Barikiwa sana pastor wangu wanijenga sana kutoka kenya
@SimonWatabora29 күн бұрын
Amen Amen IMANA itubabarire cane 😢❤
@Satier47 Жыл бұрын
Amen mzee wa upako. Mungu akubaliki ❤🎉🎉🎉
@SaviourIkapel Жыл бұрын
Yeah is good to remember.mahali mungu amekutoa
@timotheojumalukona3125 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Baba hakika umenena
@MwamiziNicholaus Жыл бұрын
May god bless u amina🎉
@patrickkalahuka6340 Жыл бұрын
Muchungaji ubarikuwe sana Mungu akupe yote ili uokowe Watu nime barikiwa
@ndetitave466 Жыл бұрын
Mungu aendelee kutumia dozi iningia sawa sawa
@ceokinglaiza Жыл бұрын
Amen I love this man of God🤲🏾God bless you
@joyyjoyy5474 Жыл бұрын
Leo mchungaji umelipua nimebarikiwa sana, Amen
@yahayajules4369 Жыл бұрын
Ubarkewe
@lucylyale7169 Жыл бұрын
Ameen mtumishi🙏
@VickyDanieltango Жыл бұрын
Baba baba baba sijui niseme nn Mungu akuweke miaka mingi ukiwa na nguvu za kuhubiri
@Nonobellaaaaa Жыл бұрын
😂😂😂😂😂Ubarikiwe saaana mtu wa mungu
@ruthmagare8725 Жыл бұрын
Napenda sana mafundisho ya mchungaji Mgogo. Barikiwa sana
@JeanneMutabazi-ze6vl Жыл бұрын
Ubarikiwe baba kwa haya mafundisho ya pesa kupeperuka
@MaryMswadiko-t8u Жыл бұрын
Nikweli twambie tuache dhambi kweri shusha baba AMINAAAAA
@SaudaIngairo Жыл бұрын
Asante kwa mahubiri..mungu akupe maisha marefu uhubirie ata kizazi chetu asante kwa mahubiri
@antonympitabakana3702 Жыл бұрын
Barikiwa mchungaji Mgogo
@fatimafatima6796 Жыл бұрын
Mtumishi Mungu akubariki sana sana kwa mahuburi yako
@BavaziBamutara-mc5xt Жыл бұрын
Mungu akubariki namahubiri
@KissahMbembela-tf6vk Жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@MwamiziNicholaus Жыл бұрын
Thanks pastor
@blaiseLazare Жыл бұрын
May God bless you pastor ❤
@clareotuba4777 Жыл бұрын
🎉be belesed the man of God i am blessed ❤
@Fredw6 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu 🙌🙌🙌🙌
@blackking6295 Жыл бұрын
From moment i started to listen the way you preach i always learn new things not only in spiritual life but also in this normal life we live....May God keep you so that we shall continue to learn new things everyday....Amen
@mgonasipapune1383 Жыл бұрын
Amen
@ShanShan-el8kg Жыл бұрын
This more fire
@mgonasipapune1383 Жыл бұрын
Amina Amina Amina.
@annemwangemy7056 Жыл бұрын
A good message.
@osilojackson-oj8dk Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki
@Emannueli-e2l Жыл бұрын
Kwel baba... tuambie...
@enockjohn4479 Жыл бұрын
Nakupenda sana baba yangu
@happnesskitumbo5713 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana baba, nakumbuka tulipitia maisha ya shida katika nyumba ya baba yangu ikafikia point baba hana hata uwezo wa kupata elfu moja sitasahau kipindi hicho kuna siku tulishinda njaa, tukalala njaa hadi asubuhi tukashindwa kwenda shule kwa sababu ya njaa, Namshukuru Mungu Leo nimefanikiwa kwa kadili Mungu anavyotujaalia ninayakumbuka sana yale maisha na mtu yeyote akija kwangu akaniambia Nina njaa sina chakula lazima nimpe chakula maana nayakumbuka maisha ya kushinda na kulala njaa. Ni kweli kabisa kuna wakati Mungu anakupitisha kwenye maisha Fulani magumu ili akikuinua kesho usiote kiburi na kukumbuka Kuwa umepata kwa neema tu na uwasaidie wengine.
@mgonasipapune1383 Жыл бұрын
Kweli kabisa dadaangu
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Yaani maisha haya dadaangu watu tumepita saana na ndio maana mtu akija kwangu.kuniomba kitu nikawa Sina natumia saana Mungu akubariki saana
@deboramwakyusa2192 Жыл бұрын
Ameeni
@christabel254 Жыл бұрын
Am blessed and much touched servant of God. Barikiwa Baba