Namshukuru Mungu nimepokea uponyaji. jina la Bwana libaeikiwe Pia naomba Mungu anipatie hekima nipate mume mwema pia anibariki hali ya uchumi.... M/Mungu naomba umponye bibi yangu ambae amelazwa hosp... Naamini kwako hakuna gumu linalokushinda haya yote yatatimilika kwa jina la Yesu kristo wa Nazaret. Amina
@dorcasmwika261610 күн бұрын
Amen 🙏 Chungaji kwa kazi yaku elimisha watu
@NeemaKilegu9 күн бұрын
Umekuwa baraka San kwangu barikiwa San mtumishi
@rogzenaminja798012 күн бұрын
Naomba ukombozi kwa watoto wangu ni walevi hawana ufahamu wanavuta shisha, hawapendi ibada,
@hansmarymwasulama197411 күн бұрын
Asantee cana pastor nabarikiwa cana na mafundisho yako ya kristo alie hai Hakika utukufu n kwa Mungu yananivusha hatua moja kwenda nyingine kiimani na ninazid kumjua Mungu Zaid kupitia neno lake
@CeciliaNgombe11 күн бұрын
Mch juzi tulikuwa wote mafinga ulikuja kweny ibada. Nilitamani sana nionane na ww uso kwa uso. Ila sikupata nafas hyo. Nili hitaji ombi lako japo ulituombea kwa pamoja. Naomba kwako neno moja tu nami nita balikiwa .
@saphinacuthbet134312 күн бұрын
Amina .Barikiwa sana mchungaji Mmbaga.Somo limenibariki sana.Namshukuru Mungu mume wangu anaendelea vizuri,alamilishe sehemu iliyobaki.Amina.
@rizikimakupe-tw2sj12 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi nahitaji maombi kwaajili ya watoto wangu
@feiJe-l1y11 күн бұрын
Mchungaji, Sema neno moja tu kwangu ambalo liitabadilisha kila kitu. Kama Hana alivyotamkiwa na kuhani Eli na akapokea haja ya moyo wake. Nami nahitaji kupata watoto na nina mwamini Mungu
@MahubiriPrMmbaga11 күн бұрын
Mungu akupe haja ya moyo wako
@EucahOsebe-dq4qx10 күн бұрын
@@MahubiriPrMmbaga Amen
@feiJe-l1y10 күн бұрын
@@MahubiriPrMmbaga Amen Amen. Nimepokea kwa jina la Yesu na imekuwa
@HlLh-g9r13 күн бұрын
Nashukuru kwa somo hili
@HAPPINESSSIĹILO12 күн бұрын
Mungu akubark sanam mungu akupe maisha malefu
@feadamagessa88912 күн бұрын
Mtoto wangu muombee mwanangu amebatizwa lakini haendi kanisani na halisikiliza wewe akabatizwa saa hizi haendi kanisani
@roselyneondieki271812 күн бұрын
May God bless you abandantly 🙏🙏🙏
@JOHNRAMADHAN-cl4di12 күн бұрын
Amena
@stevensamwel485411 күн бұрын
Kuna mambo mengi yamejificha hasa kwa wazawa wa dini hii, tunaangamia kwa kukosa maharifa tulifudishwa kukariri madungu sio kujifunza neno na kufundishwa na viongozi akuna kumpinga kiongozi Kwa Nia njema, mwishowe tukanyamazishwa hili naona kama limefanya sisi waumini kuwa dhaifu, ni mzawa Nina miaka 47 ndo Sasa naanza kidogo kwa mbali kuelewa, lingine watoto wanafundishwa na miemko ambao wakiona awaitaji kujifunza lesoni mfano wanaenda kujifichia kwa watoto na awako kiroho atimae watoto wanaenda ilimradi kipindi kimeisha, Mtusaidie uko ngazi za juu hasa kwa ajili ya watoto barikiwa.