Usafr wa juu unatumaliza ndipo mungu tusaidie sisi wasafir
@evansogutu416714 күн бұрын
Mungu with capital M
@MariamKitsao-b6w14 күн бұрын
Mungu wangu yani walokuemo ndani hawakufariki lkn wa inje wakafa ama kweli mungu niwaajabu pole kwa familia zilizopoteza wapendwa wao n majeruhi nao mungu awape afueni ya haraka inshaallah
@DancanMwendwa14 күн бұрын
Wooooi poleni sana
@zipcode_pranks14 күн бұрын
Aki kifo...😢 waaah yani unagongwa na ndege kwa barabara ya gari
@danielamicheal468014 күн бұрын
Maajabu nani angefikiria hii uchawi is real
@NewtonMutethia-dc9ds14 күн бұрын
Poleni sana 😊
@martinmacharia-f1m14 күн бұрын
Poleni wafiwa
@Teresia-bg9dt14 күн бұрын
Woiiiie poleni sana 😢
@jossyjassy67814 күн бұрын
Tuwe pole sote watu malindi..
@SaumDoreen14 күн бұрын
Kweli
@Felixkoech-x2s14 күн бұрын
Poleni sana
@petermutua490114 күн бұрын
Wawe pole
@EdwardEduu-k3n14 күн бұрын
Sad Sana mwaka unaanza na maafa Condolences to the family
@francismeeme369314 күн бұрын
Poleni watu wangu
@kaytwok234514 күн бұрын
Enyewe kwenye maisha tarajia lolote ona sasa maskini kafa kwenye ajali ya ndege😢😢
@EdinaAkinyi14 күн бұрын
Unataka nicheke kwenye matanga 😅😅😅eti maskini kafa kwenye ajali ya ndege
@janetmwale612714 күн бұрын
Woooi.mungu
@muzafarsharif946514 күн бұрын
Subhallah ukiskia ajali haina kinga ndio hii sasa yaani boda boda amegongwa na ndege😢
@josephinewambongo803714 күн бұрын
Poleni kwa familia 😢😢
@jameskasidi677514 күн бұрын
Waaaah R.I.P
@majidabdul-wg8ww14 күн бұрын
Kenya nzima sijawahi kuona uwanja wa ndege wa hovyo kama Malindi Airport iko kwa barabara highway kabisa na ndege zinakupitia kwa masikio zikiland 😔😔
@MutaviMuthama14 күн бұрын
😂😂😂
@SafariNyiro-k6m14 күн бұрын
Mungu saidia
@aminasaid938214 күн бұрын
Subhanaallah😢
@VeronicaMabonga14 күн бұрын
Poleni 😢😢
@Beliers14 күн бұрын
Reverend Maina wa otc ulisema
@saidmasika873814 күн бұрын
jana tulisikia watano walokuwa hap walitueleza
@njambiann787014 күн бұрын
Pole aki
@OmarKalita-le9uo14 күн бұрын
Inna Lillah waina ilayhi rajiun
@FerdinandLugho-by6ez14 күн бұрын
So sad
@thekingkids474414 күн бұрын
Kwni ndege sikuizi inaendeshwa na walevu
@MJRashiid14 күн бұрын
How can I explain to my grand child in 2050 that an Aeroplane hit a motorcycle and pedestrians along Mombasa - Malindi Road.
@mbkbabalao248814 күн бұрын
Hhhah by This news
@ryanwar-g7x14 күн бұрын
I wish farah maalim alikuwa hapo...mbwa mwitu
@arthuragina436014 күн бұрын
Wapi ripota Diki
@WADANDUTHEHERBSMAN14 күн бұрын
Inalilah wainalilah rajiun.
@AbdallaOmar-o8c14 күн бұрын
Dooh
@ChefSmaoo14 күн бұрын
Yaaani unagongwa na ndege ukiwa na nduthi.
@EuniceWakesho-kd2ez14 күн бұрын
Huyu alikua anapita ndege iimeanguka Kwa barabara I saw it so usiongee vibaya nikuomba mungu ukitoka Kwa nyumba na kurudi salama
@ChefSmaoo14 күн бұрын
@EuniceWakesho-kd2ez you misinterpreted me ama ni mimi sijaskia video vizuri the witness said the plane landed on the bike guy and his passenger... I know life is unpredictable
@kelvinwanjo18614 күн бұрын
Rip
@josphatwahome389814 күн бұрын
Madhalao ya watu wa boda boda Kenya hii ndio inawafanya wengi wao wakufe ama waumie, ata kuondokea ndege pia ni tatizo, haya!