Рет қаралды 393,016
.
Kizaazaa kilizuka bungeni pale Seneta Wa Nairobi Mike sonko na Gavana Evans Kidero walipojibizana na hata kuthubutu kupigana baada ya seneta Sonko, kudai kwamba gavana Kidero amehusika katika mauaji ya mmoja wa wakazi wa Nairobi. Tukio hilo lilitatiza kikao cha kamati hiyo ambacho kililenga kuchunguza madai ya utumizi mbaya wa fedha katika kaunti ya Nairobi. Hata hivyo gavana Kidero amekanusha madai kwamba makabiliano yake na Sonko yaligeuka vita akisema uhusiano wake na Sonko uko sawa.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.co...
/ citizentvkenya