man with melodies for days..from Kenya with love! I have all your music mpaka ugali...Legendary story teller!
@superhemed759011 ай бұрын
Juma humu umeelezea vzr sn bro km ukiwa ujalewa unakuwa mtu powa sn. Acha pombe ndg yetu urudi kwny game km zaman unaua kipaji na historia yk nzuri ndg yetu tunakupenda sn. ACHA POMBE LETA MASHAIRI HALISI YA NATURE MZEE
@mhinajerome596411 ай бұрын
Nimekuelewa Sana huyu jamaa akiachatu pombe ujue anarudi kwaharaka Sana
@donobi77Ай бұрын
Kenyan here , music ya Juma napenda Sana , Tanzania kwa hip hop wakati wa TMK mlikuwa juu
@ray45king8410 ай бұрын
R.i.p BK... kiungo muhimu sana kama gundi kwenye kundi la Wanaume. Ahsante Nature kwa kumpa shavu kwenye Sitaki demu rmx, Mbichi hizi,Tatu bila,Yaliyopangwa na Mungu..kama emcee ,BK,Dollo na Bob Q wapo underrated sana..Respect
@dadydry4858Күн бұрын
Word😢
@jilalamaligisa48548 ай бұрын
Kipindi kizuri na Juma Nature ni moja ya watu waliobeba historia ya muziki wa bongofleva, mahojiano haya yangefana sana kama mtangazaji angekuwa mkongwe pia na anayeujua, kuufuatilia na kuupenda muziki wa bongofleva tangu zamani, hakika kipindi kingeshiba sana lakini hakijapendeza kabisa kwa sababu mtangazaji hajahoji mambo yote ya msingi na kwa kina mfano TMK Wanaume Family ilianzishwa mwaka gani, ikavunjika mwaka gani na Juma Nature kuunda Wanaume Halisi, yaani miaka mtangazaji haulizi wakati kipindi hiki kinaweza kabisa kuwa rejea ya mtu fulani aliyeamua kuandika historia ya muziki wa bongofleva au ya Juma Nature. Tambua Juma Nature ni msanii mkubwa sana na mkongwe sana na anayepaswa kuheshimiwa sana katika muziki wa bongofleva hivyo unapomhoji jitahidi kuuliza maswali mengi na ya msingi kwa faida ya kizazi chake, cha sasa na vizazi vijavyo. Kifupi sijapendezwa na mtangazaji, sina chuki naye binafsi na simfahamu ila sijapendezwa na alivyofanya mahojiano kwa msanii mkubwa kama Juma Nature, hajamtendea haki.
@NesunMejahАй бұрын
Huyu mtangazaji sio mkongwe!? Toka anaitwa sister Dread channel 5 EATV kipindi cha raggae music mpaka sasa baby kabaya, we unasema sio mkongwe!?
@NgengeMkeni-uo5hq10 ай бұрын
Huyu mtangazaji hajui mziki wala hajamfuatilia Juma Nature vizuri kabla ya kufanya nae mahojiano.
@bish_daddiyao10 ай бұрын
Kibla nature❤💥kaka Saidi my tune of time😊
@devymwanjala112310 ай бұрын
Nakukubar sana nature kwenye sim yangu zimejaa nyimbo zako
@pajambeshi734711 ай бұрын
Namekubali sana msani wangu bora wa muda wote
@madaiincubationcenter494711 ай бұрын
Watu wanafiki sana, Juma Nature kama asingedanganywa ajitoe kwenye wanaume family Leo hii asingekua hapo alipo, halafu waliomdanganya wanayoka hii hii kitu ambayo love hii ameitea tena waje wamcheke
@dr_deo11 ай бұрын
Juma Nature ni hazina kubwa sana...a living legend
@simonrusigwa302410 ай бұрын
Wimbo HISTORY sijaupata. Nimeutafuta sana sana. Holaaaa
@ShedrackTunje3 ай бұрын
Aaah neture ungeenda kwa hio show bro
@allykota83557 ай бұрын
Yani Juma kapona kweli uchawi upo yani Juma leo kaongea vizuri sana
@gatsonmatiko800011 ай бұрын
Safi sana musitu wa vina sanecha
@MassoudAlly-c9e11 ай бұрын
Uyu mama haku fit kabisa kumuhoji juma😅
@NgengeMkeni-uo5hq10 ай бұрын
Hajui mziki wala historia ya Nature, yaani yuko hapo kama ndugu msikilizaji tu
@loner_wolf2 ай бұрын
MMMH , YAANI UTOKE JITEGEMEE SHULE YA PRIVATE UHAMIE KIBASILA SHULE YA SERIKALI ....... ?😅😅😅😅 NAONA ULIMI UMETEREZA KIONGOZI .
@BarakaSety-gn3dj11 ай бұрын
Acheni hio tabia mungu ndo amewafikisha hapo mlipo... Tunaomba mtusaidie from simanjiro
@lampadshigonko300611 ай бұрын
akusaidie mungu wako.. acha kulilia watu
@emmanuelkitomali314310 ай бұрын
Hii interview inadeserve sehemu ya pili aisee , kuna vitu bado natamani kujua zaidi Issue ya kuondoka tmk chanzo Nini Issue ya Sinta Nadhani ingetufanya tumjue nature zaidi. Babie plz em fanya namna basi
@IssaKhamis-v9y2 ай бұрын
tmk ilivunjika VIP mpaka ikaja Ndege tunduni
@Lucyrechard9 ай бұрын
Nkunda sta
@alexmoses143011 ай бұрын
Napenda sana kumsikiliza nature utamani amalize kuongea
@labanimakangila-il4fw11 ай бұрын
Hatari sana msitu wa vina
@DanielPallangyo-h5f10 ай бұрын
Nature yn ni mtu wa wa2
@AMwamzola9 ай бұрын
Sister nilikua namkubal Uyo jamaa
@BarakaSety-gn3dj11 ай бұрын
Mbona mnakuwa tofauti natunavo wasikiliza Wana clouds
@ip_header11 ай бұрын
Quality ya camera kama miaka ya 90's, mbona mna rudi analog wakati mmeshafika Digital 😊
@ShedrackTunje3 ай бұрын
watoto wa 2000 Hawa kujui mwamba
@Lucyrechard9 ай бұрын
Nkunda staa
@OllerDesononline633310 ай бұрын
Hahahahahahahahah😂😂😂😂😂😂 eti kiroho sayona.
@lujobilz748211 ай бұрын
Nature Nature Nature Nature Nature
@enockmbogoni-lw4bp10 ай бұрын
Wakike yule haaa demu
@JoackimuGeorge-t8y11 ай бұрын
Absolutely to him we lov you
@MgishaJonasi10 ай бұрын
Kirobotoooooooo
@IssaKhamis-v9y2 ай бұрын
nakukumbuka ulikuja forozani zbar nilitoroka shule Mwaka 2000 na Na j mooo. ukapiga sitaki demu na j moo akapiga wewe bishooo tu