Kajala agoma kumuomba radhi Hamisa Mobetto, afunguka 'Nihukumu ukiwa wewe ni mkamilifu

  Рет қаралды 32,034

Simulizi Na Sauti

3 жыл бұрын

Unapenda kazi yetu? Tuchangie chochote kupitia www.gofundme.com/f/kuza-sns au M-Pesa : +255 754 514 010

Пікірлер: 151
@Agnes-qq4np
@Agnes-qq4np 3 жыл бұрын
Kitu bora hajawayi kuwa naco kweli mapnzi ni raha upendwe 👌👌mi nafurahiya couple yenu Mungu awajale muowane.
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
Ahsante bro sky acha tuone mwisho itakuwaje wamalize kwa wema In'shaallah ntacomment vzr hy cku rayvanny kafanya makosa lkn Kajala mzazi mwenzang ajitathimin Micha tusubir ushahidi I hope hujafanya ALLAH akusimamie 🙏
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@saumuathuman206
@saumuathuman206 3 жыл бұрын
Hamisa anamambo ya chinichini hamuwezi jua huko nyuma kuna endelea nini so sio mjinga kajala
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@ffaa4744
@ffaa4744 3 жыл бұрын
Kweli kbsaaa kajala sio mjinga
@asiangasa2372
@asiangasa2372 3 жыл бұрын
Yani hata mm nahisi hamisa kahusika moyo wangu haumuamini hata
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 жыл бұрын
Mashaallah vizury man hata ww uko na bibty😚
@tatuathuman104
@tatuathuman104 3 жыл бұрын
Mapenz yakiwa mpya jaman daah hebu acha nikae kimya mm
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 жыл бұрын
UMEGONGA NDIPO
@marthaadammwakatobemwakato3039
@marthaadammwakatobemwakato3039 3 жыл бұрын
Kapata wapi ujasili ndy maana anaambiwa yeye ndy chanzo kwa mwanae ni kweli
@jimboulaya
@jimboulaya 3 жыл бұрын
2:57 Kwani ndugu zetu lazima waandike kizungu? sasa "your" au "you are" zina maana tofauti na pia correct idiom angeandika "You are the best thing that I ever had" sio I never had.
@safinajuma3650
@safinajuma3650 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@frederickkimweri1899
@frederickkimweri1899 3 жыл бұрын
Usiwalaumu sana kingereza kilikuja na muingereza kupitia baharini. Pundamilia kakimbia black board ya Jitegemee akaenda Mbowe disco na Tembo katoroka shule za Tandaimba. Ila watu wakipendana inabidi tufurahi maana kugombana watu si kitu kizuri Kwa kweli hata Mungu hapendi. All the best kwenye penzi lenu zito ,Enjoy ndugu zangu mtuzalie kitoto cha kichotara makonde/msukuma
@madyba450
@madyba450 3 жыл бұрын
@jimboulaya umekariri ndugu.... Ulichokiandika na alichokiandika Kajala ni vitu viwili tofauti sikiliza Sky alvyotafsiri
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
Mtangazaji mahiri👏👏👏
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
Kajala anajiamini na shutuma zake kwa hamisa labda kwasababu paula mwanae amemhakikishia hilo that's why hajaomba msamaha,anyway hayatuhusu but nawaombea kajala na hamisa wasameheane inshallah na wamuachie Ray maana yeye ana cha kujibu lakini pia atumuombei mabaya twamuombea mungu amfanyie wepesi maana yaweza mtokea mtu yoyote dua kwa wote 🤲🤲❤🇨🇭🇹🇿
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 3 жыл бұрын
Mmmh in the midst of all drama about her daughter,she has the audacity to tell that Tembo he is the best thing ever 😬 Khee!Haki that Paula is learning from the best. Basi sawa,all the best Pundamilia na Tembo wako 😃
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@paulinenjoroge.2236
@paulinenjoroge.2236 3 жыл бұрын
Yes bcoz tembo is concerned about her mbona asikue proud
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 3 жыл бұрын
Labda ana uhakika pamoja na ushahidi wa kutosha na hizo shutuma alizotoa kwa hamisa.... Hii kesi bado ndefu taratibu tutapata majibu ya maswali yoooote...... Mungu awasaidie
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 3 жыл бұрын
Kabisa
@maryamm7765
@maryamm7765 3 жыл бұрын
Huyo mwanae kaanza uzizi zamani huyo Rayvan wala sio aliomtoa bikira,kajala anakiburi awezi kuomba radhi
@queenlinda255
@queenlinda255 3 жыл бұрын
@@maryamm7765 ww ni binti au ni mwanamke hatakama binti sio bikra lakini kwanini reyvan atoe izo clp kwenye mitando ingekuwa ni ww binti yako yamemtokea ivi ingekuwaje
@jackierama1817
@jackierama1817 3 жыл бұрын
@@queenlinda255 wanaangalia leo tu hawaangalii kesho
@estermathias8354
@estermathias8354 3 жыл бұрын
@@queenlinda255 Sasa wangesema kosa lakimtandao sio et ni bint mdogo wap na Wap umri huo watu wanaolewa akwendeee
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 3 жыл бұрын
Kwa upande wangu mimi mzanzibar sina chakusema kwa leo coz tunamsiba mzito visiwani mwetu unguja na pemba kwa kuondokewa na kipenzi chetu nitarudi Post zijazo baada ya msiba inshaallah
@marymayeye7947
@marymayeye7947 3 жыл бұрын
ilaunamda wakuingia 😏KZbin?
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 3 жыл бұрын
@@marymayeye7947 nimeingia kutoa taarifa kwani kuna ubaya?
@saniajuma6123
@saniajuma6123 3 жыл бұрын
Pole mamy
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
Inalillah wahnaillah rajoon mpnz msiba wetu sote msiba wa taifa huo 🙏😥
@farahanafarer7588
@farahanafarer7588 5 ай бұрын
Atuache huyu kajala. Hamisa ni level nyingine kabisaa
@sadiyakb8498
@sadiyakb8498 3 жыл бұрын
Mungu awatangulie wote
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 3 жыл бұрын
Wabarikiwe
@aishamwinyi5048
@aishamwinyi5048 3 жыл бұрын
Mapenz yakiwa mpya bhana utaongea mengi kimyan
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 3 жыл бұрын
Piga kelele kwa kajala akeee....msamaha wa nini??tupishen banah
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 3 жыл бұрын
@@alphaprinters9765 so what!
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 3 жыл бұрын
KAMA UMEELEWA APO KAJARA KASHAOMBA MSAMAHA APO
@anitakamene5073
@anitakamene5073 3 жыл бұрын
Nice
@zainabuabdul7852
@zainabuabdul7852 3 жыл бұрын
Mpaka wameachiwa hapo kajala ana mtihani
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@azamajid9530
@azamajid9530 3 жыл бұрын
Mashallah
@mtetemtete9066
@mtetemtete9066 3 жыл бұрын
skay Nakukubali sana.⛏
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@shaadenshaduni7755
@shaadenshaduni7755 3 жыл бұрын
Ana kiburi ju ya Harmonize ana jiona Rihanna 😄😄😄
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Sasa kajala aombe msamaha wa nn 🤣🤣love kajala simamia msimamo wako
@saniajuma6123
@saniajuma6123 3 жыл бұрын
Kabisa my kajala sio tahira mpka kumshutumu hamisa kajala my love simamia msimamo wako kipenzi
@videohd618
@videohd618 3 жыл бұрын
Ukiona hvyo kashidwa kesi
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@ffaa4744
@ffaa4744 3 жыл бұрын
Tena huyo hamisa hajielewi amesahau kuwa Paula she's the best of her mom's lzma atamueleza mamayke a to z
@victorsir-nga7708
@victorsir-nga7708 3 жыл бұрын
Hivi hamisa mobeto anafikiri huyo Paula hawezi kuwa upande wa mama yake na kusema ni kweli hamisa alinipeleka na kunilewesha.
@asiangasa2372
@asiangasa2372 3 жыл бұрын
Lazima awe upande wa mama yake
@fridakaria9904
@fridakaria9904 3 жыл бұрын
Uchungu wa mtoto ana ujua mama
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 3 жыл бұрын
Kabisaa
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 3 жыл бұрын
SnS acheni hii kitu ipite msichokonoe sana.
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@florencekaranja8736
@florencekaranja8736 3 жыл бұрын
Jamani haya mambo hayaishi????
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@strong8534
@strong8534 3 жыл бұрын
Yaani Harmonize ni kitu😄😄😄😄
@liliansamson674
@liliansamson674 3 жыл бұрын
Huyu Rayvanny naomba afungwe tu
@kajembedear7909
@kajembedear7909 3 жыл бұрын
Hakuna. Kesi hapo
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART 3 жыл бұрын
Imeisha hio
@muftimikuli3223
@muftimikuli3223 3 жыл бұрын
Wivu tu....tembo Kala mama...chui Kala mtoto..shida nn?
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Tembo anakulaga nyama?? Atakuwa anatifua nyasi tu🤣🤣🤣
@aisharajimbo6784
@aisharajimbo6784 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 3 жыл бұрын
Kuna kitu ndo maana hajafuta anyway ngoja tusibiri itakuwaje
@nazmaabdullkarim8022
@nazmaabdullkarim8022 3 жыл бұрын
Hayupo mkamilifu kila MTU anamapungufu yake hivyo basi kila MTU apambane namadhaifu yake
@hassansufiani8424
@hassansufiani8424 3 жыл бұрын
Hamo anafaidi sijui ni pesa au ustaa maana mm nikiwa na kajara kwa lisaa tuu nanenepa zaidi nilivyo sasa upaja wa kajara rooooo😋😋😋😋😋
@nurukhalifa9413
@nurukhalifa9413 3 жыл бұрын
Unenepe wap mizinga kumi kidogo paula ada form five wig kama la lulu kod imeisha weeee hakuna kufaid ni kuumwa kichwa na kutoka huwez. Mengine yaone kwa macho yanaumizaaa mpk hamu ya tendo inaishaaa
@dequeen460
@dequeen460 3 жыл бұрын
Hahahahahahahaha' aona' nirahis' pesa'ndio inaongea'hapo' paula'ataka'wigi' ada' n.a. pesa'yakutumia'
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@sumayahfathi9413
@sumayahfathi9413 3 жыл бұрын
Amuombe asimuombe inajulikana mungo kapita kama daraja kwa Hamisa, ila inajuliana mwanae alikuwa anamegwa tokaaa kipindi, Mama hana maadili na baba alisha sema mtoto kamshinda,
@sumayahfathi9413
@sumayahfathi9413 3 жыл бұрын
Ataachwa amuulize Wolpe, wapi sarah yake, asijitoe fahamu kama mwanae soon atasimulia mitandaoni atakavyotendwa, wacha harmonise ampleke huyo dada india kutengeneza mguu, mtajasikia nawaapia , kajala hapo kwa hamo hana Muda mrefu, kwani siku zote mapenzi ya vishindo huwa hayadumu
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 жыл бұрын
Yup anapelekwa india jaman
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 3 жыл бұрын
Lol kuna makubwa sema mange ataki kuongea😢😢...hamisa jamani lol
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 3 жыл бұрын
Tunasubirii kitakacho endelea
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@binthassancollection.6308
@binthassancollection.6308 3 жыл бұрын
Sasa ndio tuseme kama noma iwe noma ama🙄🙄
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@mkambotv5418
@mkambotv5418 3 жыл бұрын
tuko msibani
@marymayeye7947
@marymayeye7947 3 жыл бұрын
Nenda wewe
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 3 жыл бұрын
Khaaaaaa 😢😢
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@asyabinmaulid9570
@asyabinmaulid9570 3 жыл бұрын
Hivi mzungu wetu ndio kashabeba virago ama vip...mbona mapicha picha...mdomo koma wweeeeeehhh
@janatahmad7048
@janatahmad7048 3 жыл бұрын
huu kajala mimi nazani anajutia alicho fanya
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 жыл бұрын
Mama na mtot 😁😁😁😁
@arefali2312
@arefali2312 3 жыл бұрын
Kajala akee
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@zaharatoto8004
@zaharatoto8004 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hata wengine Wali ambiwa ivo ivo mwisho waku nn kiliwakuta
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 3 жыл бұрын
Usijali ndio dunia ya leo.....
@princess-uf5ux
@princess-uf5ux 3 жыл бұрын
Izi habali tumezichoka aisee😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏👎👎👎👎👎👎
@sadiyakb8498
@sadiyakb8498 3 жыл бұрын
Pita kushoto
@princess-uf5ux
@princess-uf5ux 3 жыл бұрын
@@sadiyakb8498 🖕🖕🖕🖕🖕🖕
@sadiyakb8498
@sadiyakb8498 3 жыл бұрын
@@princess-uf5ux ndio michezo yako
@princess-uf5ux
@princess-uf5ux 3 жыл бұрын
@@sadiyakb8498 yes pamoj na baba ako
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Mtazamo wangu ni kwamba RayVanny kachomoa betri, Harmo hana raha tena ya mapenzi, Paula kafunzwa na ulimwengu, Mobeto kaingia cha kiume shurti asimame na pepo baya la wcb bado linatrendi👨🏾‍💻👨🏾‍💻
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 жыл бұрын
Mtangongana nyiny wasomi zama washa jua picha kaomba msamaha kijanja huyu mama paula
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 жыл бұрын
ukisema mmakonde ndo mtu muhimu yule kipindi ulikimbia kwenu kwa kufuata muhogo wa Pfunk atakua nani na mtoto kakupa punguza shobo kajala unajidhalilisha unafunuliwa kisha unaachwa na mmakonde wolper yuko wapi mwisho wa cku anakutolea aibu zako zote kuliko alivyomuaibisha Sara na wolper wanawake tujitambue
@Babyzay178
@Babyzay178 3 жыл бұрын
I love you kajala 🤣🤞😹😹
@kautharjadid4287
@kautharjadid4287 3 жыл бұрын
Mapenzi matam kajala aolewe Sasa
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 жыл бұрын
Mtaachana tyuuuuuuu
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@maryamhassan7000
@maryamhassan7000 3 жыл бұрын
Makubwa
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@fatimamowa8166
@fatimamowa8166 3 жыл бұрын
🙆‍♂️
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 3 жыл бұрын
Akuna camsama apambane nakhali yake😆
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 3 жыл бұрын
@@alphaprinters9765 😆
@mwamvitamwebeyo5547
@mwamvitamwebeyo5547 3 жыл бұрын
Pendaneniii tuuu jamaaani,wamekutenda hivyo ili wakuumize na kukukatisha tamaa...nawapenda mnapendezenaaaaaa
@bisssfghh903
@bisssfghh903 3 жыл бұрын
Umeona eeh
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@timochazze9845
@timochazze9845 3 жыл бұрын
Kajala ameshindwa kulea mtoto
@Donrugi
@Donrugi 3 жыл бұрын
Hivi jamani mtu aki like 👍 au ku dislike 👎 anakuwa hajapenda au amependa kilicho zungumziwa kwenye video au hajafurahishwa na mtoa taarifa?. Kwangu Mimi huwa na like 👍 kama taarifa imetolewa sahihi kama hii video nilivyo like. Wewe huwa unazngatia nini kulike au kutolike ni taarifa inavyo sema ya video au ni kuoenda au kutopenda taarifa iliyo tolewa.
@dianamasidza7163
@dianamasidza7163 3 жыл бұрын
Nipee likes za rayvanny na paula....love is in the air
@alphaprinters9765
@alphaprinters9765 3 жыл бұрын
Rudeboy wa P Square afikisha Subscribers Milioni Moja na ni kipi kilichotokea kati yake na pacha wake Mr. P. Link hapa kzbin.info/www/bejne/ep3Ek4FqdtZ4h6s
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 3 жыл бұрын
Kesi hainaga udogo watajuta tu kwa matendo yao
@chiefkaitaba.m.9466
@chiefkaitaba.m.9466 3 жыл бұрын
VannyBoy kula mzigo huo