Vraiment yenye unasema ni kweli mon Artiste kajala ana Ku mérite c'est confirmé mwenye apendi relation yako na kajala akunywe suma 👀👀🤣🤣🤣
@lucykristensen7145 Жыл бұрын
Ni muwazi, akili nyingi, vipaji vingi, handsome boy. He seem to be a good guy. Pesa alizonazo zinamtosha haombi chakula kwa mtu. Waafrica hatupedeani mema. Mimi ninamwombea mema kwenye maisha. Kajala pia. Tuwaache na maisha yao.
@lucykristensen7145 Жыл бұрын
I like this guy. He is so funny and full of honour and jokes. Life is serious and cruel. We need more people like him to make us laugh and happy.
Vraiment mkubwa jikaze sana Utafikiyamàlengu😂😂😂😂😂😂😂😂
@brigittemusondoli6139 Жыл бұрын
Ile nikweli mungu akuinuwe zaidi wale wanao kuzarau wata kutafuta siku zijazo
@MafikiriMayero11 ай бұрын
Oui oui njo byangu
@A.D.E.VA.S.B.L3 ай бұрын
Vraiment courage. Nikweli ileukonaongeya
@erickpeter90 Жыл бұрын
Unajuwa mpaka Leo Mr champagn anaihakirisha Burundi mpaka tz 🇹🇿 nani anaejuwa kiki muacheni jamaa kwanza kasha jitengenezea Nina kubwa tanzia kinachonifurahisha wcf yeye nikama nyumba lakin kwa MTU mwingine kupata interview pale ni kazi kuba xn baba usikatishwe tamaa✌🇹🇿
@gabrieljibril4472 Жыл бұрын
Mr champagne usikate nguvu kaka watu kama hawa ni nja inawasumbuwa wafagiye wew endelea na safari yako kaka anae lilia kiato ili avae akumbuke kama pia kuna wasie kuwa na mgu
Uko sawa brother, keep it up. Your fan from Manchester🇬🇧
@bozicovid1603 Жыл бұрын
Baba unaongeya ukweli boss❤❤
@onlyGodcanhelp Жыл бұрын
Keep on Mista Champagne 🎉🎉🫶🏽🎉🎉
@faustintwagirayezu5530 Жыл бұрын
Champagne tunakuwamini 🇧🇮🇰🇪
@mikeofficial2577 Жыл бұрын
Jama atakuja kukatika wire za mu cerveau
@charlesmatesorehani5012 Жыл бұрын
Salma aca ujinga wako Mr champagne iko sahihi
@cimpayeclairia Жыл бұрын
Champagne anasema kweli kbs?? Mpambana baba
@mtotowainchi2023 Жыл бұрын
Ju yanini wa sanii ya Burundi banapenda sana kuji référer na wa Tanzania ?... uruma sana
@consolatricekazungu4465 Жыл бұрын
Ungeya mapenzi uwacane namziki
@nicolaskunjuzwa6404 Жыл бұрын
I like u my bother u know how to talk ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@daudifaustin3874 Жыл бұрын
Iz this guy burudian or Congolese?
@fluransflurans7369 Жыл бұрын
Papa kajala 🤣🤣🤣
@nyirandagijimanashamila6230 Жыл бұрын
Anakuwa murundi nilikuwa najua ni mcongomani ila napenda kazi yake
@davidlavie7536 Жыл бұрын
Courage
@cedrickyvan4063 Жыл бұрын
Usijali kajala niwako bro 😂
@benawazi2771 Жыл бұрын
Bro, anacho kuongeya champagne ni kweli, mu ma miaka ya 2005 mpaka 2010, akika mziki wa Burundi ulikuwa na hit Est yote ya Congo, Ila kwa sasa, akuna anacho fatiliya sana mziki wa Burundi Uta kuta msani wa Burundi akija mjini Bukavu, alikuwa na popularité sana akina T-Max, Fizzo, Lolilo na wengine. Ila nilisha elewa sasa chanzo, champagne ameongeya kweli kabisaaa.
@p.kasongot979 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 CHAMPAGNE
@aime6186 Жыл бұрын
Unajuwa mzeee Kajala unaongea ukweli yani wewe pambana na kaziyako na wasiye kupenda achana naye
@aishaafricanas7519 Жыл бұрын
Wacha ufara wew 🤔🤔🤔🤔🤔
@etiennenebus4087 Жыл бұрын
Papa kajala
@consolatricekazungu4465 Жыл бұрын
Kajala karibu wifi yetu burundi tunatunza
@officialsharifa Жыл бұрын
Papaa kalala
@ganyvictorvictor4473 Жыл бұрын
Mercy
@samuelniyo8605 Жыл бұрын
Kila inchi haikosi wahuni.
@jajakajaniri5813 Жыл бұрын
Courage 🥳🥳🥳🇧🇮🇸🇦
@ornellapascaline6214 Жыл бұрын
Wao
@soleilinzeza6897 Жыл бұрын
😂🤣🤣 courage bro
@jaystrongmagaboy1633 Жыл бұрын
Acha ujinga tafuta pesa Baba huna lolote kuwa pamoja na Kajala
@hawaahawaa22-nl2xw Жыл бұрын
Pambana
@tomsonsalita6329 Жыл бұрын
Lakini muni saidiye, mister champagne ni mkongo? Ama ni murundi, jameni muni saidiye
@LinexLinex-tw5fi Жыл бұрын
Papa pambana utatoboa
@falialawelole565 Жыл бұрын
❤❤❤
@fgcj8005 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🥰🥰
@rosemaryokia6585 Жыл бұрын
He is congolese
@jeanclaudemugisha Жыл бұрын
One
@movitsmart Жыл бұрын
Akuna mwenye anakushusha wewe ndie unajishusha mjinga Sana supeleke ujinga kwenu Congo???
@munimuni3365 Жыл бұрын
We unarohombaya acha ubaguzi siwoote niwamonja ju tuko wabinadam
@movitsmart Жыл бұрын
@@munimuni3365 Mimi sina lohombaa nilohoyake mbaa kwanini Sasa nayeye anatak kuleta Madharau kwawatoto wainchi nayeye sio mwanainch
@user-js4yi6xg4y Жыл бұрын
haaa
@kc-design6328 Жыл бұрын
kaka tufaitisha music na business bro wanajua kufanya deals someni nduguzangu Burundi music tunajua vizuli ila hatujuwi kuuza mziki
@hannah-mc1lj Жыл бұрын
😂😆😆😆😂😂😅😅😅
@ساجساج-ي3ر Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@Rahma-gt7jj Жыл бұрын
Bro aca kiki fanya mziki ile siyo level yako ameshindwa muma konde je wew utaweza?😅😅make kwanza niceke
@rajabumussa8375 Жыл бұрын
Mapenzi cyo pesa,ingekuwa ni pesa matajiri wasingekuwa wanasalitiwa