Рет қаралды 160,169
Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anamtaka rais mstaafu Uhuru Kenyatta kushirikiana naye kuhakikisha kuwa mlima kenya inasalia imara. Gachagua aliyezungumzia haja ya watu wa Mlima Kenya kudumisha umoja amesema haya huku migawanyiko ikiendelea kushuhudiwa miongoni mwa viongozi wa Mlima Kenya.