaaaaa
@samirukazinja28049 жыл бұрын
agiziaaa kina ritaaaaaaaaaa magaritaaa duuuuuh!!!!!Im proud of u brodah mwamba kip on duin gud music..
@nelveceynelvecey42679 жыл бұрын
Hatariiii ...... Hujawah kukoseaga#!!
@leoncehermenegild67219 жыл бұрын
Joh uar amazing a like uar music nice job yoh....nyeuc ngumu hapa...
@hamismasoud88089 жыл бұрын
Kali saaaaaaaanaaaaaaa yan daaaaaah
@sudyhussein25056 жыл бұрын
Nomaaaaa joooh. We ni KIIIIIIIIIIIIIING NMEKUJUA MWAKA 2005
@jimmysevera20913 жыл бұрын
Bendera Hewani simamisha mlingoti...... Joh Makini uko juu.
@MCJOGE939 жыл бұрын
kaka nmekukubali mzee.kwanz nlivyoona tu inataka kutambulishwa kwa mtv nikajua hii ngoma itakuwa si ya kitoto.. saaf sana MWAMBA
@albinhohasla43264 жыл бұрын
Who is here 2020 gonga like apa tuone
@lamescopanga21748 ай бұрын
❤
@edithsamki38339 жыл бұрын
Bonge ya nyimbo joooh fanya tenaaa. Actualy i can take hours watching this.
@mouzyduffer39569 жыл бұрын
Holla tu joh mwamba...!!! Hakoseagi huy jombaa blood blankets
@josephalex90319 жыл бұрын
shkamooo Joh, we ni nooomaaaa. kazeni, simamisheni hiphop, wabana pua hatuwahitaji, oleleee oleleeeeeeeeee
@BlacSko9 жыл бұрын
wataelewa tu, I SEE ME INTERNATIONALLY....Big up sana
@jacoblukwembe63209 жыл бұрын
Umetisha sana joh makini.mimi napenda sana mziki wa tz na sasa naona vijana wameamua.kam vp kaza buti joh mpak watusome..hahhahhh..
@lilianmollel53559 жыл бұрын
Oleleeeee ! big up , bonge ya nyimbo.
@bonvenja79529 жыл бұрын
tam kinoma makini joh umetisha unatia adabu
@nickemma19399 жыл бұрын
joh is the best I have ever seen in hip hop
@artemisneoy95969 жыл бұрын
Unatuweka Arusha kwenye ramani kaka...nakukubali.asante na usichoke
@ramonjoseph38919 жыл бұрын
joh wewe ni hatareeeee sanaa weusi mwaka wenu uku xo....safar......morale.....i see me....gere dah ni cheche
@rammymussa85858 жыл бұрын
zaidi ya unajua gudluck my brother
@TheNdaki9 жыл бұрын
AmiNia hii ngoma kama Ya kule States!! Imesimama.....nawaza ili beat tamuu ikitoka remix drop Mr.Blue. Weusi mmetisha!!!
@BeatusFungomaliTravel9 жыл бұрын
dadeki...nusu saa ya mshale na nusu bob marley. Sheeedah mpya mjini Joh
@blacktoto12249 жыл бұрын
ingekua mimi ningisha kupa tuzo ya king of hiphop tz rchuga labda hiphop ituuendo tutaacha
@zazatwaha11389 жыл бұрын
Iko poa saaana big up bro
@veronicasembeta23359 жыл бұрын
olwayz i saluuut uuuu,,,,,,,,,,,k2 ni singleee O doubleeeeeeee.....................
@mcholamichael2494 жыл бұрын
Ngoma iko byeeeeeeee until nw 2020 lik zenu wana kwa wale wanaoisikiliz right now
@bulgaria01089 жыл бұрын
Joh Makini, mwamba wa kaskazini ametisha.. Olele!
@jobjoab99139 жыл бұрын
kali sana.. 🙌🙌🙌🙌
@davidf.j.m62849 жыл бұрын
Dah!!! Man Joe you gat me speechless...and that's wat u r,,,,keep on seeing ur self internationally#nusu nusu iz a bomb.walla_h
@AzizSultan-fc7rn6 ай бұрын
Nani hapa 2024. . ❤
@MohamedAhmed-yn1lx9 жыл бұрын
Lazima wateelewa tuuu duuuh shedaaahhh
@dr_godfrey9 жыл бұрын
Iruhusu isimame ikuruhusu ulale duu poa sana ngoma tamu kinoma
@oneilzeboss84859 жыл бұрын
Hexhima yko mtu mbaya the baddest mwamba wa kaskazin mwaka huu tusipo pewa tuzo kutakuw na mguu wa mtu co mkono tena umetixha vibaya mnoooo HESHIMA YAKO MONDI WA HIP HOP JOH MAKINI
@haroldmmari35569 жыл бұрын
Daaaaah kweli kipele kimempata mkunaji....baada ya baby google my gogo sasa imekuja sikutii..ila nakutia adabu.bro uko juu kama bendera
@nellyshopkarikoo83119 жыл бұрын
Jo makin nakukubali kaka umefanya poa sana kwenye video ya nusu nusu
@johnnyzilla64999 жыл бұрын
AAAAA TOWN STAND UP UMEWAARIBIA AJABU WAJINA,FUL BRO
@dishangib Жыл бұрын
Banger Hit Noma Sana Hatari Sana Aiseeee 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪❤️❤️
@nehemiahbalinga47869 жыл бұрын
Wataelewaaaa tuuuuuu Kwa hzo punch linez mzeee""""
@jovinmahizo52229 жыл бұрын
Actually ur the best i can say..... best in yo category.... best yo region... keep it up big bro... pamoja sana..
@salumuabdalah35819 жыл бұрын
daaah good music broo nakukubari sana we nirapa bora africa
@barakamwampashi48835 жыл бұрын
Ole joh chugah boy
@ezekielmichael9431 Жыл бұрын
John makin ni level zingine Africa kwenye hip pap usimlonganishe na octopozo amabae hawezi ata kufanya video ya ghalama Kaa hii