Nakubali sana Pastor, ila kuna mpumbavu mmoja sijapenda mambo yake anasema wewe ni comedy hauubiri injili, au lamda kuna sehemu biblia imeandikwa kuwa enendeni mkaihubiri injiri mkiwa mmenuna, au mkiwa mnalia, au wasikilizaji wakiwa wanasinzia, au wenamawazo. Kaniboa sana nadhani unamjua, mungu amrehemu. Anataka atawale sasa mpaka Youtubu iwe yake.
@AminaMbilinyi-yr3neАй бұрын
Mungu akupe maisha malefu pasta
@hildephoncealphonce517312 күн бұрын
🤣😂🤣 Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@FurahaCiza10 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@stevenmengo83566 күн бұрын
Mahubiri ya ki aina hii yana mashiko sana
@JolieKavira-lo6pv26 күн бұрын
A santé tena kwe neno tamu
@hoseaisayaАй бұрын
Nakukubali mtalam wa injili!!
@omoshbosco402617 күн бұрын
Mafunzo yako yanajenga sana
@LeroiOg-t4yАй бұрын
Amina
@CleofaceKasandaАй бұрын
Baba Daniel mgogo ubarikiwe mungu akujaliye neema tume kupenda apa RDC
@AnttonetMawombi-l8rАй бұрын
🎉🎉🎉🎉
@RestitutaMwakyusaАй бұрын
Ameeen
@rwa877Ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@liyaahnjuguna8999Ай бұрын
Whueeeh this is it,utawala ninao Mungu anisaidiee jamani
@NshimirimanaRegine-s5xАй бұрын
😂Kwa Kweri Baba Mch.we Kiboko kabisaa,Mungu Akujalie Maisha Marefu sanaaa,Hata ninatowa 😢nikisikia jisi unaubili Mambo yanayo ndani ya Familia...Umebalikiwa na Mungu kweri kweri.
@suleimankipyego5143Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamani
@MeditriceKabahizi20 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 WWWWW. 😂dcm 😂😂❤
@stellahnduku5090Ай бұрын
Amen amen I have new song hitting on 🔥💯 NAONA MBALI by STELLAH NDUKU get it and God bless you all