Рет қаралды 22,841
Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga ameitembelea familia ya leonard mambo mbotela kuomboleza nao. Raila kwenye rambirambi zake akimkumbuka mbotela sio tu kama mwanahabari shupavu bali rafiki na mwandani wake wa karibu katika masuala ya kisiasa.