Jina la Mungu wetu Mtakatifu sana lizidi kuinuliwa. Asante sana Jugo Media kwa kutushirikisha tukio hili.
@JugoMedia2 күн бұрын
Amina
@averinataitus2 күн бұрын
Wakatoliki tulinde IMANI yetu, hongereni maaskofu wetu na mapadre wote,Akika imetupasa kuona fahari juu ya msalaba wa Bwana wetu YESU KRISTO.
@christinechokunegella5023Күн бұрын
Nasi tulitoka Ipuli mpk Kanisa Kuu la Kiaskofu ,Mt Teresia wa Mtoto Yesu Tabora
@lucimwica6472 күн бұрын
Wahujaji katika MATUMAINI❤❤
@eddyjosephmagenge9658Күн бұрын
Glory be to God. From St Peter's Parish oyester bay Hadi St Joseph's Cathedral si mchezo . Hongereni sana Wana Dar es salaam
@JenofevaVitusКүн бұрын
Mungu awabariki sana wakatoriki
@josephbaruty11032 күн бұрын
Historia Imeandikwa Jubilei ya Miaka 2025 Mungu Aendelee kulisimamia kanisa Lake Takatifu Ulimwenguni Asanteni Sana Wana Jugo Media kwa Kutushirikisha Mambo Haya Mema na Matakatifu Mbarikiwe Sana
@JugoMedia2 күн бұрын
Amina
@SalomeMichael-j7k2 күн бұрын
Hongereni nyote mlioshiliki mandamano
@margaretikongo17822 күн бұрын
Tumshukuru Mungu kwa kweli
@JugoMedia2 күн бұрын
Amina
@SylvesterKameo2 күн бұрын
Maandamano ya Jubilee kuanzia kanisa la St. Peter Osterbay hadi Kanisa Kuu la St. Joseph, Hongereni wana Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Mwenyezi Mungu atukuzwe na watu wake watakatifuzwe. Amen!