Ndugu wawili Jamil na Asmal Longton waelezea masaibu waliopitia baada ya kutekwa nyara na polisi

  Рет қаралды 13,773

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Kurejea kwa visa vya utekaji nyara wa wakosoaji wa serikali mtandaoni umeibua kumbukumbu za wale waliotekwa nyara wakati wa maandamano ya vijana katikati ya mwaka huu. Ndugu wawili walikuwa miongoni mwa wale waliotekwa nyara na kuzuiliwa kwa kile sasa wanasema ni vyumba vya mateso. Brenda Wanga alikutana na ndugu hawa Jamil na Asmal Longton na kuzungumzia walivyotekwa kwa siku 32

Пікірлер: 72
@JC-nw3rr
@JC-nw3rr 19 күн бұрын
Kenyans am very sorry for voting him in ......now i know what we voted in
@RealJohn-g7f
@RealJohn-g7f 19 күн бұрын
William Ruto is a replica of Moi. 😢😢
@nelsonkiiru7252
@nelsonkiiru7252 19 күн бұрын
Even worse!
@bettykaguri2904
@bettykaguri2904 19 күн бұрын
Moi was better
@mosesnderitu-kh5gz
@mosesnderitu-kh5gz 19 күн бұрын
Moi era is back
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 19 күн бұрын
then RUTO keeps saying they are not abducting People....
@Gffry9520
@Gffry9520 19 күн бұрын
Poleni sana !
@mosesnderitu-kh5gz
@mosesnderitu-kh5gz 19 күн бұрын
Poleni sana Kenyans we have to take our Kenya back we can't accept adaption broad day
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 19 күн бұрын
Mungu ndio atakae mtosha Ruto wallah nimejikuta nalia najuzi vijana mwengine nao wametekwa🤔😔😭
@chickynuggies2739
@chickynuggies2739 17 күн бұрын
Ruto anarudi Tena 2027, wewe endelea kungoja mungu haexist 🤣🤣
@Sage-o4q
@Sage-o4q 18 күн бұрын
Zakayo must goooooo
@gracegathuru5741
@gracegathuru5741 19 күн бұрын
So so sad😢
@okindovictor586
@okindovictor586 19 күн бұрын
Bora hamkuuliwa bros. Uhai ni kitu ya maana sana hii dunia. Just heal and move on be prayerful and all shall be testimony to your great great grandchildren
@Elikate2024
@Elikate2024 19 күн бұрын
And this is in Kenya under the reign of president Ruto and when he is compared to Moi you say we are tribal. We need change
@alexmogusu2337
@alexmogusu2337 19 күн бұрын
Mungu wa mbingi awe na nanyi melele na melele pole kwq mateso
@ShisShiks
@ShisShiks 18 күн бұрын
Ni kumaanisha polisi ndiyo hushika watu na kuwaua na kuwatupa
@orianagaiko8971
@orianagaiko8971 18 күн бұрын
Moi ...Ruto...kalenjis si ata nyinyi munaona si kuekelewa ..i know ata nyinyi mnakapitoa no vote for you again
@AtifaIslam-t6g
@AtifaIslam-t6g 19 күн бұрын
Sibhanallah yarab mungu wangu si ao wanao teka watu mungu uwangamize viongozi muko wake mlienda bunge nyote kumtoa gachagwa mbona msiandamane kwa hili mambwa nyinyi
@nelsonkiiru7252
@nelsonkiiru7252 19 күн бұрын
So terrible!!
@godblessyoumheshikieru6503
@godblessyoumheshikieru6503 18 күн бұрын
Woiye and this young looks hana nguvu,God have mercy to your children
@bensonngichabe946
@bensonngichabe946 19 күн бұрын
Anaenda kanisa ety bwana yesu asifiwe,na kubeba pesa kwa kunia.
@johnburugu8706
@johnburugu8706 19 күн бұрын
I'm kinda frustrated why Kenyan human rights organizations and the victims of this rogue regime are not taking these issues with international organizations, they need to document and record all these violations, so that ruto and his rogue thugs can be held accountable for their evil
@rayanjoseck4458
@rayanjoseck4458 19 күн бұрын
Someone really warned us but we didn't listen but went ahead and said,hatupangwingwi
@muhmuhsini005
@muhmuhsini005 19 күн бұрын
Inaskitisha sana lakini Mungu yuko atawalipia kama vile aliwaokowa atawalipia
@zionlady1052.
@zionlady1052. 19 күн бұрын
Weee this guy has copied MOI exactly. Thats how moi did to raila. Not reapeting the same mistake again 😮. Rutos silent on abduction speaks it all.😮
@AhmedUgas-d3l
@AhmedUgas-d3l 19 күн бұрын
Ruto must answer
@stanleynyangweso4485
@stanleynyangweso4485 19 күн бұрын
Alafu utaona ruto church...bure kabisa
@Forhumanity-r7x
@Forhumanity-r7x 19 күн бұрын
So painful
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M 19 күн бұрын
Ata haki yenu ikikandamizwa, juweni siku ya qiama haki yenu mtaipata juu hawa mafethuli hawana habari ya qiama Dunia imewakupaza macho
@nyamwangierick2820
@nyamwangierick2820 19 күн бұрын
Noma zana but uyo mtu mungu amuonekanee
@alvinzack
@alvinzack 18 күн бұрын
"Victims are like alarm clocks - they keep waking us up, even when we just want five more minutes of ignorance."
@jaymolegit
@jaymolegit 19 күн бұрын
This is very wrong
@Mesave234
@Mesave234 18 күн бұрын
So sorry, May God provide for all your needs
@karanjakayvoh5791
@karanjakayvoh5791 19 күн бұрын
We will revisit once kasongo is out of power...Kenyans should remember their names violation of rights of Kenyans is imoral
@Daguudickson026
@Daguudickson026 18 күн бұрын
Eish 😢😢, jameni are we in 21st century or colonial era
@olivermuthoka5587
@olivermuthoka5587 18 күн бұрын
They will not rule 4rever
@Arapkim
@Arapkim 19 күн бұрын
Siamini ni watu walipigia uyu kura
@adamjaama9613
@adamjaama9613 19 күн бұрын
Alieba kura@arapkim
@rosenielsen3669
@rosenielsen3669 19 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢
@ajjruu5390
@ajjruu5390 19 күн бұрын
But this is bad, baby boy always 🥺
@ickymicky6830
@ickymicky6830 19 күн бұрын
Wengine wasome na hawa
@goodday1101
@goodday1101 19 күн бұрын
Hii town wash wash ni mingi,are you sure police are abducting them?
@thukusimon
@thukusimon 19 күн бұрын
It is not worth it kupigana na serikali manze especially kama.wewe si activist ama NGO. Achana nayo tu ju utaumia.haijai isha poa from akina Matiba,Raila na raia wengi walipotelea.Anyway we are thankful to those who sacrifice themselves for us
@matts6894
@matts6894 19 күн бұрын
SIt on the fence quietly
@matts6894
@matts6894 19 күн бұрын
This is wrong in all ways
@victorochieng3979
@victorochieng3979 18 күн бұрын
You're encouraging this shit
@ahmedbadi5822
@ahmedbadi5822 18 күн бұрын
Wewe akili umeikalia, it's not wrong kukosoa serikali stop being an illiterate
@samsonmuisyo6990
@samsonmuisyo6990 19 күн бұрын
You attack the KK government prepare to pay the price..
@nyamwangierick2820
@nyamwangierick2820 19 күн бұрын
But bro wanatundia maisha bro si wezi
@heinrichschnitzel7032
@heinrichschnitzel7032 18 күн бұрын
Jamani ruto i dont have respect anymore those people who are doing this hata way wako na Family stop killing young kenyans
@KaraniBonge
@KaraniBonge 19 күн бұрын
Midomo na tabia mbaya itawaisha
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 19 күн бұрын
Hujielewi, wapi hio tabia mbaya? ... Ama unalipwa na wewe kuitetea serikali?
@hakimkhamis-b8f
@hakimkhamis-b8f 19 күн бұрын
Uyu ndo yule kibonge alikua akiwachapa
@Elikate2024
@Elikate2024 19 күн бұрын
Shame on you. May be they will come for you tomorrow
@buzzafrique3700
@buzzafrique3700 18 күн бұрын
We ni kumbaf
@andrewmusa-x1z
@andrewmusa-x1z 18 күн бұрын
walijifanya kujua sana kikawaramba.vijana wa kenya wana madharau sana kwa wakubwa wao.wamekalia wazazi kwa kichwa
@KaraniBonge
@KaraniBonge 19 күн бұрын
Toeni elimu kwa wajinga wengine kama nyinyi
@JobKeter
@JobKeter 19 күн бұрын
That is arrest nothing like nyara
@Arapkim
@Arapkim 19 күн бұрын
Wewe ni mkalee
@alisoncarol8504
@alisoncarol8504 19 күн бұрын
Jinga hili.
@JobKeter
@JobKeter 19 күн бұрын
@@Arapkim nawewe ninj arap
@victorochieng3979
@victorochieng3979 18 күн бұрын
Of course Keter amebebewa Akili
@buzzafrique3700
@buzzafrique3700 18 күн бұрын
Kalenjinga
Jamil and Aslam Longton narrate painful ordeal in the hands of abductors
6:16
Russia expelled from the military base / A stab in the back
12:49
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.
Война Семей - ВСЕ СЕРИИ, 1 сезон (серии 1-20)
7:40:31
Семейные Сериалы
Рет қаралды 1,6 МЛН
⚡️NEWS | RUSSIA BOMBING RUSSIA | KNIFE NEAR MOSCOW | PURGES AT GAZPROM | HOSPITAL FIRE
4:46
Buurta Dahabka ugu weyn ee aan Booqday - I visited the Biggest Gold Mountain in the Country
17:25
Activist Booker Omole claims he is being targeted by abductors
3:57
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
MASHUHUDA WA TUKIO LA MAUAJI YA ASKARI DAR
4:38
TBConline
Рет қаралды 231 М.
Tracy Nyariki’s family seeks justice over her killing in the US
4:30
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 50 М.
Caroline Mutai demands release of her two sons
4:29
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 27 М.
FORMER MP KIMANI NGUNJIRI SHOCKS THE WHOLE NATION WITH HIS EXPLOSIVE REMARKS!
46:25
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.