KASHATA ZA NJUGU ni RAHISI SANA kutengeneza, Mahitaji yake ni MAWILI TU!

  Рет қаралды 28,352

Mapishi rahisi

Mapishi rahisi

Күн бұрын

Пікірлер: 26
@ummayush
@ummayush Жыл бұрын
Ukitia siagi kidogo kwenye sukari zinakuwa na ladha sana na haziwi ngumu sana ... unatia kidogo sana kidogo sana kama kijiko cha chai
@najmasalim6272
@najmasalim6272 Жыл бұрын
Unawek baad ya sukr kuyeyuk au kabla
@ummayush
@ummayush Жыл бұрын
@@najmasalim6272 unaweka baada ya sukari kuyayuka
@neemariziki1029
@neemariziki1029 Жыл бұрын
Thank you so much!! Stay blessed my dear!!
@khadijanassor7698
@khadijanassor7698 Жыл бұрын
Eagerly waiting for this recipe 😘😘😘 shukran sis
@fatumajuma9388
@fatumajuma9388 Жыл бұрын
MashaAllah daa mungu akuzidishie umri uwez kuzd kutufunza😊😊😊
@ilhamsilim131
@ilhamsilim131 Жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah nazipenda sana hizi
@siriyangu4724
@siriyangu4724 Жыл бұрын
Mashallah jungu kiac ngani?
@tianarest
@tianarest Жыл бұрын
Nzur sana ahsante
@AshaMohammed-i6n
@AshaMohammed-i6n Жыл бұрын
Nimezipenda
@raniamussa7631
@raniamussa7631 7 ай бұрын
Mashaalah
@neemaryan9947
@neemaryan9947 Жыл бұрын
Hizo karanga zinafaa kutwanga kidogo ziwe ndogondogo???
@ireneabella9909
@ireneabella9909 2 ай бұрын
Kilo moja ya karanga ni sukari kiasi gan inafaa
@JulianaTarimo-dw9ly
@JulianaTarimo-dw9ly Жыл бұрын
Sasa hizi ni njugu mawe au Karanga?
@belinaamylin8408
@belinaamylin8408 3 ай бұрын
Kwa zanzbar wanaita njugu
@rashidamzungu2389
@rashidamzungu2389 Жыл бұрын
MashaAllah
@violethmapunda3500
@violethmapunda3500 Жыл бұрын
Karanga zimekaangwa kwanza au mbichi?asante kwa Recep
@shamzone388
@shamzone388 Жыл бұрын
Unazikaanga dear
@ianmatiru4169
@ianmatiru4169 Жыл бұрын
@RahyaSwaleh-ew6lw
@RahyaSwaleh-ew6lw Жыл бұрын
Assalamu Aleykum. Jungu ilikuwa pia kikombe kimoja ama vp
@zwatts38
@zwatts38 Жыл бұрын
Viwili
@badawyhaji9288
@badawyhaji9288 Жыл бұрын
😋😋😋😋😋
@habibuyasin9359
@habibuyasin9359 Жыл бұрын
Ukitumia sukuri ya kawaida Inafaa
@MaryMassawe-rj8sm
@MaryMassawe-rj8sm 10 ай бұрын
Mbn nimefata process ulizofanya na haijakuwa kama yako
@NeemaGideon-hd2xp
@NeemaGideon-hd2xp 7 ай бұрын
Ata mm ijawa hivo nimefanya vituko
@cookingwithmimmo
@cookingwithmimmo Жыл бұрын
Ajabu mapishi yako
Mapishi rahisi ya labania za njugu 😋
4:21
farwat's kitchen
Рет қаралды 23 М.
10 minute mein banae bajar jaise badam patti
5:39
Khana Khake Jaana
Рет қаралды 49 М.
路飞做的坏事被拆穿了 #路飞#海贼王
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 26 МЛН
Upishi wa kashata za mayai
9:56
Millah kitchen
Рет қаралды 10 М.
KASHATA ZA UFUTA ZA BIASHARA TAMU SANA NA ZENYE FAIDA KUBWA‼️
9:07
JINSI YA KUTENGENEZA KASHATA ZA UFUTA
7:47
SUNRISE TZ
Рет қаралды 15 М.
Jinsi Ya kupika haluwa
18:16
Millah kitchen
Рет қаралды 9 М.