No video

Kūma kwonana Na ngui kimwiri Saudi Arabia nginya kwiyendia kimwiri kenya rugano ruo rwa EstaWanjiku

  Рет қаралды 17,122

WANDUA WA MWANGI

WANDUA WA MWANGI

Күн бұрын

Пікірлер: 148
@user-hm3cu3ym7c
@user-hm3cu3ym7c 3 ай бұрын
Aki wewe page yako ya facebook uko na simu ukiwa saudi na unasema ulinyaganywa simu..kwani mum wako akinishow uko karibu kumaliza contract alikua wazimu? Muhenanagia niki
@Shiko-qatar
@Shiko-qatar 3 ай бұрын
Haki huyu msichana tulikuwa tunafanya na yeye kwa familia Moja..am still in shock vile anaeza danganya haki...hio familia hakukuwa ata na any pet....Jesus Christ...may God punish her ..I wish I can reach that family niwatumie vitu huyu msichana anaongea
@user-hm3cu3ym7c
@user-hm3cu3ym7c 3 ай бұрын
She is my neighbour na tumelelewa pamoja mamake nikama mamangu aache uongo alimaliza contract vizuuuri sana na ata simu alikua nayo...na kwao wao wote ni watoto wanafanyanga vizuri sana kwa shule ni watoto werevu sana na masomo bt sijui shetani anatakanga aje na hawa watoto cz ata mama yake kichwa yake hiko sawa kabisa nani mama amesoma sana
@Sunshine_Amy
@Sunshine_Amy 3 ай бұрын
Alifika Airport akapiga simu asaidiwe fare,he he...but akiwa saudi the good samaritan aliona hatakaa juu hana simu....soo many loopholes of this story....its not adding up ....then amekuja kutangaza vile hujiuza...shameless generation
@ThankGod2024
@ThankGod2024 3 ай бұрын
Many women are using these platforms to reap money from the well wisher especially them that say “ don’t judge her “ 😂😂
@johnnjuguna365
@johnnjuguna365 3 ай бұрын
Hizi story za uarabuni nyingi ni za uongo kwani kabla hawajaeda uarabuni hizo ubwa na haya ma nyoka yoote zilikuwa zina hudumiwa na akina nani tena mbona wasichana dio hupata shida na men wako uarabuni and they have never complained
@anngithetha8117
@anngithetha8117 3 ай бұрын
Saudi kuna ubwa but ziko trained, but warabu wengi wanafunga paka lkn umbwa ni rare sana kupata nikidogo sana
@davidnjehia8373
@davidnjehia8373 3 ай бұрын
Kwîyendia kîmwîri nî ûthayo wakwaga kûnoga,,nî atumia aingî mararera ciana ciao na gûthûkûma
@wamaithachege4316
@wamaithachege4316 3 ай бұрын
It's demonic
@betty4670
@betty4670 3 ай бұрын
Stop saying it's laziness,hii ni spirit people go through hardships in life
@margaretnjoroge6107
@margaretnjoroge6107 3 ай бұрын
Kwani lazima mjiuzee?.. laziness of the highest order..
@sarahkamau9797
@sarahkamau9797 3 ай бұрын
Sometimes nisikianga mambo zingine nashidwa kweni nko saudi yangu pekee cox weee umbwa that is lie ,umbwa na mwarabu nikama maziwa na mafuta.
@LucyMaina-gq3ny
@LucyMaina-gq3ny 3 ай бұрын
Atah mm ndio najiulzaa
@MonikaKavata
@MonikaKavata 3 ай бұрын
Watu wamejifuza vibaya sana islamic awafugagi mbwa .ata ni heri ugetafuta uogo igine 😮😮
@kimennjeri5248
@kimennjeri5248 3 ай бұрын
There are dogs please even wild dogs but happy kwa kulala na dogs I fail to understand these ladies are seeking sympathy na uongo in all ways watumiwe doo
@Englishtelenovelas
@Englishtelenovelas 3 ай бұрын
Am in abha na kuna mbwa but they are wild not domestic
@kimennjeri5248
@kimennjeri5248 3 ай бұрын
@@Englishtelenovelas true we always come there and I see them even here Jeddah ziko wild dogs and some are kept as pets
@JuliahKangethe-tn6yd
@JuliahKangethe-tn6yd 3 ай бұрын
In every job only God's favour huhitajika, kusema kweli huku si kulahisi
@marykamau4447
@marykamau4447 3 ай бұрын
Mungu nifunze kunyamaza
@EstherWangare-nd9oc
@EstherWangare-nd9oc 3 ай бұрын
Mbona hawa watu hufanya Mambo mbaya kujikimu maishani wakishafika ukingoni wanakuja kutaka msaada? Mbona hawakuji before wagojeke
@user-ub6ro2uw4p
@user-ub6ro2uw4p 3 ай бұрын
Ebu nikuanbie madam hawa wasichana wa saudii wangekusaidia but hii story umejipikia ya kulala na mbwa imekuhalibia we support our own kama amerudishwa na mashinda genuine but hii hustle tu na njia ingine
@Sunshine_Amy
@Sunshine_Amy 3 ай бұрын
In as much as saudi aint 100% bed of roses....hakuna kuongea vimbaya ndio upeane interview ya uongo....
@TrizaWaithira
@TrizaWaithira 3 ай бұрын
Shiku bona husemi ulikuwa unafaya kazi ya pub kwambira na ulikuwa umeorewa natulikuwa tunaishi plot mmoja , so wacha uongo mingi talk the truth it will set you free
@wambuievelynwaithira
@wambuievelynwaithira 3 ай бұрын
Ninaona namjua kabisa mm niwa kwambira😂😂
@anndarling4825
@anndarling4825 3 ай бұрын
She is finding sympathy 😂😂😂 ukirudi home bila kitu na uko sawa shukuru mungu pigana na maisha acha uongo😂😂😂saudi mbwa ni za kichaka
@user-ub6ro2uw4p
@user-ub6ro2uw4p 3 ай бұрын
Part ya saudii ni uongo tupuuu😂😂
@user-cv1bo9ns6n
@user-cv1bo9ns6n 3 ай бұрын
Wewe nikujitakia ju hutaki kuchoka, secondly Saudi hakuna hizo vituko,ni wamama wagapi wanalea watoi wao,hayo yote ni maheni
@Eistream540
@Eistream540 3 ай бұрын
Some Islamic scholars consider dogs to be unclean and prohibit their use as house pets. Owning a dog is legal in Saudi Arabia, however. Only certain dogs are banned in the country, such as pit bulls, according to the website of the Saudi Embassy in Washington
@rosewairimu9237
@rosewairimu9237 3 ай бұрын
Maundu mangi nomakurigithie,hapa hata mimi siamini
@janengina-be7ln
@janengina-be7ln 3 ай бұрын
Wee honoka tondu wina ungoma muingi muno,
@webnejs5365
@webnejs5365 3 ай бұрын
aaaiii kai andu magurukaga saudi na ubwa wapi na wapi ona iria ikoragwo kuo ni cia barabara saudi ni kwa paka hura umaraya na njira ciaku tiga maheni
@Janengigy254
@Janengigy254 3 ай бұрын
Akuna dog 🐕 Saudia story za jaba ...
@Shiko-qatar
@Shiko-qatar 3 ай бұрын
She is lying .nimeshtuka sana she was working for my madams dota na tulikuwa tunaishi kwa nyumba Moja juu dota yake nyumba yake ilikuwa inajengwa...pple can lie
@gracenjeri5482
@gracenjeri5482 3 ай бұрын
Aki this is madness and lots of lies I know her ati akitoka kenya alikuwa virgin kubafu and yet u were married
@anndarling4825
@anndarling4825 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@wambuievelynwaithira
@wambuievelynwaithira 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂tugege wata but uongo 😅
@sophiagakure6256
@sophiagakure6256 3 ай бұрын
Kahìì konire ùrirù gùkìra gukawe😢😮
@jacklinewahome2416
@jacklinewahome2416 3 ай бұрын
Tutigithagiei...ni mbecha cia narua mwendete,nikio nginya mundu gukoma na ngui mutionaga undu munene.....if you give devil a chance..atakutumia na njia zote....ngui ichi.
@RebeccaNgarama
@RebeccaNgarama 3 ай бұрын
Pliz watu wa kufanya hizi inteterviews, acheni kutuletea watu hawataki kujoka,ukitaka kuchoka kuna kazi wewe ni muvivi sana kubali kufanya kazi.
@PaulineChege-zj8fw
@PaulineChege-zj8fw 3 ай бұрын
Acha uongo ukienda ulikua usha zaa
@ThankGod2024
@ThankGod2024 3 ай бұрын
😮ako na mtoto !??? wow ! I pity the people who buy these lies and send them their hard earned money .
@Carmen.sandiego365
@Carmen.sandiego365 3 ай бұрын
Hii Ni uwongo mtupu
@user-hm3cu3ym7c
@user-hm3cu3ym7c 3 ай бұрын
😂😂wanjiku winama wari Virgin?mbona mnaongeanga uongo ama watoto wenye uliachia mathy si wako?
@rosewairimu9237
@rosewairimu9237 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂umeamua kutoboa siru
@Shiko-qatar
@Shiko-qatar 3 ай бұрын
Imagne anadanganya tulikuwa tunafanya na yeye nyumba Moja ata hakuna pet .she was working for my madam dota wakakosana ndio akarudishwa Kenya...may God punish her haki ..nimemwona Hadi nikashtuka kuskiza rubbish zenye anapeana hapa
@cynthianganga3568
@cynthianganga3568 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂wee achaa kuchoma😅
@wambuievelynwaithira
@wambuievelynwaithira 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂weeh watu ni waongo
@ruthwanjiru2252
@ruthwanjiru2252 3 ай бұрын
Kindu kiuru
@ZippyLove-xs1ry
@ZippyLove-xs1ry 3 ай бұрын
Wah uwongo tamu njoo... Inaweza jaa Lori kumi trela
@user-qg7hu2nx3q
@user-qg7hu2nx3q 3 ай бұрын
Maheni. Saudi wanaogopa mbwaa aki😂😂😂😂
@maureenwanjiru4989
@maureenwanjiru4989 3 ай бұрын
Maheni matheri
@mixingvideos7613
@mixingvideos7613 3 ай бұрын
😂😂😂nlikaa saudi 8yrs na kupatana na mtu anafuga ubwa it's hard,maheni ni makii😂😂
@user-tf5sl3qm2c
@user-tf5sl3qm2c 3 ай бұрын
Ww wachana na hiyo story kuharibu jina last Saudis ingekuwa ni Lebanon nigekupali juu watu wa Lebanon wako na mbwa mingi sana
@virginiawairimu2419
@virginiawairimu2419 3 ай бұрын
Niko karibu kukuja vacation from saudi, niko na story ya jaba kuhusu saudi, unalipa how much😂
@rosewairimu9237
@rosewairimu9237 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂aki niue
@wambuievelynwaithira
@wambuievelynwaithira 3 ай бұрын
😂😂😂😂twende pamoja hii yote ni uongo about saudi
@lucynjoki9535
@lucynjoki9535 3 ай бұрын
Mwarabu anaogopa mende umbwa ndo atafuga,, maybe uyu ata ajawai nusia airport 🤣
@FlorenceMugo-hx2lp
@FlorenceMugo-hx2lp 3 ай бұрын
Wah!
@shikuhsymoh2859
@shikuhsymoh2859 3 ай бұрын
Wah very sad😢😢 I wish alivumilia kwa mwarabu mwenye alimchukua kwa barabara
@Shirusubukia-254
@Shirusubukia-254 3 ай бұрын
How avumilie aje n stranger
@Shiko-qatar
@Shiko-qatar 3 ай бұрын
How can i make voice note..i can give even prove if needed she was working for my madams dota na hakuna ata pet...she need to be told to take an oath if wat she is saying is the truth ...na umwambie if sio ukweli kitu itamfanyikia...jesus christ may God punish her
@monicanjogu770
@monicanjogu770 3 ай бұрын
Yani si ukweli...so ni laziness
@wambuievelynwaithira
@wambuievelynwaithira 3 ай бұрын
If it's true you can stop this fake lies
@ZippyLove-xs1ry
@ZippyLove-xs1ry 3 ай бұрын
Warabu ni mmngumu wafunge kumbwa especially W saudi
@marynduta4235
@marynduta4235 3 ай бұрын
AYA KAI NIMATUHENAGIAII MAYA MOTHE NIMAHENI
@Joycemugwe-y9h
@Joycemugwe-y9h 3 ай бұрын
Mwaka gani alienda saudi
@richardmathenge555
@richardmathenge555 3 ай бұрын
Noma
@RachaelNjeri-ml1sy
@RachaelNjeri-ml1sy 3 ай бұрын
Hao Watoto walikufa na miaka tatu nakwapicha niwakubwa ama ni mm sijaelewa
@Wanduawamwangi.
@Wanduawamwangi. 3 ай бұрын
Mapacha walikufa na 3 months alafu akazaa hao wengine wawili
@catherinewaithira2564
@catherinewaithira2564 3 ай бұрын
Islamic some they keep dog and I witness soo
@Beatrice-yy7ce
@Beatrice-yy7ce 3 ай бұрын
Wacha uongo saudi hawafungi mbwa peleka huyu mathare apimwe akili
@paulinekariuki-ny9jw
@paulinekariuki-ny9jw 3 ай бұрын
Wah Guys nipitieni niwapitiye back
@Sunshine_Amy
@Sunshine_Amy 3 ай бұрын
Nimekupitia ....kindly kwangu
@paulinekariuki-ny9jw
@paulinekariuki-ny9jw 3 ай бұрын
@@Sunshine_Amy done 274
@Sunshine_Amy
@Sunshine_Amy 3 ай бұрын
@@paulinekariuki-ny9jw ... Thanks 👍
@Shiko-qatar
@Shiko-qatar 3 ай бұрын
She is lying ..I swear by the living God she is lying...tell her to swear an oath if that's is the truth ...she was working the same house with me...she was a housemaid to my madams dota and akakosana na madam wake akarudishwa home...Khai madam sara I wish I could tag you here uongo vile shaghala wako anadanganya .. Hio nyumba ata haikuwa na any pet...anasema alikuwa virgin na ata aliacha watoi home kwao...I can tag ata chats zetu hapa nikiwa huko tukiongea na yeye
@wambuievelynwaithira
@wambuievelynwaithira 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂weeh anataka pesa ya bure😅
@Eistream540
@Eistream540 3 ай бұрын
Saudi arabia hakuna dog its only paka ubwa ni haram niko huku ten years
@MonikaKavata
@MonikaKavata 3 ай бұрын
Wambie na waache kutumikaga kuaribu jina ya saudi me nilikuwa saudi.kile najua warabu ni watu wa asira,na ukifanya haramu utajua the true colours yao awapendi msikla.alfu kila country kuna maboss wabaya ata kenya sio Saudi pekee.
@janewambui6011
@janewambui6011 3 ай бұрын
😂wacheni kusema hakuna Mbwa niko Saudi nje na kuna nyumba nilienda kulikuwa na maubwa na pillipino ambaye alikuwa responsible tulikuwa tunamshuku analala na hao mbwa nilikuwa wa kupika na mwingine Uganda wa usafi naye huyu plllipino maubwa
@user-cm2bv3hg5m
@user-cm2bv3hg5m 3 ай бұрын
Waaaaah aki huyu atuambie tu ukweli alimaliza contract akilala na mbwa,hio ni uogo,kwani wenye hukemboi sio watu hio ni uogo kabisa
@antonynkanata1834
@antonynkanata1834 3 ай бұрын
🙈🙊haha ndiuhi nguuga atea nihii men. Atiririi,kamaundu mathiaga-atea hihi🥱🥱😫. What makes pple go 2 the extreme and make others do the unimaginable...is it 4 real or this lass is just doing a story????
@PaulineChege-zj8fw
@PaulineChege-zj8fw 3 ай бұрын
C pesa hutafutwa.
@user-rf4pc6cr9l
@user-rf4pc6cr9l 3 ай бұрын
Saudi kuna but hii ni uongo
@paraminusbobo9928
@paraminusbobo9928 3 ай бұрын
This story is not flowing coz I intend to think of a dog & the way it's lock & u r not eating am not judging but weeh msirushe mawe am try to think of how things are
@margaretmumby2411
@margaretmumby2411 3 ай бұрын
Huyu si mwarabu alikuwa amekwadika…warabu huogozwa na dini na wanaheshimu mila na desturi zao
@puritykariuki4256
@puritykariuki4256 3 ай бұрын
Sema a true Muslim, wenye wanateza wasichana na kuwauwa si bdo ni Waislam, Mwarabu ni shetani
@Shiko-qatar
@Shiko-qatar 3 ай бұрын
Anadanganya tulikuwa tunafanya kwa familia Moja na hakuna kitu kama hio...alikuwa virgin na aliacha watoi kwao ..madam sara I wish I can tag you here
@luciekamau7512
@luciekamau7512 3 ай бұрын
Aache uongo .
@user-hs1qj8hm7m
@user-hs1qj8hm7m 3 ай бұрын
Wacha uwongo nimekaa 4 yr na warabu hawapendi mbwa
@Wanduawamwangi.
@Wanduawamwangi. 3 ай бұрын
2013 ulikuwa wapi??
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 3 ай бұрын
Inasemekana kwa dini yao, usiruhusu akunuse cz pua yake itakugusa. Nafikiri wanaita hii, najis.
@wambuievelynwaithira
@wambuievelynwaithira 3 ай бұрын
​huku Saudi ni ngumu sana kuona mbwa😂😂😂kazi huku si rahisi mtu akishindwa a anatafuta njia ya kutafuta pesa na njia is isiyo halali
@user-bn7hq3gx8o
@user-bn7hq3gx8o 3 ай бұрын
Nimekwama hapo pa ngaheo mutu , na ngaheo murei😅😅
@janengina-be7ln
@janengina-be7ln 3 ай бұрын
Hiyo story ni uongo kabixa
@ruthwanjiru2252
@ruthwanjiru2252 3 ай бұрын
Pure lies mwongo kabisa
@FaithWangariWangari-jf1eg
@FaithWangariWangari-jf1eg 3 ай бұрын
Aaaa Saudi hakuna dog vle warabu hawapendi
@Englishtelenovelas
@Englishtelenovelas 3 ай бұрын
There are dogs ...am in abha na kunazo bt huwa hawafungi zinawanga wild I wonder how she slept with them
@user-nr5pk7pu3r
@user-nr5pk7pu3r 3 ай бұрын
Kuna dog but hii niuongo unaweza maliza aje miezi tatu ukiwa unalala na 🐕
@doreenshii563
@doreenshii563 3 ай бұрын
Aaiiiii ngui ciumite kū Saudi Arabia,bona watu huongea vibaya kuhusu Saudi ata kama kuna masaibu.....hizi story za uongo itabidi muache mutafute pesa na njia ingine, nowadays mtu akitaka mchango anacook kistory for sympathy 😮😮😮
@sheemaryam
@sheemaryam 3 ай бұрын
Naskia zipo especially MADINA , lkn ni moja moja na nihuko nje but sio kama pet. juu kufunga ubwa ,kama pet ni haram . But mm sijawai ona umbwa saudi 5yrs I stayed there and I used to go out...
@doreenshii563
@doreenshii563 3 ай бұрын
@@sheemaryam me too 10yrs na bado niko nasijawahi ona ata moja imgn,
@sheemaryam
@sheemaryam 3 ай бұрын
@@doreenshii563 naskia ziko ushago ushago ivi, but madina is a big city unless. TABUK,NA TAIF NA QASSIM huko ni ushago ushago nilienda nikaona but mm sijawai ona
@anngithetha8117
@anngithetha8117 3 ай бұрын
Ata kuku watu walikuwa wanasema saudi hakuna, ziko ata ubwa but si mob niko Riyadh nafanya house to house, na ubwa nipata mbili pekee hao mbili, nivile huwezi piga video ziko but si mob kiac sana paka do mob na parrot 🦜
@user-iw1nf3hq1d
@user-iw1nf3hq1d 3 ай бұрын
Uongo warabu hawafugi umbwa story za jamba
@ndichuwanjiru4856
@ndichuwanjiru4856 3 ай бұрын
Saudia shinjawahi ona umbwa kwani ulikuwa wpi.
@Ngangaf462
@Ngangaf462 3 ай бұрын
Ngai! hio kazi ni ngumu you Sleep with 20 men a night ????
@AliceKagima-eq5jr
@AliceKagima-eq5jr 3 ай бұрын
Nawahotire atia gukoma nayo wi virgin ndwaumiire
@Shiko-qatar
@Shiko-qatar 3 ай бұрын
She is lying I swear by the living God she was working for my madam dota na hakuna ata pet ..walikosana akarudishwa Kenya...watu wakirudi home bila pesa wanaanza kupika all stories
@wambuievelynwaithira
@wambuievelynwaithira 3 ай бұрын
​@@Shiko-qataranafaa kuongea ukweli juu hawezi saidika na njia ya uongo😂😂😂😂
@StivMwass
@StivMwass 3 ай бұрын
This is bad to this woman
@fredrickkamau921
@fredrickkamau921 3 ай бұрын
Arabs don't keep dogs😊 7:12
@ruthwanjiru2252
@ruthwanjiru2252 3 ай бұрын
Story za uongo
@johnnjuguna365
@johnnjuguna365 3 ай бұрын
Maheni. arabu ma tiiigaga ngui
@anngithetha8117
@anngithetha8117 3 ай бұрын
They do niko saudi sa hii but ziko trained
@sheemaryam
@sheemaryam 3 ай бұрын
Naskia madina unaweza pata and na kama zipo, hawafungi umbwa kama pet juu Islamic sheriah, haijaruhusu ata huku kwetu kenya, sii waisilamu hatufungi umbwa juu ni najisi na bibilia a pia insema mkae mbali nazo ila hamsomi Levticus 11:27 If am not wrong
@anngithetha8117
@anngithetha8117 3 ай бұрын
@sheemaryam saudi ziko but si kila mahali ,nafanya house to house na hao mbili pekee nimepata moja moja , paka do zilikuwa mob 20
@sheemaryam
@sheemaryam 3 ай бұрын
Kuna kitu hamunielewi kufunga umbwa kama pet ndio haramu ,BUT Umeruhusiwa kufunga IKIWA kama security ,ama kuwinda lkn sio pet iwe ikikuramba ramba kama wazungu vile wanafanya na kukaa nayo kwa nyumba I hope nmemeeleweka
@puritykariuki4256
@puritykariuki4256 3 ай бұрын
Ziko,
@mariemichael2692
@mariemichael2692 3 ай бұрын
Mutige ugite ata ka ni views mnatafta na kuhura umalaya bado no choice..
@margaretmungai5443
@margaretmungai5443 3 ай бұрын
This girl is talking a lot of lies.
@johnmwauragachau7496
@johnmwauragachau7496 3 ай бұрын
Hh
@joykenya4805
@joykenya4805 3 ай бұрын
story za Jamba
@user-jj5tq4zh9r
@user-jj5tq4zh9r 3 ай бұрын
Hizi story watu hutoa wapi,niko saudi 12 yr na cja wahi ona hizi vitu....hizi ni story za jaba,mtu aki shindwa na job,awache muchene 😏😡
@user-yl8ez2oj6l
@user-yl8ez2oj6l 3 ай бұрын
Thank God you're in safe home.
@kimennjeri5248
@kimennjeri5248 3 ай бұрын
This story is full of lies it's not even adding up at all at all.Am in Saudi for 13yrs wacha zako wee.
@Shiko-qatar
@Shiko-qatar 3 ай бұрын
Anadanganya tulikuwa tunafanya na yeye kwa familia Moja atanimeshtuka sana kuona hii ujinga anasema hapa
@kimennjeri5248
@kimennjeri5248 3 ай бұрын
@@Shiko-qatar shame on her.atige manua niweka wega nikumwanika we have seen many lies in social media.uyu ena maheni moimiru
@Eistream540
@Eistream540 3 ай бұрын
Saudi arabia mafi kelba
@puritykariuki4256
@puritykariuki4256 3 ай бұрын
Fiii kelba but mafi kithiira
@Shiko-qatar
@Shiko-qatar 3 ай бұрын
Pls this gal is lying ,,,she is lying...i swear tulikuwa tunafanya job na yeye...khai i dan even tag one of the family members here n vile i dont know how i can tag them...yeye alikosana na boss wake juu ya kazi ...khai jesus christ people can lie...ester hadi n mm nilikuwa namfunza kazi...God come n punish this gal
@Wanduawamwangi.
@Wanduawamwangi. 3 ай бұрын
Nipigie 0745168999
@wambuievelynwaithira
@wambuievelynwaithira 3 ай бұрын
Atleast wacha hizi uongo zikome Atleast mtu aseme asaidiwe na njia halali
@johnnjuguna365
@johnnjuguna365 3 ай бұрын
Uongo warabu hawa fugi mmbwa
@JuliahKangethe-tn6yd
@JuliahKangethe-tn6yd 3 ай бұрын
Nko abha na madam wangu nilipata akiwa na paka na kadog but 🐕 kalipas so wacheni kusema hakuna dog
@johnmwauragachau7496
@johnmwauragachau7496 3 ай бұрын
Nnnnn
@mariemichael2692
@mariemichael2692 3 ай бұрын
Mutige ugite ata ka ni views mnatafta na kuhura umalaya bado no choice..
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 52 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 91 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 34 МЛН
UICI WA MICINGA NIGUO WATUMIRE NGATHIE JELA
2:49:02
WANDUA WA MWANGI
Рет қаралды 23 М.
Family iria mwana wao arariirwo ni hiti kwaria 😭😭
24:02
WANDUA WA MWANGI
Рет қаралды 8 М.
Eye witness kwaria 😭😭 uria ciana cirahiire 😭😭😭
24:41
WANDUA WA MWANGI
Рет қаралды 7 М.
He  abandoned me when pregnant after ruining my dream to travel to the USA
1:39:28