KESI YA MAUAJI YA MTOTO ASIMWE YAKWAMA, PADRI ADAIWA KUWA NA TATIZO LA AKILI, APELEKWA ISANGA

  Рет қаралды 10,952

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 92
@AbuuThabiti
@AbuuThabiti 4 сағат бұрын
Acheni kutudanganya toka lini padri akawa mgonjwa wa akili kama mnataka kumtolosha kwanjia hizi tumeshituka
@mataypanga5262
@mataypanga5262 3 сағат бұрын
Yawezekana kweli, hospitali ya Mirembe itathibitisha
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 3 сағат бұрын
Unatombwa akili​@@mataypanga5262
@mohamedmussa3087
@mohamedmussa3087 2 сағат бұрын
huko hospitali hawakwenda kibubusa
@HunchoMan-m6y
@HunchoMan-m6y 2 сағат бұрын
Kwema p f​@@mataypanga5262
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa Сағат бұрын
Akisalisha misa mzima kwenye mauaji anakuwa mgojwa wa akili 😂
@piusbille3905
@piusbille3905 Сағат бұрын
Kama ana tatizo la akili kwa nini Asiingie Kanisani akiwa Uchi
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc 5 минут бұрын
Daah, ila mawikili mungu anawaona aise
@JaneMkinga
@JaneMkinga Сағат бұрын
Padri huyu harafu eti unaenda kumuungamia dhambi, unajimaliza kusema yako anakushangaa jinsi yeye yake yalivyo makubwa. Tusimame tu na Imani zetu na Kumtegemea Mungu siyo mwanadamu.
@aliciamwalimu582
@aliciamwalimu582 32 минут бұрын
Ndo maana mimi nachukia wakatoriki,wanapenda kisujudu watu yaan unasema et padri wangu naungama dhambi zangu ambavyo naye anayake yanayomuandama fyuuuu
@lamecksayenda
@lamecksayenda 10 минут бұрын
Vizur sana!
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh 10 минут бұрын
Yawezakana ndo mwanzo wa malipo yanaanza kumfikia ..Mungu atawalipa kuanzia hapa duniani mpka kesho kiyama
@leokamil6284
@leokamil6284 4 сағат бұрын
Padri kaakti ile mbaya kafundishwa bongo movie 😢
@godfreydavid6996
@godfreydavid6996 3 сағат бұрын
Hakuna atakayekwepa hukumu ya Mungu kwa mauaji ya huyu malaika wake 😢
@OCTAVIANSINZO
@OCTAVIANSINZO 4 сағат бұрын
Yaani jaman duuu hapa Tz kila mtu amekuwa mchekeshaji!!! Duniani kuna vituko 😅😅 sasa huyo padre alikuwa anawaongozaje waamini wa kanisa lake kama yeye ni mgonjwa wa akili?
@tynashao9200
@tynashao9200 4 сағат бұрын
Duuuuuu mungu atahukumu
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 4 сағат бұрын
wanamkwepesha tu asihukumiwe yaani leo hii ndo amekuwa mgonjwa wa akili looh serikali ya ccm sina imani nayo
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 сағат бұрын
Subhanallah 😢😢😢😢😢dhambi. Ata enda kuwasemaa kwa MUNGU 😢
@MonicaKaskaz
@MonicaKaskaz 4 сағат бұрын
😊kesi iko wazi mpaka leo
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 3 сағат бұрын
Angekuwa na tatizo la akili angekuwa anafanya kazi kanisani angekuwa padri? Afungwe hivyo hivyo Tena afungwe maisha uo uchizi utapona hukohuko
@mohamedmussa3087
@mohamedmussa3087 5 сағат бұрын
😂😂😂 Duu aisee halafu mawakili wa pande zote mbili wamekubalina ninaashaka sasa mtoto hana mtetezi wasitufanyie mchezo hili swala limetuumiza sana
@PascalMwita-bv8kr
@PascalMwita-bv8kr 4 сағат бұрын
nenda wewe ukafanye uchunguzi maake unaijua haki sana
@GraceMarine-vo9hu
@GraceMarine-vo9hu 4 сағат бұрын
Usiseme hivyo, kwanza kupelekwa isanga nisehemu ya mateso sana, hakuna anayeenda isanga akachekelea
@judithminja770
@judithminja770 3 сағат бұрын
MUNGU ATASIMAMIA HILI,MAANA ALBINO HANA WATETEZI WA HAPA DUNIANI..Kwenda isanga kwa muda fulani na kufungwa jela maisha wewe utachagua nini? D mbili zinatosha kuelewa​@GraceMarine-vo9hu
@mohamedmussa3087
@mohamedmussa3087 3 сағат бұрын
​@@GraceMarine-vo9hu kwa vile anatafuta uchochoro hata akae mwaka huko isanga kwake ni bora mara mia kuliko kuozea gerezani maisha hapo mchongo ushachongwa mpaka hospitali ama kweli waswahili walisema mnyonge hana haki
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 сағат бұрын
Hahahahahaha Kwa hiyo kumbe mapadri wana utindio wa ubongo kama sio hivyo waliwezaje kumpa uongozi wa kiimani mtu mwenye utindio wa ubongo
@pendomushi6351
@pendomushi6351 Сағат бұрын
Wanatudanganya Hawa ili wamtoe kiakili
@jaderkyser9389
@jaderkyser9389 4 сағат бұрын
😂😂😂 Daàh kwel leo ndio anakua na Tatizo la Akili😂😂 hapo Padri kajivua Gamba hiyo kesi inawanyea waliobaki hapo
@lailahumaid2011
@lailahumaid2011 4 сағат бұрын
Uongo hana maradhi ya akili mungu atalipa haki ya mtoto
@mgayan1222
@mgayan1222 5 сағат бұрын
Hahahaha 😆🤣 Padre kufanyaje? KUMEANZA KUCHANGAMKA😊
@SarahMpwehuka
@SarahMpwehuka 5 сағат бұрын
Umeona ujanja unaanza
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 4 сағат бұрын
​@@SarahMpwehukana vile hao mapadri wanavyojifanyaga watu wa saikolojia na filosofia wameenza drama
@StellaRingo
@StellaRingo 2 сағат бұрын
Yote kwa yote ktk hukumu hiyo ata mfanye ujania wa kumtorosha huyo padri kjanja mungu atasimama na ndo mhukumu wa kwel
@drbalagomwatvonline4937
@drbalagomwatvonline4937 4 минут бұрын
Da kwakweli namuomba Allah aepushie mbali ktk kizazi changu asitokee hata mtoto wangu mmoja kusomea Sheria , Sasa eti wakili msomi anawatetea wauaji kisa ameshapewa fungu la pesa na wateja wake maana ndio msemo unaotumika kuwa wateja. Siku huyo wakili akiuliwa mtoto wake ndio atakumbuka dhuluma aliyokuwa anaifanya Kwa wengine wanyonge Kwa kutetea wahalifu waliowatendea ubaya wanyonge. Hizo ni mbinu za kumtetea padri kuwa anamatatizo ya akili mbona hajasema kuwa alishawahi kutembea uchi, eti anamatatizo ya kusahau kwani kusahau si ni tabia au maumbile ya binadamu Kuna binadamu ambaye hasau.
@mwitajoseph8315
@mwitajoseph8315 4 сағат бұрын
Wakili msomi 😂😂😂😂😂 wahaya bana kwa sifa tu 👏
@MbarakaHabibu
@MbarakaHabibu 39 минут бұрын
Tunaomba haki itendeke huyo anafanya maigizo
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 сағат бұрын
Ana matatizo ya akili lakin aliweza kuwashawishi kina baba asimwe kumuua asimwe 😳😳😳kweli marehemu hana haki 😢😢😢
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 4 сағат бұрын
Daaaaah haki ataipata huko aliko katika kivuli chema wao waendelee kula pesa
@leticiakato395
@leticiakato395 38 минут бұрын
Hakuna cha tatizo la akili Wala nini
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 сағат бұрын
Hata awe na ubongo mmbovu lakin kwa mungu anaenda kuchomwa moto na ajuwe kwamba ktk umri wake anakotoka ni mbali na anako enda ni karibu namaanisha ana masiku machache sana ya kuwepo juu ya ardhi hii sasa atafute pajukimbilia kama anapo kinyume na kuingia kwenye tumbo la ardhi
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 2 сағат бұрын
Mmmmmh!!mapadri wanavyosomaga kwa miaka mingi angekuwa na shida ya akili angeweza kweli huyo?
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 2 сағат бұрын
Jamani wanyongwe hapo wanataka kumkwepesha padre
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 4 сағат бұрын
Uongo huo wala hana tatizo la akili mmesha hogwa sasa
@Rawdha-y8t
@Rawdha-y8t 3 сағат бұрын
apelekwe mirembe akipona arudishwe mahakamni ...kwahyo ulisahau ukaua achen dhuluma bhn
@BahatSakuru-uo6zv
@BahatSakuru-uo6zv 3 сағат бұрын
Wamemkatili mtoto uhai wake,,akuna kulukwa kwa akili wala nini wafungwe au wanyongwe hao,,,washenzi wakubwa mtoto mzuri wamemfanyia ukatili wa kinyama
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk Сағат бұрын
Alipo uwa alikua na akili ss Hana akili😊
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 2 сағат бұрын
Heee kasomaje hadi padre mhuuuu
@PeterMaonga
@PeterMaonga Сағат бұрын
Hakuna kuwaachia wauwaji hao
@farajasallah2338
@farajasallah2338 4 сағат бұрын
Padri umetuangusha aisee Kama ni kweli! Tutakimbilia wapi sisi waumini mwee
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 2 сағат бұрын
Waongo wa kubwa hawa ana akili zake anataka kufanya ubabaifu laaana wakubwa hawa😡😡😡
@twinkledestar4277
@twinkledestar4277 3 сағат бұрын
Yaan bada ya kes kawa na maradh ya kuchanganyikiwa hem achen ujinga ushahid wa toka io miaka ya nyuma km akil haipo sawa uko wap ata kma lawyer mtetez ila tafuta point ya kutetea uyo jangili muuwaj wa mtt ambae hana hatia na ww wakili utakufa vibayaa
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 4 сағат бұрын
Mh. Hawajahukumiwa cha moto wameishaanza kukipata. Naona baadhi machozi yanatiririka!
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 2 сағат бұрын
Kwahyo aliongonzaje kanisa? Kam yupo na tatizo la akili
@JaneMkinga
@JaneMkinga Сағат бұрын
Mmh unatafuta sababu kuuwa mchezo, mtoto mmemchinja bila huruma huku anajiona pumbavu zenu.na bado wewe ndiyo chanzo kikubwa mnyongwe tuu
@Angel-ry5bu
@Angel-ry5bu 3 сағат бұрын
Daah ila pesa nyieee😢
@OmanOman-m8y
@OmanOman-m8y Сағат бұрын
Michezo hiyo eti leo hii hana akili timamu
@mnisi3694
@mnisi3694 4 сағат бұрын
😢mnajua mnatuona kama matako yenu
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 сағат бұрын
Nlijua t padri ataambiwa anashida ya akili anatakiwa anyongwe na hao wenzie sasa kila mtu akiuwa akiambiwa ana tatizo la akili ambao hawana akili siwatawamaliza wenye akili halafu nchi itabaki na hao mandondocha
@AllyMadenge-u6o
@AllyMadenge-u6o 3 сағат бұрын
Asitutanie hana tatizo la Akili wala nini asilete janja janja hapa
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 2 сағат бұрын
Waongo wa kubwa hawa ana akili zake anataka kufanya ubabaifu laaana wakubwa hawa
@mwanas2
@mwanas2 4 сағат бұрын
Ana act cinema pumbavu kabisa ivi hii nchi ni vipi jamani?????😢😢😢😢
@ElizabethMakwaia
@ElizabethMakwaia 4 сағат бұрын
Nilihisi Sanaa itafanyika. Kweli imekuwa lkn kwa Mungu hakuna Sanaa. OK padri ana ugonjwa, na baba mtoto mwenye akili timamu,?
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 3 сағат бұрын
Changamoto ya akili!! Ndo wamemfundisha
@MonicaKaskaz
@MonicaKaskaz 4 сағат бұрын
Kwa hiyo aue mwingine?
@boniphaciogoliama8783
@boniphaciogoliama8783 3 сағат бұрын
Nyakati hizi mtu akiwa na title flani na akishikwa na hatia basi ana tatizo la akili
@ceciliaonyango5367
@ceciliaonyango5367 34 минут бұрын
Acheni usanii huo ni uongo eti anatabia ya kusahau? Mmmm ee Mungu tutetee Wana wako
@aediaygo8546
@aediaygo8546 4 сағат бұрын
Pesa Pesa Pesa Pesa Pesa Hela Hela money faranga zaga chelete Jina Lako fupi Kwa lugha nyingi hapa Duniani lakini mateso unayotupa Ni makubwa mno wakati mwingine tuna shindwa hata kufikiri vizuri kwenye Hii kesi nakuona wewe Ni kitu kibaya ingawa nakuhitaji😂
@subralugege7019
@subralugege7019 4 сағат бұрын
😂😂😂😂padiri da!
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 4 сағат бұрын
Mmmmh padre .anamatatizo msitutanie nyie
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 3 сағат бұрын
Bado wapo tu kwenye hii dunia awapaswi kuishi kwenye hii dunia
@JosephEmmanuel-eb7gj
@JosephEmmanuel-eb7gj 4 сағат бұрын
😂😂😂 Ila hii nchi
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og 3 сағат бұрын
Jamani huyo anaejifanya hana akili ni muongo mbona kashiriki kuua na waliyokuwa na akili hiyo ni namna ya kutaka kukwepa mauaji hana lolote ila M/Mungu anaona
@franciscakija1702
@franciscakija1702 3 сағат бұрын
Maombi ya watu hayo
@GeorgeJusto-y4v
@GeorgeJusto-y4v 3 сағат бұрын
Hakuna kunakicha anakwepa kamira
@NiceAudphace
@NiceAudphace 4 сағат бұрын
Mimi ndo maana nimeachaga kwenda kanisani 😢
@barbiepixie92
@barbiepixie92 2 сағат бұрын
Utakua na shida zako tu
@gracephilemon4325
@gracephilemon4325 4 сағат бұрын
Amaigiza huyo muongo jamani mbona mnawachelewesha nyie amna uchungu na mtoto
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f 3 сағат бұрын
Mchezo mchafu ss mnaaza huyo padri uwo ugomjwa umemuanza baada ya kuua msituone ss hatuna akili kenge nyie
@annamussa185
@annamussa185 4 сағат бұрын
Padrii alikamatwa ambaye ameratibu mambo yote ila Afande kigondo yeye Ahhhhhaaaa!
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 3 сағат бұрын
Kisimi Cha bibi Ako yaan kesi yakumtomba Malaya unaifananisha uzito saw na kesi yakuua kwa kuchinja Kuma kipyengu ww
@annamussa185
@annamussa185 Сағат бұрын
@@TeophilBuilding sura yako kaa ngozi ya mkundu wa kisimi Cha marehemu Mama yako
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 35 минут бұрын
@@annamussa185 sem umerithi mkundu wa baba Ako nivile TU nafila baba Ako alaf nafrashi kwa mkuma wako Kuma la mama Ako hadharani
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 3 сағат бұрын
Ukisikia hivyo ujue wameanza mauzauza ili watolewe mmojammoja ila damu hii itaendelea kudai kisasi
@barbiepixie92
@barbiepixie92 2 сағат бұрын
Hana changamoto yoyote ya akili anataka kuonewa huruma tu hapo msituchanganye, mbona hakusau wakati wanaandaa mpango wa kumuua malaika wa mungu
@FerdinandMalima-fl2gy
@FerdinandMalima-fl2gy 2 сағат бұрын
Acheni utoto
@notbulgajohn4082
@notbulgajohn4082 30 минут бұрын
Kwakweli inaumiza
@catherinekihengu2420
@catherinekihengu2420 4 сағат бұрын
Mmmh
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 4 сағат бұрын
Acheni ku2mia haki muone mitoto yenu itakavokufa kinyama,ikishaisha ndo na nyie mkufe.
@Saum-o1w
@Saum-o1w 25 минут бұрын
Mtu kashajulikana kuw ni muuaji kwann asinyongwe?! Kwani mauaji ya mtoto si yamefanyika kwa kukusudia?! acheni kutufanya wajinga mnafanya wahalifu waendelee kuzidi sasa
@HAKHISALUMU
@HAKHISALUMU 4 сағат бұрын
Aiseee Allah tusaidie wanyonge mtoto ametolewa uhai wake akiwa mtoto mdogo.
VITUKO VYA KWENYE DALADALA ( DAY2)
11:30
Steve Mweusi
Рет қаралды 10 М.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,7 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 12 МЛН
🔴 NTV LIVE | October 2024
NTV Kenya
Рет қаралды 1,7 М.