No video

Karibu Magnet Youth Sports Academy - Tanzania [ Highlights ]

  Рет қаралды 6,829

EK Studios

EK Studios

2 жыл бұрын

Magnet Youth Sports Academy ni kituo cha kitanzania kinacholea na kukuza vipaji vya watoto wa kike na kiume kisoka kuanzia umri wa miaka 4 hadi 15.
Kituo kimefanikiwa kufanya ziara za mafunzo kwa mialiko waliyopata nchini Spain -Celta Vigo na hapo awali nchini Sweden na Norway .
Kwa mawasiliano zaidi kufahamu program wanazotoa usisite kuwasiliana nao kupitia mitandao yao ya kijamii ;Facebook na Instagram (magnet tanzania) au kwa number +255 (687) 553 044 / +255 (764) 795 597/ +255 (712) 094 249 / +255 (682) 449 675.
Imetayarishwa na Erasmus Kamugisha
Akisaidiana na Collins

Пікірлер: 42
@tillionsmon6131
@tillionsmon6131 11 ай бұрын
Mtoto wangu anapenda Sana mpira wa miguu,anakipaji kweli na wala sio kupenda tuu Bali anakipaji Sana Cha mpira,naa ana umri wa miaka 14 kwa sasa
@TausiKiliza
@TausiKiliza 2 ай бұрын
I like that spot academic
@ibrahimsalehe1642
@ibrahimsalehe1642 9 ай бұрын
Naomba mawasiliano
@shebyhamis
@shebyhamis Жыл бұрын
Naomba kuoata nafasi ya kujiunga na academy hii
@user-gj7me2fp4e
@user-gj7me2fp4e 9 ай бұрын
Mwanangu anakipaji pigeni sm
@meruworriorsfootballprojec9494
@meruworriorsfootballprojec9494 Жыл бұрын
BIG UP
@JullyMaira-if6kd
@JullyMaira-if6kd Жыл бұрын
Inapatikana wapi dar😊
@ENIATIMSEMWA-id1yz
@ENIATIMSEMWA-id1yz 2 ай бұрын
Naomba nafasi
@LustikaDamson
@LustikaDamson 2 ай бұрын
Nikihitaji kumleya mwanangu nawapataje
@emmanuelmatandala249
@emmanuelmatandala249 Жыл бұрын
Natamani mwanangu angekuwepo iko wapi hiyo academy 😀😊😄😉😆
@tillionsmon6131
@tillionsmon6131 11 ай бұрын
Nitaomba,mniambie mahali mlipo Waalimu wa soka,Asante
@MariamJuma-sh7tk
@MariamJuma-sh7tk 2 ай бұрын
Naomba nambazenu
@MariamJuma-sh7tk
@MariamJuma-sh7tk 2 ай бұрын
Mwanangu ana penda sana mpira naombanaghalama
@ZaitunAlly-sn3ex
@ZaitunAlly-sn3ex Жыл бұрын
Muwe mnatoa mawasiliano jinsi ya kuwapata inakuwa ngumu sana
@ibrahimchediel4867
@ibrahimchediel4867 2 жыл бұрын
Safi sana vipaji vya watoto lkn hamsemi mlipo?
@humailaally2821
@humailaally2821 Жыл бұрын
Inapatikana wapi naitaji
@HapynessMtakinga
@HapynessMtakinga 3 ай бұрын
Nimekifatilia kituo chenu megnet kiukweli kimenifulahisha Sana ,naomba namba zenu ili tuwasiliane
@shabaniabache1437
@shabaniabache1437 7 ай бұрын
Mnapatikana wapi jam twaomba nafasi sisi
@BrownJasson-h6h
@BrownJasson-h6h 21 күн бұрын
Mawasiliano
@RamadhaniAbdallah-wu8gt
@RamadhaniAbdallah-wu8gt Ай бұрын
Naomba mawasiliano ili niweze kuwapataaa
@amina.ukweliwamaishasehem287
@amina.ukweliwamaishasehem287 3 ай бұрын
Naitaji kumleta kijana wangu, Nawapataje Magnet?
@LuboshiBunda
@LuboshiBunda 3 ай бұрын
Naomba namba Za kituo chenu nipate mawasiliano
@KuluthumKuluthum-xf3xf
@KuluthumKuluthum-xf3xf 2 ай бұрын
Mbona hamtoi namba jaman
@HapynessMtakinga
@HapynessMtakinga 3 ай бұрын
Naombeni namba zenu za kituo ili niwasiliane nanyie
@TausiKiliza
@TausiKiliza 2 ай бұрын
Mnapatikana wap
@MudySaid-rl8jk
@MudySaid-rl8jk 8 ай бұрын
Naombeni mnitumie namba zenu za kituo ili niwasiliane nanyi samahano
@SemeniMasupatu
@SemeniMasupatu 7 ай бұрын
Naomba naomba namba zenu Nina mwanangu anakipaji lakini uwezo sina wa kumleta ananiambia kuwa kuna academy nzuri inaitwa magnet academy naomba msaada wenu samahani kwa usumbufu
@SemeniMasupatu
@SemeniMasupatu 7 ай бұрын
Nina mwanangu anakipaji lakini uwezo sina wa kumleta naomba namba zenu
@RachelMalay
@RachelMalay 19 күн бұрын
Ada nishingapi jamani
@zeanasalum6800
@zeanasalum6800 Жыл бұрын
Mnapatikana wapi
@zeanasalum6800
@zeanasalum6800 Жыл бұрын
Please please naombeni namba
@bennetsonmishosho3241
@bennetsonmishosho3241 Жыл бұрын
Mbeya weka kituo hapa forest mpta
@karimusalum6470
@karimusalum6470 2 жыл бұрын
Mnapatikan wapi
@lasitonsylivesta
@lasitonsylivesta 3 ай бұрын
Nohomba namb
@neemakumbuaeli2168
@neemakumbuaeli2168 2 жыл бұрын
mko wap
@user-yk7ff9ks6q
@user-yk7ff9ks6q 5 ай бұрын
Namba ya wasap nataka
@cristinalameck6992
@cristinalameck6992 Жыл бұрын
Can you assist me your number there is my child is have a talent of playing football
@LuboshiBunda
@LuboshiBunda 3 ай бұрын
Naombeni mnitumie namba zenu ili tuwasiliane
@AminaSultan-g5v
@AminaSultan-g5v 5 күн бұрын
Naomba mawasiliano
@HapynessMtakinga
@HapynessMtakinga 3 ай бұрын
Naombeni namba zenu za kituo ili niwasiliane nanyie
@danielgewa2481
@danielgewa2481 Ай бұрын
Naomba mawasiliano
@HapynessMtakinga
@HapynessMtakinga 3 ай бұрын
Naombeni namba zenu za kituo ili niwasiliane nanyie
0% Sportsmanship but it gets increasingly more disrespectful
12:27
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 35 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 35 МЛН
Harley Quinn's desire to win!!!#Harley Quinn #joker
00:24
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 9 МЛН
Daniel the Goalkeeper: Saving the Ball and Beagles
23:23
Superjeew Official
Рет қаралды 46 МЛН
When Interviews Go Terribly Wrong...
11:42
Score 90
Рет қаралды 955 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 35 МЛН