Msee need to be more careful mkifika home kama sahizi Christmas..
@azzurikayvo18 күн бұрын
Left Qatar in 2016. Atleast now kuna train.Those days buses were few man plus taxi shida .
@martnesh222718 күн бұрын
Waah still since 2016
@martnesh222718 күн бұрын
Waaaah me still here since 2016
@azzurikayvo18 күн бұрын
@martnesh2227 left my friends there too.ilikua tuuzwe campuni ingine for less salo nikasema zii. Keep pushing bro.
@janesassy-gr7ty17 күн бұрын
Nice one i love it
@yusufmwangichannel66924 күн бұрын
Hicho kitabu kinaitwaje?
@Engmukabi18 күн бұрын
Nice one
@ondari15 күн бұрын
Reality of life
@yusufabdi856818 күн бұрын
Uyo dem mwenye anbonga aniitwa nani kwa KZbin
@JUSTZEKI18 күн бұрын
Check @sauti ya Doha
@martnesh222718 күн бұрын
@@JUSTZEKI sauti ya doha you tube
@lawrencelawrence330513 күн бұрын
Story za jaba
@JUSTZEKI13 күн бұрын
🤣🤣🤣 Zinalipa🤣🤣
@charityachieng701615 күн бұрын
The talking speed wueh. Im still at the beginning she is at 9 mins🤦🏿♀️🙆🏿♀️
@Judy25412 күн бұрын
@@charityachieng7016 🤣🤣🤣🤣
@MuhammadMuhammad-gr2qv13 күн бұрын
HIZI STORY ZA JABA UWACHE KUTUWEKEA HAPA. YANI HAO JAMAA WAMEENDA HADI BANK NA WAKAHAKIKISHA PESA IKO SAWA MBONA BASI HAKUDEPOSIT HIYO PESA SAHIYO?.. HUYO DEM AKO TALENTED KUTUNGA STORY ZA UWONGO .
@JUSTZEKI13 күн бұрын
🤣🤣 Thanks for your feedback.
@szlpharmacology133016 күн бұрын
she talks too fast bana. aih
@JUSTZEKI16 күн бұрын
Mambo ni mengi masaa machache
@b.394016 күн бұрын
Haki ni true. Mimi huvaa hearing aids napata shida kumfuata.
@JUSTZEKI16 күн бұрын
@b.3940 🤣🤣😧
@stivo-creator13 күн бұрын
Kwani hujui kuslow down video? Finya hio button ya settings apo kwa video, choose playback speed. Normally iko 1.0 but ukitaka kuslow down utaselect any enye iko below 1.0 so that means .9 kuenda chini