JPM ALIVYOMWANDALIA MKAPA BARABARA YA MAZISHI, KABLA YA KIFO - "NAMJENGEA HATA SIKU ANAZIKWA APITE"

  Рет қаралды 49,435

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

JPM ALIVYOMWANDALIA MKAPA BARABARA YA MAZISHI, KABLA YA KIFO - "NAMJENGEA HATA SIKU ANAZIKWA APITE"
Rais Magufuli aliyasema maneno hayo katika Hotuba yake ya April 4, 2020 akiwa Mkoani Mtwara, ambapo aliagiza ujenzi wa barabar inayoelekea Nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tatu Benjamini William Mkapa ambapo ni mwaka mmoja sasa tangu alivyozungumza.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 76
@tusajigwemathias3758
@tusajigwemathias3758 4 жыл бұрын
Mungu ana siri jamaniii... Uliongelea kama utani lakini Leo inakuwa kweli, RIP BW MKAPA
@jamaa2760
@jamaa2760 4 жыл бұрын
Asante Kwa kumstiri Hayati Benjamini
@auntdorah9141
@auntdorah9141 4 жыл бұрын
Kuna watu wanasema ana roho ya unabii...tumeliona kwenye corona...kisha leo tena.. Asante mkuu
@farajafaraja3494
@farajafaraja3494 4 жыл бұрын
Mungu jmn ana siri kubwa Sana mh. Maguful alikuwa anaongea utani lkn Leo mungu kafanya kweli Mungu amlaze Baba yetu mkapa mahali pema peponi
@phdhemed358
@phdhemed358 4 жыл бұрын
Ana baya mzee wetu mbele mbele yake
@edwardmsongelwa5455
@edwardmsongelwa5455 4 жыл бұрын
Umefanya hivyo na ni kweli tupu kwani uliongozwa na utashi ulio bora na umeusimamia kwa dhati na Mungu ameisimamia imeisha kwisha Mungu ame kusikiliza AMEN
@edwardmsongelwa5455
@edwardmsongelwa5455 4 жыл бұрын
Isinge kua vizuri kusikiliza wanao lalamika ameamua kuijenga na imekwisha Mungu akubariki na ni kweli ita tumika kwa uliyo yasema ni ishara kubwa inayo onyesha unawakati ulio mwingi wa kumjali alie wajali wengine bila kujipendelea wako walio mtumia vibaya kwa upole wake hata hivyo Mungu alimjalia atawale nchi hii na mwenyezi Mungu ame mchukua binadam wake bila shaka ni kila njia ya tunao ishi sote tukumbuke kufanya yalio bora ili kujifagilia njia uendako na mazuri yatashangiliwa na unao wa acha hao wanao tumia matusi ndio kua sera zao wajifunze kuna kesho tita wa acha wenzetu watujadili mwenyezi Mungu aiweke roho yake mzee Mkapa mahali Pema Peponi AMEN
@ramadhanirashid7798
@ramadhanirashid7798 4 жыл бұрын
Daaa mwamba wangu jpm
@officialtitojeremia4171
@officialtitojeremia4171 4 жыл бұрын
Huyu president ni mtabiri duh
@hadija846
@hadija846 4 жыл бұрын
Amiin🙏🏼😍 R.I.P.😭BABA😭
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Ila huyu mtabiliri Ana maono yake naye Kasema tukimuomba mungu corona ni kagonjwa kadogo ikawa hivyo maana wenzetu wamezolewa kule hajabu kawaambia baazi ya watia Nia msitie Nia wakatia Nia akawa mbaya haya bwana
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
Walio kataa kutia nia unajua nin kiliwakuta
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 4 жыл бұрын
Bado kunanchi atutoki ndani mpaka Leo haijaisha tunaswalia ndani Dubai omani makah
@isamony58
@isamony58 4 жыл бұрын
Asante maguuu ndio kwetu uko masasii atupatii aibu ataiyo keshokutwa wageni wajee wajionee masasii yetuu kapumzike bb mkapa lupasooo 😭😭😭😭😭🤝🤲🤲🤲
@esperancenathali
@esperancenathali 4 жыл бұрын
Mmmm leo yametimia
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 4 жыл бұрын
Asante JPM, RIP mzee Mkapa tutakumbuka daima kutuletea Shujaaa JPM
@evancetilya5140
@evancetilya5140 4 жыл бұрын
Mungu ampumzishe mzee mkapa
@Ba63828
@Ba63828 4 жыл бұрын
ASANTE NDG YETU RAIS
@mariamramadhani6185
@mariamramadhani6185 4 жыл бұрын
Duh so sad
@hamzaliganga7437
@hamzaliganga7437 4 жыл бұрын
Mmh Leo yametimia
@auntdorah9141
@auntdorah9141 4 жыл бұрын
Nakupendaga bure..ni chaguo la Mungu...!! Watanzania tunakuelewaga..una hofu ya Mungu..una Upendo.. unashukrani..na unachapaga kazi...sio mtj wa ofisini..!! Kura yangu nakupa baba..
@missmwayway4704
@missmwayway4704 4 жыл бұрын
Ahsant xana Mh magufuli kwakutuwekea vzr wilayan kwetu Masasi M/mungu akubariki xana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@yahkiwera3611
@yahkiwera3611 4 жыл бұрын
Subhanallah
@hadijaabdul8765
@hadijaabdul8765 4 жыл бұрын
Kweli
@ashylema2540
@ashylema2540 4 жыл бұрын
Daaaaaa
@mathayodundo5433
@mathayodundo5433 4 жыл бұрын
Jamani jamani
@jeshilamtu863
@jeshilamtu863 4 жыл бұрын
😭😭😭🙏🙏🙏
@mandelamwaja9552
@mandelamwaja9552 4 жыл бұрын
Na mimi nitamjengea magufuli barabara yake
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 4 жыл бұрын
Hapo ndio uamini sasa kweli maneno yanajenga, na uliyoyasema yametimia
@phdhemed358
@phdhemed358 4 жыл бұрын
Waswaili wanasemaga maneno yanaumba mbele mbele yake mzee wetu
@hyahasisimsigala4346
@hyahasisimsigala4346 4 жыл бұрын
Aisee hii ni noma....
@hadija846
@hadija846 4 жыл бұрын
🙏🏼😍
@benedictoryona4504
@benedictoryona4504 4 жыл бұрын
We love you jpm,,rest in peace mzee mkapaa
@binsultan6981
@binsultan6981 4 жыл бұрын
Kamaa tadinu tudani
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
Daa kumbe kweli ni siri ya mungu JPM alitabiri kifo cha mkapa duu lakini safi JPM oyeee mkapa rest in peace
@habau_jr1755
@habau_jr1755 4 жыл бұрын
Mungu yu nae...umetamka hajafa..leo Buriani
@saidsinani8765
@saidsinani8765 4 жыл бұрын
Mm
@paulojoseph555
@paulojoseph555 4 жыл бұрын
Kwan imejengwa tayar au
@jarsaduba2626
@jarsaduba2626 4 жыл бұрын
Unaelewa kiswahili wewe?
@vicenthokororo6339
@vicenthokororo6339 4 жыл бұрын
Imeshajengwa mda sana yapata miaka 2 sasa tangu ikamilike nilikua uko last week asee
@tz7976
@tz7976 4 жыл бұрын
Mwamba of the world
@rashidiwhite5646
@rashidiwhite5646 4 жыл бұрын
Sasaa Maris mnatabiliana kifo kwa kuunda mpaka.barax2 wakati mwenyewe anapenda kujenga ukwenii kwai yakutakaa alikuawa polinii.
@edinaemily6022
@edinaemily6022 4 жыл бұрын
Yametimia
@mwambamkombozi4672
@mwambamkombozi4672 4 жыл бұрын
Njia hiyo haitomsaidia chochote, mtu husaidiwa na amali njema, unavuna ulichopanda. Kama uliua, ukanyang’anya, ukatesa watu na kuwapiga ovyo halafu hukutubia na kuwaomba watu radhi ipo kazi. Ila sisi tunamuachia Mungu kwasababu yeye ndie mwingi wa kuhukumu.
@rehemaconeriocostance9011
@rehemaconeriocostance9011 4 жыл бұрын
Acha maneno ya kijing ndug yang, kwan apo amekuambiaa amemjengea njia ya mbingun
@abuelolongavida7261
@abuelolongavida7261 4 жыл бұрын
Umeshindwa kuelewa mantiki ya mazungumzo hayo, kimsingi hapo anasema mzee Mkapa kutengenezewa barabara hadi kijijini kwake anastahili....sasa hayo ya kumsaidia mbele baada ya kifo nadhani yeye Mkapa anayajua vema kwa imani yake, wewe ni nani kutoa somo la elimu baada ya kifo,ungekaa kimya ingependeza kuliko huu ujinga!
@ameyashey3174
@ameyashey3174 4 жыл бұрын
Salim cali umeelewa alichoongea rais au ilimradi ukomenti hasira zako tu hapa yeye hakusema njia ya peponi lkn
@salummuhija4435
@salummuhija4435 4 жыл бұрын
Sasa kama unajua mungu ndie hakimu wewe unaongea Maneno mengi yanini humu!
@ameyashey3174
@ameyashey3174 4 жыл бұрын
@@salummuhija4435 hapo sasa yaani kaongea kwa gadhabu tu
@jssaa4733
@jssaa4733 4 жыл бұрын
anko magu alimpenda sana mkapa😭😭😭😭😭
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 4 жыл бұрын
Unachokisema nikweli nakatika viongozi walioumia Sana yeye sikuanatangaza thrf ya msiba ukimwangalia unalia bila yeye asingekuwa rais kweli,nauyoagu kuzini mitaa yake aongeo uwongo kashakuoa Sana ugali wa muhogo.
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 4 жыл бұрын
Yaani walipendana Sana kiukweli ,tumuombee dua mjamwenzetu dunia mapito
@jssaa4733
@jssaa4733 4 жыл бұрын
@@julihanjosephyjs6361 kabisa
@allymohamed2724
@allymohamed2724 4 жыл бұрын
Vitu vingine tuwe makini, kuchomekia JAMBO baada ya Amri ya Mungu kutujia, hailetia maana kwa umoja watu.
@mwambamkombozi4672
@mwambamkombozi4672 4 жыл бұрын
Kuna malaika wanaitwa Munkar wa Nakir hawa ukishaingia kaburini kazi ya ni kukuuliza wewe Mungu wako nani, Mtume wako nani, kitabu chako kipi na ulikuwa na unamfuata nani na kumtii yupi? Na masuala mengi tu mno! Na huku wana marungu makubwa ya moto yenye nguvu kubwa kupita kiasi. Wanaadamu tuwe waangalifu kabla ya kuondoka duniani tusijisahau kwasababu wewe ni mtu wa aina fulani hukuletwa duniani isipokuwa kuja kumuabudu Allah tu peke yake usimshirikishe na yeyote na wala kiumbe chochote alichokiumba yeye kwani hiyo ni dhambi kubwa ambayo Allah kasema hatoisameh.
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 4 жыл бұрын
Salim hakika umeongea maneno ya dhahabu, cc binaadamu hatuko serious tunachukulia powa powa tu
@venancemwarabu7168
@venancemwarabu7168 4 жыл бұрын
Hao malaika wataingia kwenye kwenye kaburi lako kulingana na imani yako, usidhani unachokiamini wewe na wengine ndo hicho hicho. Jitahid kuwa na religious tolerance usiwe mdini. How sure Mungu unaemuabudu ndo sahihi???? Baba yetu atahukumiwa kulingana na imani na matendo yake aliyoyaishi hapa duniani na ww binadamu hupaswi kumuhukumu
@canibalgazaboy8325
@canibalgazaboy8325 4 жыл бұрын
@@venancemwarabu7168 huko sahihu kabisa kaka ubarikiwe
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 ninachojua na kuamini ni hiki, hakuna jina jingine lolote mbinguni, duniani na kuzimu tulilopewa wanadamu litupasalo kuokolewa kwalo isipokuwa hilo jina la Yesu. allah ni kiini macho kwa taarifa yako nyuma ya allah wenu ameketi yule jamaa ausumbuaye ulimwengu wote. Kama unabisha kaisome korani yako kwa utulivu uangalie tofauti ya Muhammad na Yesu uone mwenye haki kati yao ni nani.
@mwambamkombozi4672
@mwambamkombozi4672 4 жыл бұрын
@@ngwanafabian7532 Quran haina contradict yeyote na hsijawahi kubadilika ni ile ile. Kitabu cha kwrli cha haki badiliki sio bible kila mtu anabadilisha anavyotaka yeye. Na Quran hsijabakisha kitu katika dunia pamoja maisha yote ya binadamu. Wakiristo wanapopata ugonjwa wa wadiwasi huwakimbilia mashrikh wawadomee Quran kwasababu wanajua kuwa ni maneno matukufu yasiokuwa na doa lolote. Wewe kama utakata mjadala wa kidini sema tu tukualike uje na biblia ysko hiyo unayoiamini tuone ukweli ukowapi. Pole sana manake unasema kitu usichokijiua. Hao mapadri zako wambie wakwambie ukweli kuhusu Quran na uwaombe wasikufiche chochote kwahisani zao. Uone watakwambia nini!!
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
Sialikua rais kwanini asijenge kwao uko, kaweza kujenga South Africa mahotel ashindwe apo mpka Mh rais Maguu aje kujenga, vita alofanya zanzibar izo pesa za silaha alizo tumia kuuwa watu siange jenga vilvile
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 1,8 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 99 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 59 МЛН
MKUU WA MKOA TABORA, AGGREY MWANRI, ALIVYOONGEA KIINGEREZA.
5:26
MHE. SUGU ATAKAVYOMKUMBUKA HAYATI DKT. MAGUFULI.
6:10
Star TV Habari
Рет қаралды 32 М.
Tundu Lissu "TUNA RAISI WAAJABU HAIJAWAI KUTOKEA"
4:58
Daddyface Tv
Рет қаралды 73 М.
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 1,8 МЛН