No video

Vijana wamevuruga mkutano wa Azimio leo

  Рет қаралды 80,068

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Kizaazaa kilishuhudiwa katika mkutano wa Azimio la Umoja One Kenya hii leo, baada ya kundi la vijana kuvuruga mkutano huo

Пікірлер: 165
@erickanyugo3253
@erickanyugo3253 Ай бұрын
Anguka Nayo!!! Watu wote nje!!! Nice one
@mainakamau3807
@mainakamau3807 Ай бұрын
😂😂 kila mtu nje😂😂😂.... the house of cards is burning 🔥 suddenly the political elite is slowly understanding that "ruto must go" also translates to them 😂😂
@chictok1701
@chictok1701 Ай бұрын
🤣🤣🤣
@Wiesoo300
@Wiesoo300 Ай бұрын
Mjinga akierevevuka?😂
@aaa64sa13
@aaa64sa13 Ай бұрын
😂😂😂😂😂 we fala sana
@skylarkashery8648
@skylarkashery8648 Ай бұрын
Shikanisha siasa .After Raila left. ...... ODM
@FredrickcEmase
@FredrickcEmase Ай бұрын
Correct hata azimio wasalimiwe... political brokers 😂😂😂
@erickjuma7643
@erickjuma7643 Ай бұрын
Eti "kila mtu aende nje!" 😂😂😂
@erickanyugo3253
@erickanyugo3253 Ай бұрын
Asanteni vijana na Mungu awabariki sana. Hawa wazee wote na politicians wapelekwe museum.
@InsideSouthAfrica247
@InsideSouthAfrica247 Ай бұрын
those are not Gen Z the meeting did not end well and raila left, so ODM decided that there will be no press release.....
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Ай бұрын
Wametumwa Hao Boss wao Arap Kipindupindu 😂
@joykhayega6974
@joykhayega6974 Ай бұрын
Exactly ruto applying Museven tactics in kenya ​@@MuniraShughuli-kc7vj
@FredrickcEmase
@FredrickcEmase Ай бұрын
Politics brokers Waanguke nayo!😡😡
@antoooa8664
@antoooa8664 Ай бұрын
Hao si Gen Z. Please Gen Z don't do that crap. Those were ODM goons
@mboyamulati-ls1cu
@mboyamulati-ls1cu Ай бұрын
Raila shame on you, and ODM for betraying Kenyans.
@morrismuthui955
@morrismuthui955 Ай бұрын
True Conman Raila Odinga has sunk with UDA!
@maina2924
@maina2924 Ай бұрын
Conman Raila betrayed everyone including Gen z and his party azimio for nusu mkate no wonder this man will never be president of this country
@PreciousJ-ur9ou
@PreciousJ-ur9ou Ай бұрын
Hakuna mazungumzo na UDA
@immaculatemushira8192
@immaculatemushira8192 Ай бұрын
Raila naye na mazungumzo ya nini kwani hasikii watu wamekataa mazungumzo,wale wa tamaa wataingia cabinet tunawangoja huku nje
@yussufhaji460
@yussufhaji460 Ай бұрын
End of Azimio coalition . That was Raila goons.
@vincentkimutai5097
@vincentkimutai5097 Ай бұрын
Wueh, waombezi tuombee Kenya ,mambo mengi yasiyo mazuri yanaendelea
@wafabian8116
@wafabian8116 Ай бұрын
Very true darkness has cooked tukilala tutalaliwa na mapepo
@mytraveldiaries7733
@mytraveldiaries7733 Ай бұрын
Nusu mkate kila wakati watu wakifa. Watu wamekujua sana Raila. Enda saidia Ruto kushika damu
@FredrickcEmase
@FredrickcEmase Ай бұрын
Waanguke nayo... political brokers
@user998-q3s
@user998-q3s Ай бұрын
😂😂😂yes my people ....we don't need them .. hawa wazee bure kabisa
@francismulatya4298
@francismulatya4298 Ай бұрын
Raila and ruto are unfit to hold public office. Anguka nayo
@alexolelaba6118
@alexolelaba6118 Ай бұрын
Dialogue is the best achievements of GEN Z one's they missed that chances the government will used dictatorship systems then kenya to be like other dictatorship country with this president for life
@joykhayega6974
@joykhayega6974 Ай бұрын
We are going the uganda way,,ka tunalipishwa I'd same as Uganda and ruto n friends na M7 basi ndo hvo
@clintonadendi964
@clintonadendi964 Ай бұрын
You are reasoning as if you still live in the Stone Age period when education was executed around a burning fire with an old grey haired mzee masquerading the teacher.wake up, we are past that and ruto MUST listen to GEN z
@jamachakos5517
@jamachakos5517 Ай бұрын
We are watching come 2027 rutoraila wote nyumbani
@enestineJebotip
@enestineJebotip Ай бұрын
Nonsense utaonea viusasa
@petermwangi648
@petermwangi648 Ай бұрын
Those were Raila goons..
@GodwinI-f1x
@GodwinI-f1x Ай бұрын
Hio chuki yenu, uzuri imefika mwisho.
@user-it7gx9jn5i
@user-it7gx9jn5i Ай бұрын
True
@abubakarbwika8397
@abubakarbwika8397 Ай бұрын
Very True
@wabannah9009
@wabannah9009 Ай бұрын
​@GodwinI-f1x "The fact remains those were "Raila Goons"!!![Miguna Miguna has been consistent that "Raila is a "Conman"!!!.
@candymarova3568
@candymarova3568 Ай бұрын
Mnakasirika nini na hawa watu wanafightia CS position😂😂hakuna politician mzuri
@erickanyugo3253
@erickanyugo3253 Ай бұрын
Hiyo ni nzuri.
@jonathanthuva190
@jonathanthuva190 Ай бұрын
Kalonzo bure kabisa
@jonathanthuva190
@jonathanthuva190 Ай бұрын
Hakua anajua raila ni Nani kesho atatolewa nguo Akiona kalonzo uyo
@jonathanthuva190
@jonathanthuva190 Ай бұрын
Men in black good 👍
@wairimumary
@wairimumary Ай бұрын
Raila ni shetani tu amezoea kufanya bishara na wajaluo na some Kenyans in general, I am regretting why I have been supporting him all those years 😢.
@didine_cocotte
@didine_cocotte Ай бұрын
Bite your tongue👆unatusi RAO KAMA NANI🤔
@petronillahosoro4828
@petronillahosoro4828 Ай бұрын
Jinga hii si ulipigia ruto kura
@vivianawuor5185
@vivianawuor5185 Ай бұрын
sure ni wakikuyu ndiyo wajinga , Uhuru lied eti wanjinga wamaeisha, Kumbe okuyu wajinga ni 98 percent. After voting tena eti Ruto must go. Now they are tired of using wheelbarrow and living hustler life, na wakaelewa bottom up ni nini? Kumbe it should be top bottom
@wabannah9009
@wabannah9009 Ай бұрын
​@@GodwinI-f1x"Raila is a conman as stated by "Miguna Miguna" several times"!!!.
@obby_13
@obby_13 Ай бұрын
Atii kilaa mtu injee😂🤣🤣..things will get messy soon
@Vincent_worldusa
@Vincent_worldusa Ай бұрын
Raila amefanyia watu wake ile kitu 😂😂
@erastuskwakaoluoko8687
@erastuskwakaoluoko8687 Ай бұрын
politix politix, we are focused on gen z and no azimio......whatever it is, haitarudisha cost of living chini
@mkenyamjeuri5990
@mkenyamjeuri5990 Ай бұрын
If this is the trend moto itawaka sooon
@elphaswanjala5125
@elphaswanjala5125 Ай бұрын
Let's get to our knees and pray for our country
@GGTOPUPDATES254
@GGTOPUPDATES254 Ай бұрын
mchimba shimo huingia mwenyewe...what goes around comes around
@Kenyan_Duke
@Kenyan_Duke Ай бұрын
Ruto using Raila😢😢😢
@morrismuthui955
@morrismuthui955 Ай бұрын
Yes, sinking
@hazeljelimo5995
@hazeljelimo5995 Ай бұрын
kwani raila ni tissue
@wabannah9009
@wabannah9009 Ай бұрын
​@@hazeljelimo5995"Raila" is a conman as stated by "Miguna Miguna " several times"!!!.
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Ай бұрын
Very good.jiikizeni nanyu
@georgebenard2114
@georgebenard2114 Ай бұрын
Kenya kweli saai tumefika si kuzuri tena
@TradeIQ_Profits
@TradeIQ_Profits Ай бұрын
kila mtu nje alaaa,kwani hamskii!!!Siasa Kenya ni nipe nikupe🤣😂😂😂
@ianbaraka6005
@ianbaraka6005 Ай бұрын
raila ni msaliti
@wabannah9009
@wabannah9009 Ай бұрын
​@@gulftranspoters1762"Raila is a conman as stated by "Miguna Miguna" severally.
@susanmwikali3437
@susanmwikali3437 Ай бұрын
Wuee!....yaani...tunaomboleza uku tunacheka...wueeeh..my ribs ooh
@user-kf5vo6qp2r
@user-kf5vo6qp2r Ай бұрын
Ni kwa sababu nyinyi ni opportunists. You think because Ruto must go you will fill in the gap. I still would prefer Ruto. Kwanza wewe baba unanunuliwa ovyo ovyo kama bei ya jioni. Na wewe uko kwa serikari kati kati.
@BeatriceOenje
@BeatriceOenje Ай бұрын
Correct
@JosephKisyula-ej4bd
@JosephKisyula-ej4bd Ай бұрын
Wewe Raila heshimu Kalonzo Musyoka
@jacobonditi
@jacobonditi Ай бұрын
I knew that once they finish with Yes people, the genzs would turn to the No guys 😢
@user998-q3s
@user998-q3s Ай бұрын
Yes hatuwataki
@odhiamboomolo464
@odhiamboomolo464 Ай бұрын
Hao sio GenZ.... Read in between
@user998-q3s
@user998-q3s Ай бұрын
Wewe kwenda
@wabannah9009
@wabannah9009 Ай бұрын
"Raila is a "Conman" as stated severally by "Miguna Miguna"!!![End of Raila"Politically speaking"!!!.
@user-yj7vu1oe7j
@user-yj7vu1oe7j Ай бұрын
Wanjaluo wacheni unjiga sisi kamawakaba tunawagonja vimbaya sana , tumewanjua
@yufusmalika8339
@yufusmalika8339 Ай бұрын
Nyinyi n wazaliti, mulikua wapi before Gn-z?
@Dj_1MAA
@Dj_1MAA Ай бұрын
Wajaluo ndo wanaletanga violence kwa maandamano
@planb6078
@planb6078 Ай бұрын
Vijana viva
@amanijuma4484
@amanijuma4484 Ай бұрын
Sasa awa kina raila na kalonzo wakuta washapata njia ya kuingia kwa serekali pumbavu sana awa
@washingtonochanda4527
@washingtonochanda4527 Ай бұрын
😂😂😂 kila mtu njeeeeeeeee NO DIALOGUE WITH ZAKAYO
@joykhayega6974
@joykhayega6974 Ай бұрын
Noo hii n mpango wa ruto to divide Azimio,,
@user-if7ti3rn3u
@user-if7ti3rn3u Ай бұрын
Genz Government at works. Huwezi mshawishi nyani hasali ni tamu kuliko ndizi, Kalonzo ni vazi umebadilisha lakini wewe ni ule kalonzo.😅😅
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 Ай бұрын
Those saying hawa ni goons wa Raila then hamjui wanasiasa vizuri..Hii ni game ya Raila na Kalonzo..politicians will always be politicians. Umeona kama Kalonzo na watu wake wameshtuka kweli? Ni game
@joeukim2173
@joeukim2173 Ай бұрын
End of azimio
@planb6078
@planb6078 Ай бұрын
Nice one
@solomonamenkaraniamen9713
@solomonamenkaraniamen9713 Ай бұрын
Iyo sauti niyawajaluo nawametumwa naviongozi wa ODM, naeza advice kalonzo pia yeye aingia nakichwa namkia then badae raila ataanza kupigwa vita kalonzo abaki hapo akikula kapsaa viongozi wa ODM, waanze zile zao zawatermelon,blablabla msaliti sai tushajua nani niwatermelon na msaliti ,raila hajaqualified kukua kiongozi ,ajope mfano naviongozi wakiislamu ,ama wa europe,
@user-dt9ql3sz9j
@user-dt9ql3sz9j Ай бұрын
Aaaaaii😅😅😅 hapana kwani hawananga securities
@LinetKawaka
@LinetKawaka Ай бұрын
Halafu wanapewa 1k kuvurugisha
@africanculture1992
@africanculture1992 Ай бұрын
Those are not Nenz but Ruto paid goons
@86wasa
@86wasa Ай бұрын
everything is Ruto, next you will be saying you wife belongs to Ruto😅🤣😂
@Patoh254Somie
@Patoh254Somie Ай бұрын
Hii jinga ata type imeleta noma hajielewi
@joykhayega6974
@joykhayega6974 Ай бұрын
I support you,,achana na hawa shallow minds,,we know who is advising ruto,
@TradeIQ_Profits
@TradeIQ_Profits Ай бұрын
Huyu amezoea Ruto kila saa...Utahara na useme ni Ruto
@brianwilly-yj3od
@brianwilly-yj3od Ай бұрын
​@@TradeIQ_Profitskwani ni wenyu
@doctor-xjjjjjjjij
@doctor-xjjjjjjjij Ай бұрын
Watu waende inje😂😂
@AishaOmaromar-w2t
@AishaOmaromar-w2t Ай бұрын
Wame lianzisha wacha na ss gen z tuta maliza twende nalo
@MwamudKongan-vs9gr
@MwamudKongan-vs9gr Ай бұрын
Wacheni Kucheza na akili zetu wakati kalonzo alipita katikati wakenya wangapi walikuwa wamekufa ama hiyo wakati wenye walikufa hawakuwa watu
@mainakihurusia6380
@mainakihurusia6380 Ай бұрын
Niliisema wasee wanataka advantage ya maandamano kuna wezi pia wanaaiba juu kuna maandamano na hawa wengine saasa wanataka kupata viti juu GNz wameandamana 😂😂😂 hawa na hao goons wanaibia watu ni same thing kabisa
@Ruthkasimu
@Ruthkasimu Ай бұрын
Hakuna mazungumzo tumekataa kabisa
@DavidNGEI
@DavidNGEI Ай бұрын
Anguka nayo😅😅😅😅 asentini sana Mungu awabariki
@cyrusck-zh5kz
@cyrusck-zh5kz Ай бұрын
Gen z wanaendelea kumaliza nchi
@jonathanthuva190
@jonathanthuva190 Ай бұрын
Baba ndio kusema
@user-ij3qg7eb5q
@user-ij3qg7eb5q Ай бұрын
The biggest problem of asimio is the language and dirty arrogant talk and actions from_ members
@saviourakochil
@saviourakochil Ай бұрын
Wagwan gen z
@user-ij3qg7eb5q
@user-ij3qg7eb5q Ай бұрын
When will the river lake nilotes learn ?.their like s are not kenyans.
@KelvinOuma-ib2dj
@KelvinOuma-ib2dj Ай бұрын
ATI watu waende aje
@enestineJebotip
@enestineJebotip Ай бұрын
Watermelon hana mwelekeo ptwaai
@molotovcocktail4207
@molotovcocktail4207 Ай бұрын
Stop diverting our attention.Nothing about Raila is peaceful.Nothing.
@badrudindaud1087
@badrudindaud1087 Ай бұрын
Hawa sio Genzy
@obongo96
@obongo96 Ай бұрын
STAGED 100% ndio watafute excuse ya kublqme Gen z na waende kunego na ruto.classic politics
@lemutugi
@lemutugi Ай бұрын
this is cooked. He didn't even know today's date
@DominicKibet-y7h
@DominicKibet-y7h Ай бұрын
I think youths are now utilizing their idle and meaningless time on disrupting everything extending the advantage of finance bill protest
@erickanyugo3253
@erickanyugo3253 Ай бұрын
Mshaanza kuingiza baridi. Ruto must go. Mkitaka kumpea Governor Uasin Gishu we don't care.
@DominicKibet-y7h
@DominicKibet-y7h Ай бұрын
@@erickanyugo3253 Hatukatai we are common wananchi waja tungoje kama hataenda
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Ай бұрын
Hivi nyinyi wakenya hamujui kenya siku zote vijna gani hao waende kuharibu mkutano y raila tena akiwa ndani haha 😂😂 kuna wle watu wa black 🖤🖤 but hio nimpango tuu
@Daguudickson026
@Daguudickson026 Ай бұрын
Conman action
@JM-eo3wo
@JM-eo3wo Ай бұрын
Men in black suits
@barakalonare1422
@barakalonare1422 Ай бұрын
Kila mtu nje
@jotonyae-04
@jotonyae-04 Ай бұрын
Kenya sihami😂
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 Ай бұрын
Kenyans that's Democracy you have?
@viralkenyan6249
@viralkenyan6249 Ай бұрын
Ruto inaonekana ataharibu hii nchi eh.
@user-zu1ug3gn8c
@user-zu1ug3gn8c Ай бұрын
Hapo Sasa aka kamzae ata prezo kataonea viusasa
@francismulatya4298
@francismulatya4298 Ай бұрын
Na raila amekuwa akionea Kwa KZbin
@susankaburu4527
@susankaburu4527 Ай бұрын
Kila mtu out, wamama wame tetemeka, kenya ina wenyewe
@InsideSouthAfrica247
@InsideSouthAfrica247 Ай бұрын
hao wamama karibu wajikojolee....hiyo kutetemeka wametetemeka
@labanitobkala620
@labanitobkala620 Ай бұрын
😂😂😊
@pamelanyandiga4595
@pamelanyandiga4595 Ай бұрын
😂😂😂anguka nayo
@adannoorhassan7888
@adannoorhassan7888 Ай бұрын
This is staged managed by kalonzo and raila. They discussed wataongea na zakayo
@jonahsanga9150
@jonahsanga9150 Ай бұрын
Kalonzo ajue baba ni azimio na Azimio ni baba goons from Odm wanasema kilamtu aende inje na watu wa media watoke inje,kalonzo kimewaramba😂😂😂
@kenyatop-notchnewstv.
@kenyatop-notchnewstv. Ай бұрын
And that's why Raila has been loosing elections.Hii kiburi haiwezi shida kura.can Raila win alone??
@skylarkashery8648
@skylarkashery8648 Ай бұрын
Sa si tafadhali.Bado Sasa kupatana Na Ma gen Z wajaribu kuletea mzae ujinga wataona.
@jacobisrael8236
@jacobisrael8236 Ай бұрын
Waliwezwa
@Paulmuasyaofficial
@Paulmuasyaofficial Ай бұрын
Anguka nayo
@relieverske
@relieverske Ай бұрын
This is a set up
@TJ-gv5bz
@TJ-gv5bz Ай бұрын
Kalonzo ni Kibonzo tu
@casmillyoundo8072
@casmillyoundo8072 Ай бұрын
Its time ruto should deal with them no way they are going to keeo on attacking leaders that is criminal
@JosephMwarabu-y3d
@JosephMwarabu-y3d Ай бұрын
😅😂❤❤
@pilipilikali-di8st
@pilipilikali-di8st Ай бұрын
Yani raila na odm yake wameanza kuona mwangaza, bt kalonzo ndio mwanzo anaingia gizani 😂 pole kalonzo
@FauziaJoseph
@FauziaJoseph Ай бұрын
Awa ndio wanafanyia Kenya ikuee na shida juu awakupata mkate nusu
@wakilisharaw
@wakilisharaw Ай бұрын
Staged
@alextercisio
@alextercisio Ай бұрын
Ruto must go yes but you're not giving the solution who will replace ruto ?? If u can't tell us who u want to replace ruto shut up wait 2027
@giotfcvkkhg
@giotfcvkkhg Ай бұрын
God will provide
@AishaOmaromar-w2t
@AishaOmaromar-w2t Ай бұрын
Hii serekali itamaliza wakenya😢
@mesaidikazungu4299
@mesaidikazungu4299 Ай бұрын
Imeshatumaliza tayari iliobaki ni tuombeni Mungu tu atusaidie.
@AishaOmaromar-w2t
@AishaOmaromar-w2t Ай бұрын
@@mesaidikazungu4299 walai tena 😭
@paparonahtv
@paparonahtv Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Ай бұрын
CITIZEN WANAFKI WAKUBWA NYINYI!! MUMEONYESHA KIDOGO TUU!! INGELIKUA NI YA KK MUNGEIPA 1HR COVERAGE NA HATA KUTAFUTA WALIOLETA RABSHA KUWAHOJI FYOOOOOO!!! AIBU KWENU
@musicmikeish
@musicmikeish Ай бұрын
😂😂😂😂
@alqhaha2393
@alqhaha2393 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@abdullmumtaz7736
@abdullmumtaz7736 Ай бұрын
You mean kalanzo today meet men in black livelive 😂 maajabu..
@TradeIQ_Profits
@TradeIQ_Profits Ай бұрын
🤣😂😂😂
@estherndanu8729
@estherndanu8729 Ай бұрын
Kalonzo has bn perennial disgrace not only to Kenya but also to his community , selfish retrogressive,an hypocrite, opportunist.having served in two past gvts with no development record on the ground what else is he he promising to offer?.he is cursed
@kenyatop-notchnewstv.
@kenyatop-notchnewstv. Ай бұрын
Why can't you lead the community if you believe you are woman enough ?? Kalonzo is our leader and a leader of millions of people. Wewe ni kiongozi wa nani ? Kalonzo leads the third largest party in Kenya .And you?? Usembete muno mbee wa Nissan sya kinatwa .
@bonfacekioko-ph4lb
@bonfacekioko-ph4lb Ай бұрын
Kwany kalonzo ni wenu toka hapa
@estherndanu8729
@estherndanu8729 Ай бұрын
@@bonfacekioko-ph4lb pengine ni wenu
@AnkoLolo-mv5bk
@AnkoLolo-mv5bk Ай бұрын
Sende luanyi
@JamesKinyua-vl3do
@JamesKinyua-vl3do Ай бұрын
Waache kusumbua Mzee...serikal pap
@hazeljelimo5995
@hazeljelimo5995 Ай бұрын
baba hoyee😅😅
@briankitalia8271
@briankitalia8271 Ай бұрын
Men in Black 🖤 hahaha Raila phophiasim
@FauziaJoseph
@FauziaJoseph Ай бұрын
Wanajifanyoa vile wako wwazuri
Wiper Leader Kalonzo Musyoka speaks at Okoa Katiba @14
20:05
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 311
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 16 МЛН
Magic? 😨
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 20 МЛН
Raila aingia serikalini kwa mlango wa nyuma
4:38
NTV Kenya
Рет қаралды 162 М.
Citizen TV Live
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 8 М.
Kenya kushirikiana na Saudi Arabia kuhusu masomo
1:06
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 955
Jeremiah Kioni speaks at Okoa Katiba @14
16:52
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 597
Ex-President Uhuru tells President Ruto to arrest him
6:25
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 591 М.
Former Samburu Governor Moses Lenolkulal convicted of corruption!!
30:00