Watanzania na wana East africa hatujawahi tendea haki hii nyimbo aki 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇨🇩🇸🇴🇪🇹🇸🇸 kama. Unaungana na mimi weka like yako hapo
@_angelstormy18 күн бұрын
Factssss
@Vanisikaka7 жыл бұрын
ambae hajaelewa alichokiimba joh makini??? Maana nimetoka kapa😀😀😉
@rickstyleboy93737 жыл бұрын
Ili kumuelewa mwamba sikiliza ngoma zaid ya Mara moja afu audio ndo mtammanyire furesh fit babulai mkali Swahili rap KING
@petroerinest38287 жыл бұрын
show career eh!njoo kalia eh!uclete uzuri leta vizur!!😃😃😃davido nimekuelew,gonga like m2 wangu wa nguvu kama umeikubal ngoma hii
@almatrashid18127 жыл бұрын
ingawa nipo kibiti na sijui kiswahi ila hii ngoma Kali gonga lke kma umeikubali
@klementinamgalla317 жыл бұрын
Almat Rashid. 😂😂😂😂😂hujui kiswahil na unacoment kiswahili walah kibit imekuchanganya
@almatrashid18127 жыл бұрын
Klementina Mgalla ni kweli sijui kiswahili
@melaniatano88807 жыл бұрын
duu ngoma kal bro j
@godfreymwita18087 жыл бұрын
hahahahaaa
@maryamabdallah18417 жыл бұрын
hahaha
@frankchamba88944 жыл бұрын
Nashagaaa sana Tanzania wanaraumu john makin nyimbo siyo Kali wakati wenyewe amaipigi .hit song
@amanistoryteller7 жыл бұрын
Wayaaa kabla haijapata buku. Kama unamkubali joh makini hit like 🙌
@oslo12097 жыл бұрын
Team 254 in the building y'all 🇰🇪🇰🇪 na baada ya kuskiza kwa Makini tunasema huu wimbo umeweza sana Joh .
@chrisoghenetegamaloney57997 жыл бұрын
Where's this guy from?
@salimmussa97197 жыл бұрын
chris maloney Tanzania
@allaneddie71287 жыл бұрын
255 tz
@godkingtz13647 жыл бұрын
Making nyoko wew mtu noma sanaaaa hi ngoma ukoseagiiiiiii like jaman twenden Kama mumeipenda na nyie
@robsontimotheo16487 жыл бұрын
mmh davido kanyooshaa hatar bonge moja la kichupa ahsante sana johmakn
@Itrahya23057 жыл бұрын
jooooooooh ajawai kualibu KATA LETA KWANGU
@kelvinemanueli36997 жыл бұрын
u a the kaskazini mwamba nothing as you ..unaiwakilisha a city vibaya mnooooooo....davidoooo ficha kuleeeeeeeeeee...good sana johhh.... wajanja wote tunalike hapa
@kevooonline87177 жыл бұрын
nyimbo ipo good sanaaa Kama unaikubali gongaa like twendee sawaa
@ramadhanimsangi91217 жыл бұрын
QUUUBABAQEEEEEEEEE joh mweusi tii ww mbaya sana umeua kinyamaaaaaa......real appreciating u brother......
@eipro_7 жыл бұрын
Nahreal! Katsha sana ! So kwa mdundo mkali kama huu!
@patricktravis65757 жыл бұрын
axa walee wakupenda kwama anabebwa ni kwelii munguu aizii muachaa king joh apoteee kata letaa pigisuu zako tukudanyee gusaa lake kama unmkblii joh makinii
@isuqalex87267 жыл бұрын
txha xanaa brother joh....hii ngoma n ksangaa arfuu
@daltonnasibu79467 жыл бұрын
Video Kali sana tena sana
@alexrocky21847 жыл бұрын
Hiii ngoma ni moto fireeeeeee, i like the way davido amepiga kiswahili tuu, ubunifu wa hali ya juu, sema babaaaa video ya watoto iko wapi, mana hii ni ya kina sisi,,,, anyway big up.
@georgemangesho39427 жыл бұрын
Show kaliiiii eeeeh Joh unazidi kuwaonesha kua Wew c wa levo zile
@jozay507 жыл бұрын
bonge la ngoma yan pini la ukweli kama ujaipenda toa yakwako
@kokwaakokwakokwaakokwa4527 жыл бұрын
Ipo poaaaa sana huwa ubahatishi King Joh
@Clever57911 ай бұрын
Rapper pekee MWENY collabo kubwa EAST AFRICA🔥🔥🔥
@thebonobo26337 жыл бұрын
Dah!!! kichupi kkaleeee, haaaa, kchupa bhanaa,
@jorickmaanga31317 жыл бұрын
#Mwamba ujawahi kuniangusha 🔥🔥🔥
@mwafote34667 жыл бұрын
joh unaflow pumba ila zinalika. bro unalazimisha vina hands down!!!!! like like like
@janccannonjr91787 жыл бұрын
Weusiii noumaa sanaaaaaaa Tz one
@kennedytito39277 жыл бұрын
Nahreel ni noma... ... Joh na davido bigup... .. .
@josephfuraha91157 жыл бұрын
King Joh Makini Wewe ni Mkali Wa Hip Pop Tanzania Nakukubali sana lakn Kwa Hii song umetuangusha , nahreel amefanya kazi kwenye beat lakn wewe Joh Makini umetubwaga ,,,
@stevemshindi8927 жыл бұрын
ngoma tamu sana..hizi floo ndo tunazihitaji.....wakati wanadunduliza kutafuta panch line we fanya tu HIT SONG,next level shit.......................
@guyemant51377 жыл бұрын
the beat and davido just great. joh makini umezingua. rap gani hiyo
@ramaarshendulijr7207 жыл бұрын
Makini mweusi hajawahiii kutuangusha. ....Yu gotta love AR
@erickjustinkente57807 жыл бұрын
Safi Mwamba big up sana. Wakalishe hao na maneno na mziki wao. Video kali
@antidotmartido65397 жыл бұрын
Makini haujamakinika hapa!! ...Davido ako juuu
@JdKTVHomeofTechnology7 жыл бұрын
⚡⚡⚡ Chupaa kaliiiiii..... naelewaaa since ktambooooo broooo 🌋🌋🌋
@goodluckjohn16607 жыл бұрын
nice
@kidahyarevocatus82037 жыл бұрын
Uyu jamaa kila Siku mpya.....ka young rapper kumbe legend 👑👦🎧 chuma juu ya chuma💓😋
@gervastweve86127 жыл бұрын
wanao mkubali nareeh kwa biti gonga likeee hapo, maana xo kwa kulitendea haki kule
@gervastweve86127 жыл бұрын
ahmed nyenga umeona ee flow zake zile amazing zimekosekana
@kissykennysmatt7 жыл бұрын
Mistari ya Joh Makini sio Magendo, like kwa upendo
@jackaugust89547 жыл бұрын
One Hell of a song.... Davido's chorus is just amazing! Nahreal never disappoints...
@stanleyludovick88037 жыл бұрын
What about Joh?
@tarikj37827 жыл бұрын
Stanley Ludovick he flopped
@tarajohn84337 жыл бұрын
kawaida sana io ngoma sio kalii mzee
@neema19913 жыл бұрын
Ngoma kali sana
@annalucas28592 жыл бұрын
@@stanleyludovick8803 ⁿ
@felixernesto13667 жыл бұрын
Hivi binadamu unaanzaje kuidis hii ngoma, Joh u de best bwoy dred hit Dem skies hommie
@augustinolucac11787 жыл бұрын
Felix Ernesto kama unaelewa anachoimba joh unajtambua sana
@michaeljeremiah6347 жыл бұрын
wanao Fanya hiphop kibongobongo wanakaz kubwa xana kufikia uyu jamaa ,mi najua anaandikiwa na mungu..big up mwamba
@lazarolazaro55357 жыл бұрын
michael jeremiah haha
@adinanichadadee5307 жыл бұрын
kweli kabisa
@saulmwakyusa10017 жыл бұрын
cjui tunatofautiana mm cjawai kumwelewa wala kumuweka katika wanahiphop
@gospelvibestv39147 жыл бұрын
mmmh
@franciscojoaolinomauldy66947 жыл бұрын
kama umemzoea msaga sum ngum sana kumsoma king.
@auraliajuniordicklay73532 жыл бұрын
Hakununa msanii yoyote aliye imba vizuri na David zaidi yako mwamba wa kaskazin bro 😍😍😍😍👏👏👏 Kwa hapa TZ
@nazarethmwakyusa85577 жыл бұрын
Ngoshaaaaaa, mkali waooo
@lembrislession70537 жыл бұрын
VIVA #JohMakini ati "kipururu sio uhondo....***
@edwinmwigura97607 жыл бұрын
ufundi wa lyrics na flow wa hii ngoma ni mpya kwenye game bongo.... hip hop evolution. .. nice work nahreel... video dope sana 😆😆👌👌👍
@gabriellytairo25527 жыл бұрын
Katakata leta walete watoto waambie kwa flow izz sa Jonh ni next levelll ebwannaaa mwambie ze industry amenikonga
@davistarix7197 жыл бұрын
joh hiii ngoma nouma sana mwamba from kaskazini king of Hip hop in Tanzania. salute to yah brooo mweusiiiiiiiii
@gaburica73077 жыл бұрын
Ukeseagi my brother joh level zako wataisoma namba kwa kirumi mzeee
@gervastweve86127 жыл бұрын
kaliiiiii hatre, walio cheki kabla ya 1million like "hapo chin
@emanuellairumbe82367 жыл бұрын
joh legend!!! oyooooo papa laatoiwo!"!! nuksi xna babulai
@crunzylighter59017 жыл бұрын
DAH hii ngoma ni kisangaa arf
@ussikhamisussi48827 жыл бұрын
"Hip hop" inaelezea sana uhalisia wa maisha kwenye jamii flani na si maigizo sana kwenye kuathiri nature yake asa, hii "kata leta" si hip hop ni ngoma ya starehe na si kuelimisha jamii.
@hollymore49047 жыл бұрын
video kali ....nyimbo mbaya!
@ilishiramzah44887 жыл бұрын
Davido🔥🔥🔥...kata leta nimekuelewa🔥🔫
@danielmlanda69697 жыл бұрын
HIKI NI KICHUPA CHA DUNIA DAAAAAAAA JOH MAKINI UMEMALIZA
@theonlydayonicedionis32947 жыл бұрын
Kuna sehemu nasikia naficha Davido,,gonga like kama na ww umeisikia hyo mistar!!
@jordanbaeconomics92787 жыл бұрын
Dionis Joseph na feature
@allymlacha93407 жыл бұрын
yeeessss nakubalii....kataa uduu unletee usistaa..kiukwelii nimeaminia michanoo ya joh..kazi nzuri...blessed be joh....
@emmanuelsanga78117 жыл бұрын
international numeri uno
@allawimshana27 жыл бұрын
Ngoma kali sana.....,Mama Hela inatabia ya kupotea, tamaa sukari inatabia ya kukolea......kataa
@dreamchaserrisktaker40667 жыл бұрын
Davido is everywhere,making good music is an everything
@ibouthiam2643 жыл бұрын
Nice
@abduldandy30777 жыл бұрын
🎶Kata kata leta njoo ukalie njoo kalia 🔊 Davido bhana
@chichimzuzu68277 жыл бұрын
another nice song
@africanasplumbing7 жыл бұрын
Home boy chanja mbuga baba endelea kufungua njia nipo njiani baba naheshimu unachokifanya mkuu
@johniekak11917 жыл бұрын
Joh Makini I am thrilled by your accomplishments you doing good international it's really good your group Weusi is dope too ,I grew up listening to you your old songs made me complete my high which is hard for a refugee from Burundi.You're one of the people I look to when it comes to literature and good inspiration but I'm sorry to tell you ,we as your fan we miss the old you it hurts that you don't do hiphop no more ..Letter to @Joh Makini
@joegrayson72347 жыл бұрын
joh mwenye umakini, mwambaaa
@martialayikutu54027 жыл бұрын
Davido number one ☝️ tho ahh too much love ❤️ for Davido.cheeeeeeeee!!!!!!
@daudm15587 жыл бұрын
nimependa davido kubonga kiswahili ..salute kwako bro joh..... video Kali...
@chima98517 жыл бұрын
Obo Davido is wonderful Love from Nigeria
@georgetom43587 жыл бұрын
Big Up Joh Ngoma nimeilewa kinoma,wapo wengi wanaobwabwaja tuu na kusema hawajaelewa ngoma,hawajui MUZIKI hao
@rhinothedon7 жыл бұрын
This is joh Makini's best collaboration and song of all the time. The only song that's gonna make joh makini to be known in Africa in general. If u agree with me give me ya likes please!
@inclyrics43847 жыл бұрын
4 real
@duaedigakitaule27767 жыл бұрын
kari
@Lafta_Rapkey7 жыл бұрын
nigga you tripping....johs all tym hit is DONT BOTHER ft SUPA MEGA..no debate bouthat
@homeboy60047 жыл бұрын
Bicho Fire Do not beg for like
@bennycardozo18907 жыл бұрын
Young killer ulichosema kweli
@brianblack61337 жыл бұрын
Moto mbayaaaaa
@focushamza33747 жыл бұрын
kweli joh kazingua
@BongomoviezoneАй бұрын
daaah big up broo 2o24 nimeic hili ngomz
@gervastweve86127 жыл бұрын
davido sooo kwa kiitikio hichoo yaan kaa bongo bongo vile
@neyney3907 жыл бұрын
Nilitamani kumsikia Davido kwenye verse naona kaishia kwenye chorus. Nice song Joh, hukosei big 5 kwako
@stephanomsuya94147 жыл бұрын
Joh nliemjua kwa LOGIC FLOWS sio huyu, ila kazi nzuri maana umeamua kwenda kimataifa
@simonseyongwe7 жыл бұрын
Eeehe bhana eehee ii ngoma ni noma #ZunguFroo Jho Makini wa Simon umetisha sana ... Umemumbisha Davido KiswaNgilish fresh yan
@Dj.mofasa7 жыл бұрын
Representing from Kenya marking register for the early viewing...
@zuwenasirgutty88307 жыл бұрын
Ujawai niangusha Jo.. Love U Baddly Mwamba
@farajiyusuph81467 жыл бұрын
*Mbona Hujampa Davido Chance hata ya Verse Moja kazi Kupiga yake Ukunga "Worioooo Woriaaa" Kama Masai*
@haidaryjoe55467 жыл бұрын
kawaida yetu wabongo kukataa vitu vizur aishangazi big up mwambaaaaaaaaaaaa kata kata letaa...
@godlovekwayu15167 жыл бұрын
JohnMakin we ni Mwamba wa kaskazin wap FIDQ
@hamisally75237 жыл бұрын
sawa kabisa home boy,pesa kweli inatabia ya kupotea,big up
@tonijr82297 жыл бұрын
Usicoment kabla hujaiangalia hii video zaidi ya mara moja
@blacknesaya7442 жыл бұрын
Kwa wale ambao hamjuwi froo lain ndo hizi Sasa 🙌😇
@yaseenking-ygagamel66967 жыл бұрын
A Big Tune Dis.... Hit Like if You Agree
@abuyaabuya99207 жыл бұрын
joh MAKINI u are the biggest,,watu wakibonga mbya waamie dont BOTHER...from kisii kenya
@amanimollel70865 жыл бұрын
Hahaha chakula ya king Kong kama umesikia hiyo gonga like ya nguvu +255
@pathoryone49497 жыл бұрын
ngoma kal.. af davido hajuag kuanguxha mtu xo big up
@husseinseif98567 жыл бұрын
Ngoma kali hukoseagi joh....Kama umeielewa like hapa
@ngayanomakombe8724 жыл бұрын
Kinyamaaaa aniii
@waltercyril57837 жыл бұрын
wooowooooo wooooo mauno kaa umo umo atari kata leta hiyo mziki mzuri
@princeboniphace43127 жыл бұрын
murder 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Tronixlyrics7 жыл бұрын
sijui kingereza lakini joh makini you nailed this one man
@alleninebway56527 жыл бұрын
A city To the top
@jimmotieno31157 жыл бұрын
Davido was clearly paid this ain't his thing Joh keep pushing bruh!!
@lufunyoedson71687 жыл бұрын
wivu donda ndugu
@rasheedsulayman98937 жыл бұрын
sure
@ayomideakintola58567 жыл бұрын
Jimm Otieno davido those not collect money for collabo
@brianjulius87487 жыл бұрын
njoo ukalieee njoo kaliaaaaa. ebanaeeeeeee davidoo you kill chorus men. kichupa sina haja ya kukizungumzia...
@eipro_7 жыл бұрын
Jaman gongeni like hapa! Ngoma kali
@alexlucas19647 жыл бұрын
Woooooyaeeeee woooyaeeee Kata kata letaaaaa
@ilutashabani36727 жыл бұрын
Davido ametetea huu wimbo
@kennymmari7 жыл бұрын
Davido kapiga kazi, Nahreel kapika kazi nzuri, Mwenye nyimbo kazingua. Part ya Joh Makini ni mdosho, siku hizi sijui anaimba nini yani.