Kwangu mimi ni shabiki mkubwa wa k dot ata show yake 2022 nlifuatilia sana jamaa aliuwah ila kwa mwaka 2025 nlitaman kumona wayne coz ni legend kwenye game❤
@FridayFwatuwaАй бұрын
Lil Wayne deserve due to home advantage
@pro_the_djАй бұрын
Lil Wayne the legend
@yagirlgloriaprincess1006Ай бұрын
It’s because if Super Bowl is one state they have to take the biggest musicians of that state and now this state and the city that’s where lil Wayne he’s from. So it should be him.
@mangmodile38Ай бұрын
Lil wayne
@WOLFGANGfrАй бұрын
Lil Wayne anastahili kufanya performance new orland because ni kwao but tunachosahau lil wayne wa 2012 sio sawa nawa 2024 bado nmnoma kwnye uandsh na vingn but ayuko na energy Sawa kama zaman show ya june WWE amepand anasahau lyrics so u can imagine itakuaje na apple wamewek a lot of money wanategemea pesa pia mpk awawez kupotez pesa bec of legends so Nahc kendrick lamar anastahil zaid bec ya mwaka wake huu n mzur kwake and ni rapper number moja anae trend so watu wasi attack upand wa Jay z sana bec hii n biashara
@abedisuleiman7553Ай бұрын
Lill Wayne 🔥🔥🔥🔥🔥 ndio anafaa mana huyu jamnaa ndio mfalme wamarap wote hizo nichuki tu ila huyo msanii Hana uwezo wakumpiku lill Wayne bado San uwezo wake bado mdog nichuki tu
@cendrillonnam4549Ай бұрын
lil wayne all the way no 🧢.
@geniuskid2544Ай бұрын
I love young money cash ,, buh for this Kendrick is the baddest ,, tukuwe TU real,, Kendrick vibe lake hatari sana 🔥🔥🔥
@kanezajoella6663Ай бұрын
Kendrick ❤❤❤❤❤❤❤
@kherisalum6304Ай бұрын
Kendrick Lamar ni 💥
@pro_the_djАй бұрын
noma
@davidmarik4633Ай бұрын
Kama ni mmi ningefanya hvyo hvyo Kendrick Lamar asingekuwepo ningeuzunika sana lil Wayne syo mfano wa kuingwa kabisa😅
@Tariq_TryagainАй бұрын
Na wasubiri aingie uwanjani na NOT LIKE US😂🙌
@abdullysonnaАй бұрын
😂😂😂
@Nasbu-tb6csАй бұрын
Kendrick Lamar 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@wolterdavid8979Ай бұрын
Lil wayne anapendwa, show haitapendeza kama hatakuwepo Lil wayne.
@jaymandy8136Ай бұрын
😂😂😂😂sio kweli kk
@Olivierchamps1992Ай бұрын
We vipi iii show haitapendeza..😅
@mosesdavid-vm5hkАй бұрын
ACHENI KUMFANANISHA KENDRICK NA VITU VYA AJABU ULEGEND ULISHAPITWA NA WAKATI DOGO K AKO ON FIRE SAI
@fillyberthbayjohnnea6473Ай бұрын
Jay z anaenda namuda angekua nachuki axingemuxaidia kipindicha nyuma❤
@timitee999Ай бұрын
Kama wayne hajaongea bado sitoongea
@NkenguburundiKenny-xn8ofАй бұрын
Si mpira wa miguu, wamikono na miguu, you're wrong
@risekidy7660Ай бұрын
Angechaguliwa lil wayne lingekuwa tamasha la young money cash money yani angewavuta drake nicki na ndo maana nicki kalalamika sana maana aliona angeitwa lil wayne vyovyote vile nick angepeform tu.
@2116-nАй бұрын
Ubaya au Uzuri, Mimi wote nawakubali Saaana, ITAPENDEZA ZAIDI KAMA LAMAR ATAMVUTA WAYNE
@evansogutu4167Ай бұрын
Vp likiwyne ashawai tumbuiza ilo tamasha ata siku moja
@rulimbiyesaid5907Ай бұрын
Itoshe kusema Jay z n mfanya biashara mzur
@ankalmzito254Ай бұрын
hii ni tafsiri ya diamond na Alikiba 😂😂😂
@kherisalum6304Ай бұрын
Jay Z ni mfanya biashara so anaenda na zao linalofanya vizuri sokoni kwa wakati huo ko Wayne sio muda wake huu,sio chuki wala wivu ingekuwa hivyo asingeweza kumsaidia kwa kipindi kile
@revocatusawadhi6550Ай бұрын
N kwl
@salimjumaa8180Ай бұрын
Sio kigezo kabisa mbna Usher ali2mbuiza mwaka huu wala hayupo trending. Bt alibebwa na kigezo cha uzawa wa Atlanta.