Kama unakubali kayumba nifundi wa muzingi naomba like ata 5 tu
@fatmahmed5647 Жыл бұрын
Nyimbo yangu pendwa kwaajili ya kipenzi cha moyo yangu sidhani kam nitaweza bila wewe ❤❤❤💥
@GiftMesa Жыл бұрын
Listening from Zambia respect ⚡⚡⚡
@Asam585 Жыл бұрын
Big up mon bro kitoko
@manyaramanyara8872 Жыл бұрын
Nyimbo yangu pendwa 🙌🙌🇰🇪🇰🇪
@bbrand3437 Жыл бұрын
Katka washindi wote b s s we ulisitahili kuitwa king b s s
@dr.bonye1 Жыл бұрын
Melody yake kwanza kaliii sanaaa 🔥🔥💪 biti zake sasa hatariiiiii tafsida katika uandishi 🔥
@achamsandra2410 Жыл бұрын
Am in Uganda but love kayumba deeply sweet voice much respect
@batemateddy7034 Жыл бұрын
From congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩tuna kukubali sana.
@chui7-t1d Жыл бұрын
king of voice in tz
@mkeyboyrusaone4345 Жыл бұрын
Bro nakupenda Sana mungu akufikishe mbali sana Kure mbere ya mawazo yako
@frankedenke Жыл бұрын
What a deep feeling from the song... love it so much, this great work from Kayumba...Much love From kenya
@domingosvirgilio7140 Жыл бұрын
Mimi nakukubali sana kayumba nyumbani kwangu akuna siku inaopita bila kupiga nyimbo zako. Napatikana Mzombiji
@amirihosseni7211 Жыл бұрын
Big boss wanao tunaumia sana ukiwa hujatowa ngoma mda mrefu hivi broo KY
@hassanjuma6144 Жыл бұрын
Bro huyu jaam ni sooo hawezekan Tz kiukwel
@danigasempedanigasempe Жыл бұрын
Kweli baba kayumba hit song nimeyipend sn
@TMPACKBLAND Жыл бұрын
Umu umeumiza sana
@meryamreally2768 Жыл бұрын
Wow sawa ❤️❤️❤️❤️❤️❤️💋💋💋💋💋👏👏👏
@alexandrodieumerci Жыл бұрын
Sidhani kama na mimi nitakuacha maana raha unayonipa huniondolea simanzi,Nakubali sana from BURUNDI
@BaosaJeanine Жыл бұрын
Ongera sana kaka kazi unaijuwa mungu azidi kukupa sapoti
@dainanambozo Жыл бұрын
From Uganda, love yo voice and yo music has message🔥🔥❤️
@castromendozaofficial2485 Жыл бұрын
Kayumba isn't pregnant but he always delivers ❤️💥🔥🔥🔥🎼 Banger!!
@NikyHassan Жыл бұрын
😂😂😂
@barakakusa7606 Жыл бұрын
Kayumba unajua siyo siri 👏👏👏
@meryamreally2768 Жыл бұрын
Nakubaali wwww ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💋💋💋
@turkycee Жыл бұрын
Huu wimbo safi kabisa 🇰🇪🎵
@princeibuulotu4682 Жыл бұрын
Msanii wang pendwa👏👏
@London_singa Жыл бұрын
Huyu Kayumba inaonekana alikua anajifunza kuimba kupitia nyimbo za Aslay, yan ana njia za Aslay kabisaa
@tommydeejones254official8 Жыл бұрын
Dude hatariii 💯🔥🔥🔥🔥🔥💯🎶🎶
@jumabondo2085 Жыл бұрын
Nakubali sana kaka 🤝
@Abbyvoicetz Жыл бұрын
Hakuna siku ulinifrahisha kama siku moja nilikua nawaza ufanye rimix halafu ikaja ikatokea naukapita mule mule nilipo kua nafikiria upite na ukafanya vile vile nilivyo kua nataka asee sijui nikuambie nini lakini dah! Noma mzee maua yangu unayo broo
@karimusilivano Жыл бұрын
Jamani ngom Kali San like zangu
@kevinmwinuka9531 Жыл бұрын
Dua nyingi brother achia nyingine tuwazime
@wemmaxclassic Жыл бұрын
My mentor,nikisikia umeutoa wimbo mwengine Mie lazima niufanye ringtone till next song
@lucyannastacia6385 Жыл бұрын
Ooo God the song is amazing ..I'm always a fan❤
@hamisijumanne4137 Жыл бұрын
Kalibu tena ulingoni
@tremour8632 Жыл бұрын
True Definition of art..
@NiraNakoye4 ай бұрын
Ninaipenda sana
@juliusmusyoki78 Жыл бұрын
Kongole sana Kayumba
@bishoo_wa_mtwapa2543 Жыл бұрын
Dogo unajua sana..😊
@FeruzSalim-it8ve Жыл бұрын
Unajua mwamba
@issaskighanga3199 Жыл бұрын
Yaani kila ngoma ya album nikali naomba likes kwa mwanangu kayumba plz
@theopisterjovent3483 Жыл бұрын
Tangu tokea uliposhinda BSS nilikuwa fans wako❤
@fatmahmed5647 Жыл бұрын
Nyimbo nzuli san
@dhahabualmas Жыл бұрын
Kazi
@crystalraymond Жыл бұрын
Mentor 💯💯
@silatorvybz4925 Жыл бұрын
Big up brother
@imanimiondoko4560 Жыл бұрын
Talented 👍
@chumbastebaby-sp8pr Жыл бұрын
Mawe hii.....my favourite
@panchnarygmt Жыл бұрын
Good music on top
@ziadamandali-ql9ob Жыл бұрын
Nimeielewa🔥
@Willy-lg1hs Жыл бұрын
hit
@husseinmuganza8355 Жыл бұрын
Tupe kitu na aslay
@poulabed-wx8is Жыл бұрын
Gud brooo
@emmanuelchamba08 Жыл бұрын
My favorite artist
@nduwimanajules9116 Жыл бұрын
Another banger 🔥🔥🔥🔥 Show some love #Makdone_due Kayumba Og you kill it