Sehemu ya Darsa za Maghrib za Sheikh Othman katika Msikiti wa Noor Mohammad ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.Ndani ya Darsa la leo Sheikh anatupitisha katika Somo zuri la Sadaka
Пікірлер: 184
@AliissaAliissasumailАй бұрын
Maanshaalh chekh nakupenda sana kisa chakukupenda nikazi yako unayo yifanha❤❤❤❤❤
@FatimaMohd-oq3tl2 ай бұрын
Alllaah atusamhe makosa yetu pale tulipo mkosea
@abhaijar40788 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu na husnulhatma njema amyn
@dahirali35862 жыл бұрын
I love you my sheikh. May Allah make us among people of Jannah
@hodhoj6092 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe kheri zaidi shekhe othman Maalim nakukubali sana
@muddymuzungu43572 жыл бұрын
In shaa Allah kwa kupitia darsa zako tunamuomba Allah kwa Ramadhani hii atubadilishe tuwe wachamungu mpaka kifo kitakapotufika 🙏🙏 na atupe mwisho Mwema
@aishacharirajimbo45082 жыл бұрын
🤲🤲🤲🤲
@langonibakari37652 жыл бұрын
Amiin thumma amiin 🤲🤲🤲
@dhafaranijuma2 жыл бұрын
Ameen
@nassoroally4353 Жыл бұрын
Ok
@Thedonbling Жыл бұрын
ameen inshaallah
@itz-ritkor12562 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu wenye ibada na uzidi kutuelimisha,wazazi wako Allah awaepushe na adhabu ya kaburi babako mzazi Allah amjaalie jannatul firdous Kwa kukufunza madrasa na tabia njema Kwa hakika wewe ni mfano mzuri sana Kwa hii uuma
@nailabakari94942 жыл бұрын
Masha Allah, Allah atupe afya njema namwisho mwema. Ameen
@amandamwikali99682 жыл бұрын
Amen
@rajeshimuhibu58922 жыл бұрын
Jazaakumullahu khayra ostadh wetu
@charlesmwilongwa91502 жыл бұрын
Binafsi uwa namuelewa sn Shekhe matundisho yake MUNGU aendelee kukupa wepesi ktk mafundisho yako
@yusuphmihambo76292 жыл бұрын
Amiin
@ayranshehe29092 жыл бұрын
@@amandamwikali9968 00p0⁰pp
@eshasaid32582 жыл бұрын
Mashàallah Allah Akuhifadhi sana katika hii duniya abariki kalamu tv
@alifaki46512 жыл бұрын
Mashallah shehe wangu othmn malim
@kibibiali85762 жыл бұрын
Maa sha allah,kwa darsa zako,
@mashabilal62622 жыл бұрын
Kutoa sadaka ni wajibu aliopatiwa Muislamu na Mola wake. Hivyo, inatakiwa tuitoe kwa misngi ya Uislamu. Sadaka haifai tu kupewa mtu mwenye nguvu ya kufanya kazi na tajiri.
@apangomombasa92302 жыл бұрын
MA SHA ALLAH YA SHEIKH OTHMAN MAALIM KWA MAWAIDHA MAZURI
@farhiaisabella31662 жыл бұрын
Mashallah barakala Mwenyezi Mungu akutunze
@shadyaadam89192 жыл бұрын
Ma shaa Allah Shukran kwa darsa sheikh Othman maalim. Hakika tunafaidika sana na darsa zako. Allah azidi kukupa umri mrefu wenye faida ulivyotuambia, na Allah azidi kukupa afya njema. Allah akulipe hapa duniani na kesho akhera. Nakupata vizur sana nikiwa pande za oman.
@gonew-b5b7 ай бұрын
Allah Akbar Shukran Jazaakum Allah Kheir Sheikh ❤❤
@nuhukenny71832 жыл бұрын
Nakupenda Sheikh, nakufatia sana kutoka Rwanda
@safiaothman51752 жыл бұрын
Jazak Allahu Khairaan Kathiraan Sheikh kwa Darsa zako mbalimbali
@a.8562 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@AlAl-sd9pl2 жыл бұрын
Manshalah manshalah manshalah.. Jaman sichok kumsikiliza shekhe huyo. Allah Akuhifadhi
@RahmaHemedseif-sb6ku Жыл бұрын
Mashaallah sheikh 🥰
@huriarashid77452 жыл бұрын
Maashallah allah akulipe kher shekh, napend san darsa zako.
@nuhadabdulnasser72402 жыл бұрын
Mashaallah,, Allah atujaalie tuwe miongoni ktk waja wema na khatma njema
@jumaayoub84842 жыл бұрын
Ma sha Allah. Allaah atunufaishe kwa darsa zako tuwe miongoni mwa waja wema siku ya mwisho
@mahaladah2 жыл бұрын
ManshAllh continue with same spirit am watching frm isiolo kenya Ramadan kareem❤️🙏
@nebulanhiijjj2 жыл бұрын
Mashallah my favourite sheikh
@ezekielmahogwa26022 жыл бұрын
Mashaallaa sheh wangu hizo aya uweunazisoma kwa kug'hani napenda sana saut yako kwaajili ya Alla.
@afric01 Жыл бұрын
Aslm alkm ww.... Masha Allah!!!! Shukran sana sheikh. Allah akulinde 🙏. Jazakallah kheir 🙏❤️♥️❤️♥️♥️
@abubakarmaneno72032 жыл бұрын
Mungu atufanyie wepesi kwenye vifoo vyetu na atujalie sote tuingie peponi
@user-vm3ko4ew5q Жыл бұрын
Mashallah Allah akuhifadh❤
@hemedamiry73512 жыл бұрын
Mashaalla alla akupe umri mrefu uzid kutupa faida
@nomadicman67812 жыл бұрын
My Favorite Sheikh, May Allah Protect him
@zaudatmakula34542 жыл бұрын
Amiiin
@yaseenshaibu4102 жыл бұрын
Amiin
@ameenaameena49072 жыл бұрын
Maashallah Allah akupe umr wenye manfaa
@leilaathumani36112 жыл бұрын
Allah akupe afya njema I love you so much
@mwanamisirama18362 жыл бұрын
MashaAllah tabarakallAlla sheikh uthman maalim kwa kutuzindua Allah akujaze khery apa duniani mpaka kesho Akhera yaraab 🤲🤲
@kubraali36042 жыл бұрын
MashAllah Alhamdulilah wajazkum Allahu kheir
@haweedamohamed5906 Жыл бұрын
May Allah s.w.t give you a long and healthy life so that you continue your teaching .....ameen
@sharifahabsi50042 жыл бұрын
Mashaallah kwa darsa zuri lenye mafunzo
@monatomamonatoma33082 жыл бұрын
Mashallah mashallah mola akujalie kika la kheri akuepushe na shari