Wakenya watoa hisia mbalimbali kuhusu uteuzi uliofanywa leo

  Рет қаралды 47,551

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Wananchi katika sehemu mbalimbali za nchi wametoa hisia mseto kuhusiana na watu kumi na mmoja walioteuliwa kwenye baraza la mawaziri na Rais William Ruto. Hizi hapa ni baadhi ya maoni ya wananchi kuhusu walioteuliwa.

Пікірлер: 114
@timothyonyango9
@timothyonyango9 Ай бұрын
Gen Z ni upepo kutoka kwa mungu kuokoa Kenya ndio maana Ruto anendelea kuchanganyikiwa.
@hellenmaiyo2516
@hellenmaiyo2516 Ай бұрын
This is the madness of the genzis generation,pole Sana MUNGU AWEZI TUMA PEPO,PEPO NI YA shetani.MUNGU ANATUMA MALAIKA.SAWA😂
@thragg00
@thragg00 Ай бұрын
@@hellenmaiyo2516seek professional help
@johnbrown3235
@johnbrown3235 Ай бұрын
i don't support ruto but generation Z means generation ZERO.
@mohamednagib2594
@mohamednagib2594 Ай бұрын
Ruto will be Ruto...he will never change
@user-gp5wx1ev9f
@user-gp5wx1ev9f Ай бұрын
Chirchir mwizi wa Kura za 2017 na 2022, amezeeka aende nyumbani na asipewe hata Udiwani
@esumijacobs
@esumijacobs Ай бұрын
We're VERY READY FOR TUESDAY
@mwanaidi444
@mwanaidi444 Ай бұрын
Next week tuko streets hatakuwa biashara as usual
@user-gp5wx1ev9f
@user-gp5wx1ev9f Ай бұрын
Kindiki hafai kabisa alihusika kuwauwa watoto wetu na tunatazamia apelekwe kotini na wote hao niwahusika na uporaji Mali ya umma
@elishamgoja8291
@elishamgoja8291 Ай бұрын
Ruto did not get the point, Gen-Z do not want him or the old generation cabinet.
@daltonorina7183
@daltonorina7183 Ай бұрын
Mchezo ndani ya mchezo😅
@OwenAmiani
@OwenAmiani Ай бұрын
Mbona mnauliza our parents. They don't understand what they are saying
@jean-claudem.2515
@jean-claudem.2515 Ай бұрын
shame on yo foolish parents
@bakitahshanel6329
@bakitahshanel6329 Ай бұрын
kuanzia lini sikio likapita kichwa our elders knows it well and all, let them be, your time is not yet
@Mzalendo-n8q
@Mzalendo-n8q Ай бұрын
​@@bakitahshanel6329Sisi tutarudi barabarani rasmi sasa
@edenangel2267
@edenangel2267 Ай бұрын
​@@bakitahshanel6329yet it is our elders who are corrupt and don't see the problem ..just cause u are an elder doesn't mean u possess wisdom ..it has been demonstrated enough
@user-ck4ox3zr9n
@user-ck4ox3zr9n Ай бұрын
My fellow Kenyan let us meet on Tuesday
@Brocco420TV
@Brocco420TV Ай бұрын
hio nayo laza but tunafaa strategy ndio goons wakue na opportunity
@dennismcodhis776
@dennismcodhis776 Ай бұрын
Ruto ashamaliza part yake kisheria. Sasa tuko na wabunge sasa. This time round pitisheni hao watu mkiwa ndani ya tank ya wanajeshi ama through Skype. 😅😅
@Assistingalways
@Assistingalways Ай бұрын
🤣🤣
@alicekangethe3173
@alicekangethe3173 Ай бұрын
Siasa za Mtoto Wetu tena?? We want accountability and competence.
@JavanGwetega
@JavanGwetega Ай бұрын
Hii nikucheza na wakenya na sasa hata sign finance bill at sign in,kweli mwa Africa ni mwa Africa
@havvocke.4222
@havvocke.4222 Ай бұрын
Ruto must Go
@user-gp5wx1ev9f
@user-gp5wx1ev9f Ай бұрын
Duale he can't go back to Defence or any office ni mchocjezi alisema Gen Zs ni wakora wanaosukumwa na wale walikataa matokeo ya. 2022
@kiprotichtitus6372
@kiprotichtitus6372 Ай бұрын
We are ready for Tuesday
@xhilahvhy3811
@xhilahvhy3811 Ай бұрын
Endeni maandamano nyinyi...amewarudisha sababu aliskiza gen z na bado wakaendelea kuandamana... Sasa ameona kma ni mbya ni mbya.. juu unaskiza watu unafanya vle wanataka na bado wanaandamana...ata ww utafanya nini kma ww ni Ruto
@user-zu9yh8lt2y
@user-zu9yh8lt2y Ай бұрын
​@@xhilahvhy3811you think you got a point but you stoop too low the message is clear we are tired of him periodt
@nelsonchege3647
@nelsonchege3647 Ай бұрын
Ruto is a mad man
@ammonkipkoech3027
@ammonkipkoech3027 Ай бұрын
Chirchir hainde nyumbani
@pamellahanainga7958
@pamellahanainga7958 Ай бұрын
Dawa ya moto🎉 ni moto tuesday tutawasalimia upuuzi hatutaki
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 Ай бұрын
Ruto anacheza na wakenya sana😢
@erastusbartaine9440
@erastusbartaine9440 Ай бұрын
Duale is responsible for githurai massacre 😢, kindiki ako sawa lakini Duale???
@user-lq3xu7kl2i
@user-lq3xu7kl2i Ай бұрын
Coast region we want our region nothing else
@ruthkarimi2646
@ruthkarimi2646 Ай бұрын
Hongera our President
@Geofrycheruiyot
@Geofrycheruiyot Ай бұрын
Kwani ruto anawafanyia nyinyi ka zi aty matungulu
@leonardgachenia2200
@leonardgachenia2200 Ай бұрын
We need responsibility in media houses.
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 Ай бұрын
Pongezi rais wetu.
@BitonAsula
@BitonAsula Ай бұрын
Gen z mission still on
@user-eu1pq2fb9x
@user-eu1pq2fb9x Ай бұрын
Si juma nne turudi Street tuwasalimie
@josephnganga-cs5zb
@josephnganga-cs5zb Ай бұрын
Ndwareeeee lazimaa aaendee
@theautomotivetv254
@theautomotivetv254 Ай бұрын
Tupatane site Tuesday
@dennismcodhis776
@dennismcodhis776 Ай бұрын
Machogu aliambiwa alete mutu yake, akaingiza 2022 Running mate. Yule wa kufukuza OCS akaleta Barasa mwenzake ndio kazi iendelee vile ilipangwa, TUKO NA NYINYI BADO
@Destiny-9w
@Destiny-9w Ай бұрын
The president has indicated that he is not ready for peace by taking back Duale, only kidiki would be somehow better
@paulnjoro667
@paulnjoro667 Ай бұрын
To replace Murkomen with Chirchir is a slap on Genz’s face. It’s a good idea to pick Rebecca Miano
@samir.fatehi7250
@samir.fatehi7250 Ай бұрын
😮
@rashaketsau7015
@rashaketsau7015 Ай бұрын
Coast hakuna mtu
@moto-junior
@moto-junior Ай бұрын
Ametenga nafasi Ya Gen Z
@uniqueuniformsunique9107
@uniqueuniformsunique9107 Ай бұрын
My opinion,tupee rais nafasi tusiwe haraka na pia waliochaguliwa waonyeshe wakenya bidii yao Caz it's not about ruto but wenye kazi ni kenyan citizen
@antonyokumu5806
@antonyokumu5806 Ай бұрын
I wish you all new😊
@winslouswanjala213
@winslouswanjala213 Ай бұрын
Hakuna cha mtoto..kwani uko kwenye hakuna mtu mungine.w Watu wamesoma kwani ni lazima arudishe hao watu?? We need fresh Cabinet not old thieves.... We don't need reshuffling nor Recycling adi uyo Prezo nashindwa nae kabisa.
@wakenyaskytv6937
@wakenyaskytv6937 Ай бұрын
GenZ kataa hii ujinga
@evelynundisa1780
@evelynundisa1780 Ай бұрын
Don't ask this old people. it's like they don't understand what the problem is and what they want.
@user-jg9gv3kp5i
@user-jg9gv3kp5i Ай бұрын
The president knows his job well kidiki and vdwuale came back it's ok with us ,we don't know about internal security,as they do ,we have our men in somalia ,Haiti, we need strong team for our peaceful kenya,f
@user-tv6vl3so2m
@user-tv6vl3so2m Ай бұрын
Duale & kindiki ana fanya kazi visuri
@ChristopherJuma-k4h
@ChristopherJuma-k4h Ай бұрын
Ekise utayaona
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o Ай бұрын
MAANA ALIPOSIKILIZA MATAKWA YA GENZ BADO WALIENDELEA KUANDAMANA.
@geoffreywanjala7942
@geoffreywanjala7942 Ай бұрын
poor president ruto with old tactics,,of the late regime of his daddy moi..bure kabisa your days are numbered
@fredkimani7069
@fredkimani7069 Ай бұрын
Kindiki na duale wamerudishwa ndo wamsaidie kuiba votes 2027..lets be wise...we are ready for tue
@robertkimani2420
@robertkimani2420 Ай бұрын
Roto ndo anafaa aende
@RobertomuchungiMnaituli
@RobertomuchungiMnaituli Ай бұрын
Kulikua na maana gani kuwaondoa wanafiki na kuwarudisha na kuabadilisa majina ya KAZI,
@philiskerubo8080
@philiskerubo8080 Ай бұрын
Sasa kama kwa education alikua anstumia which criteria kuchagua ama alikua anafulifil UDA
@christopherlipese
@christopherlipese Ай бұрын
6 kutoka central 5 ndio amekawa
@jean-claudem.2515
@jean-claudem.2515 Ай бұрын
justin muturi has learnt a HARD LIFE LESSON.
@user-pg2ww8vk2n
@user-pg2ww8vk2n Ай бұрын
Please let pray for our country.
@BenjaminmagandaNduma-di2vu
@BenjaminmagandaNduma-di2vu Ай бұрын
Css Kindiki and Duale are okay and fits in their positions assigned in
@JonathanKaingu-c1d
@JonathanKaingu-c1d Ай бұрын
Wapwani wako wapi apo ama pwani sio Kenya tuanguke nayo
@FestusPeter-mv9sv
@FestusPeter-mv9sv Ай бұрын
Ukambila mt kenya hautawahi isha tena kindiki, nduale aiii
@georgeodhiambo2118
@georgeodhiambo2118 Ай бұрын
Aki hii Kenya surely 😢😢😢😢😢
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o Ай бұрын
MINISTET IS A POLITICAL POST TATHER A PROFESSIONAL POST. GENZ SBOULD SEEK FOR PROFESSIONAL POSTS.
@Rickiemorgans1996
@Rickiemorgans1996 Ай бұрын
Kwani hawa wazee ndio walikuwa wanapigania hii ukora ya serikali??citizen mkona ujinga pia
@mainakihurusia6380
@mainakihurusia6380 Ай бұрын
Hehehe sioni mbona uchukie Duale na kindiki .... hao wanapiga kaazi ....ni hapa kazi too ...wako sawa saanah
@bboymelvo5494
@bboymelvo5494 Ай бұрын
Hakuna kitu amefanya hapo unarudisha wanyama wale nyama
@bonifacetruektv
@bonifacetruektv Ай бұрын
Muuwanj! Hatutawai kukutambua
@shugriugas2784
@shugriugas2784 Ай бұрын
Hiyo uteusi haifa sisi wakenya Duale na kindiki hawafai kurudi
@edwinkipngeno7549
@edwinkipngeno7549 Ай бұрын
Mchezo wa Taoni
@georgeodhiambo2118
@georgeodhiambo2118 Ай бұрын
Mtoto wetu 😂😂😂😂😂
@Athumanbakari-iv1ic
@Athumanbakari-iv1ic Ай бұрын
President n ubaguzi..mbona hakuna wa coast
@thelegends2182
@thelegends2182 Ай бұрын
Talk to gen z
@raphaelwambua9278
@raphaelwambua9278 Ай бұрын
We are not happy
@ruthkarimi2646
@ruthkarimi2646 Ай бұрын
Jamani wakenya mwataka aje?
@GraciousGrace-cr4zd
@GraciousGrace-cr4zd Ай бұрын
Hta Mimi nko hapa hta sijielewi🤣🤣🤣🤣
@walteralulu8483
@walteralulu8483 Ай бұрын
Hatutaki hawa watu waliua our fellow youths
@aliramishsalim
@aliramishsalim Ай бұрын
nyanza riftvalley na western ndio kenya mnzima
@user-id6zm5fh2z
@user-id6zm5fh2z Ай бұрын
Ctzen mkona ufala munauliza wazee mbona n ilikuwa kazi y gen z
@shiqowb5450
@shiqowb5450 Ай бұрын
What people are you seeking opinions from?...you should seek the opinion of the youths... Because this is our fight
@johnbrown3235
@johnbrown3235 Ай бұрын
how do you seek opinions from GEN Zs who are faceless, clueless, leaderless, rudderless and useless... GEN Z means generation ZERO.
@mulingemwangangi5912
@mulingemwangangi5912 Ай бұрын
We need new face
@erastusbartaine9440
@erastusbartaine9440 Ай бұрын
Duale is responsible for githurai massacre 😢, kindiki ako sawa lakini Duale???Wahome??
@stevemarksteve2652
@stevemarksteve2652 Ай бұрын
Amechangua kidiki,duale na chirchir ndio wamuimbie Kura 2027
@silvadeachiva
@silvadeachiva Ай бұрын
The mtoto wetu nonsense 😏
@ShukriShunaz
@ShukriShunaz Ай бұрын
Why did he dissolved them earlier if he knew he will reappoint them stop brainwashing us We want new faces there😊
@mosesdmakingmoreto
@mosesdmakingmoreto Ай бұрын
Citizen tv mnauliza haki nanani haki
@bikosteve6674
@bikosteve6674 Ай бұрын
Very stupid. Eti mtoto wetu. Nkt!! Zakayo aende Nyumbani.
@Brocco420TV
@Brocco420TV Ай бұрын
Hao ndio Gen Z citizen?
@lillianrasoa846
@lillianrasoa846 Ай бұрын
Ruto is the problem😢
@theautomotivetv254
@theautomotivetv254 Ай бұрын
Mlitafuta wazee tafuta feedback from youths
@KenyanBantus
@KenyanBantus Ай бұрын
Tribalism iko bado genx na millennial..fool are happy coz of their tribes are back
@menyengeralesinoi9647
@menyengeralesinoi9647 Ай бұрын
😂😂
@Cocoa_nutz
@Cocoa_nutz Ай бұрын
Journalists just approach random loudmouth idiots for such opinions.
@josephkahindi5988
@josephkahindi5988 Ай бұрын
Tunakupeleka sugoi mpumbavu wewe
@estherndanu8729
@estherndanu8729 Ай бұрын
Who cheated you that being the so called gen z is a licence to insult and demean your elders?nyinyi mnakimbia kuliko kiwango chenu
@walteralulu8483
@walteralulu8483 Ай бұрын
Let's see. Kama parliament walioccupy
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 Ай бұрын
Mjinga ww
@syseraodera6721
@syseraodera6721 Ай бұрын
Kwendeni huko useless
@jjclara668
@jjclara668 Ай бұрын
Useless😮
@syseraodera6721
@syseraodera6721 Ай бұрын
Very useless being they don’t even understand anything
@rabeccamutindikivuu
@rabeccamutindikivuu Ай бұрын
Kwendeni huko hamjui chenye mnaongea
@aaa64sa13
@aaa64sa13 Ай бұрын
Jingazzzzzz
@walteralulu8483
@walteralulu8483 Ай бұрын
Ww ndio unajua
@creativeshaddyart8252
@creativeshaddyart8252 Ай бұрын
this guys doesn't know what is cooking for this country 😭😭😭 if Ruto stays in and appoints the same people ni kubaya watch this space the man will fuck us with no remorse.. spiritualy he's under attack and the person inside him is blood& power thirsty...the spirit in him doesn't care
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 Ай бұрын
Kuma chafu ww
@erastusbartaine9440
@erastusbartaine9440 Ай бұрын
Duale is responsible for githurai massacre 😢, kindiki ako sawa lakini Duale???Wahome??
News Gang | Ruto's visit to China, Public Debt
40:28
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
YVONNES TAKE: Just who does Gilbert Masengeli think he is?
4:56
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 2,8 М.
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
KAIKAI’S KICKER: JKIA - Who will eat the new airport?
5:20
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 3,1 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 504 М.
HUMAN BODY vs NUCLEAR EXPLOSION simulation
6:02
atomic marvel
Рет қаралды 7 МЛН
Makali Ya Gen Z: Kizazi cha Gen Z chasimama kidete na kuikosoa serikali
29:11
Citizen Nipashe 4th September 2024
20:35
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 34 М.
Mauritania, the Conveyors of the Desert | Deadliest Journeys
52:21
Best Documentary
Рет қаралды 7 МЛН
Ex-President Uhuru tells President Ruto to arrest him
6:25
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 592 М.