Wandani wa Raila Odinga wakabidhiwa wizara zenye uzito serikalini

  Рет қаралды 42,919

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Maswali yaibuka kuhusu je ni asali au shubiri kwa viongozi wa upinzani waliopendekezwa kuendesha wizara mbali mbali zilizo na ahadi kuu za serikali ya kenya kwanza. Wizara ambazo kwa wengi zinaonekana kuwa na changamoto kuu na kuwa chanzo cha lindi la maandamano linalogubika taifa kwa sasa. Melita oletenges anaarifu zaidi kuhusu mawaziri wateule wapya kutoka odm waliopewa kibarua cha kuangazia madeni ya taifa, hazina ya hasla, nguvu za umeme na hata biashara ndogo

Пікірлер: 40
@abdulrahmanbagaran
@abdulrahmanbagaran 2 ай бұрын
John mbadi wish you best of luck n do u work honestly to kenyans tujue pesa ya taifa vile inatumika.
@danielsitati543
@danielsitati543 2 ай бұрын
I like the reporter. H.E. Ruto has just told them, "now guys, hebu ingia hapo ndani tuone vile wewe unasema sasa, kwa sababu ulikuwa unafikiria hatufanyi kazi"😂😂😂
@olayocollins5805
@olayocollins5805 2 ай бұрын
What Kenya needs is a new and fresh crop of leaders not these turncoats
@BrianRono-eq8zc
@BrianRono-eq8zc 2 ай бұрын
Matiangi please,,, come and safe us
@petermbogo2254
@petermbogo2254 2 ай бұрын
Ni mtego Raila ameuingia mwenyewe....kiwa mwakubaliana na mimi nipeni likes zangu🎉
@ViceAdmiralVasilyArkhipov
@ViceAdmiralVasilyArkhipov 2 ай бұрын
Anakuanga mjinga tu
@DANIELMACHARIA-d5y
@DANIELMACHARIA-d5y 2 ай бұрын
Now it’s true that Gen Z is the opposition party of Kenya good to know
@baloz8974
@baloz8974 2 ай бұрын
With no doubt
@KenJuma-tz2hg
@KenJuma-tz2hg 2 ай бұрын
Raila must go
@bat2739
@bat2739 2 ай бұрын
Go where?
@janeanet1401
@janeanet1401 2 ай бұрын
😅😅😅
@olayocollins5805
@olayocollins5805 2 ай бұрын
@@KenJuma-tz2hg wapi..raila u refused to vote. Let kenyans enjoy bottom up
@DANIELMACHARIA-d5y
@DANIELMACHARIA-d5y 2 ай бұрын
Mandago live long,siasa weka kwa mapafu sio kwa roho,war preparing on corrupt leaders now without blame game oooh Azimio,ooh UDA,oooh Wiper etc,corruption war started.
@sophiajuma6798
@sophiajuma6798 2 ай бұрын
Ruto anacheza na akili zenu nimtego huo yaani anafuta watu tena anawaregesha 😂
@ViceAdmiralVasilyArkhipov
@ViceAdmiralVasilyArkhipov 2 ай бұрын
Hayuko mentally stable
@wanguwangu3927
@wanguwangu3927 2 ай бұрын
Hao watu wote wadai ndiye anafaa
@7thestate777
@7thestate777 2 ай бұрын
Governor Mandago all over again "weka kwa mapafu sio kwa roho!"
@moto-junior
@moto-junior 2 ай бұрын
Matiangi ako wapi
@macharianjeru1825
@macharianjeru1825 2 ай бұрын
Mr Mbadi you have been handed back the skunk by Ruto.
@kinyuajm1378
@kinyuajm1378 2 ай бұрын
Waziri wa mashamba karibu!
@TallSkinnyCartman
@TallSkinnyCartman 2 ай бұрын
1:35 mbona ruto anakula mahindi na hasira hivyo? 😂😂😂
@TrizaOuma-nq8yh
@TrizaOuma-nq8yh 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@alexmwaniki1069
@alexmwaniki1069 2 ай бұрын
niutamu
@salmaali7080
@salmaali7080 2 ай бұрын
Wacha tuwaone sasa,twamsubiri joho
@dancansaka5004
@dancansaka5004 2 ай бұрын
Sad
@SwalehSaleh
@SwalehSaleh 2 ай бұрын
Rails ni yule yule mbwa tu
@justinebosire9804
@justinebosire9804 2 ай бұрын
Odm is sold to ruto already
@training5879liza
@training5879liza 2 ай бұрын
Mbati if you accept that chance you have sold the ODM...
@mr.oblakoblak4604
@mr.oblakoblak4604 2 ай бұрын
ODM clean up crew...nkt anyway Ruto messed up with his friends...ODM has the best policy makers anyways...Ruto is Lucky they accepted....Gen z would've run him out of Town!
@ochiboslim5040
@ochiboslim5040 2 ай бұрын
So Genz ndo opposition
@DaudiNyamwaya
@DaudiNyamwaya 2 ай бұрын
Now ODM and it ministers will be laughing all the way when Gen Z' s blood is still flowing. Fortunately this is Mzee's corn game
@wanguwangu3927
@wanguwangu3927 2 ай бұрын
Ata angerundisha matiangi
@7thestate777
@7thestate777 2 ай бұрын
😂hii siasa weka kwa mapafu. The old good saying . Thank u madago... please write a book for citizens education
@joshuanjuguna7218
@joshuanjuguna7218 2 ай бұрын
Hiyo mahindi anakula vile anakula Tax 😂 1:35
@ViceAdmiralVasilyArkhipov
@ViceAdmiralVasilyArkhipov 2 ай бұрын
Banaa unaeza Dhani Hana chakula kwake nkt 💀
@kharkanas6779
@kharkanas6779 2 ай бұрын
Na gharama yake ni vifo vya vijana wadogo hamsini na zaidi.
@ThomasMokoyo
@ThomasMokoyo 2 ай бұрын
These are birds of the same feathers,nothing but hyenas
@bleachyoo6654
@bleachyoo6654 2 ай бұрын
🙄🙄🙄🙄
MP Mwengi Mutuse provides evidence to support DP Gachagua impeachment
1:06:29
Police hunt down driver involved in a hit and run accident
3:31
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 2,2 М.
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 21 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 38 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 106 МЛН
Vituko na sarakasi za makala ya mirindimo
4:35
KTN News Kenya
Рет қаралды 225 М.
Mazingaombwe na maajabu ya Chell De Magician[Part 1]
17:43
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 310 М.
RUTO RECYCLED CABINET, GEN-Zs & AZIMIO FACTOR
1:39:08
KTN News Kenya
Рет қаралды 22 М.
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 21 МЛН