Nimempenda Zari bure. Yaani ata haringi. Safi sana dada. Karibu Tanzania kwetu. Wifi yetu. 😊
@bertharobert88417 жыл бұрын
😁😁😁😁
@renaldakamugishazeramulake9407 жыл бұрын
Sweet Mama wifiiiii safi sana habuyi unga.
@mselakingsley67077 жыл бұрын
she is humble, simple me like her too.........
@halimaharun66497 жыл бұрын
Sweet Mama n
@florachacha63647 жыл бұрын
its so amazing
@charitymbugua71105 жыл бұрын
I wish this thing could last forever...….ZARI you have always been the BEST
@abdulamorzinho.98857 жыл бұрын
very sweet and humble mom and a wife... big love from somalia.. zari and the simba big thump..
@ruthwairimumwenja58095 жыл бұрын
Zari is like a mother speaking for his son.Too much love.Looking forward to see you together again. Diamond alijikoroga
@stellaloves98795 жыл бұрын
Saa hii anajuta coz ata yakonda tangu wachane na zari ajapata mke WA kumtuza
@shamimiob37527 жыл бұрын
Zari thanks for rising our Ugandan flag keep on going bosslady
@johnmasunga.nsolezi98267 жыл бұрын
😁
@Africangyal5 жыл бұрын
She's Tanzanian not Ugandan
@halimambwego82877 жыл бұрын
Zari uko vizuri mama.... So smart zari
@teresiamuthaka71004 жыл бұрын
Who is here after zari coming to Tanzania,,love you mama tee na baba tee
@julysteven95537 жыл бұрын
zari bhana kiswahili chako sina mbavu.love u Jah bless you're family
@anazzohfreddoh3216 жыл бұрын
Zari is ever a wonderful lady very humble and blessed with electrified beauty wow How I wish I could meet her for advice Zari God bless you more with your niggah Platnumz
@kazungubakari26037 жыл бұрын
huyu Dada mtangazaji makini sana anajua kucheza na interviewee vizuri hongera sana dada Sakina na anatangaza kiuhalisia yaani hana mbwembwe aisee zipo sifa nyng juu yako lkn utangazaji aaaah umenishika
@blackandblackandblac7 жыл бұрын
Kazungu Bakari FACT
@yusraalsein32747 жыл бұрын
hio
@saumuhassan13657 жыл бұрын
Exactly my brother yuko vizuri sana mtangazaji
@rasykizanjbari49964 жыл бұрын
Hata na mimi nimempnda sana mtangazaji
@fatiafat34757 жыл бұрын
for sure he is everything a woman needs i can see life is good
@zaitunabdul46557 жыл бұрын
zari the boss lady!!lov u
@helao24304 жыл бұрын
Zari loves this man...and diamond needs to get back to her... She is not even shy with her love..
@brakedancing62697 жыл бұрын
Congratulations Zari for sharp and pragmatic mind.
@jackilinemwanja65964 жыл бұрын
zarii CNA cha kukuambiaa my zaidi ya kukupenda,kiswahil safiii,japo c mtanzania,ni mwanamkee wa pekeee kwa mond,umemfungulia uzaziii kuitwaa baba,sema ndo tamaaa zakee,,atapataa tabuuu sana,I love u zarinaa Hassan,mmmwaaaaah
@marthamarionwamayeku25314 жыл бұрын
2020 still watching, Diamond you lost a good wife
@christinemukopi1494 жыл бұрын
Oli eno yaani, mbo good wife
@marthamarionwamayeku25314 жыл бұрын
@@christinemukopi149 🤣🤣🤣🤣
@evelynchepkoech93814 жыл бұрын
He did for sure
@farhiya22057 жыл бұрын
I really admire you,zari and Diamond keep it up 👏👏
@PeoplepowerAgent6 жыл бұрын
I wish days can go back miss you guy's together
@Kimsegel7 жыл бұрын
Zari youre such a strong woman. love love you
@leaherasto56863 жыл бұрын
Zari mzuri Sana bado Niko apa 2021 sichok kuangalia
@sallykanze7 жыл бұрын
Interviewer yuko sawa sana,penda sana Zari jinsi anavyoongea Kiswahili, nawapenda sana Zari na chibu
@katendenadia33194 жыл бұрын
Since diamond left zari bosslady I was so sad about that I wish they could be together wlai it was nice couple but I love you all
@nafunabrenda42774 жыл бұрын
Am also praying hard 4 dem 2 come back 2gether
@angelahmoraa54725 жыл бұрын
Nitaanza kufunga juu yenu wawili hili mrudiane insha'Allah 🙏🙏🙏🙏
@lisajackson58675 жыл бұрын
kbsa dear tufany hiv my
@naligirl20985 жыл бұрын
Atamimi
@stellaloves98795 жыл бұрын
Hehehehe
@sabushimikeannonciate87694 жыл бұрын
Kumbe wakaachana?🤔🤔🤔
@ireneakinyi20825 жыл бұрын
This was wow I wish this family can come back
@shamimushittindi14185 жыл бұрын
Never
@christinebelinda34984 жыл бұрын
@@shamimushittindi1418 sasa wamerudi pamoja utasemaje sasa dada
@maryrobert44126 жыл бұрын
Perfect interview!! Zari you know how to answer question madame you are real the bossy lady
@leahwhite66907 жыл бұрын
Diamond picked who he wanted 2 be with his gueen Zari. They are a strong beautiful family
@linahfinegirl5 жыл бұрын
Too bad diamond is a he goat
@nellyliz99016 жыл бұрын
I love u all people from Tanzania and God bless all
@joleenmasha7 жыл бұрын
ilove her she is a strong women watu wataongea tu
@dymesk6507 жыл бұрын
zari is so down to earth..new fan from Narobi
@phionahvivian64916 жыл бұрын
Ugandan ladies are so loving,big up zari.
@phiylismoraa75493 жыл бұрын
2021 still watching diamond go back to zari she is your really wife God gives you with two hards
@mariamsaid20145 жыл бұрын
This people had a good chemistry....
@rayyanjulliet46945 жыл бұрын
Father LORD IN HEAVEN PLIZ DO UA WONDERS UPON ZARI & CHIBU...WISH THEY CAN COME BACK TOGETHER...
@Nedjadist7 жыл бұрын
"kuna vitu vinatokea-tokea huko...lakini most important he shows me respect" What a mature woman!
@nickydymphine78956 жыл бұрын
I love this family for sure no words can explain this
@karolynahmeridah91876 жыл бұрын
Please zari forgive diamond and come back.. you were godly made couple
@nalubegafauza10074 жыл бұрын
I dont understand kiswahili but am enjoying the bosslady
@teba11627 жыл бұрын
so beautiful. ..i luv you you too. .God bless your familly. ..
@merciekrhona38007 жыл бұрын
she is fluent when I grow up I want to be like Zari this lady is goals
@suriabahati84306 жыл бұрын
Ur still the best woman luv u
@congratskendy18456 жыл бұрын
Aoe tanasha ama asimuoe kwa zari siwezi toka more love ma nee
@rehemamuhamudu14925 жыл бұрын
🥰💕
@habibaliuti33615 жыл бұрын
Mond yaani hii couple daaah!!! Yaan Umepoteza mtu makin saana yaan
@naligirl20985 жыл бұрын
Kwelly kabisa
@stellaloves98795 жыл бұрын
Na hapa mod alikuwa na mwili kidogo saa hii ata Ana afya
@fatumamrihani82717 жыл бұрын
she is very cute ZARI...i lke the way she talks
@mselakingsley67077 жыл бұрын
Jameni iyo familia ya chibu na zari mungu awajalie.............
@queendama88963 жыл бұрын
Nani amekuja kucomfirm ile picha wamepigwa pamoja Zari na Diamond ...hawa wanapenda sana💝😘
@okafotheafricanboy7 жыл бұрын
THE BOSS LADY WE LOVE YOU
@githice7 жыл бұрын
You can't blame Diamond, it's totally understandable.... Zari is strikingly beautiful
@aagdf14207 жыл бұрын
Wote moo juu nawafagilia mungu awpe maisha marafi na familia yenu
@Christellasuggs4 жыл бұрын
Zari: he is everything a woman could ever need Hamisa: okay
@foscakblessed36483 жыл бұрын
Sad story 😢
@fatiafat34757 жыл бұрын
i love these two love birds
@emmanuelmsigala13747 жыл бұрын
Fatia Fat ,Endelea kuwapenda, wakati familia yako debe LA Maindi 27
@fatiafat34757 жыл бұрын
Emmanuel Msigala kusumaka
@abdallahmchame47697 жыл бұрын
zari muongeajiiiiiii ahaahahaha i love her
@edinajackson44417 жыл бұрын
your a good and strong women for your decision lv uu mpaka bas
@rakeshchoprarakeshchopra71902 жыл бұрын
So cute my sweet sister God bless you forever.
@wagrandykez45705 жыл бұрын
Nani anawatch 2019
@naligirl20985 жыл бұрын
👆
@jeanneandfrancislifestyle15185 жыл бұрын
2020👀
@sirlankagirl62564 жыл бұрын
😂😂😂
@khadijambuta43607 жыл бұрын
zari unahongea vizur hadi raha mashaallah
@linahfinegirl5 жыл бұрын
2019\21\12 this so bad diamond uliacha mwanamke mzuri aki ngombe hii ,but tunakupenda tu hapa Kenya
@anithasamwel12137 жыл бұрын
nice mam nillan na baba nillan nawapenda san
@shanimbaruku20717 жыл бұрын
Safi zary me nakupenda sana😍😘
@africanchild45257 жыл бұрын
Wamependeza wenyewe. Zari ni mzuri na anajielewa. Mungu awazidishie
@mamujally38147 жыл бұрын
God Bless them.Ila kama ndoa bado bidii muhalalishe mujivue kweye zina
@susannjagi82126 жыл бұрын
Hongera zari, ur such a mature lady.
@mariamunyange29282 жыл бұрын
Mungu ndie mpangaji wa yote!napenda sana hii familya!
@khadijaomar7677 жыл бұрын
congratulation Zari
@MariamMohamed-bw8xf6 жыл бұрын
Daar zari sisi pia tuna kupenda mwaaah 😘
@ikhlassabud4377 жыл бұрын
hapo si sawa zari uliposema kua mtu ambaye hajawahi kuskuma mtoto hajui uchungu mm nimelelewa na mama wa kambo ambaye hakuzaa anavyonipenda na anavyoniskilia uchungu nakunijali na kunitunza kunipa malezi bora amewashinda wengine walozaa. wangapi wamezaa wakawatupa watoto? wangapi hawawalei vyema? chunga mdomo.
@Africangyal5 жыл бұрын
Hapo Ikhlass umeongea ukweli. Mamangu aliyenizaa amenitesa maisha yangu yote. Ananitukana na kuniaibisha mbele ya watu. Mpaka naona hata afadhali nisingezaliwa, ama angenipeana kwa wazazi wa kambo. Babangu pia aliyeaga akanitendea mambo yasiyotajika.Wazazi bure kutoka ibilisi. Heri sazingine mzazi wa kambo 💯
@salmaalimusa5475 жыл бұрын
@@Africangyal Pole my dea daaa
@naligirl20985 жыл бұрын
@@Africangyal mama nina awenzimuringanisha nawakabo
@sofisofisanatuwamezidikumf8844 жыл бұрын
nikwer kama huja sukuma hujui uchungu
@pilfilhabibkarim67317 жыл бұрын
smart family much luv 💋
@nellyliz99016 жыл бұрын
Muko smart woow. Mashallah😍💋
@janechance66037 жыл бұрын
zari you look beautiful
@aminaally38175 жыл бұрын
Napenda kiswahili chairman Zari
@brendabahati68567 жыл бұрын
Thats great. My dear Zari, you know kiswahili? congrats.
@zuhuraramadhan78274 жыл бұрын
Jaman hongeren sana kaka yang Na Wifi yang mmependeza japo kaka umenitenga
@khalfanmanga18164 жыл бұрын
Nmependa zari alivossma aaah mwenzangu unajioonaa
@happymesack12027 жыл бұрын
jamaaaani ,love them
@faridamwanjalabaibe30777 жыл бұрын
NAKUPENDA SANA ZARI UNAVYOJIELEWA HONGERA CHIBU KAPATA MKE WA KIUKWELI
Kumbuka diamond zari ni wako wamayisha aca kuzunguruka iyi ni duniya mungu akujariye ufungure maco
@mercymyrah86777 жыл бұрын
zari nakukubali sana ila hapo kusema alozaa ndo anauchungu umebugi wanawake kila siku wanazaa na kutupa watoto...roho ya mtu tu unaeza kua na huruma na uchungu kwa mtoto
@emmanuelmsigala13747 жыл бұрын
mercy myrah ,we ni PUMBUU
@ashaherzog44887 жыл бұрын
mercy myrah pengine ameeleteleza Kiswahili sahihi ila sithani amemaanisha vibaya
@mercymyrah86777 жыл бұрын
Asha Herzog poapoa pamoja
@lucysalvatory8357 жыл бұрын
mercy myrah ukiwa hujui lugha fresh unaweza kuongea kitu wenyeji wakakuelewa vibaya ila tatizo linakuaga upungufu wa misamiati iliyoko kichwani
@SamiraSamira-oe4xk7 жыл бұрын
Hi
@maryamathman89175 жыл бұрын
Jamani diamond haya maneno uliyotamka hapa venye unalelewa vzr shetani gani alikuingia kakngu yani hapa kwa zari ulikua umepata
@lisajackson58675 жыл бұрын
kwel my jmn tumuomb Mungu warudian jaman
@ceninibe76224 жыл бұрын
@@lisajackson5867 😎😎 ombea mahusiano yako kwanza
@Nimayoutube7 жыл бұрын
wifi yetu umejitahidi my love
@christinengumbi9336 жыл бұрын
Good love keep Zaria outstanding...
@janechance66037 жыл бұрын
she look beautiful
@sheilatezura71114 жыл бұрын
Still watching in 2020.
@nasrasway71432 жыл бұрын
Uganda Tanzania
@wakembetajaphary81837 жыл бұрын
Allah awatangulie ktk maisha yenu,,,
@doreenmalesi60397 жыл бұрын
Zarina uko safi sana umependeza mondi naye anacheka tu
@saidejigo52087 жыл бұрын
Doreen Malesi good dop
@faridavundi33377 жыл бұрын
I admire you guys, zari you are extra ordinary girl
@annaswedy57126 жыл бұрын
Nakubal urembo wa zari no one be like u ungera beautiful mom
@queendama88965 жыл бұрын
Aki walai Diamond uliacha mwanamke Zari mwenyewe💯✔❤
@stellaloves98795 жыл бұрын
Aki hapa diamond alikuwa happy siku hizi ata Ana raha