Wa kina mwa mwa mwa tujuane kwa kumuunga mkono mwanjisi ajaway fery kyusa boy
@josephatmwanjisiofficial97773 ай бұрын
@@amosimwangonji1067 Ameni mtumishi
@josephatmwanjisiofficial97773 ай бұрын
@@amosimwangonji1067 Ameni mtumishi
@watisonywatisony76592 ай бұрын
@@josephatmwanjisiofficial9777❤❤
@lusajomwasomola50022 жыл бұрын
Asajile Mwasomola ndio jina lsngu meenyeji wa kyela matema KISYOSYO kwa sasa nipo Arusha kikazi. Mungu akubariki saana kwa nyimbo zako hua zinaniponya sana makovu ya maumivu ya moyo wangu! Nitafute Facebook kwa jina la Bankufifye kyenda ili tupeane namba kwa ajili ya kufanya kazi ya Mungu.
@josephatmwanjisiofficial97772 жыл бұрын
Sawa
@josephatmwanjisiofficial97772 жыл бұрын
0753805150
@olivermwaihola66832 ай бұрын
Daah Yani huu wimbo nausikiliza zaidi hata ya mara 100 lakini haunichoshi unanibariki sana. Mungu akubariki sana mtumishi
@sophiamabula38973 жыл бұрын
TATA na watu wote japo sielewi sana kinyaki mm ni mnyamwezi lkn nawapenda sana sauti zilipangiriwa vzr mama hongera ulimchezea TATA
@amosimwangonji10674 жыл бұрын
Bado sijacherewa good song naicheki nikiwa drc 243 aaaaah kama naiona mby duh
@directormwangomile42744 ай бұрын
🎉🎉🎉 kanyimbo kazuri sanaaa aiseee
@transmadale7 жыл бұрын
yaani huu wimbo hata kama hujuwi Kinyakyusa Ukiwa na Roho mtakatifu peke yake unajuwa huyu jamaa anaimba nini Dah,aise Ubarikiwe sana mimi siyo mnyakyusa lakini nashukuru Roho mtakatifu ananitafsiria na nimebarikiwa sana Ubarikiwe Mtumishi wa Yesu naamini huu wimbo hujatunga mwenyewe bila kumshirikisha Roho wa Bwana
@sendamakasokota36386 жыл бұрын
Mimi POA most
@isaackgeorge27965 жыл бұрын
Ndaga kyala
@joshuasanga69425 жыл бұрын
Mashaka Jonas Madale Dana
@filbertmwakatapa72453 жыл бұрын
Hakika
@timothytonkei73753 жыл бұрын
True
@lovenessmwamengo70903 ай бұрын
Alimwene tata, alimwene ughwakisa alimwene umponjoli hallelujah belongs to you Jesus.
@atuganilemwakyusa17013 жыл бұрын
Alimwene TATA,akajako ujungi kangi,Mweee ikinyakyusa kinyafu.Asante Mungu kwa kunifanya nizaliwe nà wazazi wanyakyusa.Gwimbile kikolo,Kyala endeleleghe pakukwimilila.
@josephatmwanjisiofficial97773 жыл бұрын
Ndagha nkam
@leylahntissi4564 Жыл бұрын
Ilkinyakyusa kinyafu nkamu gwangu ..Mimi sio nyakyusa lakini daah wimbo naupenda sana
@estermwakatundu3028 Жыл бұрын
Kangi kinyafu mwee nkighanile fijo
@moreenbless-vr7oy2 күн бұрын
Pumzika kwa amani pembe 😭😭😭
@florakapange32274 жыл бұрын
Mwe linga ndi nimwene ulwimbo ulu tukufyana tulibhabhili . loli gwaga jo Jesu ngujanagwe. ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
@josephatmwanjisiofficial97774 жыл бұрын
Ameni mtumishi
@BwikemoMwamgunda4 ай бұрын
Much respect kwako mwanjisi my home boy. Niko mbeya but my home land is kyela ikolo muungano village
@josephatmwanjisiofficial97774 ай бұрын
Ameni mtumishi
@AminaMbilinyi-yr3ne4 ай бұрын
Amen kweli mungu yupo peke yake
@emmanuelm14885 жыл бұрын
Hahahahaaa jamaniiiiiii huuu wimbo naupenda sana kwakweliiii
Mungu akubariki sana kwa wimbo mzuri wenye ujumbe kwa wrote Roho Mtakatifu alikuongoza
@masterkey5362 жыл бұрын
Kiukweli alimwene ntigha
@stanfordmwanjelwa52294 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi mwanjisi
@hendrymroi63977 жыл бұрын
barikiwa xana kaka kwa nyimbo nzr, mxalimie na my dada nimewamic xana ,,maan kitambo xana tangu mje masebe two
@monicamarsha68613 жыл бұрын
Asante mwalafyale
@lucasmoses90542 жыл бұрын
Mbeya safi Malafyale
@tumainikassanga76596 жыл бұрын
hongera kijana mungu akubariki, huduma Izidi kwenda mbele.
@emilynmwaihomba33275 жыл бұрын
Yaani adi nimemiss kyela na family yangu
@adamsonalinanuswe82456 жыл бұрын
Wimbo uko vzr xana hongera josephat
@hirdajacson8827 Жыл бұрын
Ndaga Kaka inyimbo nunu fijo kyala akutule
@neemalusasi56456 жыл бұрын
nimebalikiwa sana nawimbo
@lilianmwalemba35373 жыл бұрын
Alimwene jhihobha
@joycecollection68765 жыл бұрын
Ndagha KYALA🙏🙏🙏😥
@s.koileken3695 жыл бұрын
Lugha tamu sana.
@PreciousMhidze5 ай бұрын
Jamn maana yake sielewi naipenda hii yimbo balaaaa hadi laha ❤❤❤❤❤
@kingmakini4 ай бұрын
Ujumbe mkuu "Alimwene Tata" maana yake "yupo peke yake baba", mwanzoni kabisa pembe alikuwa anampeleka senga kwa mganga ndo mtumishi anauliza "Jwani Awasyobhile, Jwani Awaroghile" manaake nani kawadanganya, nani kawaroga.. na kusisitiza matatizo yote mkabidhi Mungu...
@graceyohansgranas52714 ай бұрын
❤❤❤
@aminathatave52473 жыл бұрын
Kyala akutule kalumbu
@rosenyirenda49328 жыл бұрын
Wimbo unanibariki sana. NI YESU TU
@williammwajeka33475 жыл бұрын
Nalori alemwene Tata,🙏
@festinamwakipale39198 ай бұрын
Mpaka shetani ashangae wakati tunanyang'anya na kurudisha kwA Mungu
@zainabjuma10626 жыл бұрын
Yesu wangu!!! nifurahi kukuona Mungu akubariki mtumishi
@nardy10305 жыл бұрын
napenda japo celew.. be blessed man ov GOD
@yohanaefron85006 жыл бұрын
Jwani abha syobhile jwani tata
@tirokeya99092 жыл бұрын
Mungu hakika anakulipa maana roho nyingi znabadilika kwakupitia jumbe zako ukiacha hii nyimbo poa nery yani unabaliki sanaaaa nakupenfa
@josephatmwanjisiofficial97772 жыл бұрын
Ameni mtumishi
@isihakakikomile85308 жыл бұрын
Wimbo upo vizuri sanaaah!!!
@charleskisanga68225 жыл бұрын
Tukopamoja baba
@gervaspaul3138 жыл бұрын
ninaposikia nyimbo yalughayanguna barikiwa
@wilbertseme54557 жыл бұрын
wimbo no mzuri sana nimebarikiwa sana uchala akutule!!
@LidiahMohamedАй бұрын
naupenda 😂❤
@timothytonkei73753 жыл бұрын
This song has really blessed me... From Kenya 🇰🇪
@josephatmwanjisiofficial97772 жыл бұрын
Thanks my friend
@timothytonkei73752 жыл бұрын
@@josephatmwanjisiofficial9777 Welcome brother. Iam a pastor in Kenya. Would like to invite you to our church and the name of the Lord be glorified
ingamu ja Jesu jikemesighweghe, alimwene Jesu, bhatata amuleke ukwiputa mmasyeto!!!
@jigomwanjiwa90115 жыл бұрын
Kyara akutule mundu gwakyala
@sinzasoundbandtanzania62008 жыл бұрын
Ingekuwa vyema mkafanya midundo ya vyombo na uimbaji ktk mirindimo ya Kinyakyusa lakini mtumie lugha ya Kiswahili ili ujumbe uenee Tanzania, Afrika Mashariki na duniani kote wanapozunguimza Kiswahili.
@mwakatundujr16745 жыл бұрын
Mtanzania Junior Kinyakyusa kinatosha
@ambakisyemwakinunu20025 жыл бұрын
Mbona makhirikhiri wanaimba kikwako sio kingereza,lakini haohao wamekuja tanzania wamefanya show zakutosha japo hatUjui wanaimba nini muziki hauna lugha maalum