Wengi nimepitia comment zenu naona hakuna anayejua ukweli..leo nawafumbua macho.. mikalla yupo hai na ndo huyoo hapo ila kwa nn awe mdogo ilo ni swali tata na ukweli ni huu..familia yake awataki ajihusishe na sanaa tena coz kwenye ile lost twins kafanya kazi kubwa kisha akuambulia chochote zaid ya ustar kama kuna mtu anabisha mtafuten mtitu aulizwe alimlipa bei gani..pili sijajua kwa nn wanatengeneza kifo chake kiwe namna iyo ila ninachojua mikala kweli alipata ajali uingereza ambapo alienda kusoma..ajali ile ilikuwa mbaya sana kuasi kwamba ikabid afanyiwe surgery na ndo maana mnamuona vile..afu huyu alizaliwa peke yake waliobaki ni wakiume wawili..marehem Fiana choudhry angesema maana yeye ndo alikuwa karibu naye wakati anakaa magomeni na hata siku anayosafiri waliwasiliana..na hata familia yake awataki wajulikane..Huo ndo ukweli wa mikala na jina lake ni Lucky peter..aliiguza Rangi ya chungwa na ua Jekundu na hata jumba la dhahabu pia yupo
@paskalinapa61773 ай бұрын
Nakubaliana na wewe
@JoelMukulu-f4i3 ай бұрын
Poa
@nasrachimamy3 ай бұрын
@@ShadyaFaheem dah we ndo nimekuelewa sasa huyu dada hiyo yot anayojieleza niyeye na hat huwo mwili kujitengeza asahv utandawaz utakavo ww kujiwek huyu family yak hawatak wafany Sanaa ndo man ila mikala mwwnywe ndo yeye ila dhamb kujizushia kifo angali mtu unapumua inahuzunisha sana
@Manaal-pz4op2 ай бұрын
Siwez kusem kwel or uwong lkn huyuu na mikal tofaut ni rang ty pengn n yy huy mikal amejichugua ss chngn huyu km ni mikal akui at kdg abdlk😂😂
@NuruKinugani2 ай бұрын
Ahsante
@husseinkombo-34473 ай бұрын
Isije ikawa mikala mwenyewe ndo anasimulia maisha aliyopitia,,,, mambo ya time travelling haya
@khadjamhozyaАй бұрын
Mtangazaji ameona.pagumu kwenye kiarabu , kakatisha kijanja😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aishakhamis-kr7ed3 ай бұрын
Jamaaa anajidai wakat huy tapeli
@shabanaishajumanne93852 ай бұрын
Haaahhhaaa watanzania wanapenda kujichanganya sana asa kama sepenga naye alivyo rudi kwa surgery angesema si ni yeye kuna mtu angepinga ama ujinga tu sahii utazeeka kama hauna pesa kama uko nazo unaweza uka change physical appearance yako 😊😊😊🙌
@SekelaJakson-ls7dd3 ай бұрын
😂😂😂😂nimecheka iyo saut ya uyo mikala
@RehemaSilvester3 ай бұрын
Uyu nae tapeli tu miwan kma bundi mikala yupo na ndo lucky
@omanoman20442 ай бұрын
W watuy sii mnamatus et miwan kam bundi subkhan llah
@danctheyoungАй бұрын
Huyo aliitwa lucky Peter na kama angekuwepo hadi leo, bac rika lake lingeendana na rika la wema sepetu. Kwahiyo huyu tunayemuona kwasasa ni mdogo wake!
@OfficialA83640Ай бұрын
@@danctheyoung Jidanganye tu 🤣🤣
@MwanashaMesaidi3 ай бұрын
Kwenye ile muvi lulu alikua mdogo mm sidhani kama ndyo yeye angekua mkubwa sana
@lidyarajab81682 ай бұрын
Kanumba km angekuwa hai angetupa majibu😢
@khadjamhozyaАй бұрын
Na sijui arikuwa na nyota gani kira siku yeye, wengine wanatafuta umarufu yeye unamtafuta
@aminafesaliaminafesali81057 күн бұрын
😂😂😂😂sahihi wallah
@Sakinaamani-o1t3 ай бұрын
Ingresh
@JoyceNgela3 ай бұрын
Wansituchanganye vichwa😂😂
@hildagabriel10033 ай бұрын
Uyo mikala atakufa kwa ajali siku😂
@sautikaliitz9343 ай бұрын
Mara ulaya mara marekani 😅😅😅
@omanoman20442 ай бұрын
Mara wingereza sasa huu ni uongo tuy
@MartinCharles-p2h2 ай бұрын
Mbona yule aliye hojiwa alisema alikufa uk mbona hatuelewi Ama ni jini 😂😂😂
@OfficialA836403 ай бұрын
Wanafiki wakubwa hao yule ndy Mikala na kazaa na Mtitu watoto wawili wasituzuge Anaitwa Bahati ndy jina lake halisi na ndy maana anajiita Luky😂😂😂😂
@janemwageni5973 ай бұрын
Sio kweli mikala alifarik 2022 tena akiwa uk na alifarik kwa ajali gar Yao iligongwa na tren,hujiuliz mikala kipind hicho ana miaka 19 kwa hyo hazeek tu??
@lucasmhagama81663 ай бұрын
Jina lake ni Lucy Peter
@shangwefisima543 ай бұрын
Acha uongo winter alisema ni yeye tusipotoshwe@@janemwageni597
@tajiertaj59563 ай бұрын
@@janemwageni597Alizikwa wapi kaburi lake liko wapi Tanzania au huko malekani 😂😂😂😂hiyo ndio yeye
@zedy_hope-pd8kn3 ай бұрын
Kama alikufa 2022 sini miaka mi wili tu ndo azeeke sana kushinda wakina Elizabeth Michael? Ndo yeye huyo subiri tumuone live bila filter make up tutajuwa tu @@janemwageni597
@Jennyjonh3 ай бұрын
Iyo miwan vip
@hildagabriel10033 ай бұрын
Kiki zitawaua watanzania mtu anasema amekufa ili atrend hivi kweli😂😂
@Dil-nawadhFt2 ай бұрын
Jamani mikala yupo ndio huyo huyo sikai sku 3 km hatujakutn nimuongo so mdog wake hapendi kujionesh kwa wtu km niyy ila IPO cku atajitokeza tu
@Caren-og7qd2 ай бұрын
Nimeamini ni dada na mdogo wake surely.
@SalminSaidi-dg3fq2 ай бұрын
Mnazingua kwani huyo mikala ninani Hadi mambo yamekuwa ivyo
@khadijanurdin31632 ай бұрын
😂😂😂😂
@SamihaMohamed-yl8uz3 ай бұрын
Mm nilimuona tandika kwa muuza mitumba mwaka 2004 2005 nilishangaa niliemuona ni mdada mweupe mwembamba kafupi kidogo na huyo muuza mitumba alisema ni mteja wake sana
@chimammychaumu7372 ай бұрын
Ukienda kwenye majina ya walioigiza lost twins mbona jina n ilo ilo Lucky 😅 dahhhhh
@jacklineghati64312 ай бұрын
Uyo wa insta anaitwa luckiya na uyo mikala n lucky ni majina tofauti
@OnlyRuky3 ай бұрын
Aliyehojiw na Mange alisema alifia Uk na kuzikwa huko hukoo
@mwanamisiali57123 ай бұрын
Minafikiri wangeitafuta familia ya mtitu pengine wangejua ukwwli
@mariamumay2 ай бұрын
nikwer lkn yule angekuwa mikala angekuwa uso umeshabadilika sasa ni mtu mzima angekuwa sasa maana ni miaka mingi
@makejaffar8119Ай бұрын
8:00...amesema mwenyewe alishindwa kuifuta picha sababu alipost akiwa na Paula na Abigael Cham na Mikalla🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Jamaa amejinganya
@sumatumbo-mg4ikАй бұрын
akamatwe uyo bint atoe ukweli😂
@JohnSeleliiАй бұрын
Alishahojiwa mbna huyu binti maelezo aliyosema baada ya kuigiza filamu na kanumba baba yake mikala aliamua mwanae asiigize tena hivyo akamnyang'anya laini na akapelekwa masomoni UK hivyo kule akawa huru na alienda club na marafiki zake uko UK hivyo wakati wanarudi wakiwa kwenye tax waligongwa na treni ya umeme wakasambaa kabisa hivyo miili kutambulika ilitakiwa wazazi waende kupima DNA kwa utambuzi
@janetsarah3518Ай бұрын
Unajiita nani
@vunja_mbavu_1242 ай бұрын
Sasa Marekani ni Ulaya..? na uyo nae Mzinguaj Shenz
@salmamlokela19872 ай бұрын
Huyo ndo mikala mwili tu ndo unawachanganya huyo mwili wake ni mdogo mdogo mtachanganikiwa sana na bado😅😅
@PriscaDickson-x6wАй бұрын
Kinachotuchanganya lulu alikuwa mdogo lakn saiv nimkubwa je inakuwaje uyu ambae alikuwa mdada mkubwa afu eti loe hii ni mtoto mdogo hatuelewi😂😂😂
@salmamlokela1987Ай бұрын
@PriscaDickson-x6w kawaida hta kwenye familia zetu watu kama hao wapo
@PaulMwenda-d3q2 ай бұрын
Labda anaukimwi alafu akakonda
@MZTIMES3 ай бұрын
Ndio yeye 😂😂😂
@celestinnsamba31273 ай бұрын
Kaji changanya uyu🙄😁🤣
@everlyne85953 ай бұрын
Story z uongo kbs anatoa
@gracekayumba-z9l3 ай бұрын
Ata kama angekuwa yeye angesomaje advance mpaka now
@danieljoseph1610Ай бұрын
Kwani huyo Mikalla mnamtafuta ili iweje? Kwa mfano mkampata sku moja, Anadaiwa na nani? Mi siwezi kumtafuta mtu hanihusu!
@aminafesaliaminafesali81057 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@aishakhamis-kr7ed3 ай бұрын
Jamaaa kashaibiwa huyu
@OlivaOnesmo3 ай бұрын
Hyo hy kaka muende nae ad kwao mkapeleleze na majirani
@SummymaddyMaddy2 ай бұрын
Sema achana nae huyo mikala km mwenywe hataki lkn yule ni yy
@khadjamhozyaАй бұрын
au arikuwa sio mutu wakawaida
@anethmshahara85193 ай бұрын
Hiyo miwani sio poa
@sharifamahamudu1823 ай бұрын
Mm na amin uyo so mikala cz mikala jaman asizeeke miaka hyo jaman tangu mm mdogo now 30 mikala bado binti Mhhh so mikala
@OfficialA836402 ай бұрын
@@sharifamahamudu182 Tafuta pesa urudi udogo ht ww unaweza kurudi hivyo
@sharifamahamudu1822 ай бұрын
@@OfficialA83640 mhhh
@kagirasta14763 ай бұрын
Liongo hilo
@LinetNjue-m1g3 ай бұрын
Mkala Angekua hai,si angejitokeza akasema,sidhani kama Yuko hai mikala,
@OfficialA836403 ай бұрын
@@LinetNjue-m1g Kaangalie interview ya Dr Cheni mkiambiwa mnabisha yule ndy Mikala msijichoshe na utapeli wake aliomfanyia Mange Kimambi na nyie mkaingia kuukubali ukweli kumbe mmepigwa na kitu kizito🤣🤣
@OlivaOnesmo3 ай бұрын
Awapeleke kwao mkaulize majiran ,majiran ndio wanajua kila kitu
@angelraphael45003 ай бұрын
Hii story ya makala iishe jaman dah😢basi makala katekwa😅
@EstherHabonimana-e8i3 ай бұрын
Wedada Umenichekesha eti Makala😂😂😂😂 mbavu zangu mie😂😂😂😂😅😅😅😅😅
@HidayaWilley2 ай бұрын
Jmn huyo dada ni mikala watu wanafanya surgery ata wema pia mnamwona alivyo jmn kawa mdogo sana
@MartinCharles-p2h2 ай бұрын
Wanafanana kilakitu kucheka na vidimbo urefu hatakama ni dada yake mbilona yeye sio mrefu hata kidingo
@FatumaBintiАй бұрын
Jamani ukiwanapesa kuamdogo aijalishi mbona kajala nimzee bty anaonekana binti mdogo wema nimkubwa ila bado anaonekana mdogo vp nyinyi ebu tafuteni kazi mfanye
@wemaMichael-fr4th3 ай бұрын
acha usenge yaani yule mtoto ndo mikala we fala nini mikala namjua tangu mi nipo shule Leo ndo awe na miaka 19
@nasrachimamy3 ай бұрын
Kabs asa sijui anasema kafa ili iweje yani
@MkisiStylish2 ай бұрын
Uyu anaehojiwa anatunga story 😂😂hata hako katoto lucky hakawezi kuwa kapo advance saiz kama mikalla alikufa yeye anaelewa dadake alikuwa mcheshi na mkali 😹😹mnatunga story
@RebyMacky2 ай бұрын
Uyo itakuwa ni mikala amjui watu wanafanya sugar nyinyi
@DeusMagere3 ай бұрын
Mwambie avue miwani
@shedy_marie3 ай бұрын
Sasa move c mtu wanaeza kuedit mapacha mikala yupo hai nahajawai kufa hio uongo kuzushana vifo
@EppifaniaGwahenye2 ай бұрын
Oaah ht kam nyie wa2 ni wajnga Mikala awe mdogo kias hcho embu 2mien akil bhn
@fatimamkambo3 ай бұрын
MIKALQ YUKO HAI HEBU ACHENI UPUMBAVU WENU
@OlivaOnesmo3 ай бұрын
Mm navyojua bwana hyo n mikala ana kibaby face ...na elimu haina mwsho mm mwenyew na miaka 32 na nataka kwenda 0 level
@hildagabriel10033 ай бұрын
😂😂😂
@nasrachimamy3 ай бұрын
Kbs we umesema elim Haina mwisho
@Zainab-u9q3 ай бұрын
Sio mikala uyo toka enz izo awe ivo Kwa sabbu gani subutu uyu labda ndug yake tumemuona mikala miaka kibao nyuma uyu sio yeyenaktaa
@ZainabRamadhan-w8s3 ай бұрын
itakua ni yeye bhana watu siku hizi wanajitengeneza
@alleyjuniourtz3 ай бұрын
Ndo wafanane sauti mpaka swagger
@sharifamahamudu1823 ай бұрын
@@alleyjuniourtzkm unataka na na mtu unaweza ukaiga tabia zake pia km unazipenda ad hzo swaga
@nasrachimamy3 ай бұрын
@@ZainabRamadhan-w8skabs
@nasrachimamy3 ай бұрын
@@alleyjuniourtzet sema weye ndug
@minaabuu52502 ай бұрын
Uongo anakakake anaitwa alvin he was my x so yy ndo haojiwe
@nahyahya73492 ай бұрын
Kwani wewe wifi x huna Cha kutuambia?!
@tasneemAshraf-q7h3 ай бұрын
Alisema dadake alikufa hawakuonana huyu walikuwa wapo pamoja na alisema akizaliwa yeye dadake alikuwa asha kufa
@PhyinaElias-mu4wf3 ай бұрын
Mmmmh😂😂😂😂😂 mwanangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huo n uongo
@Jassmin-media-official3 ай бұрын
Story za jaba kkkkkkkk lol wenae unataka kwenda mjini
@catherinelandas19383 ай бұрын
Huyu mikala ana kaz ya ziada cyo bure
@FaudhiaAlly-p8g3 ай бұрын
Sio mikala inaman akui?
@shedy_marie3 ай бұрын
Akui mwili wake mdogo tu age kubwa akue vp anaush kistar
@BarkisLambert2 ай бұрын
Wewe mwenyewe cheap
@FaustaKessa3 ай бұрын
Sasa uyu kaka amesema yeye nikaka yake mikala alafu ajui miaka mingap pia alafu ujui familia yake ujinga gani uo mnaojiana
@ChikuHamisi-o8p3 ай бұрын
Yaaan wanakuandikia usenge juu hapo ndo tufunguetu bando liende😏
@wemaMichael-fr4th3 ай бұрын
shogaa huyo we huoni hata jinsi alivyo kaa kizembe
@salumualoyce56203 ай бұрын
Hilo jamaa na miwani yake kama kobe ni liongo yani linavyoongea hilo lijitu unajua kabisa ni liongo pumbavu zake yani kama kapangwa vile.
@AsmaaIsmail-fh1ov2 ай бұрын
🤣🤣🤣aisee picha linaanza jamaa ana mama wawili🤣🤣
@JactonKai2 ай бұрын
upumbavu mtupu mkalamkala.
@NdekejaKamuli-sh5pe3 ай бұрын
Kumbe Marekani ni Ulaya? mbona kama anajikanyaga huyu
@PogbaJunior-r8k3 ай бұрын
Ulitaka akwambie marekani ni buguluni au
@Riyovlogs7893 ай бұрын
We nawe unajibu akati ujui tofaut ya marekani na ulaya😂@@PogbaJunior-r8k
@alleyjuniourtz3 ай бұрын
@@PogbaJunior-r8k😂😂 jibu zuri
@nasrachimamy3 ай бұрын
@@PogbaJunior-r8k🤣🤣🤣jamn mpk nimecheka wallah hili swali balaaa
@timothmwakakusyu45633 ай бұрын
@@PogbaJunior-r8k😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka balaa japo marekani sio ulaya