Kwan mki like mara mbili mbili kwan vip? Si Bomba tu...
@ngalimosalvatory85333 жыл бұрын
Ambao hatujawahi pitwa na nyimbo za huyu mwamba tujuane kwa like ☑️
@karolinekagiri94992 жыл бұрын
Kumbe tupo wengi
@kingmajuto36402 жыл бұрын
Mimi hapa
@AlmasiMajaliwa Жыл бұрын
Na Mimi Apa
@AngelNanyaro-k1q14 күн бұрын
❤❤❤🎉
@kennybinsd68833 жыл бұрын
Ngoma kali gonga like kama unamkubali kayumba 🔥🔥
@jpchillahmansour64243 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fp6pdKZ6mrWfi6M
@djtom254tv43 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pam8iHmZfsSgp80
@ziononlinelivetv3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nYO9eYOEhKmAetE
@ramadhaniomary21393 жыл бұрын
Simpingi
@Kaka-xp6zh2 жыл бұрын
Bro uko sawa kabisa yani sana.
@fadhilimagambo91103 жыл бұрын
Huwa sicomment coz gays huwa wanapita tyu, Ila kwasababu ya hii song acha niweke comment yangu kwa hapo vipi!? Si Bomba tyu Kayumba ataisoma.!?
@papywabarega2533 жыл бұрын
Nani kairudia hii ngoma mara zote 👊💪🏿🔥gonga like twende sawa
@carolinmasam97583 жыл бұрын
Mimi
@stellaanjelious61323 жыл бұрын
Fire
@salvatorykyakwe86063 жыл бұрын
Yaaaani nairudia hapa Mara nyingi tu
@esterjohn70483 жыл бұрын
Yaani narudia nikimaliza napumzika naanza tena nyimbo tamu mpk maneno siyasikii
@utangemedicalcentre92673 жыл бұрын
good song by then
@shafiamustafa78563 жыл бұрын
Haya mambo ya timu ebu tuacheni Tanzania yetu imebarikiwa wasanii wanaojua kuimba hadi wanakera🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@MariamuJanga-b3j Жыл бұрын
Ni kweli inatakiwa awa wapewe sapot manake wanajua sana
@magilojofrey3 жыл бұрын
Jamani team kayumba,, tusibaguane gonga like Japanese basi iwe bombaa
@vedastojohn81713 жыл бұрын
Chuma kwa chuma namwaga cheche,, Tim Kayumba
@amanassey1613 жыл бұрын
Nakubali sana boy
@danielimalaki67873 жыл бұрын
Kayumba sanaaaa god
@paulinatemu76443 жыл бұрын
Mm nakukubali xana kayumba yaan bombaaaaa
@mohamedihamisi80143 жыл бұрын
Mwamba hanajua Sana😁
@sammymusiq16543 жыл бұрын
Hii ngoma imefanya nimtafute huku after kuskia kwa radio 🏹🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kama umsikia kemoda piga like😀😁😂😂
@AmaniGenga6 ай бұрын
Anae sikiliza hii Ngoma Leo 2024🎉🎉😂 Safi Sana
@fredymgina133 жыл бұрын
Wa kwanza hapaa leo like za fundii kuyumba hapa!!!💞💯
@bonifaciodanieldanielsofin80483 жыл бұрын
Eu arento você kayumba
@contrimatambilinyi46223 жыл бұрын
Nice kak yangu kayumba umetisha kinomanoma👍
@sylvesterseleman84533 жыл бұрын
Tz huyu nd msaniii ninaemkubali mm kama na we unamkubli gonga like tujuane
@emflashtv62113 жыл бұрын
*Kama hauna utimu heb wekeni like hata moja tyu huyu kayumba na radha ya mziki wanafanana kabisah🙏🙏🙏🙏*
@yosephagharama51553 жыл бұрын
Kweli jamana yuko POA saaaaanaaa
@nevycharles11163 жыл бұрын
💖💖
@pennynershadrack943 жыл бұрын
Ndani joto sitaki feniiii natamani ni like comment ya kila mtu. Hapo vipiii
@belkamsafi67033 жыл бұрын
Uzuri wa huyu kayumba anaga skendo za ajabu yeye ni mzik mzur tu 💥💥💥
@makatym61513 жыл бұрын
Kama #barnaba classic
@deborahissaya16013 жыл бұрын
Yuko vzr sana mungu amsimamie kwa kweli
@rhubenbhollo41923 жыл бұрын
Nakukubali sana Mzee
@suranchiman26713 жыл бұрын
Lkn chunguza show zake usiaminie tu
@zuberimangi51683 жыл бұрын
Hana shida na mimama
@jusmhaike40822 жыл бұрын
Bomba kwel, I like it all the way from Malawi 🇲🇼 🇲🇼🇲🇼 . The guy is so talented ❤️🙌🙌🙌 much Love ♥️😍♥️😍😍 Gonga like to show love jirani
@anoldnelson20493 жыл бұрын
Natamani nikatongoze Mara ya pili apo vp wapi like za kayumba 🔥
@frankbenard43773 жыл бұрын
Huo mstari nauelewa sana
@scholarjosephat12813 жыл бұрын
Nipatamu atari
@frenkimelnadtoget32543 жыл бұрын
@@frankbenard4377 l
@frenkimelnadtoget32543 жыл бұрын
@@scholarjosephat1281 klk
@patrickkapoma89113 жыл бұрын
Good music
@joshuatz46163 жыл бұрын
Kayumba hajawahi kuniangusha
@livingstonking98183 жыл бұрын
Kayumba ujawahi kuniangusha naombeni ata like 40🔥🔥🔥👍👍
@jpchillahmansour64243 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fp6pdKZ6mrWfi6M
@djtom254tv43 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pam8iHmZfsSgp80
@ziononlinelivetv3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nYO9eYOEhKmAetE
@aysharahman30803 жыл бұрын
Anajua Sana
@crisndembwele40163 жыл бұрын
Babs tunakupa like buku jerooo
@rachelmogwa1993 жыл бұрын
Binafsi sichokagi kuusikiliza huu wimbo,💯
@sirionecompanylimited81653 жыл бұрын
Huyu ndio MWANAMUZIKI NO 1 KWA UTUNZI hivi sasa Nchini Tanzania #Kayumba 🔥🔥🔥🔥
@edwardlucas21413 жыл бұрын
Kwel kbs
@vicentrogers94653 жыл бұрын
Sibishi kaka hi ngoma kali
@sirionecompanylimited81653 жыл бұрын
@@edwardlucas2141 Basi tu sjui mambo ya nyota
@sirionecompanylimited81653 жыл бұрын
@@vicentrogers9465 kwa utunzi hakuna cha Mondi, Kiba wala Konde wote kwa Kayumba! Chuma kwa chuma anawamwagia cheche 🔥🔥
@EmmanuelSeth-l2h10 ай бұрын
Kama unamkubali huyu mwamba gonga like❤
@regiuskitosi71013 жыл бұрын
Tupendane tuwe kati ya makumbusho karne zijazo watusome 🥰
@yalismchami93 жыл бұрын
Who came after ROMA ZIMBABWE POST PROMOTING KAYUMBA
@saniaiyirangira50002 жыл бұрын
Why is this guy not heard enough?? his a great singer 🥰🥰🥰
@preshnazziah12353 жыл бұрын
nmeona hii kwa TV station fulani simjui but I support good talent wah huyu anashinda wasafi inabidii nisubscribe
@nurukayshaid83573 жыл бұрын
I will continue to show love to Kayumba till he recognize me as a strong fan all the way in Sierra Leone 🇸🇱🇸🇱 West Africa. I am promoting your all your songs and videos in my country as a music promoter. I am following Kayumba in all his social media platform just to show him love because I love his music like seriously. I Like and share his music.
@mungamichael93543 жыл бұрын
I remembered the civilian war those years ago in Sierra 😢
@anyessemathias26573 жыл бұрын
I really appreciate you for this kayumba must recognize you for what you are doing
@vicentrogers94653 жыл бұрын
Tanzania having a lot of musicians talented very nice song
Huyu mrembo Video Vixen ananifanya niirudie kuiangalia hii nyimbo kila wakati... Sichoki kumtazama. Simple dancing but amaizing
@braybah_oley3 жыл бұрын
Nakubali kazi sana Kayumba OG 💥💥🔥
@mariamshahara2753 жыл бұрын
Katamu kawimbo kametulia hunaga kazi mbaya broo
@georgebidance13993 жыл бұрын
Kayumba never disappointed
@dangotetz93223 жыл бұрын
nilianza kuupenda mziki wako tangu ulipotoa ile ya JIJI LA DAR mpaka sasa nakuelewa bado wangapi wanaokoshwa na kaz zake twende kwa like hapa
@nevycharles11163 жыл бұрын
💘💖
@selemanijeanclaude92033 жыл бұрын
Kama unakuaga unamuamini weka like apa kwangu nawaombeni ndugu zanguni
@mussacheyo32273 жыл бұрын
Bombaa bomba iyo ebwa like zake zote kayumba
@mealimwapesa74432 жыл бұрын
Recently married, my husband chose this song to dance with me on our wedding day. Last week was our wedding and upto now I can't stop listening to this song. Much Love from Kenya. I really love it
@patrickkamara7282 жыл бұрын
He got taste.All the best in your new venture.
@swaleheismail462 жыл бұрын
Kwa hii ngoma ilivyo kali wakenya hawakawii kusema kayumba ni mkenya 😂 😂 shemeji zetu hawa
@shukuranitiktok32793 жыл бұрын
Jamani adi rahaaa 😚❣️
@bashirmkambala24073 жыл бұрын
Huyu dogo yupo vizuri Kama umemkubali kwa nyimbo zake usipite bila ya kuweka neno lako hapo
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
Nataman nikatongoze Mara ya pili Apo vipi? Bomba Bomba👍🏼 Kama umeuelewa huu mstari gonga like
@bornkazi50013 жыл бұрын
Bongo star search` hawajawahi kutoa msanii kama wewe,... Umetisha
@ministerjohn68183 жыл бұрын
Kayumba saf sana. ..ukiendelea hv mond 😱
@damarismazika99593 жыл бұрын
Nachompendea nyimbo zake hazichuji
@Susan-m7u Жыл бұрын
❤❤ love it so much
@kimandafukitefu29993 жыл бұрын
Ila mziki wa bongo umejaa KIKI sana mpk tunasahau kama kuna wasanii wakali kama kayumba kisa KIKI ya watu wawili ila dogo anajua aiseeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥halaf anaimba na nyimbo hazina matusi✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
@officialzincblesse3 жыл бұрын
natamani nmtongeze mara ya ||hapo vip BOMBA BOMBA unajuaaaa jamaaa wewe,naomba like kama 100......
@silasjuma75042 жыл бұрын
Kayumba weka bidii kazi poa sana.
@ditricknyamika54113 жыл бұрын
Ngoga like za kutosha kwa Kayumba kama umelikubali hili goma kama mimi🙌🙌🙌
@mariamumsuya2503 жыл бұрын
Mkali wamasauti 😍😍
@swabirsudi48593 жыл бұрын
Tz artists are creative sana yaani much love kayumba from mombasa kenya
@Karinotz3 жыл бұрын
Brother hakika hii umeua 💥💥💥💥💥💣💣 wauwe
@athumanmuharami25713 жыл бұрын
Kaza mwenyewe kayumba usiende kwenye label utapotea unajua sana 🔥
@kassimumpanga8593 жыл бұрын
Kayumba sikuwahi kuwa shabiki wako kuanzia leo2 ni shabik wako wathamani
@seiftz1083 жыл бұрын
😂😂😂"Mapenzi hayana nunda Uchebe kawa wa igunga". Kwamba kawa mlaiiini sahvi mambo mambo ya ugumu wake wa mwanzo hayapo tena 😂😂😂😂
@amanimanase57943 жыл бұрын
Hujaeleweka man
@drazzadrazza41653 жыл бұрын
Oy mapenz hayana ununda uchebe kaoa igunga.
@maramuheri1773 жыл бұрын
😂😂
@westonyjob17473 жыл бұрын
Upo vzr kayumba
@BlackPanther-xx8dn3 жыл бұрын
Huwa tuna waangalia sana wasanii tunasahau Producer Alie tengeneza huu ufundi. Great work Mr t🔥
@rahimbigupally30813 жыл бұрын
Mwanang ww unajua mziki.kabisa
@erickojembajemba43333 жыл бұрын
Pia uyo Mrembo amecheza kama yeye
@greyjames47683 жыл бұрын
Chuma kwa chuma namwaga chechee Mwenzako napewa weka tuwekee Huu mstari umenibamba mazee
@mbosoking2503 жыл бұрын
Kwenye zao la bss uyu ndo fundi wa mziki like nyingi apa
@kingwigo29613 жыл бұрын
Ikipigwa tuu trumpet basiii hiyo kwangu khaliii
@rahelmbise243 жыл бұрын
Iko Bomba! naomba like yako hapaa
@daynaelvin80532 жыл бұрын
Jaman walio na sabfa tujuane ili goma linavo dunda
@najmabozz29983 жыл бұрын
Poa tu,1🇦🇪🔥🔥🔥🔥🔥
@ngeliyosiria96113 жыл бұрын
Yani Vile Napenda Mziki Wako Ata Nyumbani Kwetu Ningekupa Kiwanja Pamoja Na Dada Yangu Tena Mtoto Wa Kimaasai Mzuri Si Mchezo.Nakukubali Sana You Talent Kayumba 💯💯💯💯💓
@DanielaSanka3 ай бұрын
Kwahiyo unataka kunigawa bure 😅😅😅😅😅
@issasalum62933 жыл бұрын
Unajuaga kutoa hits tu , likes kwa kayumba 🔥🔥🔥🔥
@anahanah91453 жыл бұрын
We acha tuu yupo vzr sana kayumba
@iamrealKP3 жыл бұрын
Hiii ngoma kali sana🔥🔥🔥🔥
@patrickmuriuki69163 жыл бұрын
The boy has pure talent never fails I wish he is signed big music label...
@jaybclassics38073 жыл бұрын
Me too
@yasinihamisi15043 жыл бұрын
Na wish angekuwa pale nyumbani WCB huyu aahh angekuwa tishio sanah
@hugfiyvhj3 жыл бұрын
Kondegang
@kelvinmpinga57033 жыл бұрын
Asimame mwenyewe anaweza
@lynnouya3 жыл бұрын
Sure I just learnt about him late last year n since its like i have all his songs on my phone... From nichumu to the rest..non passes me
@paulneto62683 жыл бұрын
Umeuwa Kaka , AKIRI kubwa sana. Sema huyu mwenyekikofia Cha mzee small ilifaa awe Kama yuko bize na kazi nyingine ivi halafu kwenye bombaa bombaaa ndo tungemuona kidoooogo ingekuwa poa kuliko hivyo alivyonuna !!!! Kuna kavess apo ka kutongoza mara ya pili kakomedi flani iv ila yeye bado kakunja ndita. Ila nzuri sanaaaa. Hongereni . Wazee hao wameuwa
@lodidamisi12853 жыл бұрын
Blood ladha tamu fanya utupatie EP moja saaaafiiii
@bonk9073 жыл бұрын
Ndo mana nakupenda cna unatoa vtu vkal
@bonk9073 жыл бұрын
Kazn bro
@janethmakoye64643 жыл бұрын
Sijachelewa jamn like❤❤❤❤❤kayumba
@jileeliasi38553 жыл бұрын
Iludie utuimbie bomba tena iterendy namba moja tena chapu mahakama,😘😘
@browncofficial3773 жыл бұрын
yaani ya huyu bwana hatariii,,,bomba sana kayumba🔥🔥
@abdallahyusuph40003 жыл бұрын
Tupendane tuwe Kati ya makumbusho Karine zijazo watusomeee...
@mathiassadock13343 жыл бұрын
Tuliangalia bila kuchoka likes hapa plz
@johjohns40213 жыл бұрын
hii ngoma angesimama kiba humo mauaji
@fundi.5053 жыл бұрын
If good music was a song, then this is the perfect example
@livingit17323 жыл бұрын
Kwani niko nchi gani ni mara ya kwanza kusikia hii hit!
@dogoally6653 жыл бұрын
It’s lit 🔥
@chekoferdinand24093 жыл бұрын
Abwa
@dogoally6653 жыл бұрын
@@chekoferdinand2409 😂😂😂 Manina wewe
@chekoferdinand24093 жыл бұрын
@@dogoally665 yourself
@josephmftwo46253 жыл бұрын
😂🤣💥💥 lit 💥
@ziononlinelivetv3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nYO9eYOEhKmAetE
@maxmiletz45633 жыл бұрын
Kayumba unajua
@heleneconsolata38773 жыл бұрын
Bombaaa iyo 🔥🔥
@michaelngua16913 жыл бұрын
Mpini mkali sana. Tatizo nimeiona too late.
@heleneconsolata38773 жыл бұрын
Kali 🔥🔥
@djtom254tv43 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pam8iHmZfsSgp80
@meshackmwakalinga39203 жыл бұрын
mbo.s
@dathiuskudra25693 жыл бұрын
Bombaa''
@Ernest-2-l73 ай бұрын
Wanae yiangalia 2024 dondosha comment hapa na like👊 much love kwa kayumba
@mohamedjuma67553 жыл бұрын
Bonge la video bomba iyo🔥🔥
@kevoulewacmu156724 күн бұрын
Bomba hiyo 2023 December 23rd 11:23EAT always a hit❤❤❤❤❤
@qtmacaroon21973 жыл бұрын
For real I’m here feeling ❤️😂🔥🔥🔥
@unicorn29073 жыл бұрын
Like real 🥰😊🔥🔥🔥🙏
@fundimtz81113 жыл бұрын
Umebadilika sana nice song....ila nahisi nyimbo nikubwa sana kuliko kayumba
@paulharouney56493 жыл бұрын
Awwww fantastic song , kayumba is lit💥
@tullohenrich33463 жыл бұрын
Muziki nzuri xijui kwanin haijatrend
@Musicdepartment3323 жыл бұрын
Bomba Big tune broo
@ericmathias48143 жыл бұрын
Dah kayumba we ni noma
@mustaphagairo19363 жыл бұрын
Kayumba mtaalam
@alfredmosha97593 жыл бұрын
This talent is pure daaah I wish awe signed na label kubwa the boy is real deal you never disappoint young bro
@bonaventureanangwe85863 жыл бұрын
Kayumba uko wapi jamani kimya sana
@ashaally69933 жыл бұрын
Jamani nilikuwa sikujui mpaka ukihojiwa siku hii ya mama duniani hongera yani wewe ni mtoto mwema endelea kumpenda mama yako.. Na ngoma ipo Bomba 🔥😍
@merybinti9215 Жыл бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 kayumba mon idole la chanson et la meilleure
@dangotesam98453 жыл бұрын
It's on my daily playlist bro. Kazi nzuri sana!
@kedmondkepha22493 жыл бұрын
🔥 🔥 sijutii kuwa shabiki yako
@sanjufelix47713 жыл бұрын
Kayumba hii ni Moto jamani wapi likes za Kenyan boy🔥🔥
@wagumuwcn11093 жыл бұрын
Yani kwa kipaji alichonacho jamaa amna wa kubisha kabisa hawa wengine tz wanatuwekea fujo tu
@underworldrecords.80163 жыл бұрын
Kayumba ni talented sana.ila hana funds. Angepata mfadhili angekua mbali #raipenzgenius
@philipdapash99513 жыл бұрын
I do listen every 5 minute it's so sweet
@AllyASalum3 жыл бұрын
Nasubiri uharibu...lkn naona nimesubiri sana bora nikuache tu! Sweet melodies, sweet music as always!