Marehemu Kanumba mie nitamsahau kweli nikimkumbuka uhisi uchungu Sana kana kwamba ni Kakangu wa damu , pumzikaa kwa amani mdogo wangu Mungu yarabi mola wetu azidi kukulinda katika ufalme wake wa mbinguni
@ashuraissa77622 жыл бұрын
Pumzika kwa amani kipenz chetu
@gabrielchavisa54642 жыл бұрын
Rip legend kanumba,uwil olweiz remain in ppls h🧡t😭😭😭😭
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Unaniumiza huu wimbo Kama upo vile 😭😭😭😭🙏🙏🙏 R. I. P kanumba