Dr bashiru sawa kabisa mungu akupe maisha marefu mheshimiwa 👍👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@erickkundy53224 жыл бұрын
Very ethical & straight foward leader. I wish other leaders could demonstrate the same quality. Those power mongers who have crossed the lines should be eliminated from the system completely-they do not work for the party/country but for their own interests.
@sylvesterjose32864 жыл бұрын
Definitely I agree with what you say, those are not committed or responsible leaders, they are just mere money maniacs who are there to justify individual ambitions!
@mashakakalamba5194 жыл бұрын
In short "Bashiru is a great leader"
@sifamushi17474 жыл бұрын
I agree... 👌
@kiatu4 жыл бұрын
Ndio umuhimu wa wasomi wazalendo.
@1stladyafrica4024 жыл бұрын
Mwenyekiti anayeenda kugombea nafasi za kisiasa ni wa kuogopa kama ukoma.kwann aliomba kusaidia chama kama anamaslahi yake mengine.nashauri ili kukomesha hii Tabia baada ya uteuzi waondolewe kabisa kwenye nafasi za kusaidia chama maana haikuwa lengo lao
@kaizambagwa51284 жыл бұрын
Ahsante kwa kumkumbuka baba yangu mzazi
@erastokinemelo78724 жыл бұрын
Great! Proper and clear responses
@josephnchunga12474 жыл бұрын
Dah Katibu Wa Ccm yuko vizuri
@SafeHaven_TV4 жыл бұрын
Dr Bashiru,you are a great man my brother.Your integrity is unquestionable and I like you.Akili safi na unyenyekevu mkubwa.
@kanikipeter83774 жыл бұрын
Katibu Safi sana uko sawa kbs
@nestor3844 жыл бұрын
Huyu katibu mkuu JPM alichagua asee. Bonge la kion§ozi🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@abdalahfarida20744 жыл бұрын
Akili yako ni safi kabisa sio sawa na Polepole anaeendekza mipasho na ngonjera tu.
@samwellwiza53394 жыл бұрын
Sijui kama wanamuelewa katibu Mkuu ndg Bashiru..Mimi ninamuelewa ....
@abuumwinyimkuu48424 жыл бұрын
Binafsi nimemuelewa bro!
@grecioussilas98854 жыл бұрын
point....nakuelewa sana kiongoz wetu wa chama
@gridkibanda25824 жыл бұрын
Amenikumbusha mbali uyo mzee uyo mbagwa aliogopeka saana kwetu tulikuwa wadogo ila adi sasa tumeishamaliza vyuo ila bado tunamkumbuka kwa kazi zake
@EK-kp2np4 жыл бұрын
Bashiru, tukikutaka uwe raisi, utakuwa😠, utake usitake. Kama unafaa, tutakubebesha tu 🤨uwe katibu mkuu au katibu mdogo, Hata haijawahi kutokea basi utakuwa wa kwanza, katiba si msahafu,Usitufokee🤓
@selestineluziga14474 жыл бұрын
Huyu ndie Katibu wa ukweli,kwa kweli chama kimepata mtu sahihi kwenye nafasi hii nyeti
@Burange6664 жыл бұрын
Katibu msenge
@emmanuelsimon5454 жыл бұрын
Alikua mkuu wa idara ya siasa UDSM na ni mbobezi pia
@emmanuelsimon5454 жыл бұрын
@@Burange666 elimu huna kama ungefika chuo kikuu mliman ungemjua vzr
@seifjuma34714 жыл бұрын
@@Burange666 chunga dolelako linalo andika
@kalundaluhanga49234 жыл бұрын
@@Burange666 unajaribu kutuonyesha Tania taking ya utotoni. Kwamba tukuone hats wazazi walk wana Tabia hizo? Pole Sana
@estameryngogo5944 жыл бұрын
Hakika CCM INA mtendaji mkuu sahihi kabisa
@rugakali21574 жыл бұрын
Huyu Dr. Bashiru yupo poa sana
@joasitz95594 жыл бұрын
Nimekupata sana Dr
@abdulseif40934 жыл бұрын
mbagwa alikuwa anazingua sana kitambo kile
@hajihassan54334 жыл бұрын
Mara nyingi naikubali CCM na nampongeza Rais Magufuli anafanya kazi nzuri ingawa kaisahau Zanzibar lakini hiki kinachofanyika sasa siungi mkono, kwamba Kiongozi akienda kugombea Rais anatengua hii sio sawa, ni mamlaka yake lakini kama ambavyo tunakubaliana sote kuwa Rais Magufuli hakuna mbadala wake wapo pia baadhi ya wateuliwa wake hawana mbadala. Kimsingi Bunge likifunjwa hakuna Serikali acha mchakato uendelee ndio Utamaduni wa chama chetu baada ya awamu mpya utapanga awamu mpya hii kulazimisha kuna watu wasitendwe haki ili waumizwe kwa sababu wamegombea hii sio sawa.
@rosemushi31784 жыл бұрын
Katibu Mkuu anaushawishi katika hoja anazozijenga akitetea jambo.. Ana busara na ni muungwana sana. CCM ina Kiongozi.
@samsondecoman9834 жыл бұрын
Mwenyekiti bashiru usichoke sana, hoja ni hao wakuu wamikoa wanao tamba wao nilazima washinde wakiongoZwa na makonda,huyo akipita nitaamini hata wewe umemshindwa.
@saidnoumani72444 жыл бұрын
2025 unaweza kuwa rais kwanini hapana?
@gavanaally41764 жыл бұрын
Kwa kweli KM wa CCM, Chama kimelamba Dume, unasimamia Maadili ya Chama, pia Mikoani wapo Viongozi wasioridhika na vyeo,leo anacho hiki,kesho kile,na mtondogoo kile, pia suala la kuhujumu Chama nitatizo kubwa, lifanyiwe Kazi.
@grationkato72534 жыл бұрын
Kweli kabisa sio kiongozi tu anaestaili kuacha alama bali kila mwanadamu yampasa kuacha alama duniani atustaili kuzidiwa na konokono akipita pahara anacha alama hivyo basi yatupasa nasi .big up Dr Bashiru jembe la chama dume
@mtakatifubony18294 жыл бұрын
Nimekuelewa sana, katibu mkuu
@ramadhanaliramadhan93644 жыл бұрын
Nimekuelewa ndg katibu
@iviejustified81094 жыл бұрын
Prof M. K
@akramsayjr5914 жыл бұрын
Agreed with you 💯💯💯💯 Bashiru your legend love you bro
@MusicArousedFeelings4 жыл бұрын
Haya yakisimamiwa imara yatakiimarisha sana chama kwani hakutakiwa na ubakaji wa nafasi za uongozi chamani na kitaifa
@issamanguri18904 жыл бұрын
Hapo uko sawa kabisa dr
@rodgersmwakipesile63064 жыл бұрын
Hapo Katibu Mkuu nisha kabisa wenye tamaa waache tamaa.
@hamedmaskari5184 жыл бұрын
Umemsema makonda ndio miaka 5 kawa Dc na Rc sasa anataka ubunge
@dicksonwambura98404 жыл бұрын
Siasa bwana na maelekezo yote hayo utashangaa makonda kapitishwa na kuwa mbunge
@frbm17294 жыл бұрын
Kuna baadhi ya wateule wa Rais wameanza kumbp Rais aliyewaamini akawateuwa ,sasa wamelewa madaraka wanaanza kupuuza hata ushauri wake.ni utovu wa nidhamu na kumkosea adabu meh. Rais. Wamejaa Tamaa na kujitajirisha haraharaka.
@sylvestrengwelu20124 жыл бұрын
MH.KATIBU MKUU UKO VIZURI 100%
@kilimanjaro_media4 жыл бұрын
Mmmh makonda hapiti
@felistermaximillian27934 жыл бұрын
Safi Sana, nimekuelewa mkuu
@hajihassan54334 жыл бұрын
Mimi ni CCM damu damu lakini CCM huwezi kupata cheo kama huna fedha (sijuwi zinatolewa saa ngapi, lkn RUSHWA ipo) na ukiwa mtoto wa Kiongozi wengine watabaki kuwa washindikizaji hawana chao. Uadilifu ndani ya Chama bado hauko sawa sawa, maandiko yapo vizuri na kila swali lina jawabu.
@hamoudrushenya86504 жыл бұрын
CCM ipi hiyo?Zama za kuitegemea hela kukupa uongozi zimepitwa na wakati.Ushahidi ni utitiri wa walio chukua form kugombea, kipindi kilichopita usingeona haya kwa sababu waligombea wachache wenye hela.
@hajihassan54334 жыл бұрын
@Change Mindset Jenga hoja yako tu, huna haja ya matusi.
@hajihassan54334 жыл бұрын
@@hamoudrushenya8650 Hakuna siku duniani ambayo mwenye fedha atakuwa sawa na alokuwa hana, CCM ninayoungumza ni hii hii iliyoanzishwa 5/2/1977. Hujuwi siasa, wingi wa Wagombea sio dalili tosha ya demokrasia bali ni aina nyingine ya RUSHWA ambapo wenye nguvu (fedha) wamewatumia watu kugawanyisha kura ili mwisho wa siku aibuke mshindi. Hapana mlalahoi atashinda hapo. Mbona kwenye Rais hakujitokeza mtu kama sababu kafanya vizuri (tunakubali wote hapo) kwani hakuna Wabunge au Madiwani au Wawakilishi waliofanya vizuri? Kuna hitaji akili kubwa kuelewa Change mindset ambae akili zake has changed negetively hawezi kuelewa.
@godfreybigeyo91054 жыл бұрын
Naishauri ccm inakoelekea ni kubaya mumelewa kukubalika kwenu ,wakati vyama vinatafuta watu wenye mvuto kwa ajili ya kushinda uchaguzi nyie mnazuia watu kugombea why? Nani aliwai kutosheka ? 1, jpm alikuwa waziri hakutosheka akataka urais 2, bashiru ulikuwa mwalimu haukutosheka Leo ni katibu mkuu 3, jk alikuwa mwanajeshi akutosheka akaenda kwenye siasa adi urais 4, mkapa alikuwa mtumishi Wa ikulu hakutosheka akaenda kwenye ubunge shida iko wapi? Unatudanganya jk alikuwa mwanajeshi akaenda kwenye siasa mbona hakutosheka jeshini
@christophermwanilwa70744 жыл бұрын
Hujaelewa. Kugombea ni haki ya mtu na kanuni za Chama zinaruhusu. Ila ukigombea na ukiwa ni mteule lazima uachie cheo cha kuteuliwa wakae wengine. Hata ukiwa ni mfanyakazi wa Sheria inasema uache kazi.
@ibtysophy34674 жыл бұрын
@@christophermwanilwa7074 kuna wengine ni wazur kukoment lkn wazito kuelewa mada husika
@silikonnyondo51464 жыл бұрын
Bashiku nimekuerewa Sana katika chama kusimamia haki je kwavyama vingine haki iyo inapatika kupitia chaguzi namanisha wateule hao wanafwata haki uyu kashindaje
@ibtysophy34674 жыл бұрын
Yupo mtu litampata jambo
@allymussa45574 жыл бұрын
Pia na Rais umwambie kuteuwa watu bila kufata utaratibu wachama nayeye pia anakosea mbona hamuyasemi wapinzani wengi wanateuliwa bila kufata utaratibu wachama nahilo pia useme
@angelanaftael79654 жыл бұрын
ccm Safi sana
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni tunu ktk hii nchi
@sheryphamwenevalley61244 жыл бұрын
Walio wengi walioacha nafasi zao, kwa kauli hii walio wengi ndio kwaheri, hata kwa kauli ya JPM na Bashiru walio wengi waliokua na wadhifa ndio basi tena waombe wapate ubunge wakikosa kwaheri wawe wapiga debe la CCM
@christinewomanoffaith54794 жыл бұрын
Na ubunge hawapati ktk jina la Yesu! Wawapisha na wengine
@sheryphamwenevalley61244 жыл бұрын
@@christinewomanoffaith5479 kabisa bora wakose shwain sana, km huyu bashite kamtukanisha sana Magu kwa nafasi ile leo wakuondoka kizembe huyu ndio angekosa kabisa hana kweli fadhila na vyeti vyake fake🏃♂️🏃♂️
@ellyitete9384 жыл бұрын
Mm sion kosa n sawa MTU unajiendeleza kielimu..........ukirifhika unadumaa kiakili......huwez jua pengine wewe ni rais ujae........ht baba wa taifa alikua na umr mdogo Ila Kaz kubwa angeridhika tusingepata uhuru
@saimonmanyerezi71694 жыл бұрын
Unajua nini Wtz tumekwishakuwa wengi,hakuna sababu yakwenda kugombea huku umeshika nafasi.Jiondoe kwenye madaraka ndipo ukagombee.
@missmwayway47044 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Duuuhhh yn hapo inaonekana kabsaa walio wengi wao wanataka uchu wa madaraka na masilahi yao binafsi But sio Issue xana watakutana na Mzee magu baadae
@martinemasunga58024 жыл бұрын
Safiiii sana
@fredmapunda4 жыл бұрын
Uwa nakuelewa sana kiongoz wangu
@revokatkashasha87144 жыл бұрын
Patamu hapo!Wataula wa chuya!!!
@allymussa45574 жыл бұрын
Mimi naona kwanza ushauri ungeutowa kwa Rais kwani nayeye pia anakosea kuwapa watu wasio wanachama uwongozi yani kwenje mikutano yake anateuwatu wapinzani bila kufanta utaratibu wachama
@abuumwinyimkuu48424 жыл бұрын
U ar a nature!
@Tiffany2-Jr4 жыл бұрын
Waacheni kuwasema umri wa uongozi ni kutumikia wananchi wakati wa ujana, hata kikwete alianza siasa akiwa kijana,, wananchi ndiyo tutawapima
@allymussa45574 жыл бұрын
Msitishe watu mkajifanya kama njie ndio chama chenu kilamwana chama ana ana hakiyake kugombea
@moyesmboya61714 жыл бұрын
Makonda hamtampitisha?
@sylvesterjose32864 жыл бұрын
Kimsingi kiongozi yeyote kuamua kuacha kazi na kugombea nyadhifa fulani ni sahihi kabisa. Ni haki yake ya msingi katika kutimiza malengo na matarajio yake kimaisha. Shida ni kwa viongozi wateule wasiozingatia ushauri wa aliyewaweka kwenye nyadhifa zao, ni sawa na kumpiga Kofi la Uso.
@saimonmanyerezi71694 жыл бұрын
Hata katibu hajasema hana haki bali kwenye mchakato lazima uache nafasi uliyopewa kwanza ndipo ugombee.
@sungwambuga92554 жыл бұрын
Wateule wa JPM watuachie sisi wakulima tugombee
@roseberryhamoud65424 жыл бұрын
Umeeleweka Katibu
@godfreybigeyo91054 жыл бұрын
Nini tena?
@allymussa45574 жыл бұрын
Hichi chama sio maliyenu pekeyenu kuwa muamuetu mnalolitaka nyie ndio liwe haiwezekani hivyo kila mwana chama anahaki yakugombea msilete mambo mnayo yataka nyie
@saimonmanyerezi71694 жыл бұрын
Tatizo Ally hujaelewa.Hakuna mtu anayekatazwa kugombea bali kwakuwa ana nafasi yakutumikia wananchi basi ajiuzulu kwanza huko ndipo aombe nafasi ya kazi kwenye ubunge.
@danielbugwema69694 жыл бұрын
Kazi ya ukatibu imepata mkunaji ila niombe kiombe kiongozi watu wasihukukumiwe kwa kuwa tu wameacha nafasi zao nakwenda kugombea nafasi za Ubungo bali watu wapewe haki zao ili chama kiendelee kuwepo wasameheni wameteleza watajifunza
@thieryniyonkuru10674 жыл бұрын
Hapo lazima wakatwe panga🤣🤣🤣
@pancrasmwenda73074 жыл бұрын
Wana tamaa hao hakuna kusamehewa c waliapa wenyewe
@saimonmanyerezi71694 жыл бұрын
Kote wanataka wao.Ni bora kuachia kumoja shika nafasi unayoitaka na ukikosa imekula kwako.
@mytimeonce14794 жыл бұрын
Mheshimiwa Makonda hajiamini Katibu nimekuelewa... huyo bado..angeharibu Sana ...SNOBBY..
@abdulkuluwia65254 жыл бұрын
Pole bashite
@mubofuthegreat49554 жыл бұрын
Sawa katibu mkuu
@Burange6664 жыл бұрын
Katibu wako msenge
@nabii-zc1hm4 жыл бұрын
Wamejiridhisha na uteuzk
@sultanaljabri51094 жыл бұрын
Million 10 Kati ya million 59? Katika kipindi chote cha utawala ni tatizo kubwa na alama ya kutokubalika katika jamii. Uwezo wa kuwafikia wananchi ni mkubwa kwa CCM na Serakali yake tofauti na vyama vingine vilivyo kosa uhuru wa kufanya shughuli za za kisiasa ili kuwafikia wananchi wengi ili waongeze wanachama. Nini Maoni yako?
@neemachriss26054 жыл бұрын
Katibu kweli umezungumza sahihi,na imani kweli ya serikali ya awamu ya tano mmeahidi na mmetekeleza na pia umeondoa ule utoaji rushwaa Hivyo vijana waende tu tutawaunga mkono tu wakipita, Mwenyekiti asimamie ipasavyo viva ccm
@lubambeheneli1334 жыл бұрын
Hawa vijana sio wazuri kama wamepewa madalaka wamekadi kwa dhalau Sasa wanaonekana hawako tayari kukufanya kazi na Rais Hata tukiwachagua watakwenda kumhujumu. Kazi kwetu wapiga kura.
@Burange6664 жыл бұрын
Serikali ya ccm wasenge wezi
@seuryanael35184 жыл бұрын
Sijui watu wanapenda nini ubunge. Hakuna cha maaana kama hautaki kusaidia jamii yako na upo kwaajili ya maslahi yako binafsi labda nitakuelewa. Vijana pigeni kazi.
Makonda hakuzaliwa kuwa mk7u wa mkoa hivyo ana haki ya kugombea kuwa mbunge waache kuminya demokrasia hata hivyo makonda ana nafasi ya kwenda upinzani akiona huko wanamkandamiza.
@mzalendomzalendo25674 жыл бұрын
Acheni kumsema jamani,aliyo yafanya ni makubwa kuliko mnacho msakama nacho.angalieno mema yake.
@enzielias15434 жыл бұрын
Kwa maelekezo hayo ni wajibu wa viongozi na wanachama kuzingatia maadili na misingi ya CHAMA CHA MAPINDUZI.
@MS.independent89344 жыл бұрын
hawaridhiki hao baba ila acha wa'wapishe wengine kwenye hivyo viti walivyo viachaa
@johndaud16634 жыл бұрын
Wapinzan wa bongo walivyo wapuuzi, safar utashangaa wanaendelekea kupokea makapi ya ccm yatakayo drop kwny kura za maoni kama 2015 ambavyo huwa hayajifunzi tu
@frankmaneno88054 жыл бұрын
Acha ujinga usikalili
@mathiasmsese61284 жыл бұрын
jamani kwa maneno haya ya busara nahisi tumtafutie mwenzetu kazi nyingine
Wanataka kutawala wao kila kitu wawe waoo zote ni rohombaya
@revocatuschailla10274 жыл бұрын
Chama changu pendwa CCM wapeni watu uhuru wa kuchagua cha kufanya wasilazimishwe kufanya kitu asichotaka, hivyo msiwapige vita. Na hata Ndugu Bashiru hapo anasema ni haiki yao kugombea basi tusimame hapo na kuwapa hiyo haki ya kugombea.
@nestor3844 жыл бұрын
Kama wangekuwa hawazipendi nafasi walizokuwa nazo walipaswa kutokukubali uteuzi.. lakini kila nafasi unataka wewe DC time wewe, MPs time wewe wengine ambao hawana hizo nyazifa kubwa kubwa waende wapi kama kila kitu wewe!!
@nabiimgongolwa87284 жыл бұрын
Mzee wa mafaili aeneze mafaili hadi tarafani mwenye kucheza rafu aadhibiwe
@Burange6664 жыл бұрын
Mzee wako msenge anafirwa
@rashidsaleh35854 жыл бұрын
Dida
@simonjoseph17754 жыл бұрын
Mbona wewe hukulizika na kufundisha PS UDSM, Wanahaki ya kujiendeleza kisiasa kama walivyo Fanya walio juu leo fikirieni kwa kina sana swala hili lakuwazuia wengine kwani wote walioko juu Leo kisiasa kiuchumi kielimu na katika mambo yote hawakulizika na hawajalizika
@Abounaumaan2244 жыл бұрын
Suala ni Kaifanyia kazi kwa muda gani ? Mfano yeye Kafundisha Miaka mingapi... kisha ndiyo atafute nafasi yingine.... Muda mrefu kafundisha pale UDSM.
@pancrasmwenda73074 жыл бұрын
Makonda kalowa
@josephmwinyi4 жыл бұрын
Sema baba kuna viongizi hawajui hizo kanuni
@godfreybigeyo91054 жыл бұрын
Sijawaelewa ccm yaani mgombea anateuliwa au kura za maoni ndo zinatoa mgombea ambaye anakubalika kwa wananchi
@mohammedmdangwe20564 жыл бұрын
katibu bashiru unafaa umpokee kijiti rais magufuri 2025 tunakuomba misimamo yako na uwafilifu nchi itapaa
@dismasmtui7294 жыл бұрын
Hivi kweli,unaacha ukuu wa mkoa au mkuu wa wilaya kwenda kugombea ubunge???!!.Kuna nini cha zaidi kwenye ubunge?,au kuna maslahi zaidi?!!.
@modestussanga54134 жыл бұрын
Mi nahsi anaona Kuna probability akipita kuangaliwa kwenye nafas ya uwazir Tamaa tamaa tuu
@lucanusnickata88524 жыл бұрын
Kazi ya muda mchache unapata gari ya mkopo ukimaliza miaka mitano kiinua mgongo kikubwa ndo mana watu wanaacha kazi zao na taaluma zao
@barikilinus52744 жыл бұрын
Dismas.. ubunge maslah .posho vikao vya bunge,posho ukiwa kwenye vikao vya KAMATI za bunge.posho ukaguzi wa miradi kwenye kamati za bunge.marupurupu kibao na ile nono ya kumaliza awamu.
@maserojoseph90734 жыл бұрын
Wasira
@barakaabel4824 жыл бұрын
Dr. Bashiru
@zozohmeed55464 жыл бұрын
Mie zozo nieleweshe
@zozohmeed55464 жыл бұрын
Sasa mbona mawaziri wanagombea ubunge?
@dianadouglas90544 жыл бұрын
Kweli ww zozo hujielewi
@godshajulius70864 жыл бұрын
Kuna watu wamepewa dhamaa ya kuwakilisha majimbo mbalimbali kwa hawamu 2 Ila hawatendei haki watu wa majimbo hayo,tunaomba chama izingatie hili( Mara ni haibu watu wanarubuniwa na matajirin wanawachagua)
@jumaothman94494 жыл бұрын
Uongozi wa CCM Tanzania bara unahitajika utoe mafunzo ya uongozi Zanzibar ili tukijenge chama na kuua vyama vyengine kama Tanzania bara
@sameramwajdu90294 жыл бұрын
Kwa hilo sahau chama kimoja Mh rabda mubadilishe maisha ya mtu mmoja mmoja
@allymussa45574 жыл бұрын
Wacha ujinga wwe iloneno chama cha mapinduzi uko bara lilikuwa halitumiki wamekopi zanzibar walikuwa waowanaita ccmtu
@MS.independent89344 жыл бұрын
duuuuu kwa maelezo hayo makonda aji tadhmini sn nawengineoo pia😀
@denisimaliyaweni91834 жыл бұрын
Hata akijitathinim kaishachelewa
@hajihassan54334 жыл бұрын
Makonda kashindwa kutambua alama za nyakati, alishindwa kujuwa kuwa ana maadui wengi sana Serikalini na ndani ya Chama. Alikuwa yupo kwa Ihsani na imani ya Rais lakini keshaivunja. Wabunge wanaripoti shida zao kwa RC leo wewe ni RC unaomba Ubunge, why? Ni kweli ukiwa Mbunge una uhakika wa kibarua kwa miaka 5 hata ukifanya vibaya lakini nafasi ya uteuzi inapotea wakati wowote.
@sylvestrengwelu20124 жыл бұрын
Mariam Uko sahihi Ila MAKONDA KAANZA NA UVCCM KATUMIKIA VYWMA,UKUU WA MKOA KATUMIKIA VYEMA,NK.NI KIONGOZI KAACHA ALAMA KAKOMESHA MADAWA YA KULEVYA.MAADUI WANAOMCHUKIA NI WALE WALIOTAKA KULETA MADAWA AU RUSHWA. ANASTAHILI KUWA KIONGOZI WA NGAZI YA JUU.
@erickmoses63954 жыл бұрын
@@sylvestrengwelu2012 Ngazi ya juu ni ipi? Mkuu wa mkoa au Mbunge wa Kigamboni!!? Hahahahahaaa
@sylvestrengwelu20124 жыл бұрын
MAKONDA SIYO LEVEL YENU, SUBIRINI UCHAGUZI UISHE HAYA MNAYOSEMA MTAJIKATAA WENYEWE. MTAKUJA NIAMBIA.
@mecksonsamwel56054 жыл бұрын
Htr
@Elimunamalezi4 жыл бұрын
Weweee
@samsonsimon78824 жыл бұрын
Kwahiyo akikosa anarudi kweny nafasi yake
@christophermwanilwa70744 жыл бұрын
Nafasi gan ? Wakati walishateuliwa wengine?
@jamesnigo78684 жыл бұрын
Haa katibu eti Ilikua Ni kata ya KATERERO
@seifjuma34714 жыл бұрын
😂😂😂😂😂umehisi nini tena mzeebabaaa 😜😜😜
@kasimugullum58624 жыл бұрын
Mfano bora wa maadili.
@bennymochiwa48004 жыл бұрын
hakuna kitu kibaya kwa kiongozi msomi kuwa na benefit of intrest
@Ishengoma14 жыл бұрын
Kama nani Benny
@farajmakelemo56524 жыл бұрын
Hii story imemlenga makonda jamani makonda nikiongozi Bora ndo maana ktk kuongea kwenu imewauma Sana kuachia mkoa sisi tunamtaka Sana kigamboni tumefurahi Sana kuja kwake kigamboni huyo ni mwamba haina ubishi
@laodapigfarmmrduroc83274 жыл бұрын
kwa fact zipi kuwa yeye ndie kiongozi mwamba, sema unamtaka kigamboni sio tunamtama
@christophermwanilwa70744 жыл бұрын
Umemlenga wewe. Mbona kuna wakuu wa Mikoa kadhaa wameenda kugombea?
@mohamedhalifambela64194 жыл бұрын
Nataka nikachukue kadi ya uana chama Leo vipi naweza kuruhusiwa kugombea na nikiwa mwanachama mpya?
@errydeo88654 жыл бұрын
Huajasikiliza vizuri!mwanachama yoyote ana haki ya kugombea!ila kamati kuu lazima ikupitishe!ndo maana wengi wamechukua forms za kugombea!utaona mchujo!
@eliasai.ngwada83934 жыл бұрын
Nafikiri waliyofanya hivyo hamkuwaandaa, sababu hiyo ilikuwa ndiyo kawaida za chaguzi zilizopita, hivyo wao walitegenea ni yaleyale, kama mliweka hilo au hiyo adhabu katika kanuni za kugombea wao wakakiuka hilo ni tatizo lao. Lakini kama mmewatega tu kama panya mtakuwa mmewaonea. Mbaya zaidi waliyofanya kosa hilo ni wengi lakini mnamsakama aliyekuwa Mkuu wa Mkoa mmoja tu kwa kutaka kumharibia nafikiri siyo sawa. MSIFANYE HIVYO MSIFUNGE MIKONO DEMOCRASIA ZA WATU, WAMESHAADHIBIWA KUFUTIWA NYAZIFA ZAO HIYO INATOSHA.