jua kali leo usiku #juakalileo jua kali leo jumatano #juakalileoalhamisi #juakalileoijumaa #juakalileojumamosi
Пікірлер: 327
@dhahabudeche926Сағат бұрын
Mnao mkubali filex kwa anavyo cheza hio mission vizuri gonga like hapa 😂😂😂😂😂
@MarkSulle-yg5lt2 сағат бұрын
Life is too short 😢 masela zetu kibao wapo ardhini nina mwanangu msela wangu anazikwa jumanne rest in peace Jabir😢 naomba Mungu anilinde mimi na wewe pamoja na family zetu tuishi maisha marefu can I get amen🙏
@Denatha502 сағат бұрын
Amen
@clarisgambo79602 сағат бұрын
Hallelujah
@gracemadibu94472 сағат бұрын
Amen
@FarahXandersСағат бұрын
Amen
@MwanneElliyaСағат бұрын
Ameen🙏🙏
@jonasamos55514 минут бұрын
Mi ni mume watu sitaki mtu a like comment yangu
@evergeorge32692 сағат бұрын
Mariaaaaaaaaa😂😂😂😂😂 kimekulamba Leo Felix ameamua kukunyoosha🎉🎉🎉🎉
@AsdAsd-d7f2 сағат бұрын
Namim Leo nimewahi alhamudillah 😂😂 Asante dj wetu ❤❤❤🎉🎉🎉
@SaraSareta-c8z15 минут бұрын
Tomas mungu anamuonaa wako felx
@AminaNgumba16 минут бұрын
Frank nd kagoma kabisaa kuhusu maria jmn
@christinalawrence7493Сағат бұрын
Semeni semen hapo roho inavujia damu Kwa ndan,alaf ndo tabia gan Kwa Felix na baba ake jmn kumchaganya maria wetu
@AminaMgenzi2 сағат бұрын
Mungu atulnde wote tunaotoka kwenye huba kuerekea kwa jua Kali 🎉🎉🎉🎉
@josephatbonifaceclemence1154Сағат бұрын
Huba hovyo hovyo haieleweki
@sylviamariki686453 минут бұрын
Msafiri.salama ila muwe makini msigongane wala kukwaruzana mana hii follen ni kubwa😂
@doricedaniel356359 минут бұрын
Naipenda sana sin ya Enzo na regina 😅😅😅😅
@AishaRobert-cz8ms36 минут бұрын
Hata mimi jamani ❤❤
@SelinaDorcas28 минут бұрын
Like me
@zahraabdul9652Сағат бұрын
Eddy na semeni 😂😂😂😂😂 Felix njoo nikupe Laban unywe upoze roo maana sio kwa kuigiza huko hadi nimekupenda maua yako hayo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@naplousemukunzi1010 минут бұрын
Maria asipoacika na Frank tunahama jua kali Hatuji tena 😂😂😂
@ArRahman-ih1piСағат бұрын
Team strong tujuwe jmn ganga like hapa,
@SheilaOmar2007Сағат бұрын
Bado hatujalala😂😂
@aishafahdi8355Сағат бұрын
😂😂😂kama kawa😂@@SheilaOmar2007
@ArRahman-ih1piСағат бұрын
@@SheilaOmar2007 kweli eee😂
@annamosses142 сағат бұрын
Mnaokuja kuona felix na mandevu taratibu mnanikanyaga 😢
@mariamselle41252 сағат бұрын
😂😂
@dhahabudeche926Сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂pole ila hapo patamu
@SaidAli-g8z2 сағат бұрын
Amazing
@موسيمحمد-ه5ظ1فСағат бұрын
Semeni anavyosisitiza kuwa Peter ashauriwe sasa dah😂😂😂
@IreneSilayo-hb6sdСағат бұрын
Kumbe maria ata sio mjanja ee😏 bado kakamatika tuuu😅😅😅na ujanja wake wote c angeshashtukia mchezo😅😅😅😅
@ELIZABETHNNKO-e6jСағат бұрын
Hv maria akimpoteza mtt Nan atalaumiwa mana wanampa mawazo
@winniepemela-tt4vbСағат бұрын
Mmmh madam Regina anazuga et nyie wanaume mlivo washenzi😂😆
@MariamJulius-b1h6 минут бұрын
Jmn Enzo anatetea upande wak😂😂😂😂
@ASAS-q9u9e3 минут бұрын
😂😂😂😂
@CarolineMsuya-j2d8 минут бұрын
Thomas❤❤❤❤
@monicaalute3143Сағат бұрын
Yaan ingekuwa Mimi ni Maria ningejifungua kabla wallah sio Kwa Hz drama za Thomas na mwanae 😢😮😮😮 khaaaaaaaaa 🙌🏼🙌🏼
@naomikisaba5785Сағат бұрын
Bora za Tomas Kuna zile drama za Joseph na nick😂😂😂juu ya naom 😅
@sharifamahamudu18218 минут бұрын
Maria angemdumbukiza kisu km alivyofanya kipindi kile kwa Thomas biashara iishe au atoe tu hyo mimba
@NeemaNuru-w1nСағат бұрын
😂😂😂maria amka pindua hilo fumbo .....kama vipi fyutua hiyo mimba ya Thomasi baki na Frank wako huyo libabu Thomas kubwa jinga
@ChikuWarrenСағат бұрын
Maria anaeza toa mimba akaenda kwa madam simba 😂😂😂
@eunicewambui-v7k54 минут бұрын
Baba na mtoto wanakula pamoja
@JanethJacsan54 минут бұрын
Maria kwa fujo zote hizo uchungu ujakushika tyu
@dannylinguist159 минут бұрын
Ana kama senge
@AshaAbdallah-y1hСағат бұрын
Semeni nabado litakuchoma sana na peter hachomoki na mshangazi
@SalomeKawogo2 сағат бұрын
jamn familia ya michael nishaimizi saiv ni muda sana sjawaona akina king
@neemamabena-xx5er14 минут бұрын
Anna kazana kunywa dawa we xo mzima
@beatricenziku6788Сағат бұрын
igizo ndani ya Igizo😂
@HappyMwangukuСағат бұрын
Ila tomas tomas mamb anay yafny kwa kwer litamuwakia Kam maria jua linavy muwakia yn m nataman ata Maria atishie kwa kuitoa mimb lbl tomas atasem kwer🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MohamedMichael-f4j2 сағат бұрын
Jaman na mm leo Noamba izoo like ni onee utamu wake
@zainabsabas1807Сағат бұрын
Regina Sauti gani Hiyo kwa enzo 😂😂😂😂
@CarolineMsuya-j2d15 минут бұрын
Umalaya 2
@JudithMzavaСағат бұрын
Jaman nawapendaa wote ❤
@UkhtyRukhaya2 сағат бұрын
😂😂😂Kuna mtu kanikanyagaa jmnii Kwa mbioo but anyway kikubwa wote tuone juakali
@Asiaha-l7qСағат бұрын
Semeni unauchungu lkn raha kidogo kwa sofia
@dorrypol9911Сағат бұрын
Nipeni location ya gereji kwa kna Iddi jmn npeleke gari yang
@matunzajr-me1zmСағат бұрын
Semeni mshenzii haswaaa😢😢😢😢😢
@VachouVachou2 сағат бұрын
Number one
@Najima-r6rСағат бұрын
Haya shuka usome uko chini maana ata Mimi nasoma kama wewe😂😂😂😂
Waishirini jamani...watu dakika ya nne ila kheee🙌🙌🙌nimekoma kuwahi😂
@neemaelia3436Сағат бұрын
Yani ndio dawa ya mwana mke maraya lra filex mbingu Utaisikia kwakweri 😂😂😂😂😂😂😂
@evelnjuma1834Сағат бұрын
Nice movie 🎁💐🇹🇿
@anethmushi56712 сағат бұрын
Ivi style y nywele y Anita kababdikwa haitoki au ndo kupenda style
@paskaziasholla7471Сағат бұрын
Semeni leo umekomeshwa na Iddy
@meryorotha671Сағат бұрын
😂😂😂😂 leo maria kapatikana amekua mdogo mbele yatomasi amakweli
@queensiku17 минут бұрын
Anna…tangu ulianza kiss kiss 😂kweli ana chizi 😂😂
@TuseyDifas2 сағат бұрын
Maria jua lako linakuja taratibuuuuu
@WitnessMekidadi31 минут бұрын
Huu mzunguko wa Felix na kina maria siku likibuburuka wanakufa wote na jua kali hinaishia hapo period😂😂😂
@PaulinaFesto-s5e2 сағат бұрын
Wala Anna hana akili 🤯
@rahmamlanzi289526 минут бұрын
Tuwe tunaitana jamanii ili tusiwe wa mwisho kuangalia 😢
@GerdaVenant2 сағат бұрын
Natama madam g na Enzo wawe❤❤❤❤❤
@dhahabudeche926Сағат бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉 kabisa
@twahaanyoni912050 минут бұрын
Huyu Anna na mashavu yake kama vibuyu vya mganga simuelewi kabisa
@FelistersMejumaa-xi2ge2 сағат бұрын
Idd maneno yako yanamuumiza Semeni sema basi tu hujui anacho pitia
@paskaziasholla74712 сағат бұрын
Mala paaa Patrick huyooo Enzo nakuonea huruma 😂😂😂
@bonnekiza69348 минут бұрын
Iyo jua kali mbona muna anza aribu kama apo thomas n'a Félix si Félix Ana fahamu kama baba yake Ana toka n'a Maria afu baba naye Yuko kama zimsan
@BintalyB2 сағат бұрын
Tumefika uku ss wpi wale team strong njooni uku jua kali iko tyr😂😂
@Veronicabaya2 сағат бұрын
Tuko hapa jua kali lazima😂
@rehmahamishamismkande43482 сағат бұрын
Uko pande gani
@BintalyB2 сағат бұрын
@@rehmahamishamismkande4348 sulayyil
@BintalyB2 сағат бұрын
@@rehmahamishamismkande4348 je ww
@AminaMgenzi2 сағат бұрын
Nimefka mung akulnde 🎉
@NeemaKapalata-nf3vl2 сағат бұрын
Jua Kali oyeee
@williamkasemelo17102 сағат бұрын
hiv ana yuko timamu
@jullostephen9090Сағат бұрын
Mungu wangu ananiona huyu mtoto ni wako🤣🤣🤣🤣,,,halafu huyu ana ni mkebe tu
@KanezaAmina-t4hСағат бұрын
Yaani thomas angejua kua anacho kifanya kinaweza leta madhara asio yatarajiammmh 🤔🤔Ngoja wamtie stress ajione kua hana msaada wowote tena alafu ashawishike na dili la madam simba
@LatifahKhamis54 минут бұрын
Na Mm nliwaza ivo ivo
@kategileulimbo31142 сағат бұрын
Musome na mupite hivyo hivyo sitaki like ya mtu.
@RahmaMwakaseseСағат бұрын
😂
@ChannellaChachaСағат бұрын
😅😅😅😅
@naimahhussein8430Сағат бұрын
Ila Patrick 😡☹️😞🙁😕😔 Mariam mmepatikanaa 🤗
@JanethpauloPaulo-h1n2 сағат бұрын
Regina wangu ❤ Hapa nimefurahi sasa
@marthadaniel49042 сағат бұрын
Ana kam fala😂😂
@nishahamisi1877Сағат бұрын
Semeni pole wivu huoo mmmmh
@nishaabdula5015Сағат бұрын
Yn semeni kaa
@HappyAdam-tf6owСағат бұрын
Regina hajui kuigiza
@officialbaby_rey8447Сағат бұрын
Nilikuwa natafuta hii comment siku zote maana hajuw haswa hivyo anavyoongea kama anasoma gazeti 🤣🤣
@JustinaSamson-xm2xu57 минут бұрын
Uongo
@AngelaObedi257 минут бұрын
Mwanzo mgumu jamani
@JustinaSamson-xm2xu56 минут бұрын
@@officialbaby_rey8447sio kwel
@jehovamunuo4047Сағат бұрын
Me kaz yangu n kuja kusoma comment maan naangalia tv sian wa kudiscus nae, yaan nkija huku nafurah mwenyew hahahaha
@رقيه-ل7ض3سСағат бұрын
Anna chizi kweli 😅😅
@jamesjamesh.58222 сағат бұрын
Semeni na story za Peter
@rosemarymaokola723957 минут бұрын
Semeni wivu roho inakuuma peter amewasaliti😃😃
@MwanahamisSeifu2 сағат бұрын
Wa nne hapa ngoja na mm niombe like
@Maymuna-wc8lz2 сағат бұрын
Regina vurugu unazitaka Mwenyewe😉😉 Msiklize Mumeo patrick
@Rahima-kv6mnСағат бұрын
Patrick iyo Sura ulivoikunja km ngozi ya futi vp 😂😂😂😂😂
@MimahSuleimani2 сағат бұрын
Jamani enzo 😢ila Anna unaboaaaa 😂
@godfreymhemezi969949 минут бұрын
Ana apewe dawa
@BetinaRaulentСағат бұрын
Natamani ana limkute jambo yaani
@Daughterofthesoil2542 сағат бұрын
Ila Thomas na mwanae duh😂😂
@aishaaisha3644Сағат бұрын
Dj❤😊
@AginesHasan2 сағат бұрын
semeni anamaindi jamani dah 😢
@brianmusumba396945 минут бұрын
Staki utani😅😅😅
@MaryMafuruСағат бұрын
Liana linakeraaaa
@SalmahAbdallah132 сағат бұрын
Semeni wivu unakusumbua sana, na Peter atawatesa sana ww na Sophia
@MillanHashimuMadenge-nu1ok3 минут бұрын
Da semeni jishikilie basi😂😂😂
@geraldmwangira.49782 сағат бұрын
Me natamani Maria ajue mipingo ya Thomas😅.
@AffectionateHorse-zp8wo2 сағат бұрын
Mimi namsapot Thomas Maria kazidiiii
@ShamimuHamisСағат бұрын
Na mimba itoke afu maria abaki na frank
@rachelsamwel5359Сағат бұрын
Yaani hii nayo imepoteza ladha
@DinahNish-bm9sr2 сағат бұрын
We Enzo naye embu kaza mara moja Patrick akuheshimu😢😢😢
@Saripa234-u7gСағат бұрын
Mapenzi Ayana Umri
@ArRahman-ih1piСағат бұрын
Rejena Jaman eshampenda Enzo wetu😂
@farijimligo1394Сағат бұрын
mwenye link ya Jana jamn msaada
@MahraKhan-gd7pb2 сағат бұрын
Madsm mbn kiti kidogo😅
@constancenyakarungu6278Сағат бұрын
Yesu wangu uyu mtoto ni wako 😅😅😅 ila Maria
@happymwashimaha5134Сағат бұрын
Ana ka kibwengo😢
@DoriA.siriel42 минут бұрын
Maria unazingua muda wote na mambo yote hayo hata kuonyesha tabia za mimba...
@tusaamon3216Сағат бұрын
Baba na mwana shikamoo 😅😅
@Gloria-vh5bz36 минут бұрын
Huyo Anita na regina kuigiza bado yani km anita ndio kabisa yan kuna muda unahisi ni kweli km hawaigizi ila ikifika kwa anita ndio nakumbuka ni maigizo tu