JUSTIN KESSY:GAMOND ALIJIFICHA KWENYE KICHAKA CHA KOCHA NABI?SIMBA WANAHUSIKAJE KUSHUKA KWA YANGA?

  Рет қаралды 22,840

BENTV MEDIA

BENTV MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@veelmng7746
@veelmng7746 3 күн бұрын
Namkubali sana , always yupo direct kwenye mpira hana mambo ya mipasho
@GodwiniFwelo
@GodwiniFwelo 3 күн бұрын
Justin kessy nakukubali bro hujachambui kimapenzi. Mpira unaujua. Alaf Ben tv anatuletea wale walio pewa pesa kidog nakuahidiwa kitu fulani. Kam frij bovu simpendi kam nn
@neysonchris931
@neysonchris931 3 күн бұрын
Jastin Kessy kaka wewe ni mchambuzi namba moja kwangu mdaa wote bro
@EmmanuelJohnMussa
@EmmanuelJohnMussa 4 күн бұрын
Jastin Kessy ni mchambuzi ambaye huna uchambua mpira achambui kiubiki kama wachambuzi wengine ni mchambuzi bora sana👏👍
@RashidMsangi
@RashidMsangi 4 күн бұрын
Bro kwako sina deni,kazi yako Iko sawa
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 4 күн бұрын
Inshallah justine kuitabilia yanga mazuli
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 4 күн бұрын
Kessy ni shabiki wa yanga ndomana muda wote anapenda kuchambua mpira wa yanga muda wote kuliko azam na simba
@khadijajumanne3324
@khadijajumanne3324 2 күн бұрын
Minafikiri unatajamajina tu na majina ndio yame iponza man city na wanapigwa tu vizuri itakuwa hao vyuma mwiko
@YusufuMwamlengaMwamlenga
@YusufuMwamlengaMwamlenga 3 күн бұрын
Niliwahi kusema hapa,gamondi alikuwa anatembelea upepo wa nabi nikatukanwa,alafu pia ngoma ikivuma sana upasuka😅😅
@dicksonngasapa7007
@dicksonngasapa7007 Күн бұрын
Simba wapo vizuri , Mimi ni mshabik WA yanga , nasemaukweli Sasa wapo vizuli , ila utani wetu Simba na yanga iendelee ,yanga nikubwa
@boxdad
@boxdad 3 күн бұрын
Yanga hamna mshambuliaj usitudanganye bro Na I don't know why wanaendelea kulipwa pesa ndefu na hawafungi
@EmmanuelJohnMussa
@EmmanuelJohnMussa 4 күн бұрын
Jastin Kessy. Ana angalia wasilia wa Mpira ni fundi sana wa Mpira.
@AneirAme
@AneirAme 3 күн бұрын
BRO. Ww. Unajuwa sio hao wachambuzi. KOKOZIi. Hawajuwi. Begi. Wala sanduku
@dicksonngasapa7007
@dicksonngasapa7007 Күн бұрын
Wewe unasema hatuna mshambukiaji lakini tumeona tunavyo wafunga Simba mshambukiaji anatoka Simba's 😅😅
@dicksonngasapa7007
@dicksonngasapa7007 Күн бұрын
Nzinze alipambana kutetea nchi , na alikua akitoka wakati bado anajitafuta sabu badae zinge kosekana
@mossesjoseph2202
@mossesjoseph2202 2 күн бұрын
Maana halisi ya Mchambuzi
@musamakuhana2200
@musamakuhana2200 2 күн бұрын
Sasa km mtu anachambua mpira makolo nyie kinawauma nn kwenye coment
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba 4 күн бұрын
Gamondi kuna kosa kubwa alilifanya tunalijua, wewe labda ujui kwa nini katolewa,
@ErastoChilanza
@ErastoChilanza 3 күн бұрын
Kosa gani hilo nataka nilijue bro
@GabrielMpore
@GabrielMpore 2 күн бұрын
Unaujua mpira
@AbdallahSwedi
@AbdallahSwedi 3 күн бұрын
Vp simba na pamba?
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw 2 күн бұрын
kessy na kombe la f.a sahiv crdb
@suitbertmaro5792
@suitbertmaro5792 3 күн бұрын
Huyu mchambuzi mpumbavu analeta ubaguzi, achukuliwe hatua
@maxmiliankadawiibalaja2198
@maxmiliankadawiibalaja2198 4 күн бұрын
Justin Kessy wewe ni Miongoni mwa Watanzania 🇹🇿 Wachache Wenyekuusemea mpira wa miguu kwenye ukubwa na Uelewa wake
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 4 күн бұрын
Huyo kessy ni yanga ndomana anapenda kuchambua mpira wa yanga kila mara kuliko simba na timu nyingine
@mohdbest5859
@mohdbest5859 4 күн бұрын
Lina mahaba ya kuitilliza hakuna mchambuzi hapo ​@@ramadhanmahongole9293
@mohdbest5859
@mohdbest5859 4 күн бұрын
Lina mahaba ya kuitilliza hakuna mchambuzi hapo ​@@ramadhanmahongole9293
@kelvinedens2685
@kelvinedens2685 3 күн бұрын
uyu jamaaa alishasema akuna kama gamondiii yaaan uyuuu sioo mchambuz n mandaziiiiii
@MudhiryHassan-pq4se
@MudhiryHassan-pq4se 3 күн бұрын
Kaongea uhalisia ukipatia unapongezwa ukikosea unakosolewa na ikizidi ni kuadhibiwa
@SimonMabigi
@SimonMabigi 3 күн бұрын
Mandaz ni wewe mwenyewe hujasikiliza unaropoka umemusikia had mwisho we kolo usiyejitambua😂
@davidjoetv9595
@davidjoetv9595 4 күн бұрын
Shogaa ili
@JuliethLughuyu
@JuliethLughuyu 4 күн бұрын
sasa ulitaka unafanyeje
@africaendlesscruisingltd
@africaendlesscruisingltd 3 күн бұрын
Justin mimi nimekuelewa sana! Gamondi graph yake ilianza kushuka tena kwa kasi kubwa, na sababu ilikuwa ni ujeuri wake tu...
@Evance-op4jw
@Evance-op4jw 2 күн бұрын
kessy na kombe la f.a sahiv crdb
GB 64 ACHEKELEA KIPIGO CHA YANGA, AL HILAL WAMEWAFUNGA MIDOMO
23:36
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 26 М.
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 59 МЛН
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 10 МЛН
This Game Is Wild...
00:19
MrBeast
Рет қаралды 181 МЛН
When Cucumbers Meet PVC Pipe The Results Are Wild! 🤭
00:44
Crafty Buddy
Рет қаралды 59 МЛН