JUMA LOKOLE HAMUOGOPI ZUCHU TAZAMA ALIVYOMBOMOA WASAFI TV MBELE YA DIAMOND WEWE NI NANI

  Рет қаралды 14,633

Bongo Touch

Bongo Touch

Күн бұрын

Пікірлер: 54
@saadabakar7750
@saadabakar7750 Күн бұрын
Muongo Juma una kitu .
@verodede3309
@verodede3309 5 сағат бұрын
Juma nakupenda ila zuchu nampenda zaidi ACHA kumpa depression
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 3 сағат бұрын
Jamani Jumah anafanya kaziii.......zuchu kuwa kama Diamond .......basi ingekuwa Ivo kwa uwezo was Diamond angemfungisha mwijaku ila anamuaca apate Rizk .......wakikuongelea wanapata rizk
@agbordorothy4901
@agbordorothy4901 19 сағат бұрын
Let them wait and see what the future hold for Zuchu. They will all bow for her.
@azizabiroribirori8665
@azizabiroribirori8665 Күн бұрын
Nendeni uko munatumwa na Mama diamond kumuataki Zuchu .
@Deboramartin-z2m
@Deboramartin-z2m Күн бұрын
Nae zuchu aache ung,ang'anizi
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 11 сағат бұрын
⁠@@Deboramartin-z2mWewe unajuwa kama Diamond ndio king'ang'anizi!😮 kwa ZUCHuuuu
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 11 сағат бұрын
Kumuataki mtoto wa Watu Kuna siku itawafikiya wenyewe unaambiwa mchimba kisima ataingiya mwenyewe karibu yatawafika na wao...
@MwamvitaKizua
@MwamvitaKizua 5 сағат бұрын
Nyoo aduwallahu aduwarasuli muache Mtoto wawatu kibaraka wewe choko usokuwa na subra nyoo katafute baasha mondi kazimika na Mtoto wa kizenji wewe tunajua punga chele babu ndio mana wivu umekujaa
@Godelivemwamba-z6p
@Godelivemwamba-z6p 9 сағат бұрын
Kwa nini wasafi hamumupromoti nyimbo zake katika wcb. Muko na roho mbaya
@HaznaLuhanjo
@HaznaLuhanjo 18 минут бұрын
Mashamu shamu inakufa na dida 😮😮
@MariamJuma-c1h
@MariamJuma-c1h 22 сағат бұрын
Juma unakitu rohoni wewe kaka mmi naona unataka kuolewa wewe na Mondi
@belak999
@belak999 14 сағат бұрын
Km babako alivyoolewa nae
@MariamJuma-c1h
@MariamJuma-c1h 4 сағат бұрын
@belak999 nyooo kumbe mpo wengi mnao mtaka Mondi🤪
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 2 сағат бұрын
​@@MariamJuma-c1h😂😂😂😂😂 0:27
@Shuu.A
@Shuu.A Сағат бұрын
​@@MariamJuma-c1h wallah 😂😂😂
@Godelivemwamba-z6p
@Godelivemwamba-z6p 9 сағат бұрын
Sasa mbone hatujuwi mke wa juma ama yeye mwenyewe ndo mke.
@MS.independent8934
@MS.independent8934 Күн бұрын
Juma mitano tn🥂😀
@AzizaMohammed-mp5nz
@AzizaMohammed-mp5nz 2 сағат бұрын
utaolewa ww 🤣🤣🤣
@Shuu.A
@Shuu.A Сағат бұрын
Usinichekeshe😅😅
@Brown-o2h
@Brown-o2h 10 сағат бұрын
Jaman we juma kwnn msikae na Simba ninyi watat mkayamaliz jaman zuch kasem ninyi n family asa kwnn mfike kwote uk jmn zuch kasem maixh hay n mafup msiwe Ivo jaman x tunawapenda wcb
@KhamisKombo-x5u
@KhamisKombo-x5u 11 сағат бұрын
Wangap wanasemwa jamani mitandaoni juzi tu tulikuwa na skendo ya wolpa
@Zena-y2k
@Zena-y2k 6 сағат бұрын
Zuu anaitaka iyo ndowa tu ndio makasiliko ayo yote juma fanya kazi nakupenda
@aminaawadhi1537
@aminaawadhi1537 22 сағат бұрын
Ww lokole tulia useme nn kinauma zaidi kwenye maisha Simba na Zuchu...ww ni mwanamke, ama? Wataka kuolewa ww na Simba... nyamaza msenge mkubwa ww!
@BeatriceMarck
@BeatriceMarck 8 сағат бұрын
JumA me sikupendi
@EmmyLuhwango
@EmmyLuhwango 3 сағат бұрын
Yes Juma, let Her go zuchu
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 11 сағат бұрын
Bw. Juma na hii kazi yako unojisifiya Kuna siku itakufikisha pabaya ni kazi ya kuchuma dhabi bila ya kiasi...kwenye MAISHA yako usitafakhari kwa shangwe LA MASHABIKI litakapokufika 😅😅😅 WOooooote watakucheka... kama wanavyo kucheka wengine sasa hivi.
@FahadiDuran
@FahadiDuran 5 сағат бұрын
Kwani huyu zuchu yeye nani yaani huyu famlya ya dai haijamuamulia bado katajuta
@hawaalihassan3932
@hawaalihassan3932 Күн бұрын
Njaa tu inawasumbua na familia za kiswahili hasa zina tabu
@mutungi93
@mutungi93 23 сағат бұрын
Zuchu atapata bwana..Ako na talent kuliko diamond
@RandB_Channel
@RandB_Channel Күн бұрын
Nawashanga nyinyi mnaowo sema eti Juma kamuataki guys njo kazi yama Redio sasa kama hawawasemi watatowa wapi habari? Mbona hawakuwema kibaya?? Mbona niwengi wanawo ongelewa ??
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 23 сағат бұрын
Kuolewa kwenye hii familia ni shughuli l
@sofiasimbasimbasofia2420
@sofiasimbasimbasofia2420 23 сағат бұрын
Sana tena mitihan
@leokamil6284
@leokamil6284 20 сағат бұрын
Familia za kimaskini zikipata fedha au kwenye fedha ndio huwa hivyo
@upendokariro4252
@upendokariro4252 Күн бұрын
Toka huko mshenzi wewe una Roho mabaya unatumika kibaraka unamuonea saana mtoto wa watu yatakukutaambo
@Deboramartin-z2m
@Deboramartin-z2m Күн бұрын
Tulia naweww kwani zuchu sio king,ang'a kweli au naww ni ivo ivo tulia ww
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 11 сағат бұрын
@@Deboramartin-z2mMwacheni mtoto wa Watu Mungu atakuonesheni kwa watoto wenu kwenye matumbo yenu. Zuchu hana habari na nyiye wala hasikilizi na hasomi comments za kijinga.
@dativaalbogast8788
@dativaalbogast8788 11 сағат бұрын
acha kielele juma lokole ww ni mwanaume umbea wa nini ovyooo
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 11 сағат бұрын
Mtangazaji tushachoka na habari za Zuchu.... Nafkiri Kuna kuliko Zuchu hapo Bongo kwa uhuni. Umeshika Zuchu anachezewa... Sasa unataka achezewe mkeo? Bora utowe habari za Bongo kwa ujumla kama hivi... Ma Baba wengi wa kiBongo wanawaharibu ma binti zao na wanazaa nao watoto na wa kiume wanaharibiwa na wajomba zao na mengi yanatokeya.... Hayo ndio uyatangaze siyo Zuchu 24 hours.
@SarahMaloba-gd4yf
@SarahMaloba-gd4yf 23 сағат бұрын
Shogaaaa
@Haji-yr9db
@Haji-yr9db Күн бұрын
Juma umezid sasa hebu muache zuchu apumue heeee wewe ni,wakiume acha
@thethejuma3119
@thethejuma3119 22 сағат бұрын
Mwanaume wa hovyo sana...unaeza pata uombewe hata mauti....why do organisations entertain such idiots?!?!?! Huyu ni Netanyahu tu mwengine....jinga sana
@HalimaSingano-m4r
@HalimaSingano-m4r 10 сағат бұрын
Zuchu ache ujinga
@alanoudalseari7208
@alanoudalseari7208 22 сағат бұрын
basi wamuona zuchu tu wegine mbona hamwaoni mnamharibia jina pamoja namjiki
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 11 сағат бұрын
Kwa Zuchu jina lake haliharibiki maana Zuhura alivyo kuwa mdogo alikuwa hali Mama ntiliye... Wivu na hasada... Zitakuuweni. Wao hata habari hawana.
@mmomaone
@mmomaone 21 сағат бұрын
Kwa nini hamuongelei kazi zake kuipromoti albam ingekuwa Sawa ila badara ya kuzungumzia hiyo albam nyie mna mnyanyasa kiakili wakati anachangia nyie kupata mishahara
@comm611
@comm611 Күн бұрын
ejuma...kunanini. aswa
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 11 сағат бұрын
Juma yuwataka kuolewa na Diamond 😮 ili amletee wajukuu Dangote... 😂😂😂
@Shuu.A
@Shuu.A Сағат бұрын
​@@awatifalghanim1106😅😅
@RemiTuva
@RemiTuva 9 сағат бұрын
Mujinga ww
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
KAMA NI HIVI BASI DIAMOND HAMPENDI ZUCHU,,,MAKUBWA HAYA!!
8:41
THE THIRD TV
Рет қаралды 168
DUNIA (Ep 41)
22:18
ASMA FILMS
Рет қаралды 111 М.