No video

KABWE| THANK YOU YA ONANA KUMPISHA ELIE MPANZU| SIMBA MAMBO SAFI MOTO UTAWAKA MSIMU HUU

  Рет қаралды 9,895

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Пікірлер: 9
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp Ай бұрын
Wamuletee Elia mpanzu atatusaidia
@salummbuleti6047
@salummbuleti6047 Ай бұрын
Hivi ndivyo tulivyomkosa mazoki, na ndo tunavyomkosa mpanzu
@adrianorayner6551
@adrianorayner6551 Ай бұрын
Unadhani kupata sign ya mchezaji ni rahisi kihivo mpaka sasa tuwape maua Yao viongozi sio.kila.mda lawama
@geofreykasinda1895
@geofreykasinda1895 Ай бұрын
Jamani wana simba kama ishu ni hela tuichangie basi simba yetu, kama mpanzu shida ni hela tuchange ili mpanzu aje simba na si aje kwenye mkutano kama manzoki
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 Ай бұрын
Mo dewji lipa m400,huyu mpanzu ni mtu na nusu
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 Ай бұрын
Simba siku zote kwa Wachezaji wazuri hawataki kutumia hela hapo wanakimbia mbali kinyama mnakumbuka Manzoki sasa ni Mpanzu na Hatuwezi kutoa hela ila atakuja kwenye uchaguzi tu
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu Ай бұрын
Kabsaaa
@TumainiSaitoti-i5z
@TumainiSaitoti-i5z Ай бұрын
Mnaelewa kweli mnacho sema mchezaji kabakiza miezi 4 halafu unalipa milioni mia4 za nini real Madrid wanamtaka Alphonso Davies wa buyern na buyern wanataka hela nyingi kutoka kwa Madrid na mchezaji mwenyewe kabakiza mkataba wa mwaka mmoja Madrid wamewaambia buyern kama hawataki pesa ambazo Madrid wanataka kuwapa basi waache watamchukua bure dirisha dogo kwa hiyo Simba wako sahihi
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 49 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 46 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 49 МЛН