KESHO YANGU PART 02 💞 Love Story

  Рет қаралды 232,429

DONTA TV

DONTA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 539
@junkloketo9485
@junkloketo9485 8 ай бұрын
Daah watu mko faster sana 😂😂😂😂bc nipen hata mbili tu hizo like
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
😂 Thanks for watching
@gladwellmusungu7409
@gladwellmusungu7409 7 ай бұрын
​@@Dontatv255 part 5 mbona sipati????
@zieeppiemorara847
@zieeppiemorara847 8 ай бұрын
Yaani bila kelvin aisee❤❤❤unaigiza vyema kaka.....anayekubaliana na mimi likes kadhaa jamani🇰🇪🇰🇪
@ibrahimwario3177
@ibrahimwario3177 8 ай бұрын
Much lv from 🇰🇪 2ko wengi hpo donta tv.na bongo kwa jumla, manze kunami ni mmoja wpo wa kamati ya roho chafu vpy unatoa.m2 kutoka kijijini alafu hatakula unamnyima akipewa na jirani bdo ni tatizo.
@LoiceMwaringa
@LoiceMwaringa 8 ай бұрын
Daah sina usemi yani nimechelewa sana ok sawa lakini pia naomba hata like tano namimi nijivunie kama shabiki wa donta❤
@KeaRashidi
@KeaRashidi 8 ай бұрын
Xawa uxjal❤❤❤🎉
@BahatiMasanja-mj6ue
@BahatiMasanja-mj6ue 8 ай бұрын
Big up Donta Family ,kelvin with ur group keep it up brothers and sisters ❤❤
@zamdajux
@zamdajux 7 ай бұрын
Dah nimechelewa bc naombeni hata like ha tatu jamana nawapenda sana
@AbigaeliphiliphoChacha
@AbigaeliphiliphoChacha 8 ай бұрын
Kaka kelvin unakipaji kikubwa sana MUNGU akutie nguvu ww ni kanumba ajae hii tasnia inakuhitaji sana pambna your the best actor
@GladysWandera-j7v
@GladysWandera-j7v 8 ай бұрын
Jamani huu wimbo wa kesho yangu jamani Kevin ninaupenda nitaupataje ni wimbo poa sana .watching from Kenya.❤❤❤❤❤❤much love Kelvin and your team congra😂😂😂
@manaxelukama2926
@manaxelukama2926 6 ай бұрын
Dah kelvin one of the best unajua kuingiza kaka 🙏🙏🔥🔥🔥
@mslaysauti
@mslaysauti 8 ай бұрын
Wakwanza ni Mimi nipeni like ata kumi ❤❤❤
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Sawa
@mslaysauti
@mslaysauti 8 ай бұрын
Pia munatuelimisha sana tu 💓❤️
@Lastieshiz
@Lastieshiz 8 ай бұрын
Watching from Qatar ,,,much ❤
@WilliamSomela-h9s
@WilliamSomela-h9s 8 ай бұрын
Mtuwaishie aisee
@shiichannel5623
@shiichannel5623 2 ай бұрын
Kelvin Mimi mkenya nataka kuigiza kwa kampuni yako nipee chance
@machobernard6609
@machobernard6609 8 ай бұрын
Oohhh my God, this reminds me of 2010, same with my friend to me. All success to you and donta family and thanks
@JotrinFidelis
@JotrinFidelis 8 ай бұрын
Tatzo huw mnanitenga xan hata 1 bx mnipe nam❤
@SophiaChihogosa
@SophiaChihogosa 8 ай бұрын
kelvin wetu wa sasa ndo kanumba wa baadae .nakupenda ww pamoja na movie zako 🎉
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 8 ай бұрын
Much love from Burundi 🇧🇮 🇸🇦 ❤❤
@AlexRichad
@AlexRichad 8 ай бұрын
Leo na mimi nimewahi nawapenda sana tunaoamino kesho yetu mungu anatuandalia gonga like❤❤❤❤❤
@ianmapesa8002
@ianmapesa8002 8 ай бұрын
Daah napenda movie za donta ,,mapesa toka kenya
@MiriamJohn-e3z
@MiriamJohn-e3z 8 ай бұрын
Hii movie ni maisha halisi Kabsa bro MUNGU akutunze zaidi kwenye kazi zako ni nzuri
@dolinepeter2503
@dolinepeter2503 8 ай бұрын
Kazi nzuri sana ongera sana bro kelvine endelea kutuburudisha na kutuelimisha
@STANLEYKINYILI
@STANLEYKINYILI 8 ай бұрын
Kenya Watching, twapenda. Mpokee 🎉🎉🎉 yenu kazi nzuri
@ChristineRumba
@ChristineRumba 8 ай бұрын
Huu ni uhalisia wa maisha kabisa big up bro.❤❤
@IsmailIrankunda-kx8jk
@IsmailIrankunda-kx8jk 8 ай бұрын
Hapa Burundi tunawasikiliza sna na tunawapenda 🎉🎉🎉
@herieldauson5987
@herieldauson5987 8 ай бұрын
Mnajua mpaka mnajua tena❤️❤️❤️
@uchebetz7284
@uchebetz7284 8 ай бұрын
Kelvini unajua sana kaka mungu akupe nguvu kwenye kipaji chako
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Asante sana
@uchebetz7284
@uchebetz7284 8 ай бұрын
👋👋👋👋
@josephineuwizeye8250
@josephineuwizeye8250 7 ай бұрын
Kelvin tu es le meilleur!🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@carolinesiakora3024
@carolinesiakora3024 7 ай бұрын
Good work Kevin and your group nice lesson acha tupambane kabsa kutafuta maisha mema❤❤❤
@MaryIginatio-ko6cx
@MaryIginatio-ko6cx 8 ай бұрын
Kunambi na Nelly acheni roho mbaya hamuijui kesho yenu😮😮😮😮
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Kabisaa 😁
@hadijamgambo-jn7kg
@hadijamgambo-jn7kg 8 ай бұрын
Jamaa anamtukana balaa😢
@JessicaKanamba
@JessicaKanamba 2 күн бұрын
Ndo ivo, maisha yanabadilikaa
@ARONPaul-bz3ws
@ARONPaul-bz3ws 7 ай бұрын
Nakubali sana kelvin katika safari yako ya uigizaji nimekuwa.shabiki wako kwa muda mrefu na sichoki kufatilia.kazi.zako umekuwa hodar san🎉🎉🎉🎉🎉
@oscarjulius5723
@oscarjulius5723 8 ай бұрын
Kaz nzuri sana bro kelvin
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Asante sana
@Melvin-i8n
@Melvin-i8n 8 ай бұрын
Much love from Nairobi Kenya
@JaneJane-h2i
@JaneJane-h2i 7 ай бұрын
Kumbe hata watu wanajifanya kurusaidia wakitoka kidogo wanatuongelea vzr😭😭😭
@EmyJoseph-j2o
@EmyJoseph-j2o 8 ай бұрын
Hongera sana kelvin na timu yko u kelvin nakukubli kinoma unajua sana
@MoiseLuhando-tk9zr
@MoiseLuhando-tk9zr 8 ай бұрын
Mwamba wangu mungu awape nguvu kabisa nawakubali sana mzigo wetu umefika sehemu y’a pili
@PoliceNdizeye-rt2ml
@PoliceNdizeye-rt2ml 8 ай бұрын
Kazi nzuli tuwapenda sana kutoka burundi tupo makini na donta tv ❤❤ nimeni link zangu
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Asante sana
@GalazxyShshhs
@GalazxyShshhs 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤🇧🇮
@AlexMwanyumu
@AlexMwanyumu 8 ай бұрын
Much love from kenya ❤🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@josephinethoya
@josephinethoya 7 ай бұрын
So emotional, napenda kazi zenu,watching from kenia🎉🎉🎉🎉
@kadzojamesjameskadzo3950
@kadzojamesjameskadzo3950 8 ай бұрын
Kazi nzur sana aisee filamu zenu taamu mashallah ❤❤
@Phoebenafula
@Phoebenafula 8 ай бұрын
Much love from mombasa🇰🇪🇰🇪
@CyuzuzoPhionah
@CyuzuzoPhionah 7 ай бұрын
Hapa Rwandan tunawasikiliza sna na tuwabapenda sana❤❤❤❤
@halimamohammed7863
@halimamohammed7863 8 ай бұрын
Nmechelewa lkn nmewahi naombeni like zenu 🤸‍♀️🤸‍♀️💃
@victoriangasa
@victoriangasa 8 ай бұрын
❤❤❤ gonga like kwa wale walio isubir kam mm jmn😅😅🎉🎉
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Thanks for watching
@SIDDHARTHSOURCE-jk4is
@SIDDHARTHSOURCE-jk4is 7 ай бұрын
kweli eshima inafata mtuu anaye kuwa na eshima ❤❤❤❤❤❤
@حسنا-ض3ز
@حسنا-ض3ز 8 ай бұрын
Much love from Kenya kelvin duuuuh 😮😮😂😂😂🙆
@AminaomarAminaomar-c4k
@AminaomarAminaomar-c4k 8 ай бұрын
Much love from 🇰🇪
@suleimanesivirwa1
@suleimanesivirwa1 7 ай бұрын
Napenda sana filamu zenu
@ChristianRugenge-kd1xh
@ChristianRugenge-kd1xh 8 ай бұрын
Kelvin Ahuja wayi Kuni angusha brother much love from South Africa ❤❤
@NicksonRajab
@NicksonRajab 8 ай бұрын
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Jojo-y7k8g
@Jojo-y7k8g 8 ай бұрын
Mmmmmh jamani Lissa umemukokotea mwenzako matatizo❤❤❤
@Lailaty973
@Lailaty973 8 ай бұрын
Movie nzr san hii❤❤❤ donta tv mnatuelimisha san mungu awabariki❤❤❤❤
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Asante sana
@appsplay4324
@appsplay4324 8 ай бұрын
..much love from Kenya ❤❤❤❤
@King..660
@King..660 8 ай бұрын
Much love from Kenya ❤❤❤ waiting another episode
@ahiyaasherinchako5142
@ahiyaasherinchako5142 8 ай бұрын
Leo Mimi wa kwanza likes Zang please ❤❤
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Sawa
@Mommy4147
@Mommy4147 8 ай бұрын
Hongereni Team Kevin love from saudia Arabia ❤❤❤🎉
@SaimoniChacha
@SaimoniChacha 8 ай бұрын
Tuko pamoj kutok oman
@gladysosoro8963
@gladysosoro8963 8 ай бұрын
Daah filamu za mafunzo kweli from Kenya much love ndugu zanguni🇰🇪🇰🇪
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Asante sana
@jamessicharani
@jamessicharani 7 ай бұрын
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@dolinepeter2503
@dolinepeter2503 8 ай бұрын
Naisubiria kwa hamu episode inayofata
@julyjuly-ik9er
@julyjuly-ik9er 8 ай бұрын
Kazi safi. Much love from 🇰🇪❤️❤️
@jenifandinda3874
@jenifandinda3874 8 ай бұрын
Much love from kenya kelvo🎉❤❤❤
@MariamMariam-h8h
@MariamMariam-h8h 8 ай бұрын
Kama mnakubali Wana donta TV dodosheni likes hapa
@Mwanamkasi-s5e
@Mwanamkasi-s5e 8 ай бұрын
Dhoo!!!kama bdo unahasira n Nelley toka kule kw hours boy tujuane,kweli kunamarafiki n wanafiki,ivi brown ueshawishiwa kweli n umekubali kutomsaidia mwenzio,ila dunia n duara brown unashale ulio uekekeza kw mwenzio utakufikia mm nko👉👉👉.❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Anastacia-c3p
@Anastacia-c3p 8 ай бұрын
Much love from Kenya
@ame9502
@ame9502 7 ай бұрын
Much love from znzbar donta muko vizuri ❤
@DiyanaSimkoko
@DiyanaSimkoko 8 ай бұрын
Kwakweliii kelvin
@basheerunurdeen5113
@basheerunurdeen5113 5 ай бұрын
Sema uyu Nelly ako na roho mbya sana Maan hii character anaicheza vzr. Uckute ata katka Real life Anafany ivooo😢😢
@NeemaNuru-p9k
@NeemaNuru-p9k 8 ай бұрын
Waaaaaoooohh jamani leo nmewah wakwanza naombeni like japo 10 tu wallah cjawah fikisha hata like 10
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Thanks for watching
@Kambachurchgal-hg4zx
@Kambachurchgal-hg4zx 8 ай бұрын
Hatimaye nimeisubiri sana🎉🎉🎉🎉kazi safi sana kelvin
@christine7744
@christine7744 8 ай бұрын
Umasikini ni ubaya kweli ❤❤❤🎉🎉
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Kabisaa
@veronicawilliam7276
@veronicawilliam7276 8 ай бұрын
Mbna brown aliingia ndani kama anajua kinachoendkea😂😂😂😂 au nikae kimya
@GraceVISAMAYANI-gj1xm
@GraceVISAMAYANI-gj1xm 8 ай бұрын
Kelvin movi zako . Nzuri sana
@ewoiekaale
@ewoiekaale 8 ай бұрын
Wa kwanza leo from Kenya
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Thanks for watching
@ewoiekaale
@ewoiekaale 8 ай бұрын
Welcome
@reubenselengeta_2601
@reubenselengeta_2601 8 ай бұрын
Just a real life guys... Mko vizur sana Donta brand ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Asante sana 🙏
@mesco_18
@mesco_18 8 ай бұрын
Mm nimechelewa wapi Leo like ata Tano tu😢
@jezuzluvanda5604
@jezuzluvanda5604 8 ай бұрын
Movie imenikumbusha mbali hii kipindi na umri wa miaka 20 nipo zangu gereji kwa siku namtumia Tano nakula miogo tu mwezi mzima naiman ningekuwa naakili ya kujua freemason bas n ingejiunga lkn mungu mwema
@BarakaBenedicto744
@BarakaBenedicto744 8 ай бұрын
So amazing movies,,, Part 3 ije chap basiii..🙌🙌
@agnessmose9784
@agnessmose9784 8 ай бұрын
Much love from kenya ❤❤❤❤
@eligiambigi4884
@eligiambigi4884 8 ай бұрын
Kukaa kwa mtu kazi pole kev
@FarajaEdson-ud2lx
@FarajaEdson-ud2lx 7 ай бұрын
Cjui kwann watu walio tangulia kwenda mjin huwa wanajikuta sana wanawaona wengne wanaokuja mjin kama hamna kitu mungu atusaidie watu wa vijijn
@mwimagamba-ry7ts
@mwimagamba-ry7ts 8 ай бұрын
Allah azidi kuwainua na awakinge na mabalaa katika kazi zenu in sha Allah...kazi nzuriiiiii
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Amina 🙏
@RobertMaduhu-e4u
@RobertMaduhu-e4u 8 ай бұрын
Wa kwanza maomba like❤❤
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Sawa
@EzekiaMsemwa-sk7ow
@EzekiaMsemwa-sk7ow 5 ай бұрын
Jamaa anaroho mbaya duuh hamletei msosi mwenzie
@TabiaMussa-t6f
@TabiaMussa-t6f 8 ай бұрын
Kazi nzuri na mungu awazidishie ❤❤❤❤❤
@IreneMahimbo
@IreneMahimbo 8 ай бұрын
Nawapenda sana Hawa watu jamaniii
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Asante sana tunakupenda pia ❤
@HamadiHamisi-lw4dt
@HamadiHamisi-lw4dt 7 ай бұрын
Kazi Ndzur San Brothers🎉
@AgnesMwende-p9w
@AgnesMwende-p9w 8 ай бұрын
Kelvin 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 that's y movie zako nazipenda🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 watching from saudi
@Agnes550
@Agnes550 8 ай бұрын
Lit🔥 wapi likes Zang 🇰🇪🇰🇪
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Thanks for watching
@SIDDHARTHSOURCE-jk4is
@SIDDHARTHSOURCE-jk4is 7 ай бұрын
kweli Kaka kuwa maskini ni vibaya sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@CeciliaMutua-pu8ds
@CeciliaMutua-pu8ds 7 ай бұрын
Kunambi kakataliwa na amewafumania XX Kelvin umeongezea matatizo❤❤❤❤❤ from Kenya
@nadianindabira3544
@nadianindabira3544 8 ай бұрын
Nawapend san 🥰🇧🇮
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Asante sana 🙏
@AloyceAlex-pm7rm
@AloyceAlex-pm7rm 8 ай бұрын
Kuimba wajua kuigiza unajua big up bloooo but waishaga movies zako bas
@BaosaFaila-db5sx
@BaosaFaila-db5sx 7 ай бұрын
I love this movie so much imenifunza San 😢
@duncanmwenda4330
@duncanmwenda4330 8 ай бұрын
Am still learning alot kevooh thanks 👍 for this video we need more
@MtundaMohamud-wd8ij
@MtundaMohamud-wd8ij 8 ай бұрын
Hii yenyewe sawa sawa
@Man_Freja
@Man_Freja 8 ай бұрын
Huyo jamaa smith anajua sana anakufaa mmeendana
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Sawa Asante sana
@zuhurasumba5683
@zuhurasumba5683 8 ай бұрын
Donta family much love from 🇸🇦 🇸🇦🇸🇦
@MariamAbuubakar-e5o
@MariamAbuubakar-e5o 8 ай бұрын
Safi xna kwa kazi nzuri❤❤
@rachelpaul460
@rachelpaul460 8 ай бұрын
Pambana Kevin hakuna maisha mazur bila changamoto mung atakujalia tu
@wanjamurithi-ve2pn
@wanjamurithi-ve2pn 8 ай бұрын
Keep it up, much love from🇰🇪
@MsafiriHussein-c5m
@MsafiriHussein-c5m 8 ай бұрын
Wa 9 Leo nipeni at tatu❤
@Dontatv255
@Dontatv255 8 ай бұрын
Thanks for watching
@MsafiriHussein-c5m
@MsafiriHussein-c5m 8 ай бұрын
👍 nawakubali sana wape hi
@CamilaMbunda
@CamilaMbunda 8 ай бұрын
Jaman imeishia pazuri. Toa mwendelezo haraka ❤
@LeonceIbrahim
@LeonceIbrahim 6 ай бұрын
Move without kelvin khan is like stomach without food duhhhh good job my best friends wakiongozwa na kelvin
@geraldkapinga611
@geraldkapinga611 8 ай бұрын
Me cwez vunga 😂 nkatae pilau kirahis hvy 😂 but great work
@yasirhamadi-yw4fx
@yasirhamadi-yw4fx 4 ай бұрын
Kwani hizo like munapeleka wapi🎉🎉🎉
KESHO YANGU PART 03 💞 Love Story
21:01
DONTA TV
Рет қаралды 217 М.
MZEE WA GIZA|FULL MOVIE HD_VOLUME[01]
2:22:49
LIKOMA
Рет қаралды 152 М.
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 22 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 41 МЛН
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,4 МЛН
BAD FAMILY episode 1. ni movie nzuri ya kisasa Haijawahitokea Tanzania.
27:46
KIJANA MUUZA MAJI | EPISODE 01 | 💞 Love Story
32:22
DONTA TV
Рет қаралды 1,2 МЛН
MAITI YANGU (6)
13:00
Dubu Tz
Рет қаралды 140 М.
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 22 МЛН