Tubarkiwe Kwa nyimbo Hii wale wote watakao sikiliza ; natuseme Amina
@VicentMunishi-j6r11 ай бұрын
Huu unanikumbusha mbali sana,nikiwa nasoma mafundisho ya komunyo ya kwanza mwaka 1986
@JohnMaja11 ай бұрын
Hongera sana Kwa kumbukumbu
@heliethwampembe22664 жыл бұрын
Mungu akubariki sana unanifanya nikumbuke enzi za uhai wa babu Yangu alipenda sana hiyo kazi
@VicentMunishi-j6r7 ай бұрын
Mimi mwenyewe unanikumbusha mwaka 1986 nikisoma mafundisho ya komunio ya kwanza
@JohnMaja7 ай бұрын
Hongera Kwa kumbukumbu nzuri
@doriskimaro97094 жыл бұрын
siku zote za maisha yangu, wewe nami tuungane ,rafiki yangu Bwana Yesu
@johnmella7623 жыл бұрын
Katika ujana wangu kiongozi wangu niwe
@JohnMaja3 жыл бұрын
amina
@severineerasmi34425 жыл бұрын
nyimbo nzuri sana na ni yasiku nyingi tokea nikiwa mdogo bado inaonekana kama imetoka jikoni leo kumbe ya Miaka mingi mungu abariki mtuzi kwa kutuinjilisha na hiyo njimbo nzuri
@JohnMaja5 жыл бұрын
Amina sifa zirudi kwake yeye aliyejalia yote na yakatendeka
@JohnMaja5 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu
@daudimanyangu48122 жыл бұрын
Wewe nami tuungane..🙏
@rukizaseba57415 жыл бұрын
umenikumbusha enzi tunasoma kipaimara tukitoka shule tunapitia kanisan kuabudu alhamis kuu... hapana sahau kbs
@JohnMaja5 жыл бұрын
Asante Mungu akubariki
@VicentMunishi-j6r11 ай бұрын
Nakupenda sana huu wimbo
@desderipatrick8392 Жыл бұрын
Bwana Yesu katika ujana wangu kiongozi wangu ni wewe siku zote za maisha yangu.
@francismkilema8504 жыл бұрын
A God and a friend- Jesus Christ!
@Eva-f4nАй бұрын
Amin saana
@GoodluckKimario-sw7de7 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana
@johnmathai86745 жыл бұрын
Tulizo kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu. Hongera !
@JohnMaja5 жыл бұрын
Sifa kwa Mungu
@JohnMaja5 жыл бұрын
Ufalme wako ufike
@afrodisiusvitus91572 жыл бұрын
Kweri mungu yupo 2022 hadi milele
@sethmartin65555 жыл бұрын
Hallow John Maja, thank you very much for this touching song. I feel so close to God when I listen to this song, and brought to submit to his tender love through His son Jesus. Oh Jesus my Lord and God I worship thee. Asante sana kwa wimbo huu na nyingine ulizoziweka mtandaoni. Nakupata vema mpaka hapa London. Asante sana, na Mungu akubariki.
@JohnMaja5 жыл бұрын
Amina ndugu yangu nakushukuru pia kwa utayari wa kuiangakia chanel hii Tumshukuru Mungu pamoja amiee
@felisterkokuberwa57835 жыл бұрын
Rafiki yangu Bwana Yesu nakupenda sana
@JohnMaja5 жыл бұрын
Asante Mungu Akubariki
@annadua9083 Жыл бұрын
Rafiki yangu bwana yesu❤❤❤
@restitutamaashao31585 жыл бұрын
Asante bwana Maja Mungu akubariki.
@JohnMaja5 жыл бұрын
Amina sifa na heshima kwa Mungu wetu anayetuwezesha haya yote
@gervasshepi63515 жыл бұрын
Asante sana kutuinjilisha kwa nyimbo bora za kale
@JohnMaja5 жыл бұрын
Amina asante sofa zirudi kwake Yeye alituumba
@JohnMaja5 жыл бұрын
Sifa zirudi kwake yeye aliyetuumba
@adelamisanya41805 жыл бұрын
Wimbo umenikumbusha mbali sana
@JohnMaja5 жыл бұрын
Hongera sana karibu tuendelee kukumbushana vya kale kupitia Chanel hii
@adelamisanya41805 жыл бұрын
Asante na sichoki kuusikiliza
@JohnMaja5 жыл бұрын
Asante kunanyingine nyingi ziangalie
@melaniekamugisha44685 жыл бұрын
Perfect really nice keep it up
@JohnMaja5 жыл бұрын
Thank you
@margrethmichael10234 жыл бұрын
Siku zote za maisha yangu wewe nami tuungane.
@frevastram255 ай бұрын
AMINA❤❤
@upendowolfgang955222 күн бұрын
samahani kwenye Audiomack unapatikana kwa jina gani
@JohnMaja22 күн бұрын
@@upendowolfgang9552 sijasijaingoa huko bado
@tilitokisoka19445 жыл бұрын
Nyimbo nzr kabisa zina burudisha moyo
@JohnMaja5 жыл бұрын
Amina
@mzalendo92tv925 жыл бұрын
Barikiwa Sana nikisikiliza had machoz yanitokaa
@annunciatafrancis97484 жыл бұрын
Nice song! Well done Mr. John Maja!
@mariamfaicalhassan28904 жыл бұрын
Wewe nami tuungune
@leahhosea77194 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@JohnMaja4 жыл бұрын
Amina
@VicentMunishi-j6r11 ай бұрын
Huu unanikumbusha mbali sana,nikiwa nasoma mafundisho ya komunyo ya kwanza mwaka 1986
@VicentMunishi-j6r11 ай бұрын
Huu unanikumbusha mbali sana,nikiwa nasoma mafundisho ya komunyo ya kwanza mwaka 1986