Wananchi watoa maoni mseto baada ya Gavana Mwangaza kubanduliwa

  Рет қаралды 33,750

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 93
@MaryMbai-xm8ne
@MaryMbai-xm8ne 2 ай бұрын
ingieni mashinani msikie maoni ya wa meru mama ako sawa pesa ndio wanataka waweke kwa mfuko zao mungu anawaona
@Gorgeousij
@Gorgeousij 2 ай бұрын
Mimi bado nasimama na mama
@benjaminosura7665
@benjaminosura7665 2 ай бұрын
Mchukue umpeleke kwenu basi
@annekariuki4734
@annekariuki4734 2 ай бұрын
Aingiee Teena Kwa ballot tuone kaa atarudi muhakikishe hajaiba kura is she interested in vieing
@saletiteke
@saletiteke 2 ай бұрын
we zidii tu kusimama na mama sio hatia
@MaCp-n5w
@MaCp-n5w 2 ай бұрын
Ashabanduliwa saa hii ni pastor mtakutana kanisani
@Gorgeousij
@Gorgeousij 2 ай бұрын
@@MaCp-n5w Amen
@Ken_W254
@Ken_W254 2 ай бұрын
Now the highway to looting has been opened. Meru residents mnaenda kulia zaidi.
@WillisAli
@WillisAli 2 ай бұрын
Kwenda wat do you know about the meru...... Nuguu
@amosmasika4862
@amosmasika4862 2 ай бұрын
​@@WillisAlikuja kwanza ulipie vitu ulikopesha kwa duka wewe
@Ken_W254
@Ken_W254 2 ай бұрын
@@WillisAli Give Mama a working space. She gonna be in office for 2 consecutive terms
@lucymwai7645
@lucymwai7645 2 ай бұрын
Chukii ndie mingi, Kawira ako sawa ni vile tu ni mama.
@irineadisa7289
@irineadisa7289 2 ай бұрын
SNIPER is Working hard,Rip Man.
@MicheniMartin
@MicheniMartin 2 ай бұрын
Watu wa chini ndo walichagua mama, kwendeni huko kawira Ako sawa...mutuma aingia ground 027 aombe kura
@FREDRICKASAVA
@FREDRICKASAVA 2 ай бұрын
Tamaa ya deputy governor
@douglasmutuma3447
@douglasmutuma3447 2 ай бұрын
Tafadhali fikiria kabla ya come t..plz.
@husseinkonde7348
@husseinkonde7348 2 ай бұрын
Mnashida sana wameru😂😂
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 2 ай бұрын
Aii! Nilisoma hivi mauzi kwamba alipata afueni. Mbona hii sasa?
@Mieye788
@Mieye788 2 ай бұрын
Sniper spirit is still fighting for justice iyo spirit iko happy sasa hata kaa hajazikwa
@kiddieboy2549
@kiddieboy2549 2 ай бұрын
Tutaingia kwa balloots ....tutawapeleka nyumbani nyote😢😢😢mnataka tu kuiba
@annekariuki4734
@annekariuki4734 2 ай бұрын
Will governor kawira vie if she did she would get back the electrolyte to elect her again I wish she get to the ballot we see whether she can come back without stealing votes '"
@bonifacewachira2080
@bonifacewachira2080 2 ай бұрын
Mngoje wizi kwa sasa
@kiddieboy2549
@kiddieboy2549 2 ай бұрын
Im sad ......MCA Shame on you!!!!!!😢
@douglasmutuma3447
@douglasmutuma3447 2 ай бұрын
Shame on you too
@josephkanyugi3799
@josephkanyugi3799 2 ай бұрын
Women have no space in Kenya politicks. Even those who are in elected posts face untold mistreatments.
@b.9811
@b.9811 2 ай бұрын
They have, but politics is a dirty game
@Elibuk
@Elibuk 2 ай бұрын
Women leaders should be given a chance in Kenya but due to the corrupt government system executive system
@MutaviMuthama
@MutaviMuthama 2 ай бұрын
Bona ingekua ni mwanaume amgesema ni victimization juu ni mwanamke kwa hivyo Sheria isifuatwe
@b.9811
@b.9811 2 ай бұрын
Sakaja pia atolowe😊
@zakayomwamba7475
@zakayomwamba7475 2 ай бұрын
Very soon utasikia wakisema mama alikuwa sawa.Take this to the bank.
@nkizurimwinyipande8322
@nkizurimwinyipande8322 2 ай бұрын
Zakayo you are the next
@WillisAli
@WillisAli 2 ай бұрын
babako....
@nkizurimwinyipande8322
@nkizurimwinyipande8322 2 ай бұрын
@@WillisAli usiwai nitusi ww kondoo wa kike nisiekujua watoka na wapi
@MicheniMartin
@MicheniMartin 2 ай бұрын
Furaha ya nini, nkts....ghasia...heri kawira mara mia
@AntonyMwanzia-p6e
@AntonyMwanzia-p6e 2 ай бұрын
Express way of looting has been opened kwendeni muibiwe kabisa and i promise u hamtaona maendeleo wivu wenu ni vile ni mwanamke na wameru huwa hamtambui uongozi wa wanawake but mtajuta
@MichaelMbuva-gv1iy
@MichaelMbuva-gv1iy 2 ай бұрын
Nyinyi ni ma ubwa mtalia sana sasa.
@lucymwai7645
@lucymwai7645 2 ай бұрын
Wacha kutumia matusi jameni
@jacklinekinya9800
@jacklinekinya9800 2 ай бұрын
Wewe ndiye ubwa mkubwa kondoo
@antonynjoka7318
@antonynjoka7318 2 ай бұрын
Gavana kawira can still appeal through our courts for a hearing including Meru voters
@antony-5321
@antony-5321 2 ай бұрын
Hao watu wamepewa opportunity ya kuongea wamelipwa hao wameru wanataka mama
@Nickson-z8l
@Nickson-z8l 2 ай бұрын
Baringo also we are on CHEBOI
@WillisAli
@WillisAli 2 ай бұрын
ww na nani
@BROTHERBEN-ic4uk
@BROTHERBEN-ic4uk 2 ай бұрын
Ruto 20yrs 🫱🫲
@annekariuki4734
@annekariuki4734 2 ай бұрын
Mama mugawaa chakula sawasawa amenyiima mabwenyenye nafadi ya kuroot...givernor enda sasa uhubili ijilii tubu kaama all those accused for you have done..peace be your potion you have tried fighting imeshidikaana..
@dorcaskiptui9074
@dorcaskiptui9074 2 ай бұрын
Kaende kaende nasimama imara na mama justice kwa mama
@Ngasike-t2i
@Ngasike-t2i 2 ай бұрын
MbaiTE 😂😢Reporting From MErU😅
@josphatkithure3535
@josphatkithure3535 2 ай бұрын
Non of meru MCA's understand Kenya constitution
@lucyoyiela6718
@lucyoyiela6718 2 ай бұрын
Hivyo hivyo muliwacha kumusikia uhuru mukamusikia ruto sahizi munalia
@Bonfacemogoa
@Bonfacemogoa 2 ай бұрын
Ajana naye amalize miaka yake tano
@Bonfacemogoa
@Bonfacemogoa 2 ай бұрын
Kama wanatoka wote Hadi deputy wake
@samjuma4207
@samjuma4207 2 ай бұрын
Ruto pia anafaa abanduliwe
@kelvinkoech8083
@kelvinkoech8083 2 ай бұрын
It's impossible...
@nkizurimwinyipande8322
@nkizurimwinyipande8322 2 ай бұрын
Kweli kabisa juu yy hasa hasikizi wananchi
@puritymunzaa8498
@puritymunzaa8498 2 ай бұрын
Ruto anafanya kazi na watu wote ,tano tena
@nkizurimwinyipande8322
@nkizurimwinyipande8322 2 ай бұрын
@@puritymunzaa8498 wacha uongo
@joshmzungu2264
@joshmzungu2264 2 ай бұрын
kumbe ni viti mlikuwa mnatafuta
@martins.k3359
@martins.k3359 2 ай бұрын
Is it Melu or Meru?
@douglasmutuma3447
@douglasmutuma3447 2 ай бұрын
Meru
@football.431
@football.431 2 ай бұрын
Pigweni radio mapepo nyinyi wivu ndio mingi mashetani
@Linet-d7j
@Linet-d7j 2 ай бұрын
Mtajua hamujui, kama president ameshidwa na hii sembuse governor
@babuuosama8752
@babuuosama8752 2 ай бұрын
Pongezi Mcs meru katiba lazima ishimiwe No one above the law this is the way to go 2027 any one going against Our Constitution must be removed Ruto follow the Constitution or else BABA will never save you 2027 Gen Z's watching still Revolution loaded 2027.
@jameskiambati9816
@jameskiambati9816 2 ай бұрын
Askari jela mtawezana na yeye
@BrianKEya001
@BrianKEya001 2 ай бұрын
Chauvinists ...pathetic in this era
@samsonmuisyo6990
@samsonmuisyo6990 2 ай бұрын
Meru is now thrown under the bus.. MCA'S wanted the opportunity to steal in preparation to 2027. To hell
@sunguraniwewe
@sunguraniwewe 2 ай бұрын
I support your view.
@annekariuki4734
@annekariuki4734 2 ай бұрын
Very under the bus...mabavu mabavu wizi choose wisely otherwise mutaona
@jameskiambati9816
@jameskiambati9816 2 ай бұрын
Waende election
@fancyfootballhighlights
@fancyfootballhighlights 2 ай бұрын
Ati ule anakuja kuchukua utamu😂
@Stephen12.
@Stephen12. 2 ай бұрын
Kawira delayed to dissolve county assembly.
@Travelwithfred
@Travelwithfred 2 ай бұрын
She doesn't have a right. Only the president
@Stephen12.
@Stephen12. 2 ай бұрын
@@Travelwithfred she had to petition the president under article 192
@jameskiambati9816
@jameskiambati9816 2 ай бұрын
Wacheni wizi na umalaya
@samk7190
@samk7190 2 ай бұрын
Hio furaha itakuwa kilio gonjeeni 1year
@KylianNguma
@KylianNguma 2 ай бұрын
Leave kawira alone
@bakarichoga
@bakarichoga 2 ай бұрын
Reporter 😂😂
@bonifacewachira2080
@bonifacewachira2080 2 ай бұрын
MCA's mnaenda nyumbani nyote
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 2 ай бұрын
Ombeni huyo atakae shika sija mkasema ni mubaya kuliko alienda
@MartinezzJT
@MartinezzJT 2 ай бұрын
Ntoithinkya kutoka Ukraine 😅😅😅
@e-nafnaps
@e-nafnaps 2 ай бұрын
Why are the other six women governors not undergoing same fate. Kawira lacks leadership qualities
@veronicahmugane2330
@veronicahmugane2330 2 ай бұрын
It's because Meru men are alpha men...Mila Yao inakataa women leadership
@TheCityOntheHill-n2o
@TheCityOntheHill-n2o 2 ай бұрын
Kindly note;the major distinguishing factor from the other six is that :-Mwangaza won as an independent candidate.
@Ngasike-t2i
@Ngasike-t2i 2 ай бұрын
FULAHA,MELU,KAWELA, Ngavana😂😢😅
@LucasGatobu-pn4tp
@LucasGatobu-pn4tp 2 ай бұрын
Atakua puppet
@LucasGatobu-pn4tp
@LucasGatobu-pn4tp 2 ай бұрын
Hiyo mutuma atakua puppet ya MPs
@MercyMurage-ni6rr
@MercyMurage-ni6rr 2 ай бұрын
Atakua nduma😂
@AntonyMwanzia-p6e
@AntonyMwanzia-p6e 2 ай бұрын
Express way of looting has been opened kwendeni muibiwe kabisa and i promise u hamtaona maendeleo wivu wenu ni vile ni mwanamke na wameru huwa hamtambui uongozi wa wanawake but mtajuta
CITIZEN WEEKEND | Why Kenya is not a safe haven for refugees
24:03
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
🔴 Al Jazeera English | Live
Al Jazeera English
Рет қаралды 6 М.
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 13 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 355 М.
| SUNDAY LIVE | Scramble For Middle East Jobs
41:16
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 3 М.
K24 TV LIVE|  Ruto's 'Hot Air’ Projects #NewDawn
21:30
President Ruto's "Story za jaba'
7:05
KTN News Kenya
Рет қаралды 588 М.
Ruto men says impeached DP Gachagua is a tribal leader
3:36
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 18 М.
New look opposition: Don't speak for Gen-Zs- Wajackoya
23:30
KTN News Kenya
Рет қаралды 161 М.
Gavana Kawira Mwangaza abanduliwa
5:53
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 103 М.