Oooh ni kweli Mungu ambariki sana. Namfahamu sana na hata baada yz Upadrisho wake alitutembelea nyumbani. Mimi naamini Mungu snapoamua kukuita kuwa mtumishi wake hata ukimbie lazima utaitika tu. Ni kama Yona alivyokuwa anakataa maagizo ya Bwana hadi kumezwa na samaki akajikuta Ninawi. Pd Richard Mungu aendelee kukutumia sawasawa na wito wake aliokuitia. ( Mimi ni Rose Vitalis Swai) Historia yako inatia moyo,na kutokukata tamaa.
@davidamundala97204 жыл бұрын
Mzuri sana ndungu, Baba Mungu apewe sifa kwa uwito wako wa upekee yenyi kuonyesha ukubwa na uwezo wake Baba Mungu. Kitume njema ndungu. D.alphonse Marie.
@paulina.baynit79704 жыл бұрын
Hongera sana pd Laswai, mimi nimepata bahati ya kukufahamu ukiwa Karatu. Nafahamu ulivyo kuwa mchapakazi, mnyenyekevu na mcha Mungu sana. Mungu azidi kukulinda kukutunza na kukubariki.
@eustacemgawe54544 жыл бұрын
Baba naomba Mungu aendelee kubariki utashi wako katika kumtumikia kwa uaminifu na ukamlifu wote.
@catherinebonaventure95144 жыл бұрын
Barikiwa sana padri wangu Mungu azidi kuwa nawe daima uzidi kutuongoza AMINA
@paulosabina10344 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki sana na kukuonhiza katika utume wako.
@restustanjau3224 жыл бұрын
Hongera sana baba Padre.kwa kweli mpango WA Mungu kwa wanadamu huwa unatimia
@happymaiga49634 жыл бұрын
Hongera baba ujaliwe utume mwema. Kweli wewe umeitwa kuwa mtumishi wa Mungu
@neemajohn5634 жыл бұрын
Hongera Sana father mungu ni mwema Kila wakati
@rosemarychuwa86964 жыл бұрын
HAKIKA TUACHE MUNGU AITWE MUNGU, HONGERA SANA FR, 🙏🙏🙏 NAKUMBUKA UMETUHUDUMIA PIA PAROKIA YA BASHAILAMBO (KARATU)
@modestkapesa32004 жыл бұрын
Hongera Sana Baba padre kwa wito, ningeshauri hii historia ya Baba ingewekwa kwenye kumbukumbu za kanisa ili iweze kuwahamasisha vijana kuitikia miito mbalimbali
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC4 жыл бұрын
Sana tunashukuru kwa maoni
@blandinakimbe40193 жыл бұрын
Barikiwa sana
@godfreymwambwalo52824 жыл бұрын
Hongera sana Baba naomba utoe CD ushuhuda huu ni mzuri sana
@martinmiston44034 жыл бұрын
Mungu atukuzwe kwa ukuu wake..
@geminassenga53034 жыл бұрын
Hongera Sana Baba Padre
@deogratiasrugangila31004 жыл бұрын
Hongera sana baba kwa kusikia wito bora na hakika historia yako ni mafunzo tosha kwa vijana wetu.itapendeza waandishi wakakufuata huko uliko ili kumbukumbu hizi zikae vizuri
@baltasartemu21534 жыл бұрын
Ungemwacha asimulie historia yake....unamtoa relini
@lugembesimon70354 жыл бұрын
Hongera sana,Ila tunaomba radio maria wamfuate ana kwa ana
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC4 жыл бұрын
Usijali janga la corona likiisha tutakwenda
@kelvinsoko23264 жыл бұрын
hongera sana padre mungu ana kusudi lakehuu ndio ulikuwa witu wako
@josephinelyimo24234 жыл бұрын
Hongera sana padri
@johannesmakwandi80004 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu Baba nimependa sana
@chrismwanjalika98924 жыл бұрын
Naomba Mungu Upate kumtumikia kama Padre kwa muda mrefu zaidi ya kawaida.
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC4 жыл бұрын
Asante sana
@hendrycomonsiwenga10843 жыл бұрын
@@KANISAKATOLIKITANZANIATEC Hongereni sana.
@vincentjacob3204 жыл бұрын
Namkumbuka sana Laswai wakati sisi tunaanza Form one Sanu Seminari yeye alikuwa kiranja wa Chakula.Kiukweli huyu mtu ni mvumilivu na mstaarabu sana.Ni mwenye hekima na busara sana wakati wote.Ni mtu wa kushauri pale mambo yanapokuwa hayaendi sawa.Natamani ningepata no zake nimsalimu
@godsgiftgreat47524 жыл бұрын
Historia yako Baba inasisimua sana.
@gabrielkimario31154 жыл бұрын
Kumbe hata Mimi sijachelewa nami natamani
@roseswai55704 жыл бұрын
Baada ya Upadrisho wake pia nilibahatika kukutana nae pale Msimbazi centre anayosema ninkweli tupu aisee mwacheni Mungu aitwe Mungu tu.
@jasperorare60764 жыл бұрын
May God be God forever he is indeed God
@johnbusansa15024 жыл бұрын
Hata huku kwetu sumbawanga Diocese kuna Padre aliacha kazi ya serikali na akaenda seminary akiwa na umri mkubwa... Alipewa jina la YOHANE MARIA VIANE.. MWENYEZI MUNGU KAMCHUKUA😭 katika Miaka5+ ya Utume wake... MUNGU amrehemu... 🙏🙌
@cletusmwanauta97984 жыл бұрын
Bila shaka ni marehemu father sungura huyo
@pleonardkashatila45554 жыл бұрын
Ndiyo padre John Sungura alitoa huduma hapa Chala shirika LA masista Mungu ampe pumziko LA milele.
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC4 жыл бұрын
Poleni sana...Mungu amlaze mahala pema peponi
@valechinga78934 жыл бұрын
Mungu akubariki baba
@melkiadesmogella64024 жыл бұрын
Nilisoma nae Ntungamo major Seminary Bukoba. Acheni Mungu aitwe Mungu.
@emmanuelmbaruti96763 жыл бұрын
Kweli Mungu ni mkubwa tulikuwa Sanu Seminari tuombee wengine tuliokuwa wasindikizaji
@johnbusansa15024 жыл бұрын
🙏🙌💪
@johnnymallebo11893 жыл бұрын
Mwenye namba na huyu padre
@giftanna63514 жыл бұрын
Kweli naona una wito!
@aidanitelesphory13624 жыл бұрын
Jamani naomba niunganishwe na Padre huyu
@chrismwanjalika98924 жыл бұрын
Fuata njia njema.
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC4 жыл бұрын
Sawa nitakupa mawasiliano yake
@RwegarulilaIZIDORY4 жыл бұрын
Nimefurahi kufuatilia historia ya baba padri, inavutia na inaamasisha.