Mubarikiwe sana ninapo zisikiliza hizi nyimbo nakumbuka maisha tulio ishi inchini Tanzania ,katika kambi yawakimbizi Ulyankuru,katumba, na Mishamo.
@javanniyakire9082 Жыл бұрын
Kwa kweli kahi ikitawala watu hufurahi, asanteni sana Kaminula kwaya
@cadeaumahuridi91985 жыл бұрын
mungu awabariki waimbaji wa mungu nyimbo zinatubariki sana
@elimeleckelisha26184 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sanaaa
@amosnyanda74033 жыл бұрын
Mlakoze cuti, mnanikumbusha mbali sana😭😭😭😭😭😭
@trophainamagogwa79664 жыл бұрын
Nikiwaona tu nakumbuka siku ya Harusi Yetu mbarikiwe
@neematungaraza34782 жыл бұрын
Intro 0:00-0:48 Haki Huinua Taifa 0:48-5:02 Twakushukuru 5:02-9:15 Stephano 9:15-12:47 Igizo 12:47-13:39 Bara Letu Afrika 13:39-17:45
@ellenlucas70652 жыл бұрын
Wimbo unatukumbusha kutenda haki, MUNGU atusaidie
@orestinaemanuel86103 жыл бұрын
Nakumbuks mbali sana
@enockmvuyekure13315 жыл бұрын
Mungu awabariki
@gastonmodestkaziri25662 жыл бұрын
Mungu awabariki popote mlipo watumishi wa Mungu! Nyimbo zenu na hasa wimbo huu ni ushahidi tosha ninyi ni waumini na watu wema. Barikiwa sana.
@mouneeray42002 жыл бұрын
Niliusikia huu wimbo zaidi ya miaka kumi iliyopita. Nafurahia kuupata hapa youtube. Hii choir Kaminula ingali iko hai? Inapatikana wapi nchini Tanzania?
@trophainamagogwa79664 жыл бұрын
Namuona Kaka Remmy barikiwa saana
@Mwakamele3 жыл бұрын
Hivi wapo hai hawa watu mpaka sasa?
@emmanuelpetertruegospelcha3331 Жыл бұрын
@@Mwakamele naam bado wapo hai kwani walikuwa miaka ya 90s ni wachache sana ambao waliokufa