Рет қаралды 773
KANISA LIJIANDAE ni siku za mwisho, hukumu imekaribia maswali mengi tutaulizwa na Mungu. Ee Bwana ninaomba unipeleke upande wa watakatifu maana huko nitamwona mwanakondoo, nitazunguka kiti chako cha enzi nikiimba wimbo wa Musa na mwana kondoo 🙏🙏