Hakujua kuna vitu vingine tunajifunza baada ya makosa mpendwa@@SaumuSaidi-z2v
@anasialauwo4922Күн бұрын
Watu wengi hasa waimbaji wamepewa vipawa lakini kama huyu Good luck ni mkatoliki HAWAJUI injili ya kweli wengi wao wametokea makanisa ya dini za uongo na wamezaliwahuko
@RubaR-nr5wz4 күн бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA kwa ushauri huu
@Baraka-b7u4 күн бұрын
@@RubaR-nr5wz amen amen
@annatarimo6882Күн бұрын
Mtumishi Mungu akubatiki Sana Mungu akuzidishie hekima kama mfalme Sulemani
@JENNIFERKAJUNI9 сағат бұрын
Kweli kabisa Mch Mungu akubariki
@AnneWawira-e4p4 күн бұрын
God bless you man of of God,word of God at the right time for me
@SAMWELMEENJA4 күн бұрын
Hongela sana goodluck watu wa mungu hawalogeki walitaka kukuloga hawakujua una mungu ambaye ni moto ulao kibao kimewageukia wao wenyewe
@Kaylyn-z6y3 күн бұрын
Goodluck is going to bounce back as if he never left. God is going to use to use him than before
@JoakimuOmpeshi2 күн бұрын
Mungu atamsaidia,Mimi ni shabiki yake huyu jamaa anaimba hakuna mfano.
@godfreysanziki14614 күн бұрын
Kijana kafanya maamuzi magumu bila kujali, ikiwa ni Mungu Kamuongoza kuyafanya haya basi anahitaji pia kuzidi kuomba sana.
@Baraka-b7u4 күн бұрын
Kweli aombe sana
@mariyammariyam-y3u4 күн бұрын
Amen ubalikiwe Sana mtumishi wa Mungu kwa kweli nimefurahi sana
@Baraka-b7u4 күн бұрын
@@mariyammariyam-y3u amen amen
@Baraka-b7u4 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@GraceCharles-j5y4 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu na kwa kuwa umefanya maamuzi mazuri mungu atakuinua sana
@Baraka-b7u4 күн бұрын
@@GraceCharles-j5y ameeen
@JMkono3 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@magdalenapeter61064 күн бұрын
Wow ninefurahi sanaaaaa mtumishi wa MUNGU
@Baraka-b7u4 күн бұрын
Aminaaa
@RehemaMtono4 күн бұрын
Mungu ambariki sana nikitendo cha kishujaa sana
@Baraka-b7u4 күн бұрын
Aminaaaa
@Kaylyn-z6y3 күн бұрын
Shusho and Martha amurudieni Mungu
@kabulakanias32054 күн бұрын
Amen,,,,umesema vema pastor 🙏🙏
@Baraka-b7u4 күн бұрын
@@kabulakanias3205 aminaaa
@Namtumbo4 күн бұрын
Hongera,hongera🎉🎉🎉🎉
@Baraka-b7u4 күн бұрын
Aminaa
@godymastermind95342 күн бұрын
Huyu mchungaji ana akili sana. Huyu ni mchungaji wa kweli
@HalenBahati3 күн бұрын
Amen Amen mtumishi wa Mungu Barikiwa sana Kwa kutuonya
@stellahwilfred57622 күн бұрын
Ameen..ahsante kwa somo
@GodfreyMakala3 күн бұрын
Mungu akubariki sana mtumish wa Bwana.
@BallyGerard4 күн бұрын
Tunawapenda uku congo mzidi kutuombeya
@Baraka-b7u4 күн бұрын
Aminaaa
@Gindi-v7g3 күн бұрын
Pokeeni amani ya bwana Yesu Kristo
@SweetStanford-jo8xjКүн бұрын
barikiwa mtumishi wa MUNGU unasema kweli waimbaji wamechoka
@joycekalago5322 күн бұрын
Wakat anaenda kulichoma alienda analiendesha au alitangulia likamkuta huko ili likachomeke😂😂😂
@BallyGerard4 күн бұрын
Mungu wetu wa bwana wetu yesu kristo awabariki sana mtumishi
@Baraka-b7u4 күн бұрын
Aminaaa
@peninakashindi81394 күн бұрын
Glory to God….Amen Mtumishi 🙏
@tausipaschel1554 күн бұрын
HONGERA SANA GOOD LUCK UMECHAGUA FUNGU JEMA
@LilianBitwale2 күн бұрын
Nyie gudluck anaenda kuwa mtu mkubwa sana mpaka watu watashangaaaa 🎉🎉🎉
@NayMollel-f2l2 күн бұрын
Ameen Mungu anawajua walio wake
@DeboraNeno-s5o4 күн бұрын
Ubarikiwe Mzazi wangu
@Baraka-b7u4 күн бұрын
Abarikiweeee
@JudithDeus-y3h2 күн бұрын
Jeneza kapewa kachoma Moto hongera good luck 🤞
@victoriamaige28624 күн бұрын
Mtumishi sasaa ni kweli lkn msaidie aoe maana bora angebakia na gari aokoke hakuna andiko linaloruhusu kukaa na mwanamke km mume na mke kabla ya ndoa amechoma gari aache na msichana maana ni uasherati.aokoke.atakuwa salama tofauti na Hilo Yuko hatarini Bado Aishi maisha matakatifu kbsa ataokoka na maangamizi waliyompangia tunamsifu Kwa hatua ya Imani ht waisrael walipoambiwa dhambi Yao walitubu na kuachana na wanawake wa kigeni
@optimamarenda70822 күн бұрын
Ndohapo nakupendaga uongea ukweli huogopi mtu Bali Mungu tu Mungu awenawe Daima
@Gindi-v7g3 күн бұрын
Naomba Mwenyezi Mungu awa expose wale wote wanaomtumikia shetani ilhali wanajifanya kuwa upande wa Mungu Jehova.❤
@obadiamtawa12794 күн бұрын
brother hujafanya vizuri kwanini uchome wakati wahitaji wapo😂😂
@ReginaLyimo-tg8ho4 күн бұрын
Kufanya vizur
@judithgodfrey65033 күн бұрын
Wanahitaji mapepo?
@nicholauschengula3853 күн бұрын
Haikuwa gari ni jini hilo
@avitustibaigana94152 күн бұрын
Tutaona mengi😢 na mtachambana sana😅. Hizo madhabau zenuu mmmmmh! Na bado mtachambana sana. Roho wa Bwana hiyo sio kazi yake😊. Bali ni roho ya uvurugaji na roho huyo hatoki kwa Mungu bali kwa mungu wenu mnaomtumikia😢.😂
@uwimanadady65632 күн бұрын
Hallelujah asante yesu
@OlivreKimario2 күн бұрын
Safi sana umefanya vyema,na wasanii wote waliopewa vijizawadi na huyo joka wachome au warudishe la sivyo utaharibikiwa tu,mfano mwangalie shusho alipewa vijimilion tu akaachana na mume wake,mungu tuhurumie
@hakimundabila79404 күн бұрын
Huyo Mungu mnaejificha kwake kufanikisha wizi mnakutanaga nae wapi
@CholoWanaman4 күн бұрын
Ulipotea sana kaka mungu hakuinue jitaid itawezekana
@EBENEZEREMMANUELtv3 күн бұрын
Barikiwa baba
@winfridaisack26082 күн бұрын
Mtumishi katunzi mim huwa nakuelewa sana mafundisho yako Mungu wa mbinguni akutunze
@nyangiboke4 күн бұрын
Mungu ni mwema Sanaa
@Baraka-b7u4 күн бұрын
@@nyangiboke aminaaa
@DevothaMbogela-s8p2 күн бұрын
Ubalikiwe mtumishi wa mungu
@WebWeb-c3o3 күн бұрын
AMEN AMEN AMEN MTUMISHI WA MUNGU KWA MANENO YAKO YA BUSARA KWETU. NI KWELI ,MADHABAHU HAYO SAWA,,KUNAYO MADHABAHU YA GIZA
@BonifaceBonala-w9j4 күн бұрын
Unampenda mungu kuchoma hiyo gari
@Winfridankalupia-t8d4 күн бұрын
Amina🤲🙏
@dismascosmas14412 күн бұрын
Nakumbuka mama christina shusho nae alienda kule.
@AshaJuma-s7l2 күн бұрын
Ndiyo maana anafanya Mambo ya hovyo. Kumkumbatia Eric Omond
@YESUNIBWANA843 күн бұрын
Amena Amena baba kwa kufafanua jambo hili aliye na masikio na asikie Roho Ayaambia makanisa
@gracemuthoni16584 күн бұрын
Amen Amen barikiwa sana
@JÉSUSISLORDFOREVER-z1e6 сағат бұрын
MUNGU akuzidishe kwa kuishi kufuata neema
@BelitoSaúdesamaqui3 күн бұрын
Amen mchugaji sema kwa kweli apoapo!
@RaulTech-pp3gc4 күн бұрын
Asante sana
@Baraka-b7u4 күн бұрын
@@RaulTech-pp3gc ameen
@JosephMagele4 күн бұрын
bora kachuma maana siku moja angepata nalo ajali ndiyo sadaka hiyo ya freemasons
@floradavid52164 күн бұрын
AMEN
@Baraka-b7u4 күн бұрын
Ameeen
@AfirenAfiren4 күн бұрын
Amen mchungaji nazidi kujifunza
@Baraka-b7u4 күн бұрын
Aminaaaaa
@BerylSeer13 күн бұрын
Elisha sio eliya, Gehazi alikuwa mtumishi wa Elisha.
@Visionofeagle96894 күн бұрын
Kabisaaaaa🎉
@Baraka-b7u4 күн бұрын
@@Visionofeagle9689 aminaaa
@Baraka-b7u4 күн бұрын
@@Visionofeagle9689 aminaaa
@JoakimuOmpeshi2 күн бұрын
Mwangalieni Hamonize
@Janesikweya4 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@FrankMwandenga3 күн бұрын
Haaaa vya Bure vinalipwa kinamna shaurienu kupokeapkea
@mayrfrimi47593 күн бұрын
Pole sana ila kuchoma kwa staili hiyo uelewe kuwa huo moshi kiafya una madhara makubwa sana kwa binadamu watakaouvuta, na hewa hiyo pia inaharibu mazingira, pengine ungeiteketeza kwa njia nyingine,
@ZakariaMpanduji2 күн бұрын
Tutafute kwanza ufalme wa Mungu na haki yake mengine tutazidishiwa 1yoh 2.15
@HassanSeleman-be9wi3 күн бұрын
ujue kunamuda maisha ubadirika kupata kupo na kukosa kupo sasa ukikosa unaanza kutafuta wapi shida mungu amekupunguzia riziki mbona aujawai kulala njaaa jiulize
@Gindi-v7g3 күн бұрын
Kumbukeni pia christina shusho alikabidhiwa pesa na uyo mzee wa zawadi.😢
@propKibali3 күн бұрын
Moja ya milango hatari ambayo Lusifa na mawakala wake wanaitumia na inawalipa kishetani ni zawadi!
@osimbojoseph21773 күн бұрын
Shetani ameaibishwa😂😂😂
@piliechildofkingjesus45944 күн бұрын
AMINA Kweli kabisa.
@Baraka-b7u4 күн бұрын
@@piliechildofkingjesus4594 aminaaa
@Baraka-b7u4 күн бұрын
Aminaaaaa
@MasterG-dc1tx4 күн бұрын
Mungu ni mwema
@pastorpetermageta68332 күн бұрын
Mkono wako wa kulia ukikukosesha ,ni vyema ukate ,ni heri kuingia mbinguni ukiwa Kigutu kuliko kwenda jehanamu ya moto na mwili wote
@jerusalemsuccess45624 күн бұрын
Amefanya vizuri kuchoma. Bora kuchelewa kufanya kuliko kutofanya kabisa. Better late than never. Bado kina christina Shusho, kina maboya n.k
@Baraka-b7u4 күн бұрын
Aminaaa
@daudiazizi84954 күн бұрын
Imeandikwa watumishi sku yahukumu watumish wote mtafanya hesabu namna murivyo fanya kazi ya mungu ,, maneno na mafarakano na kwenda kinyume na kazi ya mungu,jaman murinde nafsi zenu
@DeboraNeno-s5o4 күн бұрын
Amina
@Baraka-b7u4 күн бұрын
Aminaaaa
@esterkimath12143 күн бұрын
Shetani na wafuasi wake wameaibishwa wanatapatapa mungu ni mmoja tuuu
@MabelKaaya-hl2je3 күн бұрын
ASANTE SANA KWA KUFAFANUA SIRI MBAYA YA ZAWADI MTUMISHI WA MUNGU. INAPASA KUWA MAKINI SANA.
@Noella-o5c4 күн бұрын
Hili litasikia wa Kristo wakweli wa Kristo wauvuguvugu itakuwa ngumu kusikiya barikiwa San Mchungaji
@Baraka-b7u4 күн бұрын
AMINAAAA
@Jamelah84934 күн бұрын
Kweli mda ule uliotabiriwa umeelekea mno,watu tumrudie Mungu wa kweli mana anapatikana tena popote ulipo yuko papo hapo
@paschalsafari97473 күн бұрын
Ulokole ni laana....mnasema mmeokoka huku mnazini bila kufunga ndoa...huku mnageukana wenyewe kwa wenyewe....dhambi ile ya uasi itawatafuna waprotestant milele
@Sahra37183 күн бұрын
Amen🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SalimaKashindi-v6z4 күн бұрын
Amen
@Baraka-b7u4 күн бұрын
@@SalimaKashindi-v6z amenn
@PitelChristopher-k7b3 күн бұрын
Jamani kuna mtu niliwahi kumuona alifiwa na mumewe kuna mtu akajifanya anamsaidia ndio akawa tajiri na yule aliyekua akisaidiwa akazidi kuwa fukara
@KanjiPasopa3 күн бұрын
CHRISTINA SHUSHO NAKUITA MARA 3 DADA YANGU MURUDIE MUNGU NA MATHA MWAIPAJA
@daudiazizi84954 күн бұрын
Bwana bwana tulitenda miujiza kwa jina lako,ndio lakin mulikuwa na maneno mengi hamuezi kuiona mbingu mana mulikua na maneno mengi
@Am-vo5cu3 күн бұрын
Injili ya nyakati za mwisho ndio hii
@upendokiwelu16354 күн бұрын
Kumbe nabii mkuu kachoka kuhubili anataka nyota ya godzebt ili awe muhimbaji ache kuhubili nachukia uchanga wa Kiroho sana kama hilo gari ni sandaka za watu MUNGU hadhikiwi
@PeridaMtweve3 күн бұрын
Tamka vizuri ataishi au hataishi?
@EllenMalisa-n6g3 күн бұрын
WAKRISTO TUNAFUNDISHWA JAMBO KUPITIA YALIYOMKUTA GOOLUCK
@mboneamalaki56744 күн бұрын
Kwakweli wa Africa tuna shida kubwa
@japhetdaudmaneno84404 күн бұрын
Gehazi hakuwa mtumishi wa Eliya, bali alikuwa mtumishi wa "Elisha'
@alexmzumbwe13283 күн бұрын
Kwani kupewa gari kunakosa gani mbona mnapokea pesa za wadangaji