JOSEPH MARKO BUKURU -NITUME (official video)

  Рет қаралды 46,341

Marco joseph family

Marco joseph family

Күн бұрын

Пікірлер: 349
@BusyBeeOnyiego
@BusyBeeOnyiego 6 күн бұрын
WAKENYA ❤❤❤❤❤ mpooo wapi likes za WAKENYA .........
@judiemwaliko3475
@judiemwaliko3475 6 күн бұрын
Hakuna mahali tunakosekana hadi China😂😂😂
@LydiaAkinyi-vu6yl
@LydiaAkinyi-vu6yl 6 күн бұрын
Niko hapa
@CarolMutua-i3k
@CarolMutua-i3k 6 күн бұрын
Tupo❤❤
@امك-س2م
@امك-س2م 4 күн бұрын
Tupo
@pascalinamwangi6036
@pascalinamwangi6036 4 сағат бұрын
Tupooo
@vivianayona-zc7wo
@vivianayona-zc7wo 5 күн бұрын
Napenda venye wakenya Wako huku hats kushinda watanzania wenyewe.congrations Kenyan
@WITINESSALUPHONCE-fz4ux
@WITINESSALUPHONCE-fz4ux 6 күн бұрын
Binafsi nafurahiii nikionaa mnafata nyayo za baba yenu wadogo Zang,, hakika YESU ahimidiwee mfikee mbalii nawapenda nawaombea piaaaaa 🙏💕🙏
@STEVENANGWENYIMOGAKAE
@STEVENANGWENYIMOGAKAE 6 күн бұрын
Wakenya🇰🇪🎶 wote wote wanao support mziki wa Joseph Marco🎉🎉❤ like hapa tunapoelekea kuufungua mwaka mpya wa 2025 🎉🎉
@evansgriffithskemboi4666
@evansgriffithskemboi4666 2 күн бұрын
Niko site
@motvonlinetz
@motvonlinetz 6 күн бұрын
Tuweke misingi mizuri kwa watoto jamani, tukitoka sisi wafuate msingi bora, ❤❤❤❤
@fedrickmiyallaofficial8785
@fedrickmiyallaofficial8785 5 күн бұрын
MUNGU mbariki anaye simamia kipaji Cha mtoto huyu ❤❤ upendo ni kitu Bora zabur 133:1-3 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@eunitahobegi9089
@eunitahobegi9089 7 күн бұрын
Wimbo mzuri 🥰🥰tunawapenda kutoka Kenya 🇰🇪
@RaheemaMosa
@RaheemaMosa 6 күн бұрын
Mtoto ana sauti nzur huyu MUNGU akubarki mtotomzur❤❤❤❤
@godwellmudaki6429
@godwellmudaki6429 Сағат бұрын
Hata baba ameweka tik kule mbinguni😢
@dripqueen3399
@dripqueen3399 6 күн бұрын
Much love from kenya 🇰🇪 wakenya mliopenda Marco pitieni hapa na like s❤❤
@BénédicteBaeni
@BénédicteBaeni Күн бұрын
Amina
@Roseline-ld8ed
@Roseline-ld8ed 5 күн бұрын
Wimbo mzuri sana Mungu azidi kuzidi kuwainua juu na juu sana ♥️
@sirsimutv7674
@sirsimutv7674 6 күн бұрын
Like father like son, GOD Lift you up! #Sir.Simu
@MayMueni
@MayMueni 6 күн бұрын
Like father like son 👌pure talent🙏🙏🙏
@alphamasinjisa8140
@alphamasinjisa8140 Сағат бұрын
Daaah naupenda San huu wimbo
@shukuruwilson3274
@shukuruwilson3274 5 күн бұрын
Napenda wimbohuu mungu Awa pe mibaraka tuna wafwata kutoka Congo Kinshasa 🇨🇩 Bukavu
@Callenkwamboka1204
@Callenkwamboka1204 4 күн бұрын
Nice song am watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JennyPallangyo
@JennyPallangyo 6 күн бұрын
Jaman hakika mungu ahimidiwe milele....tujapokufa lakini nafsi zetu zitadumu na walio hai.... mungu wainue hawa watoto ktk utukufu...ni maombi yangu kwenu wadogo zangu.. nawapenda sanaaa
@WaziriR
@WaziriR Күн бұрын
All the support from Kenya🇰🇪🇰🇪,
@NewVip-v2o
@NewVip-v2o 2 күн бұрын
Wooow❤❤ i love the song and sound,son like father, Marco amerudi tna,mungu amepee ekima na amlinde🙏🙏
@maninzai1277
@maninzai1277 6 күн бұрын
Waooo Joseph God bless U Nd take U fa.. tutakusupport siku zote babaa much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤
@NaftariMapunda
@NaftariMapunda 6 күн бұрын
Duuuuuuh Mungu awalinde mno nakuwatunza hakika kaka Japheth shikana nao hao watoto mana kumbuka hakuna mwingine anaeweza kuwakuza kipaji Chao na wewe ndo mwalim ko fanya wafike mbali na Mungu aibariki sana familia ya Zabron Singers
@SalomeMisana
@SalomeMisana 7 күн бұрын
Hongera Joseph na wenzako. Mungu azidi kuwabariki na kuinua vipaji vyenu. Hakika mtafika mbali kwa uwezo wake❤❤❤
@Mutio-Joanne
@Mutio-Joanne 6 күн бұрын
May God continue Blessing the Family even as they purpose to serve Him ...KENYA❤🇰🇪
@elizabethmabula9495
@elizabethmabula9495 3 күн бұрын
Hongera mwanangu kwa wimbo mzuri mungu akutangulie ufike mbali ❤❤❤❤❤❤
@NeemaChriford
@NeemaChriford 46 минут бұрын
Jaman nafulai sana mungu awape nguvu
@Migapogospel678
@Migapogospel678 7 күн бұрын
Mungu awaongoze katika huduma hiii mzidi kumtukia yeyee na kumwamini katika shida na matatizo Yeye ndioo muweze wa mambo yote
@ElizabethMathiassalu
@ElizabethMathiassalu 7 күн бұрын
Mungu awabaliki sna mkazidi kuifanya kazi yake wimbo mzr sna Amina ❤❤❤❤❤
@ernestmwakalambo3938
@ernestmwakalambo3938 3 сағат бұрын
MUNGU wa MBINGUNI awabariki sana.
@Mary-p2t4c
@Mary-p2t4c 6 күн бұрын
Mungu azidi kukupigania mdogo wangu. Nimefurahi sana ni wimbo mzuri mno, hakika namuona Marco anaishi kwako Joseph. May almighty God bless you and keep you for serving him. Bravo 👏 👏 👏 🎉
@joycebenjamin6017
@joycebenjamin6017 5 күн бұрын
Mungu ni mwema sana wewe dogo una kitu❤
@Lilian_tz
@Lilian_tz 6 күн бұрын
MUNGU akutunze mtumishi ,, Kazi Yako ni mzuri sana mtumish wa Mungu HEKIMA na busara ziwe juu yakoo
@edynameki6592
@edynameki6592 Күн бұрын
Kwa niaba ya wakenya twakupenda❤
@Charles-s6r3v
@Charles-s6r3v 6 күн бұрын
Woow marco mwenye tulibakiziwa mungu awatie nguvu wadogo zangu😊
@LuckyFrancis-y6k
@LuckyFrancis-y6k 6 күн бұрын
Mungu bariki kizaz cha Marco uwainue viwango vya juu🎉 nawependa 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@lutumbinduta1702
@lutumbinduta1702 2 күн бұрын
Nimebarikiwa sana. Amen 🙏
@Roseokongo355
@Roseokongo355 3 күн бұрын
Amen, glory be to God,bwana nitume nitaenda thanks for the nice song,God bless you 🙏🙏🙏
@DinaChristina-r4p
@DinaChristina-r4p 6 күн бұрын
jmn mtoto ana sauti nzuri mungu akubaliki sana na akaimarishe kipaji chako❤❤❤❤❤ tunakupenda sana❤❤
@willyke2251
@willyke2251 6 күн бұрын
Kazi njuri 🎉🎉🎉 much love love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@YunisJerald
@YunisJerald 6 күн бұрын
Jafeth hongera najua ni wewe unasimamia mtoto wako.Ana sauti nzuri jamani good boy
@sophiakipili
@sophiakipili 6 күн бұрын
Woow wimbo mzuri mnoo .Mungu azidi kukubariki❤❤
@user-xk5we1iz6c
@user-xk5we1iz6c 6 күн бұрын
❤❤baraka tele mungu awainue zaidii penda nyinyi sanaa
@EstherNjeri-gc2iq
@EstherNjeri-gc2iq 6 күн бұрын
Waoh beautiful song,tunawapenda sana from kenya🇦🇪🇦🇪🇦🇪
@AnnMutua-e9b
@AnnMutua-e9b 7 күн бұрын
Lots of love from 🇰🇪 ❤❤❤
@RachelThomas-ox3jr
@RachelThomas-ox3jr 6 күн бұрын
Wimbo mzuri sana mbarikiwe watoto wazuri Mungu awe nanyi❤❤
@EvelyneShadrack
@EvelyneShadrack 21 сағат бұрын
Amen Amen from kenya 🇰🇪
@janethfausitini3702
@janethfausitini3702 5 күн бұрын
From Tanzania nipo pamoja sana.
@moreenbless-vr7oy
@moreenbless-vr7oy 5 күн бұрын
Pongezi kwa mama mzazi wa Hawa watoto endelea kuwakuza watoto katika maadili ii ndo maana ya samaki mkunje angali mbichi 🎉🎉🎉
@JulianaYusto
@JulianaYusto 7 күн бұрын
Mungu awabariki San kazi nzur akawetaa yamiguu yako akuangazie ple unapotamn kufika mkafike❤❤🎉
@MusukwaAmos
@MusukwaAmos 7 сағат бұрын
Mungu akubaliki Sana
@AnwariteTolinga
@AnwariteTolinga Күн бұрын
congratulations sana young brother
@Hyline-g6u
@Hyline-g6u Күн бұрын
Mungu awepe nguvu na mamlaka ya kuhubiri injili yake my lovely kids,,penda nyinyi sana happy for toto's ,,you got my subscriber already. From Kenya 🇰🇪 we love you and be strongs my children.
@SaidiDaud-v7j
@SaidiDaud-v7j 6 күн бұрын
Hongera sana mdogo wang allah azidi kukubariki
@neemamahongo1184
@neemamahongo1184 6 күн бұрын
Mungu akubariki usonge mbele nimebarikiwa saana
@PaulManjale-zt5jy
@PaulManjale-zt5jy 2 күн бұрын
Pure talent like hisfather God stand for you
@JudithChebet-h3p
@JudithChebet-h3p Күн бұрын
Even the voice resemble that of his Father....Keep it up son,barikiwa.
@ElizabethMeden
@ElizabethMeden 6 күн бұрын
Wimbo mzuri; Mungu awabariki the Marco's. From Kenya 🇰🇪 .
@barackwakhungu1281
@barackwakhungu1281 6 күн бұрын
Joseph Marcos is still alive😭Glory to God through his kids. We love you young ministers. Thanks to zabron singers for the support to them. You will go far
@HelenaEmamuel
@HelenaEmamuel 4 күн бұрын
Wimbo mzur sana,mungu aendelee kuwatunza nawapenda sana
@TeklaNdekeja
@TeklaNdekeja 6 күн бұрын
Amen Mungu awapandishe kwenye viwango vyajuu zaid🙏🙏
@rogerscylidion-oo3mw
@rogerscylidion-oo3mw Күн бұрын
Barikiwa sana mtoto
@CarolMutua-i3k
@CarolMutua-i3k 6 күн бұрын
Wimbo mzuri joseph jnr... 🥰
@ElsiyCheptarus
@ElsiyCheptarus 6 күн бұрын
Amen,more grace More anointing Joseph son,,,we love you from kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@grezeldamwanyika2106
@grezeldamwanyika2106 6 күн бұрын
Amazing grace❤.....blessings upon blessings ...beautiful souls❤
@rehemamwakyulu4658
@rehemamwakyulu4658 6 күн бұрын
Very nice song, keep shinning Marco Jr.!
@joycenyamwaka1884
@joycenyamwaka1884 6 күн бұрын
We love you follow your Father's foot steps God from Kenya ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Slovianaletusmkini
@Slovianaletusmkini 5 күн бұрын
Najisikia amni sana mungu aendelee kuwasogenzea huduma zenu mpitieni nyayo alizopitia baba enu mungu awabariki sana.
@LovenessMassawe-xr8dr
@LovenessMassawe-xr8dr 6 күн бұрын
Mungu azid kuwabariki hawa watoto kipaji chao kiweze kuendelea bila ya kukata tamaa
@HappyShirima-k9t
@HappyShirima-k9t 3 күн бұрын
Nitume mim nitaenda bwana nitume nakungoja ❤❤
@LetcialAlphonce
@LetcialAlphonce Күн бұрын
Mungu akubariki sana akutunze uzd kuwa hodar
@StephenKioko-c4i
@StephenKioko-c4i 20 сағат бұрын
Nice one minister ❤
@abdulingando5717
@abdulingando5717 3 күн бұрын
Safi sana Mungu ammbariki sana huyu anaye kuza nakuwasaidia hawa watoto vipawa vyao hakika kuna kitu ndani ya hawa watoto
@BellamiNiyukuri
@BellamiNiyukuri 4 күн бұрын
Ubarikiwe mtoto mzuli keep going
@HidayaNiyonkuru-f7g
@HidayaNiyonkuru-f7g 6 күн бұрын
Mungu akukuze mtoto uko na kipaji ❤❤❤❤
@CarolyneMunyokhom
@CarolyneMunyokhom 5 күн бұрын
Nice song toto tuwapende wengine
@isacknyaga104
@isacknyaga104 3 күн бұрын
Woooh aminaaaa be blessed
@RizikiRiziki-bp6dx
@RizikiRiziki-bp6dx 2 күн бұрын
NITUME NIPO NITAENDA BWANA NITUME NAKUNGOJA
@matiangitoto
@matiangitoto Күн бұрын
Amen 🙏 keep shinning Young soul🙏may God shelter you 🙏
@esthernduta9649
@esthernduta9649 6 күн бұрын
Can't get enough of this song,, much love from Kenya!!
@sylviahmwikali-p1c
@sylviahmwikali-p1c 7 күн бұрын
Nakuombea maisha marefu mbegu ya mteule WA bwana,,,,congratulations you are going far
@joanwanjiru-pb8lc
@joanwanjiru-pb8lc 6 күн бұрын
So blessed,may you grow mkipedwa Na Mungu Na binadamu
@FloraElias-y7e
@FloraElias-y7e 6 күн бұрын
Kazi nzuri jmn ❤proud of you son
@JenyFundi
@JenyFundi 2 күн бұрын
Amen kanupenda mtoto zuri ❤❤❤❤❤
@FrancisJoseph-b1f
@FrancisJoseph-b1f 6 күн бұрын
Hongeren xan mung azid kuwabarik
@BenjaminSepetu
@BenjaminSepetu 6 күн бұрын
Hii kazi ya japhet zabron bless
@milkerndunya1538
@milkerndunya1538 6 күн бұрын
Kazi ya Marco ni moja ya nyimbo alizotunga akiwa hai
@mmnn3579
@mmnn3579 4 күн бұрын
Mungu ni mwema siku zote 🎉🎉🎉🎉❤Mungu awabariki sana tena sana from burundi 🎉❤
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd 7 күн бұрын
Amen Mbarikiwe sana na Mungu azidi kuwakuza mkazidi Kuifanya kazi yake Milele 🙏🙏🙏
@mrefumedia8681
@mrefumedia8681 7 күн бұрын
Amen mariko bado ako around his family still shining
@InnocentAutumnTrees-ux1jj
@InnocentAutumnTrees-ux1jj 6 күн бұрын
Mungu nikumbushe ninaposahau kupenda mwengine
@esthermurugi6073
@esthermurugi6073 5 күн бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 love the song Almighty God continue to bless you abundantly
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 6 күн бұрын
Ubarikiwe sana mdogo kwa wimbo nzuri 🇰🇪
@sabamultimediabrand
@sabamultimediabrand 6 күн бұрын
Daaaah mungu azidi kuwainua hakika
@BethaKahemela
@BethaKahemela 4 күн бұрын
Nyumba ya huu wimbo Kuna japheti hongera sanaa
@KamwathiColleta
@KamwathiColleta 6 күн бұрын
Mungu ahimidiwe daima na apanue mipaka yako ... hongera kwa wimbo mzuri🎉
@FlorenceNabwire-q5o
@FlorenceNabwire-q5o 5 күн бұрын
Wooooow just perfect thnxz the crew behind and to the mother to the babies thnxz fo the support lv more blessings in yo life
@damarisbosibori3688
@damarisbosibori3688 6 күн бұрын
Mungu aendelee kuwatunza,mkamtumikie na kufurahisha baba yenu mahali aliko,Amen
@rechondege9209
@rechondege9209 6 күн бұрын
Mbarikiwe sanaaa watoto Mungu atawashidia
@charlesbernad3722
@charlesbernad3722 6 күн бұрын
Mungu awajarie hawa watoto
@YonasKivah
@YonasKivah 6 күн бұрын
Mungu awainue wadogo zangu
@janewarioba7572
@janewarioba7572 5 күн бұрын
Mungu akutume mtoto mzuri. Tunakupenda.
@PendoJulius-r7h
@PendoJulius-r7h 2 күн бұрын
Baba ,Marco sound
@priscamakwetta740
@priscamakwetta740 2 күн бұрын
Hongera sana
@milkahmachana
@milkahmachana 6 күн бұрын
Nice song.....barikiwa sana na Mungu azidi kukuza vipaji vyenu ❤❤❤
EMOTIONAL AS ZABRON SINGERS PERFOMS LIVE WITHOUT MARCO JOSEPH BUKURU
8:47
045 NEWS PARACHUTE
Рет қаралды 21 М.
MARCO JOSEPH - TOFAUTI (official video)4k
5:00
Marco joseph family
Рет қаралды 680 М.
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
Dr.Ipyana  UMEKUA NAMI // NIMERUDI KUSHUKURU
9:59
Dr Ipyana
Рет қаралды 294 М.
TUPO DUNIANI (Official Video Music)
9:31
VIJANA CHOIR FPCT MBEZA
Рет қаралды 13 М.
BWANA HARUSI KAMKATAA BI HARUSI   LIVE BILA UOGA.AKATAA ZAWADI 🧐
5:15
ELISHADAI ONE MEDIA
Рет қаралды 114 М.
BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW
1:01:31
BongoStarSearch
Рет қаралды 232 М.
Jamila Dotto - Mungu Amefanya Tena (Official Video)
4:31
Jamila Dotto
Рет қаралды 118 М.
Best Zabron Singers video mix 2023
22:13
Lenny KE
Рет қаралды 110 М.