No video

Joka la ajabu linalovalia kipuli huko Kwale

  Рет қаралды 2,243,516

KTN News Kenya

KTN News Kenya

Күн бұрын

Je umewahi kusikia kuhusu nyoka mkubwa anayetoshana na ndovu? Ambaye pia huvalia kipuli? Nyoka anayeishi majini na hutoka nje tu kuanzia saa kumi na moja alfajiri hadi jua changa linapochomoza? Ni nyoka ambaye huwameza fahali, au wanyama wengine wakubwa mzimamzima! Sasa hayo ni madai ambayo yameenea sana eneo la Kinango kaunti ya Kwale.
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on www.ktnkenya.tv
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya

Пікірлер: 185
@badboy2577
@badboy2577 5 жыл бұрын
Ni ukweli na mengine ni mizimu na huonekana na watu kadhaa tu.Na kwa sababu mizimu iko na nguvu Ktn walipoenda na cameras ili ku shoot mizimu ikatuma siafu.Sio kila kitu kinaweza kuonekana kwa Tv mengine ni siri za dunia
@simonisimoniperwa5857
@simonisimoniperwa5857 5 жыл бұрын
RAJUM PICTURES kama
@signtheblackrussian
@signtheblackrussian 2 жыл бұрын
Wachawiiii..... Mtakufa sana waabudu shetani ..Yesu tu ndiye njia, ufalme na uzima🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️
@smadon5638
@smadon5638 9 күн бұрын
Tatizo Yesu siyo Mungu,mbona wamkataa aliyemuumba Yesu?😂
@timotyhkitirwa5464
@timotyhkitirwa5464 2 жыл бұрын
Entawuo ai eji nyoo!! " najaribu kuulisa mutu nasema hayaoni, asijaona, asioni.....sijaoni....asioni....sihaonani...😂😂😂😂😂 entawuo you made it
@puregold6379
@puregold6379 4 жыл бұрын
Njoka alipandilika na kuwa siafu😅😅
@saadakiyungi6437
@saadakiyungi6437 4 жыл бұрын
Duuh! Hatareee
@jamaldinmohamed9124
@jamaldinmohamed9124 4 жыл бұрын
Duh noma
@nancymwikali7290
@nancymwikali7290 2 жыл бұрын
Majini kijijini
@michaelopondo2014
@michaelopondo2014 2 жыл бұрын
Masaibu
@forgivepraisebetogod8196
@forgivepraisebetogod8196 4 жыл бұрын
Mwanaisha Chidzunga l love that name
@PeekintosuperChannel
@PeekintosuperChannel 4 жыл бұрын
Wow
@allyshabani4388
@allyshabani4388 4 жыл бұрын
Daaaaaah!!!! God bless
@mapenzikatana9990
@mapenzikatana9990 4 жыл бұрын
Mazingaumbwe hayo sio nyoka
@yuskahassan8800
@yuskahassan8800 4 жыл бұрын
Fatuma Ali gedii
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 3 жыл бұрын
hapo kwenye siafu nimecheka kweli daaah poleni lakini
@sharonchelimo8942
@sharonchelimo8942 4 жыл бұрын
Auuwii jesu
@iankiti7248
@iankiti7248 4 жыл бұрын
dunia jamani....imeisha
@talamulao3750
@talamulao3750 5 жыл бұрын
hatari jamani
@khadijaali4989
@khadijaali4989 5 жыл бұрын
Mnapenda ushubwada 😏😏😏Asante siafu
@saidrama4435
@saidrama4435 4 жыл бұрын
Eeeh
@khadijaali4989
@khadijaali4989 4 жыл бұрын
@@saidrama4435 😀😀😀
@talmerkardashian592
@talmerkardashian592 5 жыл бұрын
Those guys ain't serious
@prisikaseko9971
@prisikaseko9971 4 жыл бұрын
tanasha
@michaelclement3438
@michaelclement3438 4 жыл бұрын
Huyo nyoka ni hatari sana
@tonnymboku3519
@tonnymboku3519 2 жыл бұрын
🙄
@manfredgungah594
@manfredgungah594 4 жыл бұрын
Ghai
@salemedi5258
@salemedi5258 4 жыл бұрын
Waongo
@rosemunyali8728
@rosemunyali8728 4 жыл бұрын
Hiyo niya mtu
@itsmeagain6
@itsmeagain6 4 жыл бұрын
Uyo amefugwA ana Mwenyewe
@jeanyvesdododagra8902
@jeanyvesdododagra8902 3 жыл бұрын
7 SASA ! UJUMBE HUU YA MWANA KONDOO UNASEMA NINI ? Ujumbe huu unasema ya kwamba hatuko tena wakati wa jioni bali usiku wa manane. Hata hivyo, ni wakati moja tu na ile ile Roho ya Eliya, lakini ni Ujumbe « Mpya » ambao ni Ujumbe ya wakati wa jioni kwa kiwango cha juu. Basi Zakaria 14 : 7 ni tofauti na Matayo 25: 6. 8 Ujumbe huu unasema ya kwamba shauri la makanisa ulimwenguni, shauri la kiekumenika ya makanisa, vyama, miungano, shirikisho za makanisa… makanisa katolika, makanisa za kiortodoxi, makanisa za kimetodisti, Ekankar, dhehebu Horus, makanisa za kiluteri, makanisa za kianglikani, mahikari, makanisa Baptisti, rosikrusia, makanisa Nazareti, scientology, esoteric, makanisa anabaptisti, vodoo, makanisa ya wasabato, marafiki wa Yesu, misioni Emaus, maisha kilindi, mashahidi wa Yehova, mashahidi wa Yesu, makanisa foursquare. 9 Umasoni, makanisa pentekoste, ibada la miungu ya wainka, makanisa protestanti, Krishna, Kanisa la Kristo, méditation transcendantale, Graili, wachawi, makanisa za kiinjili, wamormoni, guru maharadji na makanisa zote za uamsho na zile za urudisho,… makambi za maombi, monasteri, makao ya watawa, mishoni na huduma hata wabranhamisti, yaani wale wangali na fwata Ujumbe ya William Branham, hata katika usafi wake woteni toharani, na nyavu za shetani kwa kuwapeleka watu jehanamu na maroho zinazo tenda katika makanisa haya siyo Roho Mtakatifu bali mapepo za udanganyifu. Ni yale yale mapepo yaliyokuwa mitoni, mitaro, vinyago, vodoo, msitu takatifu, desturi na mapokeo, ambayo yalikuwa yakitokeza wachawi wa kiasili. [Kc.10v1] 10 Ujumbe huu unasema ya kwamba ni yale yale mapepo ambayo yalitokeza Elvis Presley, Bob Marley, James Brown, Madonna, papa Wemba ndiyo yanayo tokeza leo haya makundi na wanamziki wa kikristo kama vile Tabitha Lemaire, Don Moen, Exo Eclats, Yolanda Adams na Céline Dion. [Kc.59v33] [Kc.113v10] [Kc.118v11] [Kc.131v4]
@MusaDays808
@MusaDays808 5 жыл бұрын
Ushirikina Huo, Mana Umejaa Sana Uchawi Sehemu Hizo 🤷‍♂️
@victoriamartin6911
@victoriamartin6911 4 жыл бұрын
Jaman hatari sana
@wemaaloyce3324
@wemaaloyce3324 4 жыл бұрын
Yesu
@wemaaloyce3324
@wemaaloyce3324 4 жыл бұрын
Yesu
@rahmashee9567
@rahmashee9567 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/paesmaGXrJmXgck
@jacksonmgema5463
@jacksonmgema5463 4 жыл бұрын
@@victoriamartin6911 knkkkkmjkkkml lol ll
@shaggaboyclassic3341
@shaggaboyclassic3341 4 жыл бұрын
Dunia inamambo mengi sana
@Barzini548
@Barzini548 2 жыл бұрын
I have just watched nothing
@samuelmaloba4939
@samuelmaloba4939 4 жыл бұрын
Imaginations nkt
@ponciankalikawe8642
@ponciankalikawe8642 4 жыл бұрын
Lakini
@sheikhibrahimabdullahikeny1509
@sheikhibrahimabdullahikeny1509 4 жыл бұрын
Hear say, mambo ya uwongo tu
@qacmsaedy1276
@qacmsaedy1276 3 жыл бұрын
G
@qacmsaedy1276
@qacmsaedy1276 3 жыл бұрын
Vv
@qacmsaedy1276
@qacmsaedy1276 3 жыл бұрын
G
@arrdabrew2591
@arrdabrew2591 8 жыл бұрын
ama nikutukalisha rada manze
@erickbor9372
@erickbor9372 4 жыл бұрын
Huyo Ero amenimaliza
@zulfapumuna929
@zulfapumuna929 5 жыл бұрын
Duui
@allyhassan4813
@allyhassan4813 4 жыл бұрын
Wozu
@mwanahawamushi1400
@mwanahawamushi1400 5 жыл бұрын
mambo ya pwani hayo
@kennedyochieng8929
@kennedyochieng8929 4 жыл бұрын
Woooi waaa
@devothaemmanuel8808
@devothaemmanuel8808 4 жыл бұрын
Fake love
@eliasfestorchagualisuuyatu6816
@eliasfestorchagualisuuyatu6816 3 жыл бұрын
Msisaau kua babuzetu mizimu bado wapo msisaau kutambika atawamaliza jamani tambikeni
@aboubakarchikolo7529
@aboubakarchikolo7529 4 жыл бұрын
Momma Mann's
@erickbor9372
@erickbor9372 4 жыл бұрын
Huyo Ero! 😂 😂 😂 😂
@selphaokello1206
@selphaokello1206 3 жыл бұрын
Aty watu waliumwa na siafu adi wakavua suruali🤣🤣🤣🤣🤣🤣please spare ma ribs
@FatmaMohamed-pl4hf
@FatmaMohamed-pl4hf 3 жыл бұрын
sungura
@filomenabarongo693
@filomenabarongo693 3 жыл бұрын
Wa kitemi huyo na ni mzimu
@saidmbut5547
@saidmbut5547 5 жыл бұрын
Kaswida
@georgeodhiambo6532
@georgeodhiambo6532 4 жыл бұрын
George
@jahaselengu604
@jahaselengu604 4 жыл бұрын
Dawa
@badboy2577
@badboy2577 3 жыл бұрын
Hamtaliona hilo Joka hata mara moja kwa sababu majina yenu ni kina John. Mizimu ya kwale haijui hayo majina.
@patrickhart4856
@patrickhart4856 5 жыл бұрын
Akiuliza haoni
@marynjeri1857
@marynjeri1857 5 жыл бұрын
Lack of knowledge is dangerous accept Jesus Christ in ur lives an stop assisting satan on his wicked deeds to us human beings
@mjsteven3297
@mjsteven3297 6 ай бұрын
Huyo ni fatuma 😜😜
@josephmukhwana3791
@josephmukhwana3791 5 жыл бұрын
afro movies
@mussahsalihd9602
@mussahsalihd9602 6 жыл бұрын
Akona ushanga 😀😀😃😃😭😂😂
@kemetmoses8030
@kemetmoses8030 3 ай бұрын
reticulated python, probably harmless to humans
@tomaaslkinyaaasitajwekwnin348
@tomaaslkinyaaasitajwekwnin348 5 жыл бұрын
Mimi nataka kuolewa uko sasa mwanitishia
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 4 жыл бұрын
😅😊😅
@roselusenaka7548
@roselusenaka7548 2 жыл бұрын
Mizimwi ya wa pwani.
@manenomaige2745
@manenomaige2745 4 жыл бұрын
marehemu,kanumba
@aminatabakari2741
@aminatabakari2741 4 жыл бұрын
😀😀😀
@peterngetich3065
@peterngetich3065 5 жыл бұрын
Hahahaaa
@flowermathew5133
@flowermathew5133 4 жыл бұрын
Mambo hayo yapo lakini siyo ya kuona haraka. Huonekana bila kutegemea.
@felistabasilidi4725
@felistabasilidi4725 4 жыл бұрын
Matatizo haya ishi duniani jamaniii!
@deqinmaqh6349
@deqinmaqh6349 4 жыл бұрын
Its all fyn
@jamesmangosu7377
@jamesmangosu7377 4 жыл бұрын
Hahaaa
@ahmedalminshad1211
@ahmedalminshad1211 8 жыл бұрын
hahaha, waliwezwa waaah
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 4 жыл бұрын
bwawa kama hilo hakikosi ma chatu humo ila kaona pirika za watu kaamuwa kuzama.kwenye tope.
@somaliskysports1673
@somaliskysports1673 4 жыл бұрын
Haaah
@abelaernest9905
@abelaernest9905 3 жыл бұрын
Duuu
@yvonnemusimbi2014
@yvonnemusimbi2014 8 жыл бұрын
Ha haa...sasa hakukuwa na joka?
@edithonguti6060
@edithonguti6060 4 жыл бұрын
or
@athumanbambe9589
@athumanbambe9589 9 жыл бұрын
Hamna KITU
@rashidaramadhani6002
@rashidaramadhani6002 4 жыл бұрын
Njoka LA kijiji
@Vel42
@Vel42 4 жыл бұрын
Huyo ni shetani😂😂
@gabrielmsakii8671
@gabrielmsakii8671 5 жыл бұрын
Mmepatikana na siafu
@magrethmsigwa4318
@magrethmsigwa4318 4 жыл бұрын
Haaaahaa
@sadindunde494
@sadindunde494 5 жыл бұрын
Duuuuuuuh
@arrdabrew2591
@arrdabrew2591 8 жыл бұрын
KTN haki mna maneno, mpaka uongo mwatuletea tuone????
@josephinesafari7491
@josephinesafari7491 5 жыл бұрын
mtajua hamjui
@johnmasunga.nsolezi9826
@johnmasunga.nsolezi9826 8 жыл бұрын
it must be a relative of mike sonko, wote wanavaa vipuri
@shakimadeniz9524
@shakimadeniz9524 5 жыл бұрын
John, Masunga. Nsolezi aaaaaah
@isabudamustapha2277
@isabudamustapha2277 4 жыл бұрын
Hahahahahaha
@lydianangaki5420
@lydianangaki5420 4 жыл бұрын
Waaa,,,,,🙊🙊🙊🙊
@evakanyeka8137
@evakanyeka8137 4 жыл бұрын
.. .
@nurulufunga2483
@nurulufunga2483 3 жыл бұрын
0
@lilianloishie6197
@lilianloishie6197 5 жыл бұрын
Apo kwenye siafu sasa mimi hoi😃😃😃😃
@patrioticpeoplespartyofrev4675
@patrioticpeoplespartyofrev4675 2 жыл бұрын
(anatoshana na ndovu🤪🥴🤔🤔)
@barakajorum1924
@barakajorum1924 4 жыл бұрын
Simba
@abdullabdull6849
@abdullabdull6849 4 жыл бұрын
vt
@josephinekarisa5432
@josephinekarisa5432 9 жыл бұрын
Education is very important such people don't have education so do not blame them!!
@latifanyembo7455
@latifanyembo7455 8 жыл бұрын
Poa
@jothammbwile9492
@jothammbwile9492 5 жыл бұрын
Mr.p
@mohrb8502
@mohrb8502 5 жыл бұрын
Ni tela hiyo ngojeni sinema,mtajua wadigo ni akina nani!
@Pakdecoration
@Pakdecoration 5 жыл бұрын
Uzuxhi
@renatuskanunu8305
@renatuskanunu8305 4 жыл бұрын
Kipuli ndo nn
@safiamunir2137
@safiamunir2137 3 жыл бұрын
Earring
@emilianamabuku2330
@emilianamabuku2330 6 жыл бұрын
HI P.duty
@faithdama9907
@faithdama9907 4 жыл бұрын
😂
@estheronyoro1452
@estheronyoro1452 7 жыл бұрын
Hahaha
@hancemwakatimbo5393
@hancemwakatimbo5393 5 жыл бұрын
Esther onyoro .mamb
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 19 күн бұрын
😂😂😂😂
@sharifamohamed4547
@sharifamohamed4547 4 жыл бұрын
Stahili kuumwa na siafu😁😁😁😁sorry guys
@mm-fp7yd
@mm-fp7yd 4 жыл бұрын
Haiwezi tokea kukiwa na watu.pengine Wana Corona wamuambukize. Amejipanga Tu. Duniya ngumu.
@musilivisabala9259
@musilivisabala9259 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@khamismussa8292
@khamismussa8292 5 жыл бұрын
mnazinguwa nyie tafuteni vitu vya maana
@sammysammy2001
@sammysammy2001 7 жыл бұрын
mungu ana maajabu megi duniani sio kila MTU ako nakipaji chakuona Huyo nyoka
@andrewmengich2056
@andrewmengich2056 4 жыл бұрын
Sammy Sammy
@goodhealthafyanjema4290
@goodhealthafyanjema4290 4 жыл бұрын
Kiswahili cha watangazaji wa Kenya kinanifurahishaaa san kzbin.info/www/bejne/sKvOdKNoiaiLi8k
@dennismwendah6411
@dennismwendah6411 4 жыл бұрын
Porojo
@mildredjepkemboi625
@mildredjepkemboi625 6 жыл бұрын
Siafu nayo
@centlaz1678
@centlaz1678 5 жыл бұрын
Hahahaha ronja izo
@jeremygathuru819
@jeremygathuru819 4 жыл бұрын
Liking ferry tragedayy
@deqinmaqh6349
@deqinmaqh6349 4 жыл бұрын
Ghaaaiiiiii
@dantewasia6191
@dantewasia6191 4 жыл бұрын
Kila mtu ana ushetani wake😂😂
@suzanmushi6652
@suzanmushi6652 4 жыл бұрын
R
@hamzaabdallah3474
@hamzaabdallah3474 5 жыл бұрын
Joka hill linaitwaje
@mohamedswalehk6207
@mohamedswalehk6207 8 жыл бұрын
kweli wapwani Kwa kuzua jambo mashaallah
Kifo cha nyuki kinaacha maswali mengi Mombasa
5:15
KTN News Kenya
Рет қаралды 1,2 МЛН
SNAKE BOY  | SEASON TWO | ep 1-6
1:20:36
CLAM VEVO
Рет қаралды 752 М.
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 33 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 39 МЛН
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 39 МЛН
Vioja Mahakamani - Fake Dollars/Money laundering
9:22
KBC Classics Channel
Рет қаралды 5 МЛН
IMPOSSIBLE! Giant SNAKE Lay Eggs Hunters Saving Girl | MIKE FISHING
11:32
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 72 МЛН
tiger attack man in the forest | tiger attack in jungle, royal bengal tiger attack
15:10
Crazy Life Entertainment
Рет қаралды 86 МЛН
When Animals Go On A Rampage And Got Caught On Camera !
16:28
WOW TV
Рет қаралды 25 МЛН
When Animals Go On A Rampage And Got Caught On Camera!
10:45
Vlambose
Рет қаралды 1 МЛН
How to Kill Viruses
10:42
Dr. Eric Berg DC
Рет қаралды 588 М.
Maiti kufufuka machokos
8:13
Alpha king Martin TV show
Рет қаралды 9 МЛН
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 33 МЛН