Naeleza ulimwengu upate nisikia kurizisha moyo wangu si kosa nawaambia na Wala sio peke yangu mola ametuumbia.😍❤️😍 Kama si mimi ni wewe hakuna anaekataa,nawe ngoja upewe nione utaachia,bure nisilaumiwe kanipa nimepokea❤️❤️ Kanita kunishauri kama yanaweza kuwa,kwa kua yeye mzuri sifa zake nazijua,niliikata shauri na kumjibu ni sawa.❤️😍❤️😘 Nnayoyafikiria sio hayo muelewe, isiwe kunizulia tuwenu tena mpoe,msemayo mwadhania nnaejua mwenyewe,❤️😍❤️ Sikuomba nimepewa kwa ridhaa na nidhamu mapenzi yetu ni sawa. mizani metimia❤️❤️😍
@zeinabbreik35853 жыл бұрын
Enzi zile za radio zanzibar saa nane karibu na radio yako.Nice song
@Gangalamu6 жыл бұрын
Kur8dhisha moyo kweli hakuna hatia. What a mesmerising voice and song by Fauzia. Wwwwwwooooowwwwwww
@ahmeidyoung24104 жыл бұрын
Kanipa nikapokea..nice song
@SheikhaIssa-i7k4 ай бұрын
Allah amsameh kila alipokosea ..Amlaze pema peponi ...Amin
@ahmeidyoung24104 жыл бұрын
Enzi izo unakula wali ndondo nakiburudani ,kanipa nikapokea, kipindi cha burudani saaa 8 mchana ukimaliza tu chuoni.........
@adidascrew13084 жыл бұрын
Umeonaehh That is our Old Zanzibar ikowapiiii😂😂😂😂
@youngbob97613 жыл бұрын
Dah zamani sana
@youngbob9761 Жыл бұрын
sio mchezo
@masudyrashid81564 жыл бұрын
Daaa saa 8 mchana sauti ya tanzania zanzibar enz hizo
@MwanaAli1235 ай бұрын
Kwa kuwa yy nzuri dah jamani enzi izo narudi skull hamamni njaa inauma namkuta bb bado hajapika😅
@imraniqbal007652 жыл бұрын
Rahima ally nakukumbuka Allah akupe umri wenye kheri
@youngbob97613 жыл бұрын
Zanzibar beautiful Island of Africa
@rashidramadhan71392 жыл бұрын
Faudhia abdala
@Kingstonbagamoyo3 ай бұрын
Self conscious utupie na mahojiano wasanii wakongwe
@greatiq82345 жыл бұрын
Enzi nakula mkong'oto wa malezi sehemu fulani, nyumbani, Zanzibar.
@rahimaally98387 жыл бұрын
Kama si mimi ni wewe hakuna atakae kataa nawe ngojea upewe nione utaachia