Jamani ivi waislamu tumepatwa na laana gani? Yaani miimbaji taarabu, mipiga guitar na mipiga piano yote miislamu. Kweli mnatuaibishia dini yetu. Tunaskia hayaaa
@patriciamassawe64967 жыл бұрын
Seif Abdullah 😁😁😁
@naimasaid56047 жыл бұрын
Innalillah wainaillehi rajoon......
@sweetmama32427 жыл бұрын
Seif Abdullah Minaona ni biashara tuu jamani. Acheni dini pembeni. Watu wakale wapi? Wakale msikitini? Acheni zenu. Kila mtu na IMAN yake.
@nohatredbutlove57867 жыл бұрын
Sweet Mama sijakataa kama kila mtu na imani yake. Basi na wao kama wana imani isiyokua ya uislamu wabadilishe hayo majina matukufu. Me kama wengekuwa sio waislamu hao unadhani ningefungua mdomo wangu?
@ramadhaniselemani18577 жыл бұрын
sasa wewe unanalalamika waislamu ndo waimbaji ..n.k..swali ,wewe unatafuta nini ytube kwenye channel kama hizi? because muislamu was kweli hastahiki hata kuangalia issue kama hizi.
@salhamm7427 жыл бұрын
Alaa mungu awafanyie wepes muweze kujielewa shabab ni yeye humuongowa ampendaee
@nellyrema55462 жыл бұрын
I love Fatma Nyoro, sending you lots of love 😍 😍
@ahmedtaribo63522 жыл бұрын
Sawa mamiii Fatma Nyoro
@mwanahalimamwachili96797 жыл бұрын
Shukran Ng'ari Ng'ari pia Shukran mkubwa fella hongera sana.Hongera pia kwa Timu nzima ya Yah Tmk.Kikosi hatareeee kina mangwinji wa uhakika.
@zakiaurebo30557 жыл бұрын
namkubali sana fatuma nyoro big up
@dr.abdinassir68077 жыл бұрын
Mlisho Mndolwa ndgu yng ayo mambo mjuzi zaidi Mungu mi nimefurah kuona ivo
@ramadhuwezjua36566 жыл бұрын
maisha magum baadeunamuomba mungu akusamehe Rama dig huwez jua
@p.kasongot9797 жыл бұрын
Bi sakina nakupenda bure mamy😍😘😍
@jumamzonge17505 жыл бұрын
daaaah, uyu mama mwanahawa mpumzisheni jamani
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Ina lilah waina ilahi rajiu yarabi tunusuru na balaa za dunia inshaallah
@salamakadzo2407 жыл бұрын
Mashallah waislamu mna vipaji Sana kuliko ss wakristo tunavipigia kanisani hivyo vyombo mungu awalinde kwenye mziki wenu
@sakinandoile94397 жыл бұрын
Salama Kadzo subhanallah
@MaryamMaryam-ij3uw6 жыл бұрын
Salama Kadzo kipaji gani wanatuaribia dini yetu tu mwenye kipaji anahifadhi qur ani na kuitangaza co kuimba ni upuuzi na mungu anachukia
@mwajaambetapandu2734 Жыл бұрын
Mpigaji kibod❤
@dr.abdinassir68077 жыл бұрын
nashkuru kuskia *Jahazi* imekufa yani dua za mzee Yusuph zimepokelewa xx uko mlipo enda laana zenu wenyew # Alhamdulillah
Mlisho Mndolwa hujasema vizuri ukiwa kama muislam kwasababu hata enzi za manabii watu walifanya mambo makubwa lakinwisho walitubia
@alima78627 жыл бұрын
+Mlisho Mndolwa wumekose ya muze kashiba jomana. kaca. sivo wako wenye shibe ila wana liya wulafi. hawawokopi mungu
@saedbare87335 жыл бұрын
Mwanahawa kaaa ulete istikfari
@aishamnemo95244 жыл бұрын
hehhee nimependa hio shemegi ndo uzima wangu
@dotodoto42325 жыл бұрын
nawakubaliiiiii sana pigeon kazi
@mira-gq3qg5 жыл бұрын
Mungu awasamee
@TheSalma19997 жыл бұрын
Wow huyo mpiga kinanda anajua sana
@reemiiomar93867 жыл бұрын
subhanaAllah anatoa rizik n Allah ukimtengemea yy huko rizk yk ila sio kung'ang'ania hy iblis Mzee yusu sai haimbii anakula n familia yk ama hali , tumcheni mola dunia mapito tuu
@mlishomndolwa12227 жыл бұрын
Reemii Omar .tambua Hakuna riziki Kitako. Mzee Yusufu anakula lakin anachokila alikikusanya hukohuko kwenye taarab tusidangayane
@aishaeliaslocalmusic84967 жыл бұрын
Mtangazaji uko professional
@mwaminimusa26287 жыл бұрын
jembe gumu bwana.....kumbe hajabaki nyuma hahahaha mpaka kwa fela. all the best mama
@berthanzowa61474 жыл бұрын
Namkubal sana fatma nyoro
@ummusamira35187 жыл бұрын
Innalilahi wainnailaihi rajiuni eti nitakula nini nawanao mtihani huu yarabi tustiri waja wako wasiomuogopa allah na adhabu yake kwani kazi za kujituma hakuna mpaka kharamu kuifanya halali?? Muogopeni allah mzee yussuf ndio mfano mtizameni kwa macho mawili Na akili tafakarini kiundani
wamama. watuwazima bado munatinda nyusi nawuyo wimbo wako wunakuelekeya. murudi kwamolawa.wenu.
@husnamarandu83807 жыл бұрын
hatariii!!
@saudashabani91007 жыл бұрын
kwa kweli ni mtihani mkumbwa ebu rejeeni kwa Allah ndugu zangu kabla mauti hayajakufikeni nyinyi ni waislamu nanadhani dini munaijua ninawakumbusha jamani