Mr. William Ruto must step down to maintain peace what will profit you for killing your own people, remember you will not live forever
@dorcusnashimiyu3 ай бұрын
Hawa ma police hawaezi kuua Kenya mzima ile tunataka ni haki yetu, Ruto atoke kwa kiti na watu wake au afanye vile wanainchi wanataka
@FauziaJoseph3 ай бұрын
Atoke ukujje kukalia mwizi wewe
@songahassan84222 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ TV @@FauziaJoseph
@michaelolango73472 ай бұрын
@@FauziaJoseph ni mwizi gani atakalia?
@mbatiajimmy50663 ай бұрын
KDF are human beings too and they understand what Ruto has done to the country. The military is also subject to court martial laws and they will not allow Ruto to set them up against the citizens of Kenya. As such they will act with professionalism and great restraint when dealing with innocent Kenyans.
@FauziaJoseph3 ай бұрын
Hii ni Roho ya kifo imetumwa Kwa watoto wetu wasazi karni Kwa maombi juu si Ruto peke yake nitangu wakati wa Kenyatta, nimanthambao kutoka 1963 funjeni hii manthambao, ata mwingine akikali wimbo itakuwa ni hio tu.
@gertrudemwashuma79223 ай бұрын
Wasema uongo,mbona wengine walichaguliwa na hawakuwa na pesa kama JICHO PEVU,alikuwa hana chochote na alichagilia kwa sababu alikuwa akifichuwa wanao fanya maovu na waliokuwa wanafanya magendo.Mbona amejiweka kwa group ya YES badala ya NO?????
@jumamnyeto84983 ай бұрын
Huyo unaesema alichaguliwa bila pesa Muhammed Ali Jicho pevu, baada yakupata saa hii unajua ameiba ngapi?Hizo ndizo pesa wanaweka kuja kufanyia kampeni 2027.Hawana hakika yakurudi.Muhammed Ali Sio jicho pevu tena.Yeye anaitwa Jicho pesa.
@charlielamsa95003 ай бұрын
Why should police go to places where kenyans are doing their things Police should go to where crime is taking place
@TBAREPROPERTYMANAGEMENTAGENCYL3 ай бұрын
KDF wameonyosha nidhamu ya Hali ya Juu sana
@nicko68023 ай бұрын
Spending audits are a must (by independent auditors) ...to ensure that the budget is implemented as planned
@carendoraany3 ай бұрын
Kenya is NOT a religious state
@OnesmoEphrata3 ай бұрын
Ni sawa wananchi wana wapenda wanajeshi wao ilaah kitu ambacho hawato taka kukiskia ni habari ya zakayo
@EDWARDZIRO-v2l3 ай бұрын
Ruto,sijui tatizo liko wapi kwa sababu wakati wa kibaki shule zilikua bure na vitu kwa maduka zilikua cheap lkn saa hii lahaula kila kitu juu,eti kuna nyumba hata kila mwezi nakatwa pesa ya nyumba ili hali sijui imefikia wapi wala iko wapi hii nihaki kweli?
@maryjones35233 ай бұрын
Ruto is a Narcissist period, am sure the order came from Above...... hmm 🤔 🤯
@jerushasaul22113 ай бұрын
Rashid tumechoka na hawa mashetani
@FauziaJoseph3 ай бұрын
Vile munaendelea na kuaribu ndio vitu sinaendelea kupanda maandamano ya kuaribu mali ya watu nauizi mungu anawaona nyinyi viongozi wale mmutuma watoto wetu
@goyeepastorisaac84643 ай бұрын
Amani Kenya,wazalendo wote ..
@MargaretOmondi-pf3uz3 ай бұрын
Wana nchi pia wajaribu ku achia polisi upande yao vile wameachiwa. Waache matusi.
@ALI-r5i9e3 ай бұрын
0:45
@WambuaTeresia3 ай бұрын
RUTO Yale umepanya sasa ni tosha Kwa heri byebye Umeua nikama wewe sio binadamu Kwa heri na police wako Nikama wewe ujasaha?
@maryjones35233 ай бұрын
Hmmm they need to stay away
@susantamba1473 ай бұрын
This's Pastor Ezekiel 's prophecy 😮 Mungu akamwonyesha vijana on the streets wakiendea Sakayo na wanajeshi kwa ulinzi mkali😱
@loner_wolf3 ай бұрын
Ulinzi nao tatzo
@Musa-q9p3 ай бұрын
❤😂😢😮😅
@CarolineAdhiambo-zk3ct3 ай бұрын
Sedia.eolamo.tokasomo
@alicegachoka91473 ай бұрын
Let leaders attend service in their respective local churches.
@Nora-v1m3p3 ай бұрын
Mungu wangu wakenya n wakenya kweli kizazi kmpya kimezenduka
@GeorginaKeya-pq9vx3 ай бұрын
GenZ wanatosha kuwa military Wa kenya,
@dorahy15793 ай бұрын
Siyo Kenya peke yake, hawa bullies wako kila mahali Africa
@bmarykimani33833 ай бұрын
Ruto and duale have just given the Kenya army an idea
@OsagaMercy3 ай бұрын
Ruto must go
@habviral223 ай бұрын
Ruto must go then peace comes from the people of Kenya 🇰🇪
@dorahy15793 ай бұрын
Msiogope , hawawezi kuua million 40, kuna watakaobaki, tafuteni heshima yenu, haki yenu, mnaumizwa na kufharauriwa na nyinyi ndiyo wapiga kura.
@BonfaceKivanguli3 ай бұрын
Xawa tujikaze
@dorcusnashimiyu3 ай бұрын
Hawa viongozi shida ni wanatumia uongo kwa mwananchi , wakipewa kiti Wana sahau ule aliwapea nafasi
@WesleyChelule-zy9ii3 ай бұрын
KDF are friendly with citizens a lovely this peaceful demonstration.But where there is police there is No peaceful demonstration
@GeorginaKeya-pq9vx3 ай бұрын
Exactly
@mikewatson49383 ай бұрын
This Kenya president William must take care of his people first before going to Haiti let Joe B help the Kenya economy since he’s fighting for him
@RuguruElizah3 ай бұрын
Wasiwaue watoto wanatetea haki yao
@jeffchurum14313 ай бұрын
Look at how Nairobi CBD has depreciated completely lost value over a period of time. Unmarked roads, poor drainage, unkept walk paths, filthy, dirt, no traffic lights and no barriers people cross all over, unkept building and shops. It resemble ruins. Does the governor even see this as he moves around? What is he proud of for real?
@Nora-v1m3p3 ай бұрын
Viogozi wako kw maslahi yao tu wanainchi wanateseka maisha magumu kenya
@LornahWamalwa-c3k3 ай бұрын
Aky n kunoma
@maryjones35233 ай бұрын
Why is the Army there
@jerushasaul22113 ай бұрын
Rashid tumechoka na hawa mashetani
@kiwelusaba16833 ай бұрын
SKIA HUYU MZEE ANAONGEA UJINGA, ETI YOUTH WAKO KWA BARA BARA JU HATUJA FUNWA KUJITEGEMEA!!!! PESA ZINA IBIWA NIKUJI TEGEMEA, KAMA KAZI ZINGEKUWA NA KUNA IBIWA TUNAFA KUNYAMAZA!! GENERATION BOOMER TOKA HAPAAA
@loner_wolf3 ай бұрын
Bongo kelele kama hzo huwazipo uwanja wa football tu ....... serikali ya kenya ijifunze kuinua michezo kwa kufinance ili vijana wasifikilie siasa tu muda wote .... kenya kila mtu mwanasiasa khaaa😅😅😅
@GeorginaKeya-pq9vx3 ай бұрын
Mungu azidi kuwapa Hawa kdf moyo huwo wa upendo kwa vijana wetu I congratulate KDF for being friendly to our GenZ
@khalfanallamki10933 ай бұрын
2:08 😮😮
@GriniasWanyonyi3 ай бұрын
Uongozi si kuwafanya makabila na mipaka,kufinyilia watu kwenye ukuta
@msafirisaimoni95613 ай бұрын
Watu wengi kuliko Polis wananchi wakikata hakuna mtu anaweza saidia watu walipwe pesa
@Iniry3 ай бұрын
Imagine you have no food, hujalipa rent for a year yet omanga, Karen nyamu, sudi, are bragging away and arrogance. We want this people bank accounts frozen
@MargaretOmondi-pf3uz3 ай бұрын
Wana nchi pia wajaribu ku achia polisi upande yao vile wameachiwa. Waache matusi.
@gorillamaniamnotatrollimju84083 ай бұрын
Kenya needs a great leader like president Ibrahim Traore of Burkina Faso
@josephkitheka82043 ай бұрын
Rebal formations start this way and deployement of KdF in such a manner can lead to possible coup detat
@skrillertv3 ай бұрын
kwani media yenu haiezi cover our officers in haiti
@stevekioi20443 ай бұрын
They should first be warned not to step into churches and say anything politics
@jackiel27983 ай бұрын
If that how the churches think in Africa 🌍 We will never move forward has a Continent
@maryjones35233 ай бұрын
This prezzo needs to resign period.....
@husseinbakromar58653 ай бұрын
Tunafaa kuiga jirani Tanzania maendeleo na Amani Kenya kizungu mingi wanao elewa ni wachache Kiswahili kidumishwe ndio wanainchi wote waelewe tuache ukabila ubinafsi uwizi ufisadi kila siku kubadilisha majina ya vyama ila waizi ni wale wale mungu anawaona
@MamaSamKK3 ай бұрын
KDF are not bad as i see, police ndio wajinga. Gen- z to work with KDF
@JaphethAbuga-s3u3 ай бұрын
huelewi kdf wewe
@nonimburu30563 ай бұрын
I don't blame you!!
@MamaSamKK3 ай бұрын
@@JaphethAbuga-s3u nawajua, they act if you provoke them.
@SilaMuyekho2 ай бұрын
We want changes from today we won't beg you ruto
@nimcoahmed5363 ай бұрын
You have a right to protest but Stop lauding
@DancanOuma-sj2th3 ай бұрын
Pamoja dyo guvu
@alicegichuki29493 ай бұрын
Seriously ??from your mouth for real?
@skrillertv3 ай бұрын
how do you cross lanes like that
@artisthusnatalal30993 ай бұрын
*Chukueni hao vijana wakue wanajeshi wako wengi sana.🧐😱 Walipeni kidogo kidogo kuliko warande rande barabarani wakiwa hawana kazi*
@BonfaceKivanguli3 ай бұрын
Ata akileta kale n poa 2
@aishamaulid23583 ай бұрын
Yaani wale ma actor wa Hollywood fast and furious....mission impossible... transporter....van dame....Rambo...chuck Norris wawe team Moja safi sana wakuje wapige high jack zakayo na wabunge wake wote jamani....this is too much for us....I wish to go back home but now I don't even wish i just want to bring all my family here abroad we husler here
@EugeneWamalwa-fb8jv3 ай бұрын
Yeah
@NaomiGikwa3 ай бұрын
Hawezi kuongea ju wamepiwa pesa
@BonfaceKivanguli3 ай бұрын
Ukwli lakn mungu yupo
@dorahy15793 ай бұрын
Mdogo hope, hawawezi kuua million 40, kuna watakaobaki, tafuteni heshima yenu, haki yenu, mnaumizwa na kufharauriwa na nyinyi ndiyo wapiga kura.
@paulirungu87723 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅 39:43
@paulirungu87723 ай бұрын
😊
@VistoantonioBasqueureña3 ай бұрын
✌️💖
@LilianmongiOrwa3 ай бұрын
Ruto must go
@elkiq953 ай бұрын
Farouq Kibet, Aden Duale and William Ruto must resign
@Beingme20243 ай бұрын
Immediately
@mildredmuhonja14783 ай бұрын
8:53 😊 8:54
@TBAREPROPERTYMANAGEMENTAGENCYL3 ай бұрын
Appeal ya wakenya kupitia Gen z. And President had our appeal let now go back & build our country without exorbitant Taxes that are discriminitive to development of Our country as result of chasing and scaring Investers a way who are vital to build our Economy that end up giving Job to young and build Mama mboga and others level of traders.
@rahmaabdul33933 ай бұрын
Ww rashidi umehongwa ama 😢
@DancanOuma-sj2th3 ай бұрын
Vijanaa tutasinda sakayo atasuka
@nemuelombasa88103 ай бұрын
Congratulations oyonka
@bshess3 ай бұрын
❤❤ more love the peoples power
@JaneAmboga3 ай бұрын
Waa
@JaphethAbuga-s3u3 ай бұрын
ukweli upi?
@antotamasha33493 ай бұрын
vijanaa tuzidi
@silaokal20743 ай бұрын
Kama polisi wameshindwa na wananchi Basi wameenda Ahiti kufanyaje???😂😅😢😊
@michaelmulinge68203 ай бұрын
All this is going is being sponsored by Uhuru Kenyatta and the rich kikuyus to return presidency to them endeleeni tu kuchenza ngoma yao na hawana aja na nyinyi
@Justampleboy3 ай бұрын
Akili potovu..are they the ones who drafted the finance bill?