Zaidi ya familia 50 kutoka Kaptembwa zahamia kanisani baada ya nyumba wanakoishi kupata nyufaa

  Рет қаралды 78,626

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Huku taifa likizidi kushuhudia Mafuriko ambayo yameathiri shughuli za kawaida ikiwemo vifo vya watu zaidi ya 257, katika kaunti ya Nakuru eneo la Kaptembwa familia zaidi ya hamsini zililazimika kulala kanisani baada ya nyumba wanakoishi kupata nyufaa na shule kadha kujaa maji. Evans Asiba Yuko katika kanisa moja eneo la kaptebwa ambako wathiriwa wanasitiriwa na anaungana nazi mubashara kwa taarifa zaidi.

Пікірлер: 35
@stellahokworo3947
@stellahokworo3947 4 ай бұрын
Kenya 🇰🇪 tuombe mungu aturehemu sana tumemutenda dhambi mungu
@johnonkoba740
@johnonkoba740 4 ай бұрын
Mvua ikinyesha mnamlaumu Mungu! Kiangazi jua kali ikikuja mnamulaumu Mungu! Watu. Watu. Binadamu. So mnatakaje!!!!! Binadamu! There's time and season for everything. Shukuru Mungu kwa kila jambo. Mvua ni ya Mungu. Kiangazi ni ya Mungu. Watu ni wa Mungu. Majira na yakati ni ya Mungu.
@mercyyoutubecheptoo9144
@mercyyoutubecheptoo9144 4 ай бұрын
So sad. Are they still opening schools.
@mercyyoutubecheptoo9144
@mercyyoutubecheptoo9144 4 ай бұрын
Families are struggling. Hope the government will assist. Thanks
@aheudit
@aheudit 4 ай бұрын
Compare how floods are being handled in Brazil and Kenya, you see the government presence (army) they even have a boardroom for all stakeholders, but in Kenya it's about the UDA regime and Azimio.
@wizhelp1523
@wizhelp1523 4 ай бұрын
UDA is messed up and so is AZIMIO. Both are politicizing the issue of flood to gain supporters.
@marymwai4072
@marymwai4072 4 ай бұрын
All money has been eaten. They are riding behind red ❌️..kk government is Kenya red Cross ❌️
@trixieke8462
@trixieke8462 4 ай бұрын
Azimio is not in government are you crazy😅
@TimaMohammed-pn9eh
@TimaMohammed-pn9eh 4 ай бұрын
Poleni sana
@stellahokworo3947
@stellahokworo3947 4 ай бұрын
Wajana na mambo na poor drainage kenya tuombe sana
@johnonkoba740
@johnonkoba740 4 ай бұрын
Wewe sasa unajielewa kweli!! God gave you eyes to see, brain to think straight, ears to hear. God knows why he gave us all this. Nature always has its way. Whether you pray from January to January. Stop stressing and make noise to God, follow the rules. You can not live where the drainage is and start praying God to stop the rain.
@PeterMuhu-t2r
@PeterMuhu-t2r 4 ай бұрын
Let us get on our knees and pray
@junemuchiri609
@junemuchiri609 4 ай бұрын
Let us clear the drainage systems and better disaster management The govt has terrinly failrd Maybe prayers will work
@jojothepolyglot1866
@jojothepolyglot1866 4 ай бұрын
Whoop whoop! News Flash! God is white and even his son is...Africa mashida na umaskini tu. No prayers have ever helped
@RukiaBakari-jh6ci
@RukiaBakari-jh6ci 3 ай бұрын
Hungera citizen TV nawapenda ❤ Sana
@yohanajp1148
@yohanajp1148 4 ай бұрын
This should mot be news as geology experts warned long time ago that buildings within nakuru should not go higher than 3 floors becuse of the WEAK volcanic soil. But who listened. ?
@timongairu9816
@timongairu9816 4 ай бұрын
Watching now wow God have mercy 🙏😢😢
@alicemumbi7585
@alicemumbi7585 4 ай бұрын
LORD have mercy 🙏🙏🙏
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 4 ай бұрын
Njooni kwangu Niwapeni habari kuhusu nshanga. Nipo Dar.
@davidwainaina3899
@davidwainaina3899 4 ай бұрын
KENYA ✝️✝️✝️✝️✝️💪💪💪🙌🙌🙌🙌❤️❤️❤️ amen
@ceciliahmwangi497
@ceciliahmwangi497 4 ай бұрын
Not the first time in nakuru
@AcuiteNgwenya-nd4kc
@AcuiteNgwenya-nd4kc 4 ай бұрын
Mr bones 1
@aggiechosh
@aggiechosh 4 ай бұрын
God have mercy upon us
@PolyneSimbe
@PolyneSimbe 4 ай бұрын
So sad
@happytimes9747
@happytimes9747 4 ай бұрын
This's very dangerous
@LeviSwart
@LeviSwart 4 ай бұрын
Kanisa ni nyumba ya baba so no problem
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 4 ай бұрын
Nipeni nafasi niongee na viongozi wa dini. Nina kipaji cha ufafanuzi. Kutokana na mbinguni.
@naturelle1097
@naturelle1097 4 ай бұрын
Nyufaa
@kenangwenyi8720
@kenangwenyi8720 4 ай бұрын
The county should hire a geologist and have expert inspect and do land assessement and volcanic impact in this area. What is the purpose of having these professors and universities who do not conduct any research to come up with solutions. Bure kabisa
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 4 ай бұрын
Nipeni nafasi niwapeni habari. Kuba mazito yanakuja.
@shemnyaka
@shemnyaka 4 ай бұрын
Nipe number yako ya simu
@mojakomau6965
@mojakomau6965 4 ай бұрын
Waiting Still.
@franciskiarie3396
@franciskiarie3396 4 ай бұрын
Watu wanatembelea Tu hapo juu ujinga uko juu Sana kenya
Hoja ya kumtimua Gachagua kuwasilishwa bungeni wiki ijayo
2:46
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
Mshukiwa akamatwa akitengeza ‘sosi’ ya nyanya Nakuru
2:47
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 51 М.
The day of the sea 😂 #shorts by Leisi Crazy
00:22
Leisi Crazy
Рет қаралды 1,5 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,9 МЛН
Ozoda - Lada (Official Music Video)
06:07
Ozoda
Рет қаралды 10 МЛН
Akili Ni Nywele
2:57
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 126 М.
Why DP Gachagua is a dead man walking
4:28
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 226
Fights from film - Sky - (Dir. Igor Kopylov 2020)
29:58
ThundeRMomenTWar
Рет қаралды 2,3 МЛН
Shanga - Mkurugenzi Minisodes 6 Ep 2
20:13
Abel Mutua
Рет қаралды 237 М.
The Amazing MYSTERIES of CATS in Islam
13:33
Virtuous Islam
Рет қаралды 511 М.
Mexico’s $7.5B Gamble to Disrupt the Panama Canal | WSJ Breaking Ground
8:43
The Wall Street Journal
Рет қаралды 1,1 МЛН
June Moi anazikwa nyumbani kwake Bahati Nakuru
4:08
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 33 М.