Ukiangalia kwa udani kweli wenye nyumba ndo wanatakiwa watoe iyo pesa maana mwenye nyumba ndo anapelekewa mteja
@twiseghekisilu88453 жыл бұрын
Hatujawatuma wanawaleta wao nyumba inajiuza bhana
@kennyrogers47343 жыл бұрын
@@twiseghekisilu8845 Bc madarali wajenge nyumba zao wapate pesa wajue uchungu wa kujenga
@hamidaala28323 жыл бұрын
@@twiseghekisilu8845 😃😂namiNatafutawTejja😃
@saidbakari11273 жыл бұрын
Nyumba laki4 Dalal anataka lak4 unamuomba chukua lak1 hatak. Wenye nyumba weken namba kwa mabango nje
@rosemarysulle92883 жыл бұрын
Mm nina nyumba zangu wapangaji wamekuja wenyewe.niliweka bango nje barabarani na no za cm.nimeteseka sana kujenga,iweje nimlipe dalali hela yote hiyo???sifanyi hiyo kazi
@eliakazana72523 жыл бұрын
Utaratibu mzuri ni mwenye nyumba kupeleka taarifa ya chumba/nyumba yake kwenye ofisi ya serikali ya mtaa husika,hivyo mpangaji anakwenda moja kwa moja kupata HUDUMA kwenye ofisi ya serikali ya mtaa,pale atalipa na serikali itajipatia mapato mengi ya kodi za nyumba,kwakua kila mwenye nyumba atapeleka uhitaji wa mpangaji kwenye ofisi ya serikali ya mtaa husika,na mpangaji atakwenda kuulizia chumba/nyumba hapo,litakuwa zoezi jepesi sana tatizo viongozi wetu wamekosa ubunifu wa mifumo rafiki ya kumrahisishia mpangaji na mwenye nyumba unafuu wa kupata huduma kwa urahisi
@ushermsimbazi5463 жыл бұрын
Mimi wazo langu kwa serikali iweke utaratibu huu.... nyumba ,fremu, mashamba ambavyo vinapangishwa viwakilishwe serikali za mitaa husika... zibandikwe nyumba bei ya kupangia na. no ya mwenye nyumba husika.... mtu atatafuta nyumba kupitia hapo serikali ya mtaa... mwisho wa siku serikali inapata mapato kupitia hapo.... serikali itanufaika na hilo sanaa tyuuu.... mtu akitaka nyumba au chumba aende serikali ya mtaa kwisha habari no dalali no nini...🙌
@bahiyalumelezy30163 жыл бұрын
Upo sahihi sana👍
@dalalimuuzaji3 жыл бұрын
NI AIBU, DALALI ANACHUKUAJE COMMISSION 100%. WATUNGE SHERIA, DALALI ACHUKUE 30% YA KODI ILIYOLIPWA NA MPANGAJI NA SIO MPANGISHAJI. MPANGISHAJI ATAFUTI MOANGAJI ATA SIKU MOJA, ILA MPANGAJI NDIO ANATAFUTA NYUMBA.
@yvonneembambo51783 жыл бұрын
Hapana mimi sihafiki swala la dalali wa vyumba maana mbona zamani hhayo mambo ya udalali hayakuwepo basi km mwenye nyumba anatoa taarifa ya nyumba kwa dalali basi ampe mwenyewe
@suhaylahfaisal2763 жыл бұрын
Mnawatoza hela pia yakuangalia nyumba na ya mwezi moja na nyumba mnatutafutia nyumba na mnajua mwenyenyumba mkorofi mnatupeleka tu tukirudishiwa hela pesa ya dalali hairud sawasawa muheshimiwa kwakazi nzuri
@zoey26353 жыл бұрын
Dadali ndio mabingwa wa kuongeza Kodi nyumba mil 3 atatwambia ml4
@salomemchewa51873 жыл бұрын
Hatakama, mnatuumiza, mnachukua pesa kwa kwa mwenye nyumba na kwa mpangaji. Hapana, hiyo siyo haki,
@wilfredelimeleki45433 жыл бұрын
Nmekuelewa hapo labda wachangie kati ya mpangaji na mwenye nyumba... Tusubiri maoni ya wengne. Tufikiriane kwa pamoja
@josephramadhani89143 жыл бұрын
Poleni Ila mlizidi kuchukua hela nyingi kwann,kwani wapangaji wote watoto wa matajiri.
@abuyunusmohamed69613 жыл бұрын
Kusema ukweli madalali wanafanya kazi ngumu sana,bora angeacha wenyewe waelewane.waziri lukuvi hapo umekurupuka na umecheemka sana
@mrgeorgeisdory52773 жыл бұрын
Dalali pesa apewe na mwenye nyumba ni sawa Cause mwenye nyumba ndio anapelekewa mteja
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
We si bure mtt wa nyumbn
@jamesjoseph68253 жыл бұрын
Madalali ndio chanzo cha vyumba na nyumba kupanda Bei, acha tutafute wenyewe
@ashajuma22783 жыл бұрын
Mwenyenyumba kwa sababu Hela ya dalali atoi yeye,ukimwambia chumba kipo anakwambia nendaa kwa dalali,,kwa taarifa hii atakwambia kipo,,Ili asitoe ela kumpa dalali
@kevinmiliki96813 жыл бұрын
Wakale mavi wametupiga vya kutosha.wao na wenye nyumba lao moja
@masungakwejamiano98853 жыл бұрын
Yes thats great notion👏
@junuferjinu14443 жыл бұрын
WENYENYUMBA MBONA WAPO KIMIYA😂😂😂MAANA WAO NDOWALIO LENGWA WANAO LALAMIKA MADALALI😂😂
@Mpakauseme3 жыл бұрын
Ndio ufahamu kwamba wenye nyumba hawana shida
@khadijahali48373 жыл бұрын
Madalali walikuwa wanakula kote kote hawa
@barakamsungu52603 жыл бұрын
Madalali wengi wanapandisha bei za nyumba kujali pesa yake ya mwezi mmoja ila anaacha watu tunaangaika kulipia kodi ambayo ipo juu
@yvonneembambo51783 жыл бұрын
Yaani sio sawa jamani
@lulanjamd38863 жыл бұрын
Kazi ya udalali siyo kazi ni utapeli tu asante serikali kwa kuwatoa hawa watu
@mkuluwaukae22213 жыл бұрын
Kwa mfano dalali wewe ndio unaenda kupanga nyumba husika ambayo ulikabidhiwa wewe na mwenye nyumba je , Hiyo ela ya mwezi mmoja unajilipa na unakatwa kodi wapi? Pia kama mwenye nyumba anaona ni ngumu kukupa wewe ela ya mwezi mmoja, je kwann mnampa huo mzigo mpangaji? Ama kwasababu yeye anavotafta nyumba bhas unajua tayari hela anayo? Je ni wapangaji wangapi wamenyimwa nyumba kwasababu ya kukosa hela ya dalali?
@gloryjesus43083 жыл бұрын
Bandika namba kwa nyumba
@bahiyalumelezy30163 жыл бұрын
Iwepo taarifa za nyumba kwenye mitandao na magazetini tu apige kwa mwenye nyumba moja kwa moja mambo ya kizamani yanini?
@elisantemrita98943 жыл бұрын
Kwanza Hawa jamaa wapuuzi Sana Mana unamwambia unahitaji nyumba vyumba 2 na seble shelf anakuzungusha mitaa Kama 5 naanakupeleka seemu ambazo sio ile ulio mwambia
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Half anatk pesa kila anapokupelk wapuuz sana haw
@restymlale60033 жыл бұрын
Duh!
@bahiyalumelezy30163 жыл бұрын
Watoe matangazo tu ya nyumbazao na bei na nyumba ilipo na vyumba vingapi mizunguko yanini?
@chiefndatu18953 жыл бұрын
Acheni kuingilia biashara za maelewano masaidiano!!!
@husnayahya50703 жыл бұрын
Mimi nikijenga nyumba yangu,simtaki mtu anaeitwa dalali mpangaji aje mwenyewe, na dalali nae ajenge ya kwake apangishe, nikitaka kuuza kiwanja changu nitaweka bango wateja watakuja wenyewe,
@bibylicious82013 жыл бұрын
Naam
@maryamdunga38963 жыл бұрын
Me dalali aliniletea mpagaji nilimlipa dalali na so mpagaji
@msetikebwasi72703 жыл бұрын
Wewe dalali ni mjinga sana,,,,mmeambiwa mlipwe na mwenye nyumba,kama haiwezekani acha hiyo kazi wenye hizo nyumba wawatafute wateja.
@marcogodfreymboya73493 жыл бұрын
Watz nyanyasikeni tu maana ni watu ambao hamtaki kujua vitu. Mnachambua mpira kuliko mnavyotakiwa kuyachambua mapungufu ya serikali au viongozi wenu. Mtateswa saaana
@mackmneneiy72843 жыл бұрын
Kazi hi ninyepesi sana mtu anaeuza Nyumba au kiwanja atoe taarifa katika ofisi ya Mtendaji way eneo husika maandishi ramani na picha ziwakilishwe na mteja yeye anaehitaji aripoti kuulizia kwenye hizo ofisi inajitosheleza kabisa taarifa hi.
@yahyahamad18023 жыл бұрын
Huo ujinga tu achukue pesa ya mwezi mmoja kwani iyo nyumba walijenga na dalali? Ni vyema kugaiwa kiasi tu sio kodi ya mwezi muache kutaka mteremko pambaneni
@badmanno.16503 жыл бұрын
Watafute kazi.. maana udalali sio kazi yakusema ati unaitegemea.. ni kazi za janja janja tu.. tuseme kama mtu ni dalali basi awe ana na kazi nyenginezo ambazo ni aula zaidi.. udalali afanye kama side hustle laa sivyo watakuwa wakiwaumiza wapangaji vyumba kwa kutaka kujikimu wao kimaisha ambayo sio sawa kabisa...
@majaliwawilson93723 жыл бұрын
Hakuna Kaz nzuli yadalali madalali niwatu wabaya Sana kwanini wameona Kaz ngum kuitikia kulipwa namwenyenyumba kwani yeye sindio kampa Kaz nitafutie mpangaj asa kwanini wasione nisawa kulipwa namwenyenyumba hawa wanacho juwa wanapiga pesa kwampangaj kisa lazima uzululaji Tena mpagaj anamlipa tofaut naile yamwez hivo Kama wanaona ngum bac waache selikal itafute njianyingine namna yakutangaza wenyenyumba ili apate nyumba shida ikowap
@emmanuelelam5553 жыл бұрын
Tafteni kazi halali mnauzi sana nyie madalali
@monicamagesa85713 жыл бұрын
Tafuteni kazi za kufanya, hao wenye nyumba wawalipe wao
@cisselamerveille52863 жыл бұрын
Hapo kwenye nyumba kupanda bei sio kweli wao madalali ndio wanapandisha bei....
@estakapufi75823 жыл бұрын
Wenye nyumba ndio wanatakiwa ndio awalipe kwa sababu umempelekea mteja kwa sababu madalali ndio wanajua nyumba zilipo ni sahihi kabisa.
@hellenpatrick30413 жыл бұрын
Je mngeambiwa msipewe pesa kabisa itakuaj chukueni pesa kwa mwenye nyumba
@jumachipangula3553 жыл бұрын
Wenye nyumba waweke vibao na namba za simu km guest vyumba vipo tutaelewana tu, hii biashara ya madalali inawaumiza sana wapangaji
@kwilasacharles17473 жыл бұрын
Tatizo kuna madalali wengine wanajifanya wahuni wanapandisha bei halafu yeye huyo huyo ndo unaanza kuelewana nae na anakupunguzia bei🤣🤣🤣
@gracepius97623 жыл бұрын
Hamna kitu kama icho. Wenye nyumba wataweka nyumba mtandaoni na no zaoo mama ana nyumba nyingi ataweka Msimamizi Mambo yatakuwa yameisha ni sp kabisaaaa
@omaryjuma80023 жыл бұрын
Apa selikali inatafuta namuna ya kupiga pesa 😂😂🙌
@ashajuma22783 жыл бұрын
Ukienda kuonyeshwa chumba Kama haujakipendaa,unamlipa pesa ya kukutembeza
@cuthbertzillale61363 жыл бұрын
Mnapandisha nyumba na vyumba bei...acheni uhuni
@abubakarikisuju802 жыл бұрын
Mteja hataki kutoa mwezi athanasius naye atafute nyumba mwenyewe.
@ireneassey7533 жыл бұрын
Eti wamejiajirii ... wanalipa kodi za serikal???
@khadijahali48373 жыл бұрын
🤣🤣🤣shangaa na ww
@dahdentist3 жыл бұрын
Madalali wametupiga kwa mda mrefu. Hawana haki yakulipwa na mpangaji. Watafute namna nyingine
@khadijahali48373 жыл бұрын
Kwn si mmeambiwa mchukue kwa mwenye nyumba tatizo liwapi?!
@MrGallaba3 жыл бұрын
Kwani shida iko wapi? Hawajaambiwa hawalipwi kabisa, bali watalipwa na mwenyenyumba. Sioni tatizo
@cisselamerveille52863 жыл бұрын
Kumbe wote ni wananchi basi Safi.... #sisitunawatu
@allymaulid93913 жыл бұрын
Huu uataratibu WA madali wangetakiwa wenye viti wange pewewa hili jukumu mbona simple
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Kwan wenye nyumba wawo wanasemaj Maan hii inawahus wawo
@hawakiwamba93143 жыл бұрын
Vp madali wa viwanja nao?
@alluminiumexperttz.12mview133 жыл бұрын
Serikali inakwama wapi? Mimi nadhani serikali iunde online system isajili nyumba zote za kupanga na watu wajitafutie nyumba kwenye hiyo system kirahisi tu. Hapa serikali inaingiza na mapato kabisa maana wenye nyumba wanapaswa walipe kodi serikalini maana ni biashara kama biashara nyingine. Hata viwanja vile vile kabla ya kuuzwa visajiliwe viuzwe kwa system maalumu. Udalali ufutwe kabisa watafute kazi za kufanya waache janjajanja
@Mpakauseme3 жыл бұрын
Online wapi na nyumba nyingi zipo vichochoroni hayo mambo ni nyumba za masaki mikochen huko na osterbay hao wenye majumba ya uswahili wengi wana simu za tochi hawanaga mbwembwe
@gloryjesus43083 жыл бұрын
Tokeni hapa ninyi ndo mnapandishaga bei
@gadikipenda74093 жыл бұрын
Mh.hajawakataa madalali ila amedai uhalali wa malipo ufanyike ukikidhi haki ya nyanja 3. Mwenye nyumba,serikali na mteja yaani mpangaji. Me nafikiri ifanyike kama utaratibu wa kupata usafiri wa kutoka eneo moja kwenda lingine ikawe hivyo wenye nyumba za kupanga wasajiri we pindi mteja anaehtaji kupanga sehemu fulani kwa bei fulani aingie tu mtandaoni akidhi haja yake.
@fredymaswimwita30913 жыл бұрын
Hazipandi ngo, kwanza madalali ndiyo wanapandiaha nyumba bei
@genovevatarimo39823 жыл бұрын
Jana kuna dalali kapigwa hadi macho hayaoni😆😆😆😆
@happymackjacob34803 жыл бұрын
Awalipi kodiiii
@amenipasanga98653 жыл бұрын
Madalali hamfai nyie, iundwe online system ya kusajili nyumba zote zinazopangishwa na mteja atafute online hukohuko madalali mkalale
@salim02tv243 жыл бұрын
Unawezaa pangishaa jambaziii
@mariasafari10043 жыл бұрын
Kwann Sasa msichukue Hela kidogo?Kwa mteja why mnasema mteja atoe yote
@hellenpatrick30413 жыл бұрын
kwani shida ipo wapi kwann mnaogopa wenye nyumba wawape pesa
@Mastermind254913 жыл бұрын
Madalali tafuteni kazi nyingine,,la sivyo muwe na umoja wenu na mlipe kodi
@kabwelasutiviraka47653 жыл бұрын
Madalali hivi wanalipa kodi ?
@soshazaofficial48853 жыл бұрын
Hapo mteja ndo atakayeumia sio kasaidiwa mana nyumba ztapanda bei
@mkuluwaukae22213 жыл бұрын
Madalali wa tz hawana kazi mmbadala, ndio maana wanajikuta wao ndio wenye nyumba! Nyumba ni zilezile hakuna kupungua wala nn kwan zinabomoka?
@fadhilarashidi51843 жыл бұрын
Ulaya pesa ya ajenti ni mwenye nyumba
@masoudmpenda90583 жыл бұрын
Swali kwani kuna mpangaji kaenda kushtaki mahakani,police,mm naona madalari wapo sawa kama hutaki siutafute mwenyewe, wtz hata kulipa kodi tunakimbiza
@mariasafari10043 жыл бұрын
Mwenye nyumba amlipe dalali siyo mteja loooooooh🙄🙄🙄🙄
@dalalimuuzaji3 жыл бұрын
ULIONA WAPI ANAEOLEWA AKATOA MAHALI? MAHALI INATOLEWA NA MUOAJI
@moyolameck5553 жыл бұрын
Acheni porojo madalali kwa sasa sitolipa hela yeyote aidha nendeni tra ili muwe walipa kodi Ukichukua hela yangu EFD lazima unipatie
@theuniversetv28703 жыл бұрын
Madalali cjui Kama mnatumia akili hivi inakujaje wewe ulipwe na mpangaji wakati Kuna mwenye nyumba aliekupa kazi ya kutafuta wateja huo ni wizi na upuumbavu mwenye nyumba anakupaje chumba alafu asikulipe,,hii kauli mi nilikuwa naisublia serikali itoe,,,Kama umekosa kazi ya kufanya nenda kalime huko peripheral Kuna mashamba acheni kufanya kazi za kipuuzi mnakera sana watanzania bana!!!
@hamidaala28323 жыл бұрын
HiiKaziSiyo
@toidamagoyo54163 жыл бұрын
Wenye nyumba ndo wawalipe madalali coz wanawaletea wateja, ila sio mpangaji kumlipa mwenye nyumba iyo haiko sawa
@lameckmbelle81283 жыл бұрын
Ushakosea kusema niwaelewa sn kama niwaelewa waachie walivo panga
@gloryjesus43083 жыл бұрын
Si mna pia cha miguu kwani mnawaonyesha bure
@georgelyimo60673 жыл бұрын
Tunafuga wezi kwani wewe unaweza kwenda sokoni bila mtaji nautoke na maela aiwezekani madalali wezi tu wankula aramu
@abdulazizahmed4783 жыл бұрын
Hamna kitu nyie mmekula sana hela zetu nyie ndio watu mnaosababisha bei za nyumba kupanda ili mpate hela yenu ya mwezi nyingi
@allymadunda79313 жыл бұрын
Ondoeni na masungusungu yanadai eti hela ya ulinzi ilhali hawna mafunzo yoyote unafiki tu.kusumbuana kwani polisi tunawalipa mishahara wakae tu basi
@salha65963 жыл бұрын
Kwenda kuona chumba tu utoe ela haya ukilipa lazima utoe tena
@shos26243 жыл бұрын
Madalali wahuni .yan mim nilipata dalali nikamwambia nyumba nayotaka.kweli akanipatia kodi akasema laki5 but akaniambia ataongea na mwenye nyumba afanye laki4 kwa sharti la kumlipa yeye laki5 ya mwezi mmoja.
@elphazjavan67893 жыл бұрын
Huo mzigo ameubeba mpangaji kwa mda mrefu ,wenye nyumba wawajibike kuwalipa madalali make ndo wamewaajili
@bajagihaji89233 жыл бұрын
Kuwe na ofisi rasmi
@abdallahsuleimani74163 жыл бұрын
Madalali wanawa hofia wenye nyumba kwasababu wenye nyumba wanakawaida ya kuwageka madalali baada ya kupata pesa
@fadhilarashidi51843 жыл бұрын
Fanyeni kama ulaya
@dahdentist3 жыл бұрын
Hakuna cha fifty by fifty. Siku hizi hatuhitaji madalai kuna apps, tengenezeni apps ili watu walipie hukohuko. Ni mawazo tu
@yahyahamad18023 жыл бұрын
Kwani dalali ana umuhimu gani? Nyumba inayokodishwa mwenyewe aweke bango na namba za simu tu inatosha
@TamuzaKale3 жыл бұрын
Kabisa!
@julihanjosephyjs63613 жыл бұрын
@@TamuzaKale mtapangisha vibaka
@julihanjosephyjs63613 жыл бұрын
Dalili anaumuhim Sana ila kwenye ela Wachanfe mpangaji na nwenye nyumba
@rehemaomary66313 жыл бұрын
Wenye nyumba mpangaji akiondoka akiingia mwengine tunatumia ghalama kubwa kukarabati maana wanaacha ovyo kabisa kwa ili la wazir me siafiki acha ikae tu nyumba yangu watakuja wenyewe au nitaieka mtandaon
@bibylicious82013 жыл бұрын
Usiseme matengenezo kama yote
@rosemarysulle92883 жыл бұрын
Kwakweli wenye nyumba huwa hatunaga faida kabisaa.wapangaji wengi wanaharibu nyumba kwa kusudi.unajikuta siku ana hama unakaarabati kwa pesa nyingi sana.sasa na ss wenye nyumba tukigoma kujenga kuna watu watakosa pa kulala.serikali km inaona ni kazi rahisi,basi wajenge nyumba na wao wapangishe.kwa hali hii vitu vimepanda bei hivi,na kodi hampunguzi sijui wanategemea nn hasa.
@omaryjuma80023 жыл бұрын
Apa tusindanganyane kama unashida na nyumba lazima utafute dalali kama mazingila huyajui utampata wap mwenye nyumba labada wazungumze kwanza na mwenye nyumba
@foradiboy34703 жыл бұрын
mnawaoneeni madalar jaman hata wenyewe wanafanya kazi kubwa emagine hauyajui mazingira ila untimia uzoef wa dalar kuyafaham mazingira na nyumba ilipo huon Kama hko ni kibarua kikubwa
@lulanjamd38863 жыл бұрын
Watolewe tu madalali wanahalibu Sana wanapandisha Bei kwa masilahi yao wenyewe
@peridamsigala70863 жыл бұрын
Apana madalal mkipewa chochote muwe mnalizka xo kutaka paxu kwa paxu mnakera bwana
@irenemagreti59213 жыл бұрын
Weweee akili huna katafute lakufanya mpangaji namwenye nyumba nani mwenye uwezo kwanza acheni watu watafutewenyewe kaeni psmbeni
@salmaathuman91563 жыл бұрын
Sio kumlipa ya mwezi hata pale dalali anapokupeleka kwenye nyumba unampa elfu10 hapo bado hujalipia 🤣ukilipia unampa tena ya mwezi
@annestamwinuka3 жыл бұрын
Hiyo so kazi ni kama utapeli sababu wenye nyumba watafute wapangaji na wapangaji watafute nyumba wenyewe kuna mitandao mingi sana fb unapata nyumbn unaenda kuiangalia mwenyewe
@ibrahimgwasma12233 ай бұрын
Mtu ukijenga nyumba yako ya kupanga , Weka Bango nje na mawasiliano wateja watakuja, Kwa sababu dalali hawezi kukuacha wala hana huruma na hel a yako
@collinmshana80293 жыл бұрын
Jàmani Mimi sitawahi kutafuta nyumba kupitia dalali na sitafanya hivyo kamwe,sasa wale hela za haohao waavivu wa kutafuta nyumba wenyewe
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Unatafut kupitia Nan au upo nyumbn
@happydunstan96313 жыл бұрын
Swala nidogo tu mwenyenyumba amlipe dalali. Na mteja amlipe dalali iyo shelf 10 ya kuonyeshwa chumba.. biashara iishie hapo.. kama mwenye nyumba hawez bas aweke bango kama matangazo ya shule au ya waganga .. mbn ni simple tuuuu😂😂
@ireneassey7533 жыл бұрын
Kwani dalali biashar ?? Na wanalipaga kodi za serikani wanakaz ya kula ela za watu na kupata vitambi tu watuachee tutataft wenyew
@rahmarahma9203 жыл бұрын
Udalali ni wizikafanyeni kazi Wedi nyie mnakaavijiweni masubiriwatu wawaletee hela
@fanikiojacob77303 жыл бұрын
Madalali wapo sawa haiwezekani ushinde siku nzima unamfanyia Kaz mtu alafu usilipwe ata mia pia kingne ambacho dalali inatakiwa wakiweke sawa ni pale dalali anataka nyumba aikamate yeye Alafu anapandisha Kodi badala akipata mteja wa kumpeleka ndoo alipwe
@theuniversetv28703 жыл бұрын
Dalali anapaswa kulipwa na mwenye nyumba bana maana ndo aliempa kazi mbona Jambo dogo Sana ata watoto wadogo wanaweza wakawa wanaelewa
@hamisissa44593 жыл бұрын
Madalali ni aki yao ipo palepale kutokana kama mimi mteja napata nyumba kwa uraisi kupitia kwa dalali na napunguziwa miez kwa kupitia dalali nikimfuata mwenyenyumba miez 3 ataki na wakati mimi nimekuja peke yangu nipokee anasema sikufaam naomba mueshimiwa ulifanyie kazi swara la miezi pia isiwe 6 na swara la mwenyenyumba kutoa era atatupandishia kodi ndio ampe darari
@bernadetamodest61703 жыл бұрын
Ndyo mwenye nyumba amlipe na siyo mteja,mamubakiano ni baina ya mwenye nyumba/dalali
@zenaomary35423 жыл бұрын
Kwani kwanin madalali wanalalamika wakati wameambiwa watalipwa na mwenye nyumba ....wenye nyumba ndo wakulalamika alafu dalali ndo huwa wanapandisha nyumba bei
@Mpakauseme3 жыл бұрын
Akuna mwenye nyumba atakayetoa fedha huyo Wazili kakurupuka na ndio maana unaona madalali wana complain kwasababu zamani hapakuwa na madalali wa jinsi hiyo na wenye nyumba bado walikuwa wanapata wapangaji hao ndio wenye shida kwani zipo nyumba nyingi mijini wala haziitaji udalali zenyewe zinajiuza sasa hao wamejitengenezea ajira zao tu kifupi mijini wenye nyumba watabaki kuwa na nguvu tu na hawana presha yeyote